Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
05 Nov 2025
1.07K views
VYOTE NDANI GONGA94
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 12 Asubuhi ilifika sasa leo nilikuwa na nguvu kidogo hata za kutembeaa niliamka nikajiandaa Raphael
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
alikuwa amenileteaa nguoo zinginee jana nilivaa ilikuwa ni cargo na t-shirt jeupee na mtandioo wangu mweusi hapo nina kiiphone changu jamani nilipendeza sio pow nikapanda gari na mpenzi wangu akanipelekaa mpaka kazini kwa Mama, yeye alikuwa na haraka na kazini kwake hivyoo yeye hakushuka nilishuka mimi peke yangu tuu, yeye akaondoka kuelekea kazini maan alikuwa kavaa magwanda ya kijeshi tayarii mimi nikanyooka mpaka kazini kwa Mama, mama alikuwa ashafunguaa kwa maaaa siku za kazi huwa anawahi mapema mnoo coz kuna wale wa chai na mgahawa wetu upo magomeni pale japo tunakaa huko tandika
"Hee malikiaa umekuja nakuonaa umependezaa uliondoka na nguo zinginee umerudi na zingine, mhh hyoo bazideii ilikuwa pambe naona mambo moto, hebu vaa hyo eplon uhudumiee wateja mpuuzi wewe" mhh hizi kelel nilikuwa nimezipumzika kwa muda nimerudi tena kwenye makelele nilivaa hyo eplon nikaenda kuhudumia wateja waliokuwa wamekuja pale,nilihidumiaa nikamalizaa nikaendaa kuosha vyomboo hee kimbembe kilikuwa kwenye kuchuchumaa ikabidi tu nikachukuee kistuli nikaee, wakat soo kawada yangu mama akawa anatizama tuu yaaani, nilipomalizaa nikarudi jikonii hii siku Raphael hakuja kula hapa ila sikushangaa labda pengine alikuwa anaona aibu kukutana uso kwa uso na mama yangu "Enhe shga angu umemalizaa hapo mbonaa nakuona haupo sawa vipi upo period au?" Aliuliza mama nilimtizama tu nikamjibu hapana, acha simu iite nikaitoaa ile iPhone sasa, mhh mama si ndio kuiona mma nilitoka nimeiset kule kule kwa Raphael, alikuwa ni Aika nilipokeaa nikatoka pembeni
umejiokoteea mshepa mgahawani nini? Me: hamna bhana ilikuwa ni vijipesa vyangu nimejiwekezaa wekeza hapa ndio nimenunua hiii sijui hata aina me basi nazijuaa hata simu zenyewe
Aika; hee wewe sijui utakuwaga lini, haya mama nilikuwa nakupa hi shga angu maan nipo hapa na mashost zangu etty hawaamini kam naweza kuwa na shga mswahili ndio nikaamua nikupigiee haya baadae
Me sawa (nilikata simu ika sikupenda alichokuwa ananiambiaa bhana yaani huyu daaah hapana ila nishamzoeaa nitafanyaje sasa ndio chawa tena)
Muda uliendaaa na ulifika muda wa kurudi nyumbani mama ilibidi akae na mimi baada ya kufika nyumbani yaani hata chumbani sijafika " wewe mpuuzi nambiee kila kitu maan nakuona haupo sawa kabisa nambiee nini tatizo? Na unambiee ukweli mtupu yaani ukidiriki kuniongopeaa na kuzibuaa maan nakujua, vizuri kwenye haya mambo nyuma yake hayupo Aika sijui unaelewa mabinti nawajua, kwahyo kama umwshapata wa kumpatavwee sema tu mimi ndio mma yako nikupe ushauri sio baadae unaleta mimba zisizokuwa na baba hapa ntakukata hayo masikio:" alisema mama
Itaendeleaa....
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana...
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* Chapter 12 Asubuhi ilifika sasa leo nilikuwa na nguvu kidogo hata za kutembeaa niliamka nikajiandaa Raphael
alikuwa amenileteaa nguoo zinginee jana nilivaa ilikuwa ni cargo na t-shirt jeupee na mtandioo wangu mweusi hapo nina kiiphone changu jamani nilipendeza sio pow nikapanda gari na mpenzi wangu akanipelekaa mpaka kazini kwa Mama, yeye alikuwa na haraka na kazini kwake hivyoo yeye hakushuka nilishuka mimi peke yangu tuu, yeye akaondoka kuelekea kazini maan alikuwa kavaa magwanda ya kijeshi tayarii mimi nikanyooka mpaka kazini kwa Mama, mama alikuwa ashafunguaa kwa maaaa siku za kazi huwa anawahi mapema mnoo coz kuna wale wa chai na mgahawa wetu upo magomeni pale japo tunakaa huko tandika
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mjeda-inauma-siwezi-vumilia-chapter-12-asubuhi-ilifika-sasa-leo-nilikuwa-na-nguvu-kidogo-hata-za-kut