Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
04 Nov 2025
1.06K views
VYOTE NDANI GONGA94
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* "Mhh niishike wee sitaki mhh maama yangu kanikataza nikacheka mhh kwanza
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
umenikumbusha mama yako hajakupigia?" Nikimtizama tu mhhh kuna muda alipiga sikupokeaa ujuee ngoja nimsikilize sasa " hee nasema tu hivyoo na simu inaitaa jamani alikuwa ni mam
Mama: kwahyo wee mjinga ndio hurudi hivi unadahani mimi mikazi ya hapa ntaiweza mwenyew wee mjinga?
Me:mama jamani mimi naumwa ujueee ( nilimtizama Raphael alikuwa ananiambia niende keshoo, hivyoo nimwambie mama) mama bhana mimi ntakuja kesho bado kuna vitu tuna malizia
Mama: mhh hebu nipe simu niongee na Aika kwanza, maan nahisi haupo kwa akina Aika moyo wangu ulilipuka puu
Me: mama kwahyo huniamini au lini mimi nikaenda sehemu tofauti na akina Aika
Mama: nyie mabinti mna maana baasi tunawaamini mnaendaa kwa wanaumee, mimi mwenyew nilikuwa binti, haya bhana hiyoo kesho uwahi mapema maan mhh kuna mizigoo ililetwa jana usiku ujuee? (nilimtizama kwanza Raphael maan mhhh)
Me: sawa mama nakuja mapema usijali, usifunguee tu mizigo yangu shga angu maan wee nae mmbea kama nini
Mama: wee komaga hukoo uwahi tuu (alkata sim)
"Kwanini umemdanganya mama yako?, unamuogopa?" Nilimtizama tu "mhh wewe humjui mama yangu atataka nimwambie kwanzia mwanzo hadi mwishoo mhh humjuii tu yaani anakuwaga mmbea kama nini mpaka anatisha Wallah, hivyoo ntamwambia nikiwa namuonaa na kila kitu usijali maana anajuaa sijawahi kuwa na mwaname kwahy atataka kujua imekuaje" nilimwambia Raphael ila mama yako anakupenda sana" nilicheka tu maan alikuwa hamjui vizuri mama yangu cha mdomoo
"Hya tuwe serious sasa Rahma mhh unahisi ni kitu sasa hivi ukifanya utakuwa na furaha nacho cha maendeleo yako binafsii kwakwel au nikupeleke chuoo ukanze diploma" nilijikuta nacheka tuu nilihisi ni ananitaniaa tu huyuu mjingaa nikacheka " hivi unajua kama mimi nipo serious sitanii hata roboo ujuee mpenzi wangu nipo serious na hili swala " nilimtizama tu " hebu nambiee unaweza kufanya nini mke wangu" nilimtizama tu nikaanza kumwambiaa ujuee Raphael acha utani kwa kipi hasa nilichonacho mimi mdada wa uswahilini mpaka unifanyiee hayoo yotee? Alinitizama tu
"Nakuomba sana wewe ni mtu mmmoja wa thamani sana kwenye maisha yangu ujuee Rahma hakuna mtu namuappreciate kama wewe Rahma wewe ni wa muhimi sana kwangu, nipo tayar hata kukupa uhai wangu kwa ajili yako mpenzi wangu" nilimtizama tu nilikaa kimya kwa muda kidogo
"Hukoo umefika mbali saasa haya niwe serious na mimi kwenda shule kweli siwezi ntakuongopeaa kwakweli kwenda shule sio kweli jamani, mhhh labda kam ni biashara labda kimgahawa kwasababu mimi mambo ya jikoni napenda sana" alinitizama kwa muda sawa kwa sasa nimekuelewa vizurii tunaweza kulala maan kesho yapasa niwahi kazini na wewe
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana...
*MJEDA INAUMA SIWEZI VUMILIA* *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* "Mhh niishike wee sitaki mhh maama yangu kanikataza nikacheka mhh kwanza
umenikumbusha mama yako hajakupigia?" Nikimtizama tu mhhh kuna muda alipiga sikupokeaa ujuee ngoja nimsikilize sasa " hee nasema tu hivyoo na simu inaitaa jamani alikuwa ni mam
Mama: kwahyo wee mjinga ndio hurudi hivi unadahani mimi mikazi ya hapa ntaiweza mwenyew wee mjinga?
Me:mama jamani mimi naumwa ujueee ( nilimtizama Raphael alikuwa ananiambia niende keshoo, hivyoo nimwambie mama) mama bhana mimi ntakuja kesho bado kuna vitu tuna malizia
Mama: mhh hebu nipe simu niongee na Aika kwanza, maan nahisi haupo kwa akina Aika moyo wangu ulilipuka puu
Me: mama kwahyo huniamini au lini mimi nikaenda sehemu tofauti na akina Aika
Mama: nyie mabinti mna...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mjeda-inauma-siwezi-vumilia-sehemu-ya-kumi-na-moja-mhh-niishike-wee-sitaki-mhh-maama-yangu-kanikataz