*MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*π₯°π *19&20* Narshaa akiwa kule chumbani anamalizaa kazi yake na kufunguaa mlango kutoka,mda anatika anawaonaa polisi na polisi pia wanamuona
polisi wakimfukuziaa sanaa
"Hakikisheni haondokii hapaa Polisi Alisemaa. Polisi walikaa huku na kulee ili anapokujaa tuu akamatwee Narshaa alikimbiaa na kujifichaa sehem na kutoa sim kumpigiaa yule Mr Man Kwajili Yaa Msaadaa. "Nipo kwenye matatizo naombaa msaadaa wako Narsha Aliisema.
"Nilijua tu bila mm huwez nipo njiani nakujaa "Mr Man Alisemaa. Njiani Mr Man anaonekanaa kuendeshaa gari speed huku akiongeaa na simuu nyingnee. "Kesho tunakamilisha kila kitu kwahiy naombaa
tuu mkae pozi la kwenda Mr Man Allikata simu na kuendelea na safarii yakee ya kwenda kwa Narshaa. Anafanikiwaa kumtorosha Narsha plaa kutoka
pale hospitalini. Upande wa Hospitalini Mr Mask Akiwa na hali mbayaa sanaa na maumivu ya kusalitiwaa na Narsha anaamuaa kuaanzaa kusemaa sirli zotee za Narshaa kwa askari polisi. anaanzaa kwa kusemaa "Narshaa sio mtu
Mwemaa Ni muuwaji madawa ya kulevyaa.
yapokelewa kesho airpot mauwaji na kaniuwaa
plaa "Mr Mask Alimalizaa kusemaa hayo uku akitubu dhambi zakee na akafariki palee palee maana ilee sumu ilikuwaa imeshamtafunaa sanaa mwilini.
Familiaa ya madam Lindaa wapo wakifurahi sanaaa maana hawakupata furahaa kbsaa Saraah leo anaamuaa kuwapigiaa wazazi wake
waliopo Marekani
"Hellow how are you "Saraah alisema. Jmn Saraah ni mdaa hatuja onana kipenzi "Mama Saraa Alisema. Walisalimianaa sanaa maana ilikuwaa ni mdaa
sana hawajaongeaa. "Mam kunakitu nataka kukwambia ety "Saraah Alisema "Nambie mwanangu wa pekee siunaelewaa. kilaa kitu must nikusikilize maana wew ndo zawad yetu kutoka kwa Mungu. "Mama Saraah Alijibu huku akitikisaa kichwaa kama isharaa ya kukubalianaa na jambo lilΔ.
"Mama ninamchumba na si mwingne ni Abddulh yule wa zamn mama Saraah Alisema. "Wooow baby jmn "Mama aliisemaa.
Saraaah alianzaa kumueeleza story mzaa kuhus Jordan from the first day ameenda kule Dar es salaam na mpk kuhus yeye kujaa Huku Arushaa
kikazi hadi kukutanaa nae tena. "Daah Kweli Mungu Kakusaidiaa Sanaa Mwanangu, Kwahiyo uyo mkwe wangu Yuko wap "Mama Saraah Alisemaa. "Yupo Anakusilizaa piaa. Saraah alisema ivo huku Jordan Akisogea eneo alipokuwepo ill aonekanee plaa
"Jamn Handsome sanaa Ety "Mama Saraah. alisemaa huku akitoaa maneno mazur ya kumsifiaaa Jordan
Jordan aliaanza kwa kusalimiaa na kuanzaa. kuwapigishaa maake ukizingatia Jordan Ni mchangamfu sanaa.
"Mam Na Baba kuna kitu sijawaambia ni kwambaa Saraah Anamimba tyr Ya katoto ketu ka kwarΔ±za Jordan Alisemaa kwa msisitizoo sanaa
"Woow jmn kajuukuu jmn, Ilqq naombeni mfunge harusi hivi karibun ili muwe na uhuruu mkubwaa sanaa sawa wanangu Mama Saraah Alisemaa huku baba saraah piaa akiwaa na
furahaa sana. "Usijali mama ni baada ya wiki mbili tuu mbeleni. bas tutaanzaa maandalizi ya harusi "Jordan
Alisemaa
"Hahah sawaa nmefurahi ww ni mkwe boraal
wiki ijayo ntakujaa uko nawapenda sana wanangu "mama Saraah alijibu.. Waliongeaa kwa mdaa mrefu sanaa ambao kuhusu mambo mengi sanaa maana kwasasa familiaa yao imekuaa kubwaa sasaa
Ni midaa ya usiku sasa upande wa Narsha wakiwaa wamekaa wanajianda kupokeaa mzgo wao wa madawa ya kulevyaa.
"Mda Maalumu kwaa ajir ya mzigo ni kesho saa 9 asubuhi katik uwanjaa wa ndege tutasubir ndege private ndo yenye mzigo wetuu Narshaa Alizidii kutoa tarifaa kwa watu wake ili wajipangee kbsaa Ikn yote ayo anaongeaa Mr
Man Akliwa anamsikilizaa kbsaa. Baada ya dakikaa kama tano Mr Man Anaendaal njee nakuanza kuongea na simu akisemaa. "Mdaa Ndo huu kesho mnatakiwaa kuvamia
palee mtakapoonaa blashraa inamalizikaa kumbukeni lengo letu kuu nikumfirisii huyu mwanamkee "Mr Man Alisemaa na kusisitizaa sanaa akiwaakumbusha mdaaa ni saa 9 alfajirii sanaa na baada yaa apo alikataa simu ilee. Mpka hapo inaonekana kbsaa kuwaa Mr Man
Plaa Hana Mpango Mzuri na Narshaa..
Huo huo mdaa polisi wapo makini kabisaa wanapanga mikakati maana Marehemu Mr Mask Alikuwa Ameshawapaa Documents Zote kuhs siku hiyo kwahiyo sasa ni mdaa wa wao kujiandaa usiku ulee polisi hawakulala kbsaa
maana walikuwaa wanatafutaa wahusika wa madawa na pesaa za bandia kwahly polisi walichoamuaa ni kwendaa maeneo ya airport na kukaa kabisaaa ili mdaa utakapofikaa wawatime vizuri na kuwakamataa hapo hapo.... Mdaa ulizidi kwendaa na hatimaye ni midaa ya saa 9 Polisi wakiwaa tayr eneo la tukio kwa ajili ya kazii.
Ni saa 9:10 Msafaraa wa Narsha unaoneka na kufikaa mahali palee kwaa ajirii ya kufanya
biashara yao. Na Ndege piaa inafika Ikn wanaotokas njee ya ndege ni watu kutokaa njee yaan walikuwa ni wapakstani kbsa. Kwahiyo izi ni biasharaa haraam za nch na nchi
, Wanapaanza kufanya mabadilishano ghaflaa tenaa yanaingiaa magari matano meusi yenye watu ambao walikuwaa na silaha kali na walipo fika pale wanawazungukaa wale wote yaan hichi sio kikosi cha mwingne ni cha Mr Man.
Mr Man Anaanzaa kuchekaa kwa nguvu sanaa kiasi ambachoo watu wanashangaa kbsa"Narsha ulizan mm nipo na ww hapnaa kitu kama ichoo lengo langu lilikuwaa kukuangushaa sasa kama mnataka kupona weken kilaa kitu chini na mtupatie pesaaa na madawaa piaa tuondokeee
Ubishi kati yao uliaanzaa maan hicho kitu kwanzaa Narshaa hakuwahi kukiwaza kbsa lkn leo anasalitiwas na yule ayekuwa anamuamini na kumuonaa mwemaa sanaa kwakee Ikn leo ndo kasalitii Wakati wote yanafanyka polisi
walikuwaa wakishuudiaa tuu.
321 Vamiaa "Kamandaa mkuu alisemaa na
kweli polisi wote walivamia sehem ile na kuwaweka chini hataa Ivo polisi walikuwas. wengi kwahiyo kupitiaa wingi wao kazi ilikuw nyepesii sanaa kwao na waaarifu wote walipelekwaa jeraa na mahakamn kwaa aajiri ya hukumu yao. Narshaa aliumiaa na kujutiaa sanaaa Ikn yote hayo alijilahum kwann aliyafanyaa lkn hakupaataa jibu sahihi.
Ni Asubuhi nyingnee Tenaa Famiiaa ya Madam Lindaa Wakiwaa wanakunywaa chal wanashuudiaa Taarifaa kamili Wote hawaa wana huzunikaa maan Narsha Alikuwa kam Ndugu kwao lkn leo ameamua kuchagua sehem Isiyo sahihi kbsaa.
Siku Zinapita na Leo inaonekana kuwaa ni Harusi ya watu hawa Wanne Yaan Saarah Jordan, Jay Na Jenny plaa Harusi yao inakwendaa vizurii sanaa maana hataa wazazi wa Saraah Walikuwepo.
Maishaa yanazidii kwendaa kbsaa Na familiaa Nzimaa inaamuaa kurudu Dar na msimamiza wa company anawekwaa Mr Poul. Ambayee anaonekana kuendeshaa campany
kwa Akili sanaa na juhudi piaaa. "Ndani ya Maishaa Usikate Tamaa Ya kitu Falanil Maana Kilaa Kitu hupatikana hakunaa ambacho huwaa hakirud au hakipatikani
" ππππ endelea kuwa nasi Tafadhali Andika neno Asante kwenye comment
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi