Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
19 Oct 2025
335 views
VYOTE NDANI GONGA94
MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*π₯°π Chapter 13 Mda unaenda Wine zinaanza kugawiwaa na Wine Ya Saraah Ipo pale Pale Saraah
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Anakamataa Wine Yake Mkononi Anapotakaa Kuweka Glass Mdomoni Tu Ghaflaa Anaitwaal Hapo hapo na Jordan Jukwaani iki Atambulishwee.
"Napendaa Kumkaribishaa Msaidizi wangu Miss Saraah Kwaajili ya Maelezo Mafupi""Watu wanapigaa makofii sanaa Na Mwanadada Mrembo Sanaa Apedwaye na wote, anasogeaa mbele polepolee huko watu wakimpigiaa makofil maana wengi walikuwaa walimkubari Saraaah.. Anapofikaa mbele za Watu Jordan Kwa makusudii kabisaa.
"Kablaa Ya Miss Saraah Kujitambulisha naomba kucheza nae wimbo mmojaa ujulikanao kwajinaa la "Perfect by Ed Shereen" Watu wengi walipiga makofil sanaaaa na kufurahiaa asa wafanyakazii na wagenii pia walio anza kusemezana chini chini kwambaa "Jordan Anasubiriaa nn Anatakiwaa Aoe Hapo Maan Akichelewa Saraaah hatakuwa wake"Ili kuwaa furahaa sanaa watuu kuonaa vileee Ikn kwal upandee wa madam Linda na Narshaa hawakuwezaa kbsa hataa kutoa tabasamuu Narsha Aliumia sanaa kwanzaa kumkosaa Jordan Na Pili Plan Yake Ya Kumuaibisha Saraah Kufeli..
Upande wa Mbele Wimbo unawekwaa, Jordan Anamshikaa Saraah Kiunoni na Kusogezaa karibu Zaidii daaaah rahaa sana kwa mara ya kwanzaa Saraaah anachezaa slowly akiwaa na Jordan Anachoamuaa Anaweka mkono wake wa kuliaa kifuani vizuri na Wa Kushotoo Chini Ya Anawekaa Maeneo ya Tumboni Piaa.Jordan Anaamuaa kushikaa kiuno chakee vizurii kwa mikono yake miwili, Wanaangaliaa wotee wawili hawaa kwa furahaa sanaa na tabasamu kubwaa saraaah anawazaa moyoni akisemaa "Daah Navutiwaa na ww sanaa Jordan naimani wewe ndiye Abdulh wangu wa zmn"" Mda Huo Huo Jordan anajiwaziaa piaa moyoni anasemaa "Saraah Ni Mda Wa Mm Na ww kuendeleza Mahusiano yetu Wewe ndie Mtamu wangu tokaa utotoni sikuachi na ninakupendaa sanaa ".Hahhah Ilikuwa Rahaa sanaaa mdaa ulienda huku wawili hawaa wakichezaa na Wimbo ulipokuwaa unakaribia kuisha Jordan Alimuangalia Saraah machoni na Saraah piaa Alimuangaliaa machoni na Walisogezaa lips zao karbu sanaaa na Jordan Alianzaa Kunyonyaa lips za juu za Saraah huku Saraah Akinyonyaa lips za Jordan za chini walifanyaa hivo uku wakibadilishaa kwa mdaa mpk palee wimbo ulipo ishaa watu walianguaa makofii mengii ya furahaa na wotee kusimama kushangiliaaa tukio Illee Saraah Alitabasamu sanaa na Jordan piaaa alitabasamuu sanaa. Lkn upande wa madam Lindaa Na Narshaa wanakoswaa hataaa cha kufanyaa maake Walipigwaa Tukio Zitoo Na sio Zitoo Tuu Tukio Kubwa Sanaa Wanasimama na kuondokaa zao..
Saraah Anakaribishwaa kukaa upandee wa mezaa kuu Akiwaa na Joradan piaaa. Wageni wanachukuaa nafasii yaoo na kuongeaa mamboo mengii waliyovutiwaa nayoo hasaa wakisemaa wamevutiwaa na tukio la Joradan alilolifanyaa "Jordan naomba mfanyee mpangoo wa kuonaa katikaa mwaka huu na mtualike piaaa na kamaa mtachelewaa kuonaa basi mm ntatafutaa Mwanaumee wa akumuoaa Saraah Manager Mkuu Wa Bord Ya Utalii Alisemaa.
Watu walifurahii sanaaa na piaaa Jordan na Saraah waliongezaa sifaa nzurii sanaa. Mdaa ulienda watuu walikunywaaa na kula sana Nakufurahia sana siku hiyooo habarii huwaa hazikawiii Sherehe iyoo ilirushwaa mtandaonii na kila mtu aliishiaa kuonaa tukio la Saraah na Jordan.
Jordan Anamchukuaa Saraah kutakaa kumpelekaa nyumbn maana watuu walikuwaa wameshaaga na wanaondokaa hapo hapo anaonaa simu ya Jay Nakwambiaa Jay Anapokea huku akiwaa na furahaaaa sana baada ya kuonaa tukio lileee "Jordan tukimalizana na hizi ishu naombaa umuoe Saraaah Maake Kwako Ni Mtamu Toka Utotini Usimuache "yotee ayoo yalisemwaa na Jay Huku Saraah Akisikiaa piaa na Aliishiaa kutabasamuu tuuu Wawili hawaa walichukua Garii lao na kuondokaa kwendaaa Nyumbniiii Vp Usiku wao utaendaa vp maana wanaonekanaa leoo wanaendaa kuvunjaa chagaa maake kilaa mtuu ameshamuoneshaa Mwenziee kuwa Anapenda hahaha Tukuta Sehemu ya Kumi Na Nne....
Itaendelea...
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MIMI SIKUACHIπ₯° 19 MPAKA 20
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Sehemu ya 19 Daah nikasema.mwanangu iyo chupi.nimemnunulia fat...
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Sehemu ya 16 Basi nikapata kaumarufu kweli kweli pale chooni. ...
π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Sehemu ya 14 Aseee mi nilimuangalia sana uyu demu. Nikamuona j...
7 MPAKA 9 π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani i...
MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*π₯°π Chapter 13 Mda unaenda Wine zinaanza kugawiwaa na Wine Ya Saraah Ipo pale Pale Saraah
Anakamataa Wine Yake Mkononi Anapotakaa Kuweka Glass Mdomoni Tu Ghaflaa Anaitwaal Hapo hapo na Jordan Jukwaani iki Atambulishwee.
"Napendaa Kumkaribishaa Msaidizi wangu Miss Saraah Kwaajili ya Maelezo Mafupi""Watu wanapigaa makofii sanaa Na Mwanadada Mrembo Sanaa Apedwaye na wote, anasogeaa mbele polepolee huko watu wakimpigiaa makofil maana wengi walikuwaa walimkubari Saraaah.. Anapofikaa mbele za Watu Jordan Kwa makusudii kabisaa.
"Kablaa Ya Miss Saraah Kujitambulisha naomba kucheza nae wimbo mmojaa ujulikanao kwajinaa la "Perfect by Ed Shereen" Watu wengi walipiga makofil sanaaaa na kufurahiaa asa wafanyakazii na wagenii pia walio anza kusemezana chini chini kwambaa "Jordan Anasubiriaa nn Anatakiwaa Aoe Hapo Maan Akichelewa...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mtamu-toka-utotoni-sikuachi-chapter-13-mda-unaenda-wine-zinaanza-kugawiwaa-na-wine-ya-saraah-ipo-pal
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mtamu-toka-utotoni-sikuachi-chapter
MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*π₯°π Chapter 14&15 Wawili hawa walichukua Garii Lao na Kwenda Nyumbani Wanapofikaa Nyumbn wanaonekana wakipiga leo story
*MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*π₯°π Chapter 17 "Hahahaha kumbe sikujua kama hataa Madam Lindaa Na Wewe utanisalitii Sasa Naombaa
*MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*π₯°π Chapter 12 "Jina gani hilo nikutafutiee ?"Saraaah Alisemaa huku akimsogeleaa Jordan Na Laptop
MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*π₯°π Chapter 7 Baadaa ya Narshaa kukutanaa na kofii la Jordan, Jordan Anaondokaa na kumuachaa akiwaa
MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*π₯°π Chapter 9 Baadaa ya Saraah kupewaa matibabu yale yaliyokuwa chini na usimamizi wa Dr Abdulh, Dr Abdulh Anaamuaa Kumfata Saraah Katika kile Chumbaa
*MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*π₯°π Chapter 18 Mida Ya Asubuhi Mr Mask Anaonekana Kuwafatiliaa Kina Madam Linda Saraah Na Jordan. Leo.Mr Mask Anaonekanaa Kutembea
MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*π₯°π Chapter 8 Jordan kwa maraa nyingn anamuonaa Saraah tena akiwa amefumbuaa macho