MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*π₯°π Chapter 7 Baadaa ya Narshaa kukutanaa na kofii la Jordan, Jordan Anaondokaa na kumuachaa akiwaa
"Ivii Jordan anaujasirii gani wa kukupigaa kofi wewe kisaa mpuuzi wakee Saraah "Madam Lindaa Alisemaa huku akiwa na sura iliyo ya hasiraa.
"Hahahahh sijui anawazaa nn Ikn asijali
ntalipizaa dharau hii maraa kumii yakee Na piaa Jordan Asahau kbsa kama mm ntaachaa kumpendaa ntampenda na kumuachanishaa na Saraaaah Lindaa Usijall check Game lilivyo hahhaha Mimi Ndo Narshaa The Only Living Killer" Narshaa alisemaa huku akitoaa tabasamuu na kicheko cha dharauu sanaa.
Wawili hawaa wanaondokaa. Mdaa unakwendaa sanaa, Jordan anaonekana akiwaa amesharudii kazini kwake. Akiwa Kazini Mwakee Akili yakee yote inaonekana kumuwaza Saraaah kbsaa.
"Daaah nmekumiss sanaa Saraah. Lakini Muda si pundee Jordan Anapokea Simu na Mtu anayempigiaa ni namba iliyoseviwa Doctor. "Habari Doctor vp kunaa taarifaa zzt Saraah tupo salama kweli". Jordan Anasema.
"Ondoaa Shaka kbsaaa mambo yanaendaa sawaa lkn hap kuna Daktari kafika kwa ghaflaa na anashughulika na hili tatizo kama uko karibu basi naomba uwahi kufikaa" Doctor yule alisema.
Kwa haraka sana Jordan alipandaa gari lake na kuondokaa alipofikaa Ofisin Mule Hospitalini aliendaa kuonana na yule dactarii ambaye aliaambiwa.
"Karbu sanaa Mimi ni doctor Abdulh nipo
hapaaa kukusaidiaa kumtibu mgojwa wako
kwahiyo ondoaa shaka Daktari yulee alisema. Jordan alionekanaa kushtuka kutokana na lile jina Ikn anaonekana kupotezea na kuendeleaa kuzungumzaa na yule Daktari Mambo Mengi kuhus hali ya Saraah na nmna gani atasaidiwaa ili apone kbsaa. Daktari yule alimalizaa kwa kusema kwahiy Saraah anaitajiwa operation ambayo inaweza kumsaidia kbsaa ili tusijee kumpotezaa. Form za makubaliano ya Operation yakafanyikaa kbsaa na kuishaa hatimayee operation ilipangiwaaa mdaa wa kufanyikaa.
Mda ulifikaa na operation III anzaa ambayo ilikuwaa ngumu sanaaa na ilifanyikaa kwaa masaa 6 Baada yaa Operation kukamilikaa madaktarii walijipongezaa sana.
"Usijali Jordan Ataponaa kabisa Tumuachee apumzikee kwa huu mda yule Daktari Abdulh alisemaa.
Jordan alioneshaa kutikisa kichwaa kwa isharaa
ya kukubalianaa na kilichosemwa. Gizaa liliingiaa lakini Jordan aliamuaa kulala pembeni ya Saraah katika kitandaa chakee. Upandee wa Narshaa Anaonekana kupokea simu ya mtu ambaye anamwambiaa "Operation imekamilika boss kwahiyo usijali mambo yanaendaa sawaa kbsa kama yalivyopagwaa" Taarifaa hiyo inamalizwa kusemwaa na simu inakataaa.
Upande wa Jay Anaonekana akiwaa na tumaini kubwaa la Saraah kupona baada ya operation ilee. Jay akiwaa amekaa akitazamaa njee alishangaa kuonaa gari la Madam Lindaa likiwaa linatokaa njee ya geti. "Mmmh anaenda wapi ucku huu au kumsalimiaa Saraah hospitalini". Lkn Jay Anaonekanaa kuwaa na mashaka sana na Madm Linda ndipo anapoamuaa kumpigiaa Jordan na kumuelezaa kilaa kituu.
"Mmmh naombaa umfatiliee sanaa na ujuee anaendaa wapili "Jordan alisema huku jicho lotee likiwa kwa Saraaah. Jay anaamuaa kuwashaa garii lake na kumfutaa nyuma anapofikaa sehem alipofika madam Lindaa Jay anashaangaa sanaa tenaa sanaa kuonaa kuwaa Lindaa na Narshaa wakiwaa wote nikitu kimojaa. Jay anawazaa kumpigiia simu Jordan Ikn anaonekana kubalisha mawazo yake. Ucku unapita na ni Asubhi nyingine kbsa. Jordan akiwa amelala katika ubavu wa Saraah,
Saraah anaonekaa kuwaa ni mtu wakwanzaa kbsaa kuamkaa Anapoaamka na kumkutaa Jordan pembeni yakee anapigaa kelele sana kwa mshitukoo mkubwaa ambao unapelekea manurse walio kuwaa karbu wamuitee Dactarii. Jordan kwa maraa nyingn anamuonaa Saraah tena akiwa amefumbuaa macho.
Wawili hawa wanakumbatiana kwaa Furahii Sanaaa, Jordan anaamuaa kumtaarifuu Jay Na wafanyaa kazii wa kulee Ofisini Ikn kwa makusudii kbsaa hampitaarifa madam Linda na Narsha piaa.
Daktarii huyu anaonekana kufurahii kuonaa Saraah akiwa mzimaa kbsa
Wakiwaa katika mazumgumzoo yao Daktari anaombwaa kujitambulisha na Saraah kwa maan alisifiwaa sanaa na Jordan juu ya tiba
yake.
"Hahah sawaaa Saraaah najitambulishaa ata usijali." Alisemaa Daktari Yule..
"Kwa majinaa mm naitwaa Abdulh Ramadhan"
Daktari alisemaa. Baada kutaja lilee jinaaa huwez Amini Saraa alipata nguvu ya kusimama kabisa maana rafiki ake aliitwaa Abdulh Ramadhan piaa Jordan plaa Alipataa nguvuu ya harakaa ya kusimama maake hili jinaa nilakwake na hapo limefikajee?? Hawaja kaa Sawa mlango unafunguliwa anaingiaa Nasraa na Madam Lindaa Wakiwa na Mauaa Wakubwa Ya Pole.. Na Dakikaa kama mojaa Anaingiaa Jay ambaye na yeye anashaangaaa kumkutaa Narshaa Na Madam Lindaa maana hawakupewaa taarifaal wamejuwajee sasaa,
Haahaha Vipi Itakuwajee Saraah Atafanyaa nn Maan mpk sasa hivii Hamjui Rafiki yakee wa utotoni ni nani na dactari kajitambulishaa kwa jina la yule mtoto, pia Jordan anashaangaa kwann jinaa lake litumikee hapo badoo
anashngaa watu ambao hakuwapa taarifaa ya Saraah ndo wamekuwaaa wa kwanzaa kufika ΠΏΠ° nan kawapaaa mwaliko huoo. Patamu sanaa
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi