*MTAMU TOKA UTOTONI, SIKUACHI*π₯°π *SEHEMU YA KUMI NA SITA* Ghaflaa Hali Ya Saraah Inaonekana Kubadilika kabisaa, Mda huo huo Jay
"Mmmh kunaa nn tenaa hapaa duuuh yaaan hiii ofisinii ni shidaa tu ase "Jay anasemaa yote hayo uku akisogeaa karibu sanaa ili kuelewa ni jambo gani linaloendeleaa hapo.. Mdaaa huo Boss Jordan hanaa Hataa Haraka
yyt kbsaaa.
Saraah anazidii kujisikiaa vibayaa na anaamuaa kukimbiaaa katikaa washing Tablee iliyom kuwa mulee Ofisini Anapofikaa Saraah Anatapikaa sanaaa na Kushika tumbo lakee.
Watu wotee wanaonekana kubaaa hasaa Madm Narshaa na Lindaaa.
Lakini kwa upande wa Jordan Anaonekanaa kuwaa na tabasamu saanaa kbsaa.
"Jordan hi hi hi hiyoo ni mi mi mbaa yaa kwako au yaa naaan ?"Narsha Anasemaa hayoo yote huk akiwa na kigugumizi kikubwaa sana..
Madam Lindaa naye anaanza kugombaa sanaaa maan hataa aelewiii kabisa
"Jordan Saraaah Anamimbaa yako Ya Nan niambie nijuee""Madam Linda Alisema. Doctor Abdulh naye alikoswa ham kbsa maan alikodishwa kutoka mbali ili kujaa kujifanya Abdulh wake wa utotoni na kumpata Saraah Ikn sasa na yeye anashangaa anapomuonaa Saraaah kuwaa kamaa anamimba.. Lkn Jordam Alikuwaa hataa hana haraka na waoo Jay Piaa Alikuwaa anachekaa tuu akisubirii jibu la mwisho ni lipi kuhusu Saraaah. Baada Ya Kuzozanaa sanaa Jordan Alisema na kutembeaa mpk palee alipokuwa Saraaah. "Ni Mdaa Sasa Nimekuaa na Ni Na Haki Ya
Kuchaguaa Chcht Piaal Saraah Ndiye Mwanamkee Ni Naye Mpendaa Sanaa Na Zaidii PlΓ Saraah Anaujauzito Wanguu "Jordan Alisemaa.
Jay Na Mr Poul Walitabasamu Kabisaa Huku Wakipigaa Makofii na kushangiliaaa kwa furaha Wakisemaa"Wooooyoooooo woyo woyo Hahhahah"llikufurahaa kwao sanaa Ikn Mdaa Huo Narshaa hana Hamu kbsaaa Yaan. Jordan Akiwaa Karbuu Na Saraaah Anampigiaaa Gotili Na Kuchukuaa Mkono Wa saaraah Na
kuumvalishaa petee.
Watuu Baadhi walioneshaa uchangamfuu mkubwaa lakin Kwa Narsha, Madam Lindaa na Dr Abdulh kiukweli iyoo siku ilikuwa mby sanaa kwao kiasi kwambaa Narshaa Alitoaa machozii ya maumivuu ya moyonii.
Saraaah Alishangaa Sana baada ya kuonaa kavalishwaa ilè petee alikuwa na furahaa sanaa na akaamuaaa kumyanyuà Jordan Na Kumkumbatiaa kwa nguvu.
"Nakupenda Sana Mumee Wanguu Saraah Alisemaa uku akitoaa machozi ya furahaa. "Nakupendaa zaidii mwanamke Wangu "Jordan Alijibu uku akionesha Hisiaa Zake Kwa Nguvu... Wachukuaa Matukio Huwa Hawakoswii Jay Na Mr Poul Walikuwaa wanarecord tukio Ilikuwaa Vibes Sanaa Asee Yaan. Baada Ya Hayo Jordan Aliamua kumsogeleΓ Mama Ake. "Mama najuaa Hujapendaa But Anza Kupenda Mama Naelewa Wewe Unafanya Yote Haya sio Kwasababu Ya Narsha Ilaa Ni kwasababu Ya Wazazi Wa Saraah Ambao Unaungomvi nao, ugomvi huwa unasamehewa Mama Ety Sawa Mama Naomba Uachane na hayo mambo hataa wazazi wa Saraah hayo mawazoo na Saraah piaa hafahamu ichil kituu plz mammy sawa "Jordan Aliongeaa Ayo Maneno kwa Uchungu sanaa Maana Anaelewaa hana Mama Na mama ake tegemezi Ndo huyu..
Siku zote kama kitu sio tabiaa yako lazimaa ukiache tuu.
Madam Lindaa Anachooamuaa Nikumbatia Mwanae Jordan.
"Nisamehe Mwananguu Kwa yote niliyofanyaa hasaa ya kukuumizaa wewe na Saraah nmekuelewaaa nafanyaa mambo mabayaa sanaaa mwanangu Jordan piaa Saraah nisameh mwanangu kwa yote nimekubali piaa uwe Mke wa Mwanang Siku zote""Madam Lindaa Alisema Huku Akimsogeleaa Saraah Piaal Nakumkumbatia piaa.
Watatu hawaa walielewanaa kbsaa, Narshaa Anaonekana kuwaangaliaa Kwa Jicho Kali. "Hahahah kumbee sikujuaa kama hata madam lindaa utanisaliti sasa naombaa tusifahamianee kwanziaa sasaa na mtajutiaa maamuzii yenu wotee ""Narshaa Alisemaa Kwa Hasiraa Sanaa Na kuondoka mahali palee lakini Anaonekana Akiwaa Anamawazo Ya kulipiza Kisasii.
Madam Lindaa alitikisa kichwaa nakusemaa "Na Kama hutaachaa Biasharaa Zako Basi Zitakuumizaa Kbsa"
Doctor Abdulh piaa aliondokaa bilaa kusema chcht sasa sijui aliwazaa nn piaa, Umojaa Wao Ulianzaa Tenaa Upyaa Kama Mwanzoo Na Mapenzi Yao Ya Dhati Pia Yalionekana Kwa wingi...
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi