Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
30 Dec 2025
47 views
VYOTE NDANI GONGA94
NI WANGU PEKEANGU epsd 10
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Baada ya kikao kuisha Vanessa alielekea ofisini kwake na kuanza kupangilia kazi zake alizopewa na na baba zakiofis alipokea message kutoka kwa Franco kuwa anaitaji leo jioni wakapate chakula chajioni kama tim moja yakazi wajadili kuhusu kazi
Vanessa hakua na chaguo aliitikia na baadae alienda nyumbani akajiandaa kisha alielekea kwenye hotel aliyokuwa ameelekezwa na alipofika alipokelewa na wahudumu kisha walimpeleka sehem ilikuwa special imeandaliwa kwa ajili yake na Franco mala alipokaa alitokea Franco akiwa avaa kapendeza na kapulizia marashi mazuri yaaani kiufupi alikuwa ananukia vizuri akakaa na kumuuliza vipi wamekusikiliza kinywaji Vanessa akaitikia ndio wananiletea
Franco alimwambia umependeza sana Vanessa
Vanessa aliitikia asante na kumjibu pia wewe umependeza
Basi Franco pia aliitiki asante hakika hakuna sifa nilikuwa naisubili kutoka kwako kama hii ya leo maana tumekuwa maadui muda mrefu
Vanessa alimwambia achana nahayo ehee tuongelee kuhusu kazi
Franco akamwambia kalibu kwenye ulimwengu mpya mrembo kila kitu nikigeni na mimi ndio mwalimu wako nitakufundisha kwa upole sitokuchapa walaa usiniogope kuuliza ndio kujifunza sio ujinga sawa mamy
Vanessa aliitikia sawa haya twende kazi
Franco akamwambia usiwe na haraka tule tunywe kila kitu utakijua
Vanessa alijibu sawa haya
Waliletewa chakula walikula na walipo maliza waliletewa kinywaji walikunywa huku wanaongelea kuhusu kazi na utani ulikuwepo hakika Vanessa alifungua ukurasa mpya wakumuamini Franco na walizoena kwa muda mfupi wakawa karibu yaani marafiki
Ilifika ilesafari yao ya kwenda kikazi mombasa alimuaga Fred bila kumwambia sikuhizi yupo kikazi na Franco na safari wapo wote hakumwambia alikuwa kimya
Walienda mombasa na kufikia hoteli walipewa vyumba tofauti ila vipo karibu waliingia usiku Franco alikuwa anamjali sana Vanessa njia nzima hadi wamefika walienda wapofika Franco alimwambia oga jiandae twende tukale chakula kunawadau tunakutana nao sawa mamy
Vanessa alijibu sawa najiandaa walijiandaa na kwenda kula walikutana na bahazi ya wafanya biasha wenzao walikuja wakala pamoja na kisha walianza mazungumzo baada ya mazungumzo walianza kupata mvinyo Franco alimwambia Vanessa kunywa usihofu nipo hapa babaako kanikabizi
Vanessa alijibu sawa nikuamini
Franco alimwambia niamini
Vanessa alimjibu sawa
Waliendelea kupata kinywaji na baada ya hapo walienda kwenye mziki walijifufurahi sana baadae waliludi Franco alimchukua nakumpeleka chumbani kwake Vanessa
Wakati anataka kuondoka Vanessa alimvuta mkono Franco nakumwambia unaenda wapi mimi nimuoga sana
Franco alimjibu siondoki nipo hapa chochote utakacho malikia wangu wa moyo akaludi na kukaaa na kuanza kumwambia hakika wewe nimrembo tena kama malaika umeuteka moyowangu upo na akiliyangu jua ni wewetuu sina mwengine Vanessa tafadhari usinitenge unavyonifanyia nisawa na mtoto kumuweka mbali na mamaake nakupenda sana
Vanessa alianza kulia na kuanza kuongea unanichanganya Franco sijawahi kukutana na mwanaume wa dizaini yako unapenda kamajini upotayari kufanya lolote kwaajili ya ukipendacho sasa mimi nitafanyaje tayari nimeanza kukupenda huku mdogoako nitamwambia nini huku analia
Franco akamziba mdomo basiii usiongee tena nimesha kuelewa kuhusu mdogoangu nilikuambia niachie mwenyewe......je watamwambia nini Fred utanata kujua endelea kufuatilia
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
AAAAH IMETOSHA BOSS ππ N0 46ππ
Moyo wangu ulianza kudata juu yaHemedπ₯Ήπ₯Ή nilijaribu kuongea nao lakini wala haukunisikia niliuambia moyo tulia hukuhuku ...
7 MPAKA 9 π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani i...
Baada ya kikao kuisha Vanessa alielekea ofisini kwake na kuanza kupangilia kazi zake alizopewa na na baba zakiofis alipokea message kutoka kwa Franco kuwa anaitaji leo jioni wakapate chakula chajioni kama tim moja yakazi wajadili kuhusu kazi
Vanessa hakua na chaguo aliitikia na baadae alienda nyumbani akajiandaa kisha alielekea kwenye hotel aliyokuwa ameelekezwa na alipofika alipokelewa na wahudumu kisha walimpeleka sehem ilikuwa special imeandaliwa kwa ajili yake na Franco mala alipokaa alitokea Franco akiwa avaa kapendeza na kapulizia marashi mazuri yaaani kiufupi alikuwa ananukia vizuri akakaa na kumuuliza vipi wamekusikiliza kinywaji Vanessa akaitikia ndio wananiletea
Franco alimwambia umependeza sana...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ni-wangu-pekeangu-epsd-10