NI WANGU PEKEANGU epsd 12.
Walianza safari kuelekea dar walipanda ndege nakuwasili dar essalam baada ya muda walichukua gari mpaka nyumbani kwa kina Vanessa kisha walishuka wote nakuingia ndani Franco akiwa kabeba mabegi yote lakwake na la Vanessa mama alipowaona alifurahi na kuwakaribisha ndani karibuni vipenzi
Vanessa alienda moja kwa moja kwa mama nakumkumbatia kisha alimbusu na kuingia ndani
Franco pia alifikana kumsalimia mama alimkaribisha karibu ndani Franco na kuingia ndani
Aliitwa dada wakazi njoo chukua begi la Vanessa na kisha mletee juice Franco baada ya muda Franco aliomba kuondoka mama akamwambia subili Vanessa msindikize Franco na gari mpaka kwao maana ndio katoka safari hana gari
Vanessa aliitikia kwa furaha sawa mama nampeleka hata usijali
Mama alishangazwa na furaha aliokuwa nayo Vanessa alitamani aendelee hivyo
Franco pia alikuwa mwenye furaha sana walitoka nakuingia kwenye gari nakuondoka walipokuwa njiani wakawa wanachokozana nakucheka sana walipokaribia kwa kina Franco, Vanessa akasema nisifike kwenu maana aina majibu na sitoweza kuvumilia hatakidogo juu yako hakika nahisi kukaa karibu yako muda wote naomba wahi upeleke begi kisha kama utakuwa na nafasi utanikuta nyumbani tutakaa pale nje au kama utapenda tutoke tukale mishikaki
Franco akamwambia sina muda humundani natoka sio muda ngoja nipeleke gari nakisha nitakupitia na gari langu wewe ludisha hilo nyumbani
Vanessa akamuomba nikubusu kisha alipombusu akaondoka nagari
Aliingia ndani Franco na kusalimia wazazi na baada ya hapo aliingia ndani na kuweka mabei na kisha alitoka tena na kuingia kwenye gari kuelekea kwa Vanessa
Alifika getini na kumpigia sim Vanessa nipo getini tafadhari mrembo wangu njoo tuondoke
Vanessa alifurahi na kumuitikia sawa mfalme wangu nakuja alienda kumuaga mama
Mama akamuuliza unaenda na nani
Vanessa akamjibu kuwa nipo na Franco usiwe na wasiwasi kuhusu mimi naenda mama akakimbia nje alifika nje na kabla hajafungua mlango alienda kumbusu Franco na kisha alienda kufungua mlango na kuingia ndani ya gari walikuwa niwatu wenye furaha sana walienda mjini kuzunguka zunguka kila sehem
Walifika sehem waka anza kucheza kutaniana na kukimbia huku na huko walifurahi sana
Walipoludi kwenye gari Vanessa alikuta misd col nyingi kwenye simu yake kutazama alikuwa Fred alihisi kuvurugwa kuona hiyo sim, Franco alipoona kuwa furaha ya Vanessa imepotea kutokana na hiyo sim akaona am chukuwa kumtoa nje na kumbusu denda kwa hisia kali sana kimfanya atoke kwenye mawazo na kisha akamwambia nataka nikupeleke sehemu ukale chakula kitamu nikulishe unaonaje kipenzi
Vanessa alifurahi na kumuitikia sawa mfalme wangu upendavyo wewe
Waliingia kwenye gari kuelekea hotel nzuri sana walikuta tayari wameandaliwa sehem yao yakukaa kumbe Franco alipiga simu hotelini na kuomba wa waandalie chajioni
Walingia nakukaribishwa kisha walipelekwa sehemu iliyoandaliwa na kuketi Vanessa alifurahi na kumuuliza kuwa ulipiga sim tuandaliwe meza
Franco akajibu nimeandaa kwaajiliyako mpenzi wangu
Vanessa akajibu oooh asante mfalme wangu kwakweli tangu niwe nawewe nimekuwa nafuraha sana sijawahi kuhisi raha kiasi hiki hakika wewe unajuwa kupenda Franco mfalme wangu wewe ndio umetawala ndani ya moyo wangu nafuraha nikiwa karibu yako na najiamini kuliko msichana mwenhine nikiwa nawewe siogopi kitu
Franco akajibu hakika unastahili kwani wewe ni malkia wa utawala wa moyo wangu nilikupenda tangu nikuone kwa mala yakwanza sitamani kukupoteza hata kidogo
Hata sekunde kwani wewe ni wakwangu pekeangu walifurahi na kuendelea kupata chakula waliinjoy kula pamoja
Walipomaliza kula walipata mvinyo na kisha waliamua kuondoka kwenye gari.........je watamjibu nini Fred kuhusu uhusiano wao je unataka kujua endelea kufuatilia
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
