Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
30 Dec 2025
49 views
VYOTE NDANI GONGA94
NI WANGU PEKEANGU epsd 13.
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Walianza safari kuelekea nyumbani kwa kina Vanessa walifika nyumbani nakisha waliagana kwa mabusu na romance zakutosha kisha waliagana na Vanessa kushuka kuelekea ndani Franco alikimbia na kumfungulia geti Vanessa alicheka na kufurahi kisha akambusu nakumwambia asante bwana mfalme
Kisha akaingia ndani na kuelekea chumbani mama alimfuata
Mama akamuuliza mwangu unafuraha sana niambie nini kinaendelea maishani mwako
Vanessa akacheka nakumjibu mama hakika nahisi napaa, au natamani nipige kelele kwa raha hizi mama nimependa kweli sijawahi kupenda hivi mama.
Mama akamjibu ninani huyo anaempa raha kama hizo bintiangu tafadhari niambie
Vanessa akajibu mama ni Franco, Franco ndio mtu anaenifanya nijisikie hivi natamani dunia hii yote tungekuwa mimi nayeyetuu
Mama akamwambia nilimuona kitambo na nilitamani umpe nafasi hatima umefanikiwa
Vanessa akajibu hakika nimeona mama nimempa nafasi kweli yeye nikama mfalme kwangu nilitamani kumtambua kitambo nahisi nimechelewa
Mama akamwambia haya sasa nikutakie usiku mwema upumzike sarama ok sawa mama
Vanessa alijibu sawa mama kisha mama alimbusu mwanae nakuondoka
Vanessa akalala alipokuwa analala simu iliita nakupokea alikuwa Franco na alikuanamfahamisha kuwa kafika nyumbani na sasa analala hivyo alimtakia usiku mwema
Kulipo kucha asubuhi Vanessa alijiandaa nakuongozana na baba
Kuelekea kazini walifika nakuanza majukumu yao ya kiofisi kama kawaida baadae walienda kwenyekikao walikutana na body ya ofisi yote kisha waliwakilisha majibu walichokifuata huko mombasa na walifanikisha kila walichokifuata hivyo body ilifurahi sana nakuwapongeza kwa kazi nzuri sana
Kikao kiliisha na waliludi kwenye kazi zao Vanessa alipoingia ofisini kwake alipokea msg kutoka kwa Fred na kumwambia leo naomba kukuona maana tangu umeanza kazi umekuwa bize mnoo hakika nimekukumbuka na Erica pia amekimis
Vanessa alijisikia vibaya hakujibu ile msg na baada ya hapo msg nyingine iliingia alikuwa Franco usiondoke na baba nitakuchukuwa mimi sawa nataka nikuibe malkia wangu uwe mtawala wamoyo wangu wewe pekeako tuuu
Akajibu Vanessa kuwa nakuhitaji mnoo kwa sasa
Franco akamuuliza kunanini kimetokea mpenzi
Vanessa akamwambia kuwa Franco nimepokea msg kutoka kwa Fred anahitaji kuniona na anadai kanimis mnoo nifanyeje mimi sielewi
Franco akamwambia usijali jitulize kwanza niko upande wako leo nitaongea na ndugu yangu kila kitu iliakae mbali nawewe sawa usihofu
Vanessa aliitikia sawa mpenzi wangu .....je unadhani atamuelewa kakaake tafadhari endelea kufuatilia
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
AAAAH IMETOSHA BOSS ππ N0 46ππ
Moyo wangu ulianza kudata juu yaHemedπ₯Ήπ₯Ή nilijaribu kuongea nao lakini wala haukunisikia niliuambia moyo tulia hukuhuku ...
7 MPAKA 9 π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani i...
Walianza safari kuelekea nyumbani kwa kina Vanessa walifika nyumbani nakisha waliagana kwa mabusu na romance zakutosha kisha waliagana na Vanessa kushuka kuelekea ndani Franco alikimbia na kumfungulia geti Vanessa alicheka na kufurahi kisha akambusu nakumwambia asante bwana mfalme
Kisha akaingia ndani na kuelekea chumbani mama alimfuata
Mama akamuuliza mwangu unafuraha sana niambie nini kinaendelea maishani mwako
Vanessa akacheka nakumjibu mama hakika nahisi napaa, au natamani nipige kelele kwa raha hizi mama nimependa kweli sijawahi kupenda hivi mama.
Mama akamjibu ninani huyo anaempa raha kama hizo bintiangu tafadhari niambie
Vanessa akajibu mama ni Franco, Franco ndio mtu anaenifanya nijisikie hivi natamani dunia hii...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ni-wangu-pekeangu-epsd-13