Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
30 Dec 2025
82 views
VYOTE NDANI GONGA94
NI WANGU PEKEANGU epsd 14.
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Muda ulifika Franco alienda kumpitia mpenzi Vanessa na kumpeleka sehemu kuenjoy kidogo ili asiboreke naile msg aliotumiwa na Fred hivyo alimjua Vanessa kuliko Fred anavyomjua anajua kuwa anahitaji nini ili afurahi anahitaji nini ili aweze kujihisi kama anavyojihisi sasa baada ya yoote akamludisha nyumbani kwao na kisha akaondoka nayeye nyumbani alipofika nyumbani alimuomba Fred watoke nje kwenye Garden wakatoka na kukaa huku waliagiza vinywaji na kuanza mazungumzo huku wanakunywa
Franco alianza Fred wewe ni nduguyangu ila kilichotokea kimetokea
Fred akauliza kulikoni kunakitu ganitena
Franco akasema nakuomba radhi mdogoangu kwakile kilichotokea
Fred akauliza nini mmefanya mpaka uombe radhi mimi ni mdogoako bwana
Franco akamwambia kuwa nilimpenda Vanessa mapema tangu nimuone nisamehe sana kaka
Fred aliuliza kaka unasema nini acha matani yako hujuitu nijinsi gani navyompenda
Franco akamwambia nikweli na wala sio utani ndio maana nilianza na samahani na nimezama kabisaa kama mtu aliezama kwenye tope
Fred alikasilika na kusimama unataka kuniambi umeshaanza na uhusiano kweli kaka
Franco alijibu nikweli niweza kumsumbu muda mwingi sana usije mlaumu yeye hatakidogo hata sikuile tulipokuwa tunakunywa chai nilimfanya apoteze kujiamini hadi akakimbia nilimwambia ukweli sikumficha na alipoenda zanzibar nilimfuuata tena na alinikimbia pia najua aliogopa kukujulisha kwani alijua tutagombana
Fred kumbe ndio ulichofanya kwangu kwanini kaka eeh siamini kama niwewe huyo umenifanyia haya
Franco akaendelea na pia nilipewa na babaake niendenae mombasa huko ndipo mapenzi yalipozaliwa katiyetu mimi na Vanessa hivyo nilikuwa wakwanza naomba umsamehe na wewe nakuomba unielewe
Fred akamwambia sijui wewe nindugu waaina gani umenizurumu nduguyako kweli hujui nimeumia kiasigani nakuchukia sana kaka na kuanzia leo wewe sio nduguyangu sitaki kukuona,
Fred aliinuka na kuwasha gari kisha alienda kunywa pombe nyingi sana wakatihuo Franco aliamua kumguatilia alivyoona kalewa sana akamchukua na kumludisha nyumbani alipofika akamuingiza chumbani kwake kumlaza nae alikwenda kulala asubuhi ilipofika aliamka na kumfuata muuhudumu wa nyumbani kumpa maagizo kuwa amtengenezee maji ya lmao ili aweze kuwa sawa maana alilewa sana usiku wa jana kisha akaondoka kuelekea kazini
Kuendelea na majukumu alipofika kazini alienda moja kwa moja ofisini kwa Vanessa akamkumbatia kwa nguvu na kisha alimbusu na kumtakia asubuhi njema tataonana kwenye chakula chamchana
Vanessa alimuuliza vipi mfalme wangu umeonga na Fred anasemaje
Franco alimjibu hilo nimesha limaliza kuwa na amani amekasilika ila hasila zitaisha sio muda sawa kuwa na amani
Baada ya kazi walitoka kama kawaida yao mapenzi yao kilasiku nikama mapya yalikuwa moto moto wakati walipofika getini kwa kina Vanessa walimkuta Fred nje anamgoja Vanessa walipo muonatu Vanessa alianza kuogopa Franco alimwambia usiogope kabisa mimi niliongea nae akashuka na Franco wote Fred alimwambia ahitaji kuongea na Vanessa pekeake wewe nenda........je unavyodhani atamfanya nini Fred je unataka kujua tafadhari endelea kufuatilia story
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
AAAAH IMETOSHA BOSS ππ N0 46ππ
Moyo wangu ulianza kudata juu yaHemedπ₯Ήπ₯Ή nilijaribu kuongea nao lakini wala haukunisikia niliuambia moyo tulia hukuhuku ...
7 MPAKA 9 π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani i...
Muda ulifika Franco alienda kumpitia mpenzi Vanessa na kumpeleka sehemu kuenjoy kidogo ili asiboreke naile msg aliotumiwa na Fred hivyo alimjua Vanessa kuliko Fred anavyomjua anajua kuwa anahitaji nini ili afurahi anahitaji nini ili aweze kujihisi kama anavyojihisi sasa baada ya yoote akamludisha nyumbani kwao na kisha akaondoka nayeye nyumbani alipofika nyumbani alimuomba Fred watoke nje kwenye Garden wakatoka na kukaa huku waliagiza vinywaji na kuanza mazungumzo huku wanakunywa
Franco alianza Fred wewe ni nduguyangu ila kilichotokea kimetokea
Fred akauliza kulikoni kunakitu ganitena
Franco akasema nakuomba radhi mdogoangu kwakile kilichotokea
Fred akauliza nini mmefanya mpaka uombe radhi mimi ni mdogoako bwana...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ni-wangu-pekeangu-epsd-14