Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
30 Dec 2025
137 views
VYOTE NDANI GONGA94
NI WANGU PEKEANGU epsd 15
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Franco alimwambia Fred hili sio kosa lake naomba ongea namimi Fred alijibu nataka kuongea na Vanessa sihitaji kuzungumza nawewe kwani wewe ninani umtetee eeh nimesema potea Franco akamshika Vanessa nakumwambia siko mbali ongea nae hawezi kukudhuru ok basi alijifanya anaondoka nakujificha sehem kidogo
Fred alianza kumuuliza Vanessa kuwa tangulini umenidanganya juu ya uhusiano wako na Franco
Vanessa alikaa kimya kidogo kisha akamjibj sijakudanganya huu usiano hauna muda tangu niende mombasa ndio ulipoana
Fred alimuuliza tena tangu lini Franco anakutaka hujaniambia
Vanessa akajibu hapo nilihofu kukijulisha hivyo niliona nipunguze kuja kwenu na niache mazoea
Fred akamuuliza mbona umeamua kunisaliti na nduguyangu sio mwengine
Vanessa akajibu sikupanga kukusaliti bali hakika nilivumilia sana usumbufu wa Franco ila mwisho nilinasa na usema ukweli anajua nini mwanamke anapenda anajua kutumia muda mwingi kuwa karibu na mpenzi wake
Fred akakasilika nakusema hivyo unanifundisha kuwa sikujua nini unapenda sio
Vanessa akamjibu laah simaanishi hivyo nisamehe ila kwasasa ninampenda sana utanisamehe Fred wewe sio mtu mbaya
Fred akamwambia ok nimeelewa haya nikutakie safari njema ya mapenzi mapya niwatakie mema nakisha alienda kuongia kwenye gari yake nakuondoka
Franco alikuja haraka nakumkumbatia kwanguvu basi yameisha baby sawa eeh sawa
Vanessa akajibu sawa mfalme wangu
Franco akamfungulia mlango aingie ndani nayeye akaludi kwenye gari nakuondoka nyumbani
Alimkuta Erica na kusalimiana nae kisha mama alitikea vipi mwanangu sikuhizi umekuwa bize sana sijui hata unakulakweli
Franco akamjibu nikovizuri mama nakula vizuri usihofu tayari nimesha kuwa mkubwa naweza kujisimamia
Baada ya hapo aliingia chumbani kwake kupumzika palipokucha alimuuliza muhudumu wapale nyumbani Fred kaludi saangapi
Muudumu alimwambia kuwa Fred aludi asubuhi yuko chakari napombe
Franco akamwambia mtenge nezee maji yalimao kama nilivyo kuambia
Aliwasha gari nakuondoka kuelekea kazini alipofika kama kawaida yao alienda ofisini kwa Vanessa na kisha alimkumbatia nakumbusu kisha alimtakia asubuhi njema
Walikuwa nafuraha sana walitoka na kuendazao mida ya jioni na baadae alimludisha Vanessa nyumbani mama Vanessa alimuona Franco na kisha alijisemea ngoja niandae chakula cha jioni wike end moja
Siku ilifika Franco anampango wa kumtambulisha Vanessa kwa mama na babahivyo avishwe pete
Alikaa na Vanessa walilijadili hilo na kukubaliana wakaanda chakula cha jioni pamoja waende......je wazazi wataelewa uamuzi wa Franco unataka kijua endelea kufuatilia simulizi hii yakusisimua
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
AAAAH IMETOSHA BOSS ππ N0 46ππ
Moyo wangu ulianza kudata juu yaHemedπ₯Ήπ₯Ή nilijaribu kuongea nao lakini wala haukunisikia niliuambia moyo tulia hukuhuku ...
7 MPAKA 9 π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani i...
Franco alimwambia Fred hili sio kosa lake naomba ongea namimi Fred alijibu nataka kuongea na Vanessa sihitaji kuzungumza nawewe kwani wewe ninani umtetee eeh nimesema potea Franco akamshika Vanessa nakumwambia siko mbali ongea nae hawezi kukudhuru ok basi alijifanya anaondoka nakujificha sehem kidogo
Fred alianza kumuuliza Vanessa kuwa tangulini umenidanganya juu ya uhusiano wako na Franco
Vanessa alikaa kimya kidogo kisha akamjibj sijakudanganya huu usiano hauna muda tangu niende mombasa ndio ulipoana
Fred alimuuliza tena tangu lini Franco anakutaka hujaniambia
Vanessa akajibu hapo nilihofu kukijulisha hivyo niliona nipunguze kuja kwenu na niache mazoea
Fred akamuuliza mbona umeamua kunisaliti na nduguyangu...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ni-wangu-pekeangu-epsd-15