Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
16 Dec 2025
120 views
VYOTE NDANI GONGA94
NI WANGU PEKEANGU epsd 4. Fred aliwapeleka Erica na Vanessa
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
kwenye kazizao walikuwa wanafanya shoo sikuhiyo usiku hivyo alipowaacha wakiwa anajiandaa maandalizi kwa ajiliya shoo Fred alimwambia Vanessa ataludi kuwaona wakifanya fansheni shoo
Vanessa akamwambia sawa mpenzi wangu
Badae walipoanza shoo Fred alikuja na Franco pamoja na France walifurahi kuwaona Vanessa na Erica kwenye shoo wakiwa warembo mnoo na walivutia sana pale kwenye jukwaa
Baada ya shoo kuisha walifurahi pamoja na walitoka pale wakaelekea nyumbani Erica na kakazake pamoja na rafikiyake Vanessa
Walipofika nyumbani Fred aliingia na Vanessa chumbani kwao baada ya muda Vanessa alitoka chumbani alikuwa anaelekea jikoni akitaka maji yakunywa alipokuwa jikoni alikutana na Franco naye alikuwa kaja kunywa maji alifurahi kumuona Vanessa
Akaanza kwa wow mrembo wangu karibu nilitamani hii nafasi ili nikupe sifa zako
Vanessa akamwambia hivi utaelewa lini kuwa mimi nichumba wa kakaako acha kunisumbua warembo mbona wapo wengi
Fred akasema sitoruhusu hilo kwani wewe niwangu mimi na utaelewatuu
Vanessa akasema mimi sio wako na futa huo ujinga wako
Fred alimvuta na kuramba denda kwa nguvu na alivyona nguvu Franco nimkaka mwenye mvuto na muonekano kifua chenye miraba na mvuto kwa hakika hata mabinti wanapenda muonekano wake ila Vanessa alikuwa hamtaki kabisa lakini Franco alijiapiza iwe isiwe nirazima ampate yeye
Vanessa alijichomoa mikononi mwa Franco nakumchapa kofi kisha alienda chumbani kwao na Fred na alipoingia hakuonyesha ishara yoyote kuwa kunajambo limetokea hivyo aliingia nakupanda kitandani kulala Fred alimkumbatia na wakalala hatimae siku nyingine tena Vanessa alitoka akiwa kapendeza sana na kuongozana na Fred kwenye chakula walikuwa wanaamani mnoo
Walikaa pamoja na nduguzake Fred akiwemo Franco na Erica pamoja na mama yao baba na France
Walikuwa na furaha kula pamoja wakati wanakula Franco alinyoosha mguu na kumminya Vanessa mguu Vanessa alikasilika sana na kusema yeye kashiba kisha aliinuka na kuelekea chumbani wakati anaondoka Franco pia aliinuka na kumfuata moja kwa moja............je nini kitatokea huko endelea kuifuatilia hadithi nzuri
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana...
NI WANGU PEKEANGU epsd 4. Fred aliwapeleka Erica na Vanessa
kwenye kazizao walikuwa wanafanya shoo sikuhiyo usiku hivyo alipowaacha wakiwa anajiandaa maandalizi kwa ajiliya shoo Fred alimwambia Vanessa ataludi kuwaona wakifanya fansheni shoo
Vanessa akamwambia sawa mpenzi wangu
Badae walipoanza shoo Fred alikuja na Franco pamoja na France walifurahi kuwaona Vanessa na Erica kwenye shoo wakiwa warembo mnoo na walivutia sana pale kwenye jukwaa
Baada ya shoo kuisha walifurahi pamoja na walitoka pale wakaelekea nyumbani Erica na kakazake pamoja na rafikiyake Vanessa
Walipofika nyumbani Fred aliingia na Vanessa chumbani kwao baada ya muda Vanessa alitoka chumbani alikuwa anaelekea jikoni akitaka maji yakunywa alipokuwa jikoni alikutana na Franco naye alikuwa kaja...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ni-wangu-pekeangu-epsd-4-fred-aliwapeleka-erica-na-vanessa