samahani kama ninakuudhi Vanessa ukweli huuoni huku akiwa anatokwa na machozi na kusema kuwa unajua nakupenda sana sana kwanini hunielewi Vanessa
Vanessa akamwambia hivi Franco unani jamani mbona unanifanyia hivi mimi sasa hivi ni nini sasa
Akamiinua na kumwambia naomba kaa na nikuulize
Akamuuliza utamwambia nini Fred ikiwa akijua kuwa unanipenda
Franco akajibu huyo niachie mimi kwanza naomba unikubale hakika hutojuta kuwa namimi nitakufanya uwe mwenye furaha sana
Vanessa akamwambia Franco usiwe hivyo sasa nitafanyaje mbona unanifanyia hivyo naomba niende ndani nikafikili nitakujibu
Franco alimluhusu Vanessa na kuondoka kwenda chumbani kwake
Kisha aliinuka nakuingia chumbani kwake na yeye
Asubuhi ilipo fika Franco alitoka nakuelekea kupata chai alisubili Vanessa hakumuona akaona aende kumhongea chumbani kwake aligonga nakugonga lakini kimya alitokea muhudumu akamwambia huyu dada alisha ondoka alfajili ya leo ameenda zake
Alitoka mbio kuelekea bandalini huenda angemkuta ila hakumuona aliludi hotelini kuchukua vitu vyake na kuanza safari nayeye yakuludi dar
Alipofika dar alimpigia sim Vanessa na kumuuliza mbona umenikimbia upowapi Vanessa akamwambia sijakimbia nipo huku hukuzazibar nimehama tu hotel
Franco alichukia mbona nimeambiwa umeondoka akamjibu ndio niliondoka ila nilihama hotel tuu naludi kesho kutwa
Franco aliludi nyumbani kwao na kumwacha.
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.
Maoni