Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Upande wa Alberto alikasilika sana maaan nimemuacha na mihisia kedekede ,ila akavunga tu hasira zake .
Siku zikaenda Mimi silali nae Wala Nini yeye anachumba chake na Mimi Nina changu.
Sikuiyo ,ndo kwanz naaamka namuona mtu kaja chumbani kwangu akachukua nguo za mazoez nikaamua nimuulize vp unaend wap akasema mazoezn .
Nikamuomba na Mimi niende nae , obviously alikataa ila kwa nilivo king'ang'a pro max adi akakubali .
nikachukua kitop cha purple na kibukta chae tukiwa mazoezin akawa ananifundisha kupigana .
Tukawekeana damu nikimpiga Kofi la makalio ananifundisha kutumia bunduki ,
kazi ikaanza kasheshe ya kwanz yeye ni mrefu sana kuliko Mimi .
Sasa Kila nikiend akiniskuma tu Mimi Chali adi chini ππ.Nikaona huu ujinga bila kutumia braini nanasa apapa
Nikaamua kumfuata Kwa mapozi na kumtega kwanz nikaichana Ile kamtula kidogo nilivofanya ivo tu akaanz kushangaa .
Nikamfata nikaanza na kumshika kifua nikashuka adi kiunoni alivozubaa tu kidogo nikampiga bao la makalio πππππππππππ .kwa namna iyo nikawa nimeshinda .
Bila hiyana kwakuwa aliniahidi akaanza kuelekeza mwanzo nimgumu maaan nilivunja vioo vya nyumba ya mlinz Kwa lisali karibia vyote π .
Ila mwishowe nikaweza .
Itaendelea ...
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MY WANGUβ€οΈ sehemu ya 69 na 70
Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana...
7 MPAKA 9 π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani i...
Upande wa Alberto alikasilika sana maaan nimemuacha na mihisia kedekede ,ila akavunga tu hasira zake .
Siku zikaenda Mimi silali nae Wala Nini yeye anachumba chake na Mimi Nina changu.
Sikuiyo ,ndo kwanz naaamka namuona mtu kaja chumbani kwangu akachukua nguo za mazoez nikaamua nimuulize vp unaend wap akasema mazoezn .
Nikamuomba na Mimi niende nae , obviously alikataa ila kwa nilivo king'ang'a pro max adi akakubali .
nikachukua kitop cha purple na kibukta chae tukiwa mazoezin akawa ananifundisha kupigana .
Tukawekeana damu nikimpiga Kofi la makalio ananifundisha kutumia bunduki ,
kazi ikaanza kasheshe ya kwanz yeye ni mrefu sana kuliko Mimi .
Sasa Kila nikiend akiniskuma...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/nilivyompa-mafia-boss-bikra-yangu-sehemu-ya-7-nikaondoka-bila-kujua-nimemuchaje-mkaka-wawatu