Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
06 Nov 2025
442 views
VYOTE NDANI GONGA94
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 13 Niligeuka kwa uoga pole pole nilishangaa kumuona Swaumu
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
akiwa kachakarika. Unajua ndugu msomaji mimi na zuri tumechakarika lakini sio kama Swaumu. Yeye kachuja mwenzetu alivyokuwa na karangi baaasi kawa wa kijani. Sikutaka kumsikiliza nikamuomba namba yake akanipa kisha nikamwambia nitamtafuta.
Nilifika hospitali, nikakabidhi vifaa na matibabu ya Zuri yakaanza haraka. Zuri alijifungua salama lakini hakuweza kuendelea kuishi. Msomaji Zuri alikufa akaniachia kitoto chake cha kike. Zuri aliambiwa na daktari kabla kama akitunza ujauzito huu atapoteza maisha au mtoto. Zuri hakutaka kuutoa ujauzito wake, aliulea na matokeo yakawa hayo.Tulifika nyumbani, na mwili wa Zuri, huku bi Ngere kamshikilia mtoto. Majirani nao pia walinishika maana nilikuwa kama zezeta hivi.
Baada ya msiba, nilianza kuwaza jinsi nitaendeleza kazi nipate maziwa ya kumpa mtoto yule. Bi Ngere, hakutaka kuniacha peke yangu. Aliniambia mtoto niwe namuacha kwake halafu nikitoka kazini nampitia. Nikawa nafanya hivo. Mtoto yule nilimpa jina la mama yake, Zuri maana walifanana sana.Miezi miwili baadae na mimi nilijifungua kitoto cha kiume. Kutokana na muonekano wake na rangi bi Ngere alijua tu kama sio wa kiafrika. Nilimwambia kila kitu na nikampa jina la Raghav. Ilibidi niache kazi kwa muda sasa. Hadi zuri akafikisha miezi 8,na Raghav akiwa na miezi 6.Nikaanza kazi. Watoto hawakusumbua maana niliwapa maziwa yakutosha na kuhakikisha wako kwenye muonekano mzuri sana.
Siku moja bana nikiwa nafanya usafi kwenye makochi yangu,nikaona kile kikaratasi nilichopewa na Swaumu siku zile. Nikakichukuwa nikaamua kumpiga kwenye namba ya marehemu Zuri.
"hello
"hey nani anaongea?
"ni mimi Ney,nadhan na wewe ni Swaumu uliwahi kunipa namba siku zile"
Basi Swaumu aliomba sana tuonane .Nikamtafuta tukaonana tukakaa kwenye mgahawa ili tuzungumze zaidi.
"mh nakusikiliza Swaumu"
"πNey najua nilikukosea sana tena sana. Lakini nimelijua kosa langu na ndio maana nakuja kukuomba msamaha. Nilikupa namba muda mrefu ila umenitafuta leo tafadhali nisameheππ"
"Swaumu,mi nishakusamehe muda mrefu sana. Na pia kuwa na amani tu. Siku ile hatukuweza kuongea kwasababu nilikuwa naharaka ya kwenda hospitali Zuri alikuwa anajifungua. Lakini hakuweza kuishi kutokana na maradhi aliyoku nayoπͺ"
"jamani Zuri πnani atanipa msamaha wako sasa "
Swaumu aliendelea kulia ila mimi nilimnyamazisha. Akaniambia kuwa hajafanikiwa kupata ujauzito baada ya kutoa ule wa awali. Na pia Simon alimuoa Mwaju baada ya kuona mimi siwezi kuzaa.
Nilimuonea huruma sana Swaumu. Pia aliniambia Simon alifukuzwa kazi pale baada ya kugundulika ni mwizi wa pesa. Kwasasa ni fundi sim. Tukiwa pale nilisikia naitwa na mtu tena kwa mshangao sana.
"Neyπ³!"
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MY WANGUβ€οΈ sehemu ya 69 na 70
Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana...
7 MPAKA 9 π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani i...
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 13 Niligeuka kwa uoga pole pole nilishangaa kumuona Swaumu
akiwa kachakarika. Unajua ndugu msomaji mimi na zuri tumechakarika lakini sio kama Swaumu. Yeye kachuja mwenzetu alivyokuwa na karangi baaasi kawa wa kijani. Sikutaka kumsikiliza nikamuomba namba yake akanipa kisha nikamwambia nitamtafuta.
Nilifika hospitali, nikakabidhi vifaa na matibabu ya Zuri yakaanza haraka. Zuri alijifungua salama lakini hakuweza kuendelea kuishi. Msomaji Zuri alikufa akaniachia kitoto chake cha kike. Zuri aliambiwa na daktari kabla kama akitunza ujauzito huu atapoteza maisha au mtoto. Zuri hakutaka kuutoa ujauzito wake, aliulea na matokeo yakawa hayo.Tulifika nyumbani, na mwili wa Zuri, huku bi Ngere kamshikilia mtoto. Majirani nao pia walinishika maana nilikuwa kama zezeta hivi.
Baada ya...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/penzi-la-kijana-wa-kihindi-sehemu-ya-13-niligeuka-kwa-uoga-pole-pole-nilishangaa-kumuona-swaumu
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi penzi-la-kijana-wa-kihindi-sehemu-ya
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 15 Alinisogelea kabisa na kunishika mikono huku akiliita jina langu na machozi ya furaha yakamtoka
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 10 Kwa kweli hali niliyo kuwa nayo sikutaka hata kumjibu,alimaliza akaondoka.
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 12 Hapo sikusubiri masimango na kudhalilika kwa zaidi, maana jibu alilotoa
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 17 - 18 Mohan alitoka nje ili mkuu wa shule asijue chochote
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 16 Niliwabembeleza watoto wakakubali kula japo kwa mbinde sana
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 11 Kwanza nilijitoa mikononi mwa Mohan. Kisha familia ikatusogelea. Mama Mohan aliuliza kwa mshangao sana. "nini hiki Mohan?" "mama mimi siwezi
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 19 - 20 Baada ya cake kuletwa watoto wangu wote walisogea, birthday boy
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 8 Nilikimbia ndani kwa Zuri na kujifungia. Aliyekuja
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 7 Niligandaa baada ya kumuona Zuri akiwa mbele na Simon akiwa nyuma yake
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 9 Mwenzenu picha zilikuwa zile ambazo tulipigwa na Mohan