Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
07 Nov 2025
598 views
VYOTE NDANI GONGA94
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 15 Alinisogelea kabisa na kunishika mikono huku akiliita jina langu na machozi ya furaha yakamtoka
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
. Unajua msomaji alikuwa nani?ni Simon. Kwanza nilijikung'uta asiendelee kuishika mikono yangu. Halafu nikarudi nyuma kama hatua mbili hivi.
"Ney usifanye hivo kumbuka sisi ni.."
"mimi na wewe hatuna kumbu kumbu yeyote. Acha kujizima data "
"Simon unaakili kweli au? unawezaje kumtamani ex wako nikiwa mbele yenu?"
Msomaji eeeh sikutaka kuendelea kuwatazama nikaingia hadi kwenye ofisi ya mkuu wa shule. Nikauliza kiasi cha pesa nachodaiwa nikaambiwa tayari kimelipiwa na aliyelipa ameacha card number. Basi nikaipokea nakujua ni Raj.Nikaenda zangu nyumbani kuendelea na shughuli zangu. Raj akafika, nikampokea kisha tukakaa.
"Ney unajua umezidi kuwa mzuri ety!"
"umeanza matani yako! uzuri utoke wapi na kuni zinatuchoma macho kila siku"
"bana hapana ila unataka mwenyewe nilikwambia kabisa achana na hii mambo nikupangishie sehemu nzuri ukae na watoto na kazi pia utabadili"bi Ngere nae alipasisha wazo hilo. Mi nikakubali kwa sharti kama bi Ngere atakubali kuhama na sisi. Basi nae alikubali.
Tulipanga siku tukahamia na watoto pia Raj aliwahamisha shule. Akawa anawapeleka na kuwarudisha huku nyumbani akibaki bi Ngere na housemaid wetu. Mimi nilijifungulia kiduka cha vipodozi. Tuliishi kwa raha nyingi sana tulizoeana na Raj hadi bi Ngere akatamani Raj aniowe. Ila mimi na Raj tulikataa kabisa na kuendelea kuishi hivo. Siku moja tukiwa mezani Zuri na Raghav walikuwa wamenuna na hawataki kula.
"Zuri ehehe we Raghav kwanini hutaki kula?"
mom,we will eat but before answer our question"
hapo ndugu msomaji ka kizungu kalikuwa kameanza kusogea kutokana na jinsi watoto walikuwa wakiongea nawasikiliza. Baada ya maneno yao hayo, tulitazamana sana na bi Ngere kisha wakarudia.
"grandmaa, kila siku hua unatwambia ukweli humuweka mtu huru,haya mom baba yetu ni nani? maana kila siku unasema uncle Raj si baba yetu. baba yetu ni yupi?"
Msomaji nilishtuka sana. Hivi hawa watoto wanajua nimepitia nini hadi kuwalea? hasa huyu Raghav. Nilipatwa na hasira nikataka kufoka lakini bibi yao alinipa ishara ya kunyamaza.
"haya wajukuu zangu, hivi mmefikiria nini hadi muulize swali kama hilo?"
"kwasababu shuleni kuna rafiki yetu anaitwa Sham. Amesema nimefanana na baba yake"
Tobaaaa toba watoto wanataka kuzua mabalaa jamani. Huyo mtoto Sham katokea wapi. Hapo nilipanga asubuhi niende kumuona huyo Sham na nipate kumuuliza maswali kuhusu huyo baba yake.
Itaendelea........
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MY WANGUβ€οΈ sehemu ya 69 na 70
Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana...
7 MPAKA 9 π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani i...
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 15 Alinisogelea kabisa na kunishika mikono huku akiliita jina langu na machozi ya furaha yakamtoka
. Unajua msomaji alikuwa nani?ni Simon. Kwanza nilijikung'uta asiendelee kuishika mikono yangu. Halafu nikarudi nyuma kama hatua mbili hivi.
"Ney usifanye hivo kumbuka sisi ni.."
"mimi na wewe hatuna kumbu kumbu yeyote. Acha kujizima data "
"Simon unaakili kweli au? unawezaje kumtamani ex wako nikiwa mbele yenu?"
Msomaji eeeh sikutaka kuendelea kuwatazama nikaingia hadi kwenye ofisi ya mkuu wa shule. Nikauliza kiasi cha pesa nachodaiwa nikaambiwa tayari kimelipiwa na aliyelipa ameacha card number. Basi nikaipokea nakujua ni Raj.Nikaenda zangu nyumbani kuendelea na shughuli zangu. Raj akafika, nikampokea kisha tukakaa.
"Ney unajua umezidi kuwa mzuri ety!"
"umeanza matani yako! uzuri utoke wapi na kuni zinatuchoma macho kila...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/penzi-la-kijana-wa-kihindi-sehemu-ya-15-alinisogelea-kabisa-na-kunishika-mikono-huku-akiliita-jina-l
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi penzi-la-kijana-wa-kihindi-sehemu-ya
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 10 Kwa kweli hali niliyo kuwa nayo sikutaka hata kumjibu,alimaliza akaondoka.
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 12 Hapo sikusubiri masimango na kudhalilika kwa zaidi, maana jibu alilotoa
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 17 - 18 Mohan alitoka nje ili mkuu wa shule asijue chochote
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 16 Niliwabembeleza watoto wakakubali kula japo kwa mbinde sana
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 11 Kwanza nilijitoa mikononi mwa Mohan. Kisha familia ikatusogelea. Mama Mohan aliuliza kwa mshangao sana. "nini hiki Mohan?" "mama mimi siwezi
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 19 - 20 Baada ya cake kuletwa watoto wangu wote walisogea, birthday boy
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 13 Niligeuka kwa uoga pole pole nilishangaa kumuona Swaumu
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 8 Nilikimbia ndani kwa Zuri na kujifungia. Aliyekuja
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 7 Niligandaa baada ya kumuona Zuri akiwa mbele na Simon akiwa nyuma yake
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 9 Mwenzenu picha zilikuwa zile ambazo tulipigwa na Mohan