Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
08 Nov 2025
514 views
VYOTE NDANI GONGA94
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 16 Niliwabembeleza watoto wakakubali kula japo kwa mbinde sana
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
. Asubuhi nilimpigia sim Raj nikamwambia asije kuwachukuwa watoto nitawapeleka na kuwarudisha peke yangu. Raj alikubali hata hivo alisema kuwa na yeye alikuwa na safari yake ya kwenda kuchukuwa bidhaa asubuhi hiyo. Nikachukuwa watoto tukapanda bajaji mpaka shuleni. Nikaingia uwanjani kwao nikakaa palipo na viti vya wazazi. Zuri na Raghav waliondoka na kwenda kucheza.Nilipokuwa pale nikawaona wanarudi wakiwa wamemkamata mkono mtoto mmoja hivi wa kiume.
"mama this is our friend Sham, Sham meet my mom"
" goodmorning aunty!"
Msomaji nguvu ya kuitika nilikuwa nayo bas!nilibaki kumtazama tu.Nikashtuliwa na sauti zao wakiniita.Ndipo nikaitika nikamuuliza baba yako anaitwa nani.Kabla ya kunipa jibu nilisikia sauti ikimuita mtoto huyo kwa hasira sana.Nikajificha.Alikuwa ni Antaraπ³.Msomaji nilishangaa maana Raghav amefanana sana na Sham.Niliwasubiri hapo nione watoto watachukuliwa na nani maana wameletwa na Antara. Mida ya kurudi nyumbani aliyekuja kuwachukuwa alikuwa ni Amla . Alimchukuwa sham wakaondoka. Nilijiapiza kujua nini kinaendelea kati ya hao watu. Nikaondoka nikarudi nyumbani huku sasa nimechanganyikiwa. Bi Ngere aliliona hilo.
"emu kaa chini. Neema ,Neema we Neema emu leta maji ya kunywa !"
Nikapewa maji nikayagigida yote. Halafu ndio nimpe mkasa mzima bibi. Bi Ngere aliwaza kitu lakini hakusema ni nini. Mi nikatoka kuonana na Raj baada ya kunipa Location ya wapi nimkute. Kulikuwa ni kwenye ule ule mgahawa tulikutana mara ya kwanza.
"yani huwezi amini mtoto wa Antara amefanana sana na Raghav halafu wote wanasura ya Mohan na tabia pia"
"nalijua hilo. Ila tuachane na maisha ya nyuma nimesikia Raghav kesho kutwa ni birthday yake haya umepanga nini?"
"yani huwezi amini nilikuwa sijaanda chochote"
"haya tungefanya manunuzi mapema bana pia atawaarifu marafiki zake au sio?"
Tulitoka hapo nakupitia madukani.
Baada ya manunuzi tulipitia watoto maana walichelewa sana. Tukakuta hawapo. Tukaambiwa wamepelekwa na mama yake na Sham. Nilishtuka na kurudi nyumbani nikawakuta. Walinihug na makiss kama yote.
"mama tuliletwa na gari la kina Sham"
"ooh vizuri mwanangu"niliwaingiza ndani kisha bi Ngere akatoka na Raj. Baada ya muda Raj alitoka na kwenda nyumban kwao.Bi Ngere nae akaniita pembeni.
"haya sasa, pesa hiyo nenda kalipe michezo ya shuleni kwa watot"
Msomaji shule wanayosoma wanangu ni ya kufahari kidogo. Kuna ma toy ya watoto lakini mpaka kulipia ndio wanacheza tena tunalipia kwa wiki.Nikarudi tena shule kwa watoto maana kesho ni Jumamosi sitawakuta. Ile naingia ofisini kwa mkuu shule uso kwa uso na Mohan. Akiwa anamaliza kulipa.
Itaendelea......
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MY WANGUβ€οΈ sehemu ya 69 na 70
Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana...
7 MPAKA 9 π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani i...
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 16 Niliwabembeleza watoto wakakubali kula japo kwa mbinde sana
. Asubuhi nilimpigia sim Raj nikamwambia asije kuwachukuwa watoto nitawapeleka na kuwarudisha peke yangu. Raj alikubali hata hivo alisema kuwa na yeye alikuwa na safari yake ya kwenda kuchukuwa bidhaa asubuhi hiyo. Nikachukuwa watoto tukapanda bajaji mpaka shuleni. Nikaingia uwanjani kwao nikakaa palipo na viti vya wazazi. Zuri na Raghav waliondoka na kwenda kucheza.Nilipokuwa pale nikawaona wanarudi wakiwa wamemkamata mkono mtoto mmoja hivi wa kiume.
"mama this is our friend Sham, Sham meet my mom"
" goodmorning aunty!"
Msomaji nguvu ya kuitika nilikuwa nayo bas!nilibaki kumtazama tu.Nikashtuliwa na sauti zao wakiniita.Ndipo nikaitika nikamuuliza baba yako anaitwa nani.Kabla ya kunipa jibu nilisikia sauti ikimuita...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/penzi-la-kijana-wa-kihindi-sehemu-ya-16-niliwabembeleza-watoto-wakakubali-kula-japo-kwa-mbinde-sana
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi penzi-la-kijana-wa-kihindi-sehemu-ya
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 15 Alinisogelea kabisa na kunishika mikono huku akiliita jina langu na machozi ya furaha yakamtoka
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 10 Kwa kweli hali niliyo kuwa nayo sikutaka hata kumjibu,alimaliza akaondoka.
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 12 Hapo sikusubiri masimango na kudhalilika kwa zaidi, maana jibu alilotoa
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 17 - 18 Mohan alitoka nje ili mkuu wa shule asijue chochote
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 11 Kwanza nilijitoa mikononi mwa Mohan. Kisha familia ikatusogelea. Mama Mohan aliuliza kwa mshangao sana. "nini hiki Mohan?" "mama mimi siwezi
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 19 - 20 Baada ya cake kuletwa watoto wangu wote walisogea, birthday boy
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 13 Niligeuka kwa uoga pole pole nilishangaa kumuona Swaumu
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 8 Nilikimbia ndani kwa Zuri na kujifungia. Aliyekuja
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 7 Niligandaa baada ya kumuona Zuri akiwa mbele na Simon akiwa nyuma yake
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 9 Mwenzenu picha zilikuwa zile ambazo tulipigwa na Mohan