Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

 π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ    SEHEMU YA 19 - 20 Baada ya cake kuletwa watoto wangu wote walisogea, birthday boy
Gonga94 Β· Stories

π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 19 - 20 Baada ya cake kuletwa watoto wangu wote walisogea, birthday boy

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
alifumba macho na kuomba .
"happy birthday to you Γ—2 happy birthday dear Raghav happy birthday to you!kata cake tulee"tuliendelea kuimba hadi akazima mishumaa ile. Wakati anataka kukata cake ghafla akatokea binti mmoja na kusema.
"Raghav ulituahidi baba yako atakuwepo kwenye sherehe mbona hatumuoni?"
Raghav alikaa kimya huku akiangalia chini.
Antara akasogea mbele na kuchuchumaa mbele ya Raghav.
"oh pole sana Raghav kumbe huna baba sikujua! ila ndio hivo mama yako akiolewa utapata baba"
Mi nasikia hasira nikamfuata pale Antara.
"Antara, hayo sio maneno ya kumwambia mtoto!"
"mmmh sasa tumfiche ili iweje sasa kwanza baba wa Zuri ndio huyu hapa"
Simon alitokea. Zuri alikimbia nyuma ya mgongo wa bi Ngere na kusema.
"hapana huyo sio baba yangu!"
"oh mwanangu umekuwa sana!mama yako alinikimbia ukiwa mdogo sana!"
"Simon acha kuongea maneno hayo kwa mtoto!"
"tulia tukusaidie kuwaambia watoto ukweli"
"na je nikitaka kuonyesha ukweli na mimi?"

Hiyo sauti ilitokea mlangoni tukatazama sote. Alikuwa ni Raj. Zuri na Raghav na Sham walimfuata wakamkumbatia. Kisha wakarudi kwa uoga baada ya kuona police.
Antara alimtazama nakusema.
"ooh we ndio unadate na single maza au? hhh haya unaukweli upi? unataka kusema hawa watoto ni wako?"
hapana ila nitaonyesha ushahidi na huyu ndiye baba yao"
Raj alitoa karatasi na kumpa Antara.
"hapana!Raj nini hiki?!"
"huo ndio ukweli wote"

Mi nikaona naingiziwa usiku nikachukuwa karatasi ile.Ile nasoma jamani nakuta Sham na Raghav ni wanangu wote na ilikuwa karatasi ya DNA.
"Antara, ulimtuma Swaumu aende kuiba mtoto wa Ney hospitali. Na ukaona haitoshi ukataka kumuiba na Raghav ili uipore furaha yake. Ndio niliamua kufanya uchunguzi wa kuchukuwa nywele ya Raghav na ya Sham nikajua ukweli Kwa hiyo baba wa watoto hao ni Mohan"
"hapana sio kweli huna ushahidi!"
Swaumu alitokea nyumba akiwa na Mwaju kisha akasema.
"ni kweli!ulidiriki kunituma hata kumpiga picha Mohan na Ney na pia watoto wake ili umtishie maisha akae mbali na Mohan"

Antara alibaki kitoa macho tu.Mohan na mimi tulikuwa tunaona kama drama tu. Wageni waalikwa walikuwa kimya tu kutazama nini kinaendelea. Mwaju nae alidakia.
"Antara tuliongea kuwa tutakuwa sawa sawa kwenye mali hizi lakini ukaamua kutudhulumu .Sasa bora tumalize"

Ma afande walisogea na kumchukuwa Antara, Mwaju,na Swaumu. Waliwabeba Dadimaa na Rashmi ambae,ni mama wa Mohan,waliingia . Aliniomba msamaha na kuwakumbatia wajukuu zake.

Zuri tuliendelea kumlea bila kujua kama sisi sio wazazi wake.Mimi na Mohan tulifunga ndoa na kuanza maisha Rasmi.Now tuna watoto wa 5 maana aliongezeka dada yao mdogo ambaye ni Rashmi.Kapewa jina la bibi yake.

Raj alioa binti wa kiafrika nae alikuwa mwalimu kwenye shule la kina Raghav.
karibuni sana, mlikuwa na mimi mtunzi wenu, Simulizi za Baby smile, ubarikiwe sana dear kwa saport yako Mungu akuzidishie pale ulipotoa, karibu tena kipenzi changu nawapenda mno vipenzi vyangu πŸ₯°πŸ™.

GLORY BE TO GOD

THE END.
Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 19 - 20 Baada ya cake kuletwa watoto wangu wote walisogea, birthday boy

alifumba macho na kuomba .
"happy birthday to you Γ—2 happy birthday dear Raghav happy birthday to you!kata cake tulee"tuliendelea kuimba hadi akazima mishumaa ile. Wakati anataka kukata cake ghafla akatokea binti mmoja na kusema.
"Raghav ulituahidi baba yako atakuwepo kwenye sherehe mbona hatumuoni?"
Raghav alikaa kimya huku akiangalia chini.
Antara akasogea mbele na kuchuchumaa mbele ya Raghav.
"oh pole sana Raghav kumbe huna baba sikujua! ila ndio hivo mama yako akiolewa utapata baba"
Mi nasikia hasira nikamfuata pale Antara.
"Antara, hayo sio maneno ya kumwambia mtoto!"
"mmmh sasa tumfiche ili iweje sasa kwanza baba wa Zuri ndio huyu hapa"
Simon alitokea. Zuri alikimbia nyuma ya mgongo wa...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/penzi-la-kijana-wa-kihindi-sehemu-ya-19-20-baada-ya-cake-kuletwa-watoto-wangu-wote-walisogea-birthda

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi penzi-la-kijana-wa-kihindi-sehemu-ya
 π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ    SEHEMU YA 15 Alinisogelea kabisa na kunishika mikono huku akiliita jina langu na machozi ya furaha yakamtoka
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 15 Alinisogelea kabisa na kunishika mikono huku akiliita jina langu na machozi ya furaha yakamtoka
 π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ   SEHEMU YA 10 Kwa kweli hali niliyo kuwa nayo sikutaka hata kumjibu,alimaliza akaondoka.
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 10 Kwa kweli hali niliyo kuwa nayo sikutaka hata kumjibu,alimaliza akaondoka.
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 12 Hapo sikusubiri masimango na kudhalilika kwa zaidi, maana jibu alilotoa
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 12 Hapo sikusubiri masimango na kudhalilika kwa zaidi, maana jibu alilotoa
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 17 - 18 Mohan alitoka nje ili mkuu wa shule asijue chochote
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 17 - 18 Mohan alitoka nje ili mkuu wa shule asijue chochote
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 16 Niliwabembeleza watoto wakakubali kula japo kwa mbinde sana
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 16 Niliwabembeleza watoto wakakubali kula japo kwa mbinde sana
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 11 Kwanza nilijitoa mikononi mwa Mohan. Kisha familia ikatusogelea. Mama Mohan aliuliza kwa mshangao sana. "nini hiki Mohan?" "mama mimi siwezi

π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 13 Niligeuka kwa uoga pole pole nilishangaa kumuona Swaumu
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 13 Niligeuka kwa uoga pole pole nilishangaa kumuona Swaumu
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ  SEHEMU YA 8 Nilikimbia ndani kwa Zuri na kujifungia. Aliyekuja
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 8 Nilikimbia ndani kwa Zuri na kujifungia. Aliyekuja
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ   SEHEMU YA 7 Niligandaa baada ya kumuona Zuri akiwa mbele na Simon akiwa nyuma yake
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 7 Niligandaa baada ya kumuona Zuri akiwa mbele na Simon akiwa nyuma yake
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 9 Mwenzenu picha zilikuwa zile ambazo tulipigwa na Mohan
π—£π—˜π—‘π—­π—œ π—Ÿπ—” π—žπ—œπ—π—”π—‘π—” π—ͺ𝗔 π—žπ—œπ—›π—œπ—‘π——π—œ SEHEMU YA 9 Mwenzenu picha zilikuwa zile ambazo tulipigwa na Mohan
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❀️ sehemu ya 68

MY WANGU❀️ sehemu ya 68

545
MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70

MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70

488
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜

438
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 46πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 46πŸ’˜πŸ’˜

363
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜

193
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20

169
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 21 MPAKA 23

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 21 MPAKA 23

102
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13

89
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18

86
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11

77

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.01K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.8K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.65K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.02K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.43K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.4K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.27K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.26K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.24K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.15K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 47πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Baada ya kumaliza kupeana ule utamu wa alfajir hemed alinikumbatia tena tukalala tuliamka saa tatu za asubuhi tukaingia bafuni kuoga baada ya hapo tulipata breakfast tulivyomaliza kula nilimuaga hemed nikamwambia...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 21 MPAKA 23 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 21 MPAKA 23
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 21 Basi mie nikaendelea na vipindi na jioni sana ndo tukaludi getoo. Basi tukiwa tunaendelea na story zetu mi na lemi. Oyaaaaa kufika saa nne jsiku mtoto...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 19 MPAKA 20
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 19 Daah nikasema.mwanangu iyo chupi.nimemnunulia fatuma.natka nikampelekee si unjaua bado week 3 tunaenda likizo. Lemi akaniangalia akasema mh . Aya bwana hkuna noma.mi nikaivuta ile chupi. Nikaweka chini...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 16 MPAKA 18
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 16 Basi nikapata kaumarufu kweli kweli pale chooni. Yani ata wadada wakawa wananishobokea sana. Naomba unifundishe nifundishe kama zote. Wadada full shobo na mimi. Ata washikaji wakawa...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 46πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 46πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Moyo wangu ulianza kudata juu yaHemedπŸ₯ΉπŸ₯Ή nilijaribu kuongea nao lakini wala haukunisikia niliuambia moyo tulia hukuhuku kwa boo tayari tushasolve tatizo lililokuwepo Acha kuhamahama😟😟 lakini moyo bado ulizidi kung'ang'ania kwa...

MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 69 na 70
@majario LIVE

Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana. Yani sana tu. Na prepo ilivyoisha tukarudi darasani. Mie nikampa tu yule mwanafunzi...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° 14 MPAKA 15 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° 14 MPAKA 15
@majario LIVE

🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Sehemu ya 14 Aseee mi nilimuangalia sana uyu demu. Nikamuona jau . Yani yupo very serious ananitongoza .mnajua kuna jinsi nilimdharau . Nikaona uyu demu daaah. Alivyoona namshangaa na sijamjibu...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 12 na 13
@majario LIVE

12 MPAKA 13 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Nikasema vp mbona huniachii mkono. Akanmbia ahaa sory haji. Kisha akaachia mkono wangu. Na mda uo uo ndo lemi akawa analudi pale. Akasema ahaaa mrembo upo...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 10 na 11
@majario LIVE

10 MPAKA 11 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Aseeeee uyu demu ni mzuri bwana. Mi. Mwenyewe nilikubali. Ila sio kwamba nilimtamani no. Mi ni mwanaime ninayejielewa sana. Wanaume tuna tamani mno. Ila unakuwa na msimamo wako...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 7 na 8
@majario LIVE

7 MPAKA 9 🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑🟑 Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani ila lemi akanmbia kuna mtu anakutana nae kidogo nikasema powa so nikamuacha mimi nikaludi hostel.aseeee chuo kimechangamka iki sana. Yani...

MY WANGU❀️ sehemu ya 68 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 68
@majario LIVE

Basi akashuka. Akamsalimia mama pale. Mama akamuitikia. Akaniuliza. Ushakuwa tayari. Mie nikasema ndio . Akanmbia kachukue nilivyokwambia tupakie. Nikasema sawa. Kweli nikaenda kuchukua. Vilikuwa vidogo. Kweli. Vyengine niliviona kashanunua yeye...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 45πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

0742133100 Babie Love Niliipokea ile simu huku nikiwa natetemeka kwa uoga..... hello daddy.... pendo what's going on πŸ€·β€β™‚οΈ taarifa gani hizi nazoambiwa kwani hamkumaliza tofauti zenu inatakiwa muache drama mtakuja kunitesea...

MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

Aseeee nilikuwa na maumivu kwa kila sehemu ya mwili wangu. Nilikuwa na maumivu makali mnoo. Asa mkono . Yani sikuwa sawa kabisa. Namsikia mlige akiwa ndani .anasema yani nikitoka njeee...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

Nilikuwa najilazimisha hata kucheka mama aliniona ila akajua labda ni uoga tuu akaniambia mwanangu usijali bhana Kila kitu kutakuwa sawa na ndoa yako itapita vizuri tu nikawa namjibu kwakichwa saw,...

MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 64 na 65
@majario LIVE

Basi mie nikaingia chumbani nikajilaza kitandani.nikalia mnoo .niklia aswaaa.mana mi.mwenyewe mlige nampenda.nampenda sana.na kweli nimemkosea ila hataki ata kuongea na mie ni ananifanyia hasira tu. Basi shoga yenu nikawa nalia...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest