Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
28 Oct 2025
313 views
VYOTE NDANI GONGA94
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 7 Niligandaa baada ya kumuona Zuri akiwa mbele na Simon akiwa nyuma yake
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
. Sikusubiri chochote. Nilianza kuondoka kwa kukimbia na Zuri akawa ananifata nyuma. Nilifika mbele kidogo nikasimama na kumgeukia.
"Zuri unataka kusema nini na nimeshajionea kila kitu. Sina haja ya story"
"hapana Ney nisikilize haiko kama unavofikiria ni..."sikusubiri hadith zingine niliondoka hapo haraka. Nilielekea bar nikaanza kunywa pombe kwa fujo sana. Nikashindwa Kulipia sasa. Walianza kuniletea fujo ,wakati huo wakaona sim yangu ikawa inaita. Walinipokonya wakaikata. Baada ya muda alifika Mohan sehemu hiyo. Alilipia na akanichukuwa na kuanza kuondoka na mimi. Pombe sio chai sasa nikamuona Mohan kama Simon .
"Simon nataka uniambie sasa nini umefata kwa Swaumu na Zuri? na nataka unifanyie unavyowafanyiaga mpaka wanashindwa kukuacha"
"Naima umekunywa emu pumzika tutaongea kesho"
"weee leo hutoki hapa"nilianza kumpa denda. Mohan ni kidume bana. Alianza kunipa ushirikiano. Kumbuka ndugu msomaji Sijawahi kushiriki mapenzi na ndio chanzo cha kuachwa. Pombe zipo kichwan.Nilipiga mayoe hapo pombe zilikata kwa maumivu ya kutolewa bikra. Lakini Mohan hakujali chochote. Alipomaliza aliniacha nikilia . Akabadili mashuka na kuniogesha kisha tukalala. Asubuhi nilikuwa wa 1 kuamka. Nilijaribu kuzunguusha kichwa nikumbuke nini kiliendelea usiku lakini sikuweza maan kichwa kiliniuma sana. Nikavaa nguo zangu nakuondoka haraka. Nikaenda kwa mama." Haya asubuhi asubuhi tena umefukuzwa au?"
"hapana mama nimeaga nakuja kukusalimia bana"
Nilipita ndani nikamsaidia kazi nakuondoka. Zuri alikuja nyumbani kuniona .
"samahani mama shikamoo!Ney nimemkuta" "marahaba yupo pita ndani"
Niliposikia sauti ya Zuri nilitoka nje nikamvuta tukawa tumekaa kwenye kijiwe cha jirani. Mama alitutazama sana. Akatabasamu.
"Zuri tafadhali niambie unafuata nini kwetu? situshamalizana au?"
"Ney jamani!naomba unipe nafasi japo unisikilize kwaajili ya hiki kiumbe tumboni kwangu"
"eeh haya sawa nakusikiliza"
"siku ya sherehe ya usiku wa wapendanao ,nakumbuka uliondoka mapema .Simon na mimi tulibaki na tukaanza kunywa pombe. Tulilewa sana kiasi ya kufikia kushiriki tendo. Lakini baada ya kumwambia alikataa katu katu. Nakusema anamtu wake"
Msomaji sikuwa na namna nilimsamehe. Tukaondoka hadi kwake. Alinipa sambusa za mama Pili nilifurahi. Tukiwa tunaendelea kula na kucheka ghafla ilitujia gari hadi uwanjani kwa Zuri. Aliye shuka sasa nilishangaa na kuruka bakuli la sambusa nikachoma ndani.
Itaendelea
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MY WANGUβ€οΈ sehemu ya 69 na 70
Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana...
7 MPAKA 9 π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani i...
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 7 Niligandaa baada ya kumuona Zuri akiwa mbele na Simon akiwa nyuma yake
. Sikusubiri chochote. Nilianza kuondoka kwa kukimbia na Zuri akawa ananifata nyuma. Nilifika mbele kidogo nikasimama na kumgeukia.
"Zuri unataka kusema nini na nimeshajionea kila kitu. Sina haja ya story"
"hapana Ney nisikilize haiko kama unavofikiria ni..."sikusubiri hadith zingine niliondoka hapo haraka. Nilielekea bar nikaanza kunywa pombe kwa fujo sana. Nikashindwa Kulipia sasa. Walianza kuniletea fujo ,wakati huo wakaona sim yangu ikawa inaita. Walinipokonya wakaikata. Baada ya muda alifika Mohan sehemu hiyo. Alilipia na akanichukuwa na kuanza kuondoka na mimi. Pombe sio chai sasa nikamuona Mohan kama Simon .
"Simon nataka uniambie sasa nini umefata kwa Swaumu na Zuri? na nataka unifanyie unavyowafanyiaga...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/penzi-la-kijana-wa-kihindi-sehemu-ya-7-niligandaa-baada-ya-kumuona-zuri-akiwa-mbele-na-simon-akiwa-n
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi penzi-la-kijana-wa-kihindi-sehemu-ya
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 15 Alinisogelea kabisa na kunishika mikono huku akiliita jina langu na machozi ya furaha yakamtoka
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 10 Kwa kweli hali niliyo kuwa nayo sikutaka hata kumjibu,alimaliza akaondoka.
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 12 Hapo sikusubiri masimango na kudhalilika kwa zaidi, maana jibu alilotoa
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 17 - 18 Mohan alitoka nje ili mkuu wa shule asijue chochote
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 16 Niliwabembeleza watoto wakakubali kula japo kwa mbinde sana
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 11 Kwanza nilijitoa mikononi mwa Mohan. Kisha familia ikatusogelea. Mama Mohan aliuliza kwa mshangao sana. "nini hiki Mohan?" "mama mimi siwezi
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 19 - 20 Baada ya cake kuletwa watoto wangu wote walisogea, birthday boy
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 13 Niligeuka kwa uoga pole pole nilishangaa kumuona Swaumu
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 8 Nilikimbia ndani kwa Zuri na kujifungia. Aliyekuja
π£ππ‘ππ ππ πππππ‘π πͺπ πππππ‘ππ SEHEMU YA 9 Mwenzenu picha zilikuwa zile ambazo tulipigwa na Mohan