Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 11 Hiiii dada jamna majibu yote hayo ,nimekukosea Nini dada
Gonga94 Β· Stories

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
angu jamn ucnijibu ivo najiskia vibaya ,hujui ata kilichonikuta uko nilipotoka dada angu .
Yan natetegemea wewe ndo uwe mfariji wangu wakwanz ila wewe ndo mpondaji wangu wakwanz kwel dada .
Dada akaniambia Yan Mimi nikufariji wewe Kwa ufusca unao ufanya vipi ulio lala nae hajakupa ela au maaan ayo ndo majanga mnayoyapia watu wenye kazi kama zako .

Mmmh nikaguna ,nikawa najisemea eeeh kwaiyo uyu dada anajua najiuza au 😏.
Weee sindo akanisika nimeguna ,akaanza kunichamba upya ,akawa ananiambia Aya unagunaguna Nini Shetani Mweusi wewe .Yan nimekuombea kazi ofisini Kwa rafiki angu ukaona haitoshi ukamchukulia na bwan wake .

Apo hukuridhika ukaamua ukaamua uondoke nae ukalale nae kuwa wewe ndo fundi San wa kulala na wanaume wawatu eeeeh .

Nikamwambia dada sio kwel nasingiziwa .
Yan kabla cjamalizia sentesi yangu dada akaniambia we mbwa usinikatishe nikiwa naongea mjinga mmoja wewe .
Sasa nakwambia iv kwangu mimi utaaama Yan ukaii kabisaa siwezi kuishi na watu wenye tabia ya dizaini yako Yan sampuli hii ya watu nooo. kwaiyo beba Kila ulichonacho ,na sio beba chukua viyu vyako maaan nshakusaidia kuvitoa apo njee .

Sasa sijui utarudi morogoro Kwa baba na mama au unaend Kwa uyo bwanawako mpya utajijua we mwenyew na akili zako .
Ila mie nakushauri Bora urud tuu Kwa bwana wako maaana uko nyumban kumesha Waka moto baba hatak atakukusikia Kwa hii tabia yako chafu .

Nikampiga dada angu magoti ili anisamehe ila dada hakuniskia mbadala wake alinifukuza kama mbwa Tena uku ananiambia maneno makali sana eti ananiambia Kama nimeona wanaume Dili niende walipo wakantafune weee wakishanichoka na kumaliza haja zao waniache apao na mimba juu .

Dada angu alivyoongea ivo alinikera sana ,nikaona ananitesea Nini kwanz Kwa Iko kinyumba chake au ambacho hakina ata rangi .Nikabeba nguo zangu nikaondoka .

Nikiwa natembea njian nikawa nalia Kwa nguvu 😭😭😭😭😭 Kam nimefiwa na uko njiani watu walijua nimefiwa kwel ,baadh walikuwa wanapita wananiambia dada pole na msiba .Mie nawaangalia tuu 😭 Tena ndo walikuwa wananizidishia kilio .

Itaendelea ...
Tangazo - Hostinger better 2026
Hostinger better 2026
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________ SEHEMU YA 11 Hiiii dada jamna majibu yote hayo ,nimekukosea Nini dada

angu jamn ucnijibu ivo najiskia vibaya ,hujui ata kilichonikuta uko nilipotoka dada angu .
Yan natetegemea wewe ndo uwe mfariji wangu wakwanz ila wewe ndo mpondaji wangu wakwanz kwel dada .
Dada akaniambia Yan Mimi nikufariji wewe Kwa ufusca unao ufanya vipi ulio lala nae hajakupa ela au maaan ayo ndo majanga mnayoyapia watu wenye kazi kama zako .

Mmmh nikaguna ,nikawa najisemea eeeh kwaiyo uyu dada anajua najiuza au 😏.
Weee sindo akanisika nimeguna ,akaanza kunichamba upya ,akawa ananiambia Aya unagunaguna Nini Shetani Mweusi wewe .Yan nimekuombea kazi ofisini Kwa rafiki angu ukaona haitoshi ukamchukulia na bwan wake .

Apo hukuridhika ukaamua ukaamua...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/penzi-motomoto-la-mjeda-handsome-___________________________________-sehemu-ya-11-hiiii-dada-jamna-m

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi penzi-motomoto-la-mjeda-handsome-___________________________________-sehemu-ya
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 15 Wakat nimesimama pale najiwazia

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 14 Nikamuonea sana huruma Bright maskini

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒  π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 13 Nikamwambia muda ule nilivyoondoka kwenda

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 17 - 18 Siku zikaanza kukatika nikiwa ndan ya ndoa

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 16 Mama akawa anatusema tu kimoyomoyo

 π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________ SEHEMU YA 19 - 20 Miezi ilienda weee mwishowe nikafika tamati miezi tisa ,eeeh jaman

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 6 Robert alivyonishika shingo πŸ’‹

  π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 10 Baada ya kuongea maneno hayo Robert akanipigia magoti

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 12 Hapo wakati natembea nawaza kuwa Mimi

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 9 Apo mama ake Robert

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 7 Yule mama aakanifata Kisha akanipa pole ,sasa Robert akwa

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 8 Mama na mwana wakatoka mule chumbani Mama mtu akamuuliza Robert

Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.11K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.25K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.48K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

2.56K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.3K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.11K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.11K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.04K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

1.99K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

1.95K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest