Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 9 Apo mama ake Robert
Gonga94 Β· Stories

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________ SEHEMU YA 9 Apo mama ake Robert

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
aka furah mwenyew Kisha ,akamwambia mwanae Aya ngoja nikalale chumbani Kwa mjukuuu wangu .
Alafu safari hii ume ndan hatutaki makelele kufanya mnafanya nyie karaahaa muwape wengine inahusu .

Yan hatutaki makelele kabisa ,maaan sipati picha kelele mlizopiga mara ya kwanz kama hamjui umu ndan Kuna mtoto vile .

Robert akamwambia mama hatukupiga kelele na najua kama Kuna mtoto ndo maaan tukaenda chumba kile cha mbali ilo tusiskike.Alafu mama sasa apo unalala Nini Yan sasa iv ni saa kumi na mbili kasoro asubuhi tayr .
Mama akamjibu ,haya yote umeyataka wewe Yan sasaiv ningekuwa zangu kwangu nimepumzika zangu .
Ila ucjisahaurishe Mimi ni Mzee natakiwa kulala ata dakika kumi tuu .
Nyie vijana ndo mnang'ang'ana kulala muda mrefu kama vile hamjui usingizi ni umaskini .

Wakati mama na mwana wanateta ,mie Niko chumbani nikamkumbuka sijaweka simu chaji ,sasa shida inakuja kuinuka siwez .Nikajaribu Tena mara ya pili nikashindwa Bado mara ya tatu nikaanguka puuuh ! chini kama limzigo πŸ˜‚.
Nikaona apa nikikazana ntakufa Bure ,nikamuita Robert nae haitiki ,nikaita mara ya pili ndo anajifanya anakuja wakat mda wote uo namuita haitiki nikaaamuangalia ,Kwa hasira .
Adi akaanza kujitetea kabla cjamuulizaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ananiambia mammy nilikuwa uko nje namuonesha mama Kwa kulala cjakuskia kama umeniita marambili .

Nikaaanza Kwa hasira maaan kaniskia vizur amejuaje nimemuita mara mbili ,nikamuuliza Kam hujaniskia umejuaje nimeita mara mbili .

Aaah ni..,akaanza kujing'atang'ata ,nikamwambia umbebntolee kelele Mimi kaniwekee simu yangu chaji ,nataka niongee na sister wangu .

Robert alivyoipokea tuu Ile simu akaanza kucheka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ .Nikamuuliza aya kinachokuchekesha apo Kwan Kuna katuni apo eeh .
Bado akazidi kucheka .Baada ya mda alivyomaliza akasema Yan mwanamke mrembo mzur unatumia kasimu kamevilingishwa na rubberband kwellπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Daaah alivyosema ivo akafanya nijihisi aibu maaan nikwel kale kasimu ni Toka form 5 ,nilikuwa nacho cha magendo mpaka Leo ,na kama mnavovijua visimu vya magendo sifa zake ndo hii yangu sasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Nikamwambia basi kama umemaliza kucheka nipelkeee simu yangu chaji.Akajibu Aya ila wewe Kam mke wangu mtarajiwa unatakiwa upate simu ya bei Kali na nzur kama wewe ulivyo .

Yan alivyoniita mke wake mtarajiwa nikashtuka ,maaan naona kama anaota vile yan sio kisa kanitoa bikra ndo atanioa iyo neverhaitotokea asahau ,ila nilivunga ckumwambia yote ayo maaana itazalisha mada nyingine na Mimi nilikuwa nimechoka .

Yey akaanza kunizoea kitu kidogo mke wangu ,mara cjui mke wangu nn ,nikaamua kumtolea uvivu maaan mazoea sasa Yana zaidi .
Nikamwambia Aya baba wewe mke wako ,au kisa umelala na Mimi apa ,Yan na ata ukinioa mimi Shaima
kukupenda wewe usahau maaan sio Kwa hichi ulivhonifanyia ,wakiitwa wanaume na wewe unatoka mwanaume gani huna huruma unalala na mwanamke bila ya ridhaa yake .

Itaendelea .....
Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha

Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________ SEHEMU YA 9 Apo mama ake Robert

aka furah mwenyew Kisha ,akamwambia mwanae Aya ngoja nikalale chumbani Kwa mjukuuu wangu .
Alafu safari hii ume ndan hatutaki makelele kufanya mnafanya nyie karaahaa muwape wengine inahusu .

Yan hatutaki makelele kabisa ,maaan sipati picha kelele mlizopiga mara ya kwanz kama hamjui umu ndan Kuna mtoto vile .

Robert akamwambia mama hatukupiga kelele na najua kama Kuna mtoto ndo maaan tukaenda chumba kile cha mbali ilo tusiskike.Alafu mama sasa apo unalala Nini Yan sasa iv ni saa kumi na mbili kasoro asubuhi tayr .
Mama akamjibu ,haya yote umeyataka wewe Yan sasaiv ningekuwa zangu kwangu nimepumzika zangu .
Ila ucjisahaurishe Mimi ni Mzee...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/penzi-motomoto-la-mjeda-handsome-___________________________________-sehemu-ya-9-apo-mama-ake-robert

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi penzi-motomoto-la-mjeda-handsome-___________________________________-sehemu-ya
π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 15 Wakat nimesimama pale najiwazia

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 14 Nikamuonea sana huruma Bright maskini

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒  π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 13 Nikamwambia muda ule nilivyoondoka kwenda

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 17 - 18 Siku zikaanza kukatika nikiwa ndan ya ndoa

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 16 Mama akawa anatusema tu kimoyomoyo

 π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________ SEHEMU YA 19 - 20 Miezi ilienda weee mwishowe nikafika tamati miezi tisa ,eeeh jaman

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 6 Robert alivyonishika shingo πŸ’‹

  π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 10 Baada ya kuongea maneno hayo Robert akanipigia magoti

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 12 Hapo wakati natembea nawaza kuwa Mimi

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 11 Hiiii dada jamna majibu yote hayo ,nimekukosea Nini dada

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 7 Yule mama aakanifata Kisha akanipa pole ,sasa Robert akwa

π—£π—˜π—‘π—­π—œ 𝗠𝗒𝗧𝗒𝗠𝗒𝗧𝗒 π—Ÿπ—” π— π—π—˜π——π—” π—›π—”π—‘π——π—¦π—’π— π—˜ ___________________________________  SEHEMU YA 8 Mama na mwana wakatoka mule chumbani Mama mtu akamuuliza Robert

Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.1K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.25K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.48K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

2.56K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.3K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.11K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.11K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.03K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

1.99K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

1.95K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest