Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

🔥 SITOSAHAU YALIYONIKUTA BAADA YA KUIBA NGUO YA NDANI😳  Sehemu... kumi.  👉 Sahadini nisaidie...👇  Nipo kwenye hatari.
Gonga94 · Stories

🔥 SITOSAHAU YALIYONIKUTA BAADA YA KUIBA NGUO YA NDANI😳 Sehemu... kumi. 👉 Sahadini nisaidie...👇 Nipo kwenye hatari.

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


( Dk mbili namsikia yule mzee anakoroma uku anasema)

" Unaniua niache unaniua niache.

( Nilitoka nje nilimkuta mzee kakabwa na sahadini yeye akiwa na pembe pamoja na usinga kavaa kitambaa chekundu...sahadini ananiuliza)

" Nimuuwe.

" Usimuuwe mpe azabu.

( Alimnyanyua akamuweka juu ya paa alafu akamtoa kile kitambaa akabaki kama alivyozaliwa...akashuka akaniambia)

" Hapo ashuki mpaka wewe umwambie shuka na uache kuroga watu wasio na hatia.

" Sawa.

" Nilale niende.

" Wewe tu my unavyotaka.

( Nilijikuta naita my mwenyewe sio kwa kunifurahisha uku...alafu nikakumbuka kitu)

" My Samahani ivi wale wabakaji nani atakuwa anawaingilia?

" Wale awataingiliwa mazima ila watashikwa ishikwa makalio yao na mwenzangu mmoja nimempa iyo kazi kama Leo ameshikwa joji.

( Kidogo nistuke joji ila nikauchuna akaendelea)

" Joji ndio aliwatuma wale vijana wakubake kisa wewe umemkataa na vile vile ile chupi yeye ndio kanunua sasa kazi anayo atangaze au aendelee kutomaswa.

" Kumbe mwanaume ukimkataa anakuwa adui.

" Baazi sio wote acha niende my nina kikao kwetu.

" Sawa.

( Nililala asubuhi nasikia )

" Jamani sio vizuri kumchukua picha mstilini nyie wanaume.

" Muache akome alikuja kumroga uyu Bint kumbe Bint kwao ameaga uyu.

( Wamama wale walikuja kunigongea nikaamka)

" Naomba umuopoe mzee juu hapo anafedheeka kabla wanafunzi wa shule awajapita.

" Ngoja nikaoge nije kushangaa na mimi.

( Yani nimejibu kama mweu sijajua nilichoambiwa na wao wakaniacha...nikachukua maji naenda kuoga namsikia joji kaja amebeba chupi uko anamwambia pili)

" Hii chupi uliipeleka wapi pili unataka kunipa uanisi mimi kosa langu lipi.

" Joji kwani wewe ndio uliiba chupi angalia kwanza mganga aliyefanya kazi ya iyo chupi yupo juu wewe ushangai watu wamejaa hapa.

" Nishangae wakati nataka kufanywa hanisi.

" Hitupe tu iyo chupi.

( Joji akaenda kuitupa kwenye taka...akaondoka kumbe chupi imeenda kwa mbakaji mmoja asubuhi hii usingizi ukamchukua akaota anashikwa shikwa matako kama anaandaliwa aliwe anakurupuka amevaa chupi nyekundu...akutaka kunyamaza akaenda kwa joji kumwambia balaa la chupi....upande wangu Nikatoka kuoga watu ndio wamezidi kujaa....nikabadilisha nguo nia niende kwa mama kabisa kumsikiliza...ndio nikamwita yule mzee)

" Wewe toboa tobo.

( Ndio anazinduka anajiziba mbele kanitolea macho uku anakaa chini yupo juu akili zimemjia nikamwambia)

" Usije ukaroga tena watu wasio na hatia wewe ni mganga Fanya kusaidia watu maladhi na kuwatoa nuxsi za kishirikina na si kufanya unayoyafanya ulikuja kunikomesha sasa nakukomesha wewe ukome kuroga sio kila mtu ni mti wengine ni chuma sasa upo huru unaweza kushuka na kuendelea na maisha yako.

( Watu wananishangaa alafu mimi uyo naondoka zangu...mtaa mzima wakawa wananiogopa...mzee akarushiwa nguo akavaa ameinama chini amewekewa ngazi anashuka....mimi nipo kwenye pikipiki naenda zangu kwa mama nafika kwa mama ananiambia)

" Mwanangu nimeota ndoto Kari sana imenionyesha wewe unaenda kutolewa kafala.

" Na nani?.

" Mtoto wa tajili.

" Kwaiyo umemwambia baba.

" Yeye aamini kwenye ilo anasema utaolewa mimi naota ujinga sio kila ndoto ni kweli.

" Upande wangu mimi simtaki yule nimeona mapema ata gali alilokuja nalo hapa ni nyoka sio gali ila usimwambie baba ilo wewe simamia msimamo mimi siolewi.

" Sawa mwanangu nenda kwako asije baba yako kukuona hapa akakubeba kukupeleka kwa mtoto wa tajili.

" Sawa mama.

( Uku nasema kimoyoni mama ajui ninaye sahadini wangu yeye ndio kila kitu...nikaondoka zangu upande wa wabakaji yule mmoja wao alipoenda kwa joji alipomwambia mambo ya chupi yale joji akasema)

" Au yule Bint niliowatuma ndio anafanya yote aya maana kumbuka mlipigwa aliyewapiga amumuoni na sasa tunachezewa matako anayetuchezea atumuoni iyo chupi mimi niliitupa kwenye taka.

" Acha na mimi nikaitupe nione itaenda kwa mwengine.

" Sawa.

( Akaenda kuitupa na kama kawaida chupi ikaenda kwa mwengine mwendo ni ule ule....na yeye akaja kwa joji wakakutana...yani siku mzima walichezewa wote matako...wenyewe wakachukuzana wanakuja kwangu wakiwa na joji...mimi nipo zangu home nashangaa nagongewa mlango vidume vimepiga magoti vinaomba msamaha)

" Tusamehe amina atutarudia tena kwako na kwa wengine tunaomba utusamehe.

( Uku wameshika chupi mkononi na mimi nikawaambia)

" Mwenye chupi anakaa chumba kile sio mimi iyo Samahani mkaombe kule.

" Amina wewe ndio tumekukosea tunaomba utusamehe.

" Mmenikosea nini mbona namfahamu mmoja tu uyu Shemeji ambaye mwanamke wake ndio mwenye chupi iyo.

" Uyu uyu ndio alitutuma sisi tukubake ila atukufanikiwa.

" Kumbe ndio nyinyi aya wenyewe jipelekeni polisi nilikuwa nawatafuta nani kati yenu alinifunga kitambaa?

" Uyu hapa.

" Nani alikuwa ananiamlisha?

" Uyu hapa.

" Aya kwa usalama wenu wote nendeni wenyewe polisi mkaseme mmetumwa na mkatumika msipoenda mulichopata ni trela moves inakuja.

( Niliingia ndani nikawaacha wanawaza waende polisi au wakiwaza wameshikwa je kifatacho si kuingizwa)

Dah yani..

ITAENDELEA
Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

🔥 SITOSAHAU YALIYONIKUTA BAADA YA KUIBA NGUO YA NDANI😳 Sehemu... kumi. 👉 Sahadini nisaidie...👇 Nipo kwenye hatari.



( Dk mbili namsikia yule mzee anakoroma uku anasema)

" Unaniua niache unaniua niache.

( Nilitoka nje nilimkuta mzee kakabwa na sahadini yeye akiwa na pembe pamoja na usinga kavaa kitambaa chekundu...sahadini ananiuliza)

" Nimuuwe.

" Usimuuwe mpe azabu.

( Alimnyanyua akamuweka juu ya paa alafu akamtoa kile kitambaa akabaki kama alivyozaliwa...akashuka akaniambia)

" Hapo ashuki mpaka wewe umwambie shuka na uache kuroga watu wasio na hatia.

" Sawa.

" Nilale niende.

" Wewe tu my unavyotaka.

( Nilijikuta naita my mwenyewe sio kwa kunifurahisha uku...alafu nikakumbuka kitu)

" My Samahani ivi wale wabakaji nani atakuwa anawaingilia?

" Wale awataingiliwa mazima ila watashikwa ishikwa makalio yao na mwenzangu mmoja nimempa...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/sitosahau-yaliyonikuta-baada-ya-kuiba-nguo-ya-ndani-sehemu-kumi-sahadini-nisaidie-nipo-kwenye-hatari

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi sitosahau-yaliyonikuta-baada-ya-kuiba-nguo-ya-ndani-sehemu-kumi-sahadini-nisaidie-nipo-kwenye-hatari
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

578
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

464
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

464
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32

383
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

317
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

200
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

83
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

58

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.1K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.84K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.67K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.05K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.45K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.29K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.29K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Post Mpya
REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
@majario LIVE

walipomuona seven ikabidi mzee fahad azungumze nae kuhusu swala la wao kuondoka **"lakini mzee wangu mbona bado hali ya fahima sio nzuri?" alisema seven usijari kwakuwa ametaka mwenyewe basi haina shida kikubwa...

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34* Post Mpya
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*
@majario LIVE

*SEASON TWO* LISSA WA HURU MEDIA * Basi uyu demu mimi na yeye ndo tukaachna hapa. Nilimwambia ukweli sikutaka kuwa na michepuko tena. Mke wngu kwanza ananitosha sana. Yani anafit kwa kila kitu....

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
@majario LIVE

Basi bwana nikaingia ndani ya gari ya mlige . Daaaah uko njiani ni anaona kama hatufiki . Mala kanishika ziwa . Mala kanishika kiuno kabinya mhh yani acha ...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasa😆😆 my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Kila alipokua akipita mtaani kwao utasikia watu wakimuita tipwa tipwa huku wakimtania, lakini yeye hajali hata kidogo. Karidhika na mwili wake, hana mda wa kuhifadhi maneno ya watu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
@majario LIVE

Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Bas baada ya princess kukata simu nikamsogelea mke wangu nikamwambia si umeona kipenzi changu. We niamini tu na kuwa muelewa . Mimi nimekosea ilaa sasa hivi sitaki tena kuwa na...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

Fatuma akanmbia kumbe ndo unayonifanyia aya. Unazani nilikuwa sina habri zako . Unazani sijuh najua sana . Kuwa apa chuo una mwanamke mjinga ww. Daah nikamwambia plsss mke wangu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 81 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 81
@majario LIVE

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MAAMOJA Basi maisha yakawa yanenda hivyo. Na zayd akawa nanaitafuta kila siku. Alivyokuwa kenya. Siku iyo usiku hivi .nipo ndani kwangu . Nilikuwa napanga nguo zangi mana nilikiwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80
@majario LIVE

Zayd akasema ni mimi. Naona unaniangalia sana wala haujanifananisha ndo mm zayd tulisoma wote singida . Na mala ya mwisho tulipewa suspension na mwenzangu ukahama shule. Mh nikasema ahaa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 78 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 78
@majario LIVE

Basi bibi mie nikaanza kujiandaa kwa ajili ya club. Na nguo nnazo kama zote. Kuna mda mlige ananinuliaga mpkaa nguo za ajabu . Ila nivae tu nikiwa na...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 51...52💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 51...52💘💘
@majario LIVE

Uwe na usiku mwema mke wangu mimi nitakwenda kulala kwenye chumba changu kingine natumaini hili jambo litabakia kuwa la siri kati yetu sisi wawili..... natumaini hautamwambia mtu yeyote yule Acha...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30
@majario LIVE

Akanmbia mi nitakuazima pesa milion 10 . Uanze nayo. Ununue mashine zote.na ukalipie fremu apa maeneo ya chuo utapata wateja wengi. Mh nikaona uyu demu ana roho nzuri ety anamfikilia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 MWANZO......... Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majuto😄😄😄. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele 😀😀😀. Asubuhi majira ya saa...

NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO.... Call me Paaye, oooh Paaye hata sijui hili jina lina maana gani na siijui wazazi wangu walilipatia kwa mkorea yupi maana kwa hili jina saluti kwao Aaah Paaye...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest