Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

🔥 SITOSAHAU YALIYONIKUTA BAADA YA KUIBA NGUO YA NDANI😳  Sehemu...nne.  👉 Kuangalia naiona kweli  imekuja tena na nimeitupa nje...niliingia uoga nataka kupiga kelele sauti aitoki...👇
Gonga94 · Stories

🔥 SITOSAHAU YALIYONIKUTA BAADA YA KUIBA NGUO YA NDANI😳 Sehemu...nne. 👉 Kuangalia naiona kweli imekuja tena na nimeitupa nje...niliingia uoga nataka kupiga kelele sauti aitoki...👇

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


Nilinyanyuka nikasimama mikono nimetanua kama kweli vile nina nguvu hapo nipo tayari kupambana...ile sauti siisiki tena.... nje nasikia kigodolo yani kuna mziki watu wanakesha...nilivaa nguo uyo nikaenda kukesha kwenye kigodolo bila kupenda...yani naogopa chumba changu uku mawazo ya kuhama nyumba yananijia...wenzangu wanacheza wanaruka ruka mimi sina mzuka wa kucheza mala mziki ukazimwa akapanda mama mmoja kwenye jukwaa mchwara akawa anasema)

" Ndoa za siku hizi hazidumu kwasababu tumekua washindani Sana mtu anaambiwa inua mguu mmoja ndio itaingia size utakayo ye anakwenda kuinua miguu miwili iingie yote😂😂😂😂 hapa kuna wanawake wanaojielewa,Misungo ndio Iko mingi na walokata tamaa wapo Wanasema makungwi wengi wameachika ...nlizaliwa nikampata kungwi langu kwenye ndoa yake na mpaka sasa bado yupo kwenye ndoa yake Mashallah...Ila pia nadhani sasaivi akifufuliwa mtu alofariki Zamani ndio anaweza kutuelezea vizuri kile kinachotokea baada ya kufariki ndio maana nasema hongera sana kwa makungwi walioachika nyie ndio mna elimu nzuri sana Kwa watoto wenu maana mnajua makosa yaliyofanyika mpaka mkaachana ...hizi chachandu hazivaliwi na Msungo wala asiejua maana yake kwaiyo acheni tunaojua kuzitumia tuzitumie .... mwanamke hutakiwi kukata tamaa endelea kujifunza kila siku maana Maisha ya mwanamke yamejaa matusi kwaiyo nyie Misungo endeleeni kujitukanisha tuwajue vizuri😂😂😂😂 mi wala siwaogopi nawasubiri.

( Watu wanacheka mala naisi ananiongelea mimi)

"Mwanamke asiyechezwa ndio anaweza kuiba nguo ya ndani ya mwanamke mwenzie akaivaa au akaazima taiti ya mwanamke mwenzie jamani vipo vya kuazimana sio nguo za ndani au taiti au sidiria kuwa na aibu nguo za ndani zinauzwa 1000 moja hapo sokoni tandika ila uone ubahiri upo tayari ununue kava la simu zuri ila sio nguo ya ndani nzuri mnatia aibu ndio nyie mkivua nguo mnaunganisha na sketi pamoja na chu.. utaki kuvua moja moja.

( Niliondoka niliona majungu yanayoendelea...njiani namuona joji yupo na pili wamekumbatiana alafu pili ananiita)

" Amina amina.

( Wala sikumchunia nikaenda kumsikiliza)

" Amina uyu ni mchumba angu anaitwa joji.

" Asante kwa kumjua Shikamoo Shemeji.

( Joji kainama chini kwa aibu anaitikia kwa chini chini janaume maraya...pili anamuuliza)

" Mbona unainama chini kulikoni?

" Usiku muache rafiki yako akalale.

" Sawa.

( Mimi naondoka uku nasema kimoyoni akijichanganya kunipigia tena simu nitamnyosha ishafika saa kumi alfajiri naingia chumbani naona nguo zimejaa kwenye kitanda...nani kazitoa kwenye tenga kaziweka hapa nawaza hapa niliacha nguo ya ndani tu kitandani...wakati nawaza naona mlango wangu unafunguliwa anaingia mkaka mweupe amevaa mavazi meupe ananiambia)

" Amina usiogope mimi sio mbaya kwako nilitumwa nikuue ila nimetokea kukupenda nitakulinda naomba uwe mpenzi wangu.

( Natetemeka uku namshangaa yeye nakuta namuuliza)

" Wewe ni jini?

" Naitwa sahadini.

( Hili jina naisi alipo duniani mkojo unanitoka kwa uoga naangalia kitandani nguo zile sizioni imebaki nguo ya ndani tu...sahadini ananiambia tena)

" Ukikubari niwe wako nitakupa unachotaka mimi sio mbaya kwako panda kitandani tuonge kiutu uzima amina.

( Nafanyaje hapa naogopa kweli kweli najikuta naongea)

" Mimi naogopa sogea nitoke nje.

( Sasa akawa ananifata uku anasema)

" Usiogope nakupenda.

( Alinigusa... mikono yake laini...)

ITAENDELEA

Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

🔥 SITOSAHAU YALIYONIKUTA BAADA YA KUIBA NGUO YA NDANI😳 Sehemu...nne. 👉 Kuangalia naiona kweli imekuja tena na nimeitupa nje...niliingia uoga nataka kupiga kelele sauti aitoki...👇



Nilinyanyuka nikasimama mikono nimetanua kama kweli vile nina nguvu hapo nipo tayari kupambana...ile sauti siisiki tena.... nje nasikia kigodolo yani kuna mziki watu wanakesha...nilivaa nguo uyo nikaenda kukesha kwenye kigodolo bila kupenda...yani naogopa chumba changu uku mawazo ya kuhama nyumba yananijia...wenzangu wanacheza wanaruka ruka mimi sina mzuka wa kucheza mala mziki ukazimwa akapanda mama mmoja kwenye jukwaa mchwara akawa anasema)

" Ndoa za siku hizi hazidumu kwasababu tumekua washindani Sana mtu anaambiwa inua mguu mmoja ndio itaingia size utakayo ye anakwenda kuinua miguu miwili iingie yote😂😂😂😂 hapa kuna wanawake wanaojielewa,Misungo ndio Iko mingi na walokata tamaa wapo Wanasema makungwi wengi wameachika...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/sitosahau-yaliyonikuta-baada-ya-kuiba-nguo-ya-ndani-sehemu-nne-kuangalia-naiona-kweli-imekuja-tena-n

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi sitosahau-yaliyonikuta-baada-ya-kuiba-nguo-ya-ndani-sehemu-nne-kuangalia-naiona-kweli-imekuja-tena-n
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

573
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

456
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85

449
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32

379
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

312
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*

177
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

82
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

48

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.1K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.84K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.67K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.05K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.45K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.29K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.28K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.25K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Post Mpya
REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
@majario LIVE

walipomuona seven ikabidi mzee fahad azungumze nae kuhusu swala la wao kuondoka **"lakini mzee wangu mbona bado hali ya fahima sio nzuri?" alisema seven usijari kwakuwa ametaka mwenyewe basi haina shida kikubwa...

*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34* Post Mpya
*MIMI SIKUACHI🥰* *SEHMU YA 34*
@majario LIVE

*SEASON TWO* LISSA WA HURU MEDIA * Basi uyu demu mimi na yeye ndo tukaachna hapa. Nilimwambia ukweli sikutaka kuwa na michepuko tena. Mke wngu kwanza ananitosha sana. Yani anafit kwa kila kitu....

MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 84 na 85
@majario LIVE

Basi bwana nikaingia ndani ya gari ya mlige . Daaaah uko njiani ni anaona kama hatufiki . Mala kanishika ziwa . Mala kanishika kiuno kabinya mhh yani acha ...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasa😆😆 my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Kila alipokua akipita mtaani kwao utasikia watu wakimuita tipwa tipwa huku wakimtania, lakini yeye hajali hata kidogo. Karidhika na mwili wake, hana mda wa kuhifadhi maneno ya watu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
@majario LIVE

Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Bas baada ya princess kukata simu nikamsogelea mke wangu nikamwambia si umeona kipenzi changu. We niamini tu na kuwa muelewa . Mimi nimekosea ilaa sasa hivi sitaki tena kuwa na...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

Fatuma akanmbia kumbe ndo unayonifanyia aya. Unazani nilikuwa sina habri zako . Unazani sijuh najua sana . Kuwa apa chuo una mwanamke mjinga ww. Daah nikamwambia plsss mke wangu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 81 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 81
@majario LIVE

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MAAMOJA Basi maisha yakawa yanenda hivyo. Na zayd akawa nanaitafuta kila siku. Alivyokuwa kenya. Siku iyo usiku hivi .nipo ndani kwangu . Nilikuwa napanga nguo zangi mana nilikiwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80
@majario LIVE

Zayd akasema ni mimi. Naona unaniangalia sana wala haujanifananisha ndo mm zayd tulisoma wote singida . Na mala ya mwisho tulipewa suspension na mwenzangu ukahama shule. Mh nikasema ahaa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 78 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 78
@majario LIVE

Basi bibi mie nikaanza kujiandaa kwa ajili ya club. Na nguo nnazo kama zote. Kuna mda mlige ananinuliaga mpkaa nguo za ajabu . Ila nivae tu nikiwa na...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 51...52💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 51...52💘💘
@majario LIVE

Uwe na usiku mwema mke wangu mimi nitakwenda kulala kwenye chumba changu kingine natumaini hili jambo litabakia kuwa la siri kati yetu sisi wawili..... natumaini hautamwambia mtu yeyote yule Acha...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30
@majario LIVE

Akanmbia mi nitakuazima pesa milion 10 . Uanze nayo. Ununue mashine zote.na ukalipie fremu apa maeneo ya chuo utapata wateja wengi. Mh nikaona uyu demu ana roho nzuri ety anamfikilia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 MWANZO......... Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majuto😄😄😄. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele 😀😀😀. Asubuhi majira ya saa...

NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO.... Call me Paaye, oooh Paaye hata sijui hili jina lina maana gani na siijui wazazi wangu walilipatia kwa mkorea yupi maana kwa hili jina saluti kwao Aaah Paaye...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest