Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

Story.......................THE KING'S SON (MTOTO WA MFALME).  Sehemu......ya.......04 Watu wa kila aina walikuja na kufanya kama wenzao walivyokuwa wakifanya
Gonga94 · Stories

Story.......................THE KING'S SON (MTOTO WA MFALME). Sehemu......ya.......04 Watu wa kila aina walikuja na kufanya kama wenzao walivyokuwa wakifanya

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.


ILIPOISHIA.......
Haikupita mda watu walianza kuja kila mtu alifika na kumpiga kibao na kukusanya fundo la mate mdomoni na kumtemea Yoashi........

ENDELEA NAYO...
Watu wa kila aina walikuja na kufanya kama wenzao walivyokuwa wakifanya. Mashavu ya Yoashi yalivimba na alizimia kutokana na kupigwa makofi kwa mda mrefu huku mdomo wake ukitapakaa damu.

Walinzi walifanya kama walivyopewa maagizo na Princess Herodia, walienda kumchukua Yoashi kwa ajili ya kwenda kumfungia. walimfikisha na kumpatia chakula ili aendelee kuishi wapate kumtese vizuri. Yoashi alikataa kula kitu kilichowakasilisha Walinzi,
"Kula wewe mjinga" Mlinzi alimpa amri Yoashi na alikula bira kupenda huku chakula kikipita kwa tabu kutokana na mdomo wake kuchanika.

Upande wa Malikia Ruth akiwa na binti yake aliongea kitu kilichomshangaza Princess Herodia,
"Mwanangu sikutegemea kama Mfalme angekufa mapema kiasi hichi, hivyo kuna kitu lazima nikifanye"
"Kitu gani mama...!?"
"Nataka niolewa kwa mara nyingine tena" Malikia Ruth aliongea na kumfanya mwanae ashangae kwa kile alichokizungumza.
"Mama nini unachoongea..!?, wewe tayari ni Malikia na unaweza ukauendesha huu ufalme pasipo kuwa na uwepo wa Baba kwanini utake kuolewa kwa mara nyingine tena..!!?" Princess Herodia hakufurahishwa na kile kilichozungumzwa na Malikia Ruth na alipinga vikali.
"Umeshachelewa mwanangu tayari nimeshafanya maamuzi" Malikia Ruth aliongea na kuondoka akimuacha mwanae huku akimtazama.

Princess Herodia alitamani kujua ni nani anayetaka kumuoa mama yake tena gafra kiasi hicho.

**********************************

Kwenye ufalme wa AZENI. Princess Miriamu alikuwa ni mtu mwenye mawazo baada ya Yoashi kuwa mbali nae na mtumishi wake wa karibu alilitambua hilo, akiwa kama mfanyakazi aliamua kupeleka tarifa kwa Malikia Rebeka na alikuja mida hiyo kwa ajili ya kujua kipi kilichomfanya binti yake akose amani,
"Kipi kinachokusibu Miriamu mbona umebadilika gafra hivyo binti yangu...!?" Malikia Rebeka alimuuliza.
"Sina tatizo lolote lile mama" Princess Miriamu alimjibu na kujaribu kuonesha tabasamu.
"Anakudanganya huyo mama, anachokiongea sicho kilicho kwenye moyo wake" ilikuwa ni sauti ya Prince Yoramu aliyefika mida hiyo na alisikia mazungumzo yao.
"Unataka kusema nini Yoramu...!??" Malikia Rebeka ilibidi amhoji kijana wake.
"Mama huyo ana muwaza Yoashi, alizoea kuwa nae karibu toka tukiwa wadogo na leo yupo mbali nae...au nasema uongo Miriamu..!?" Prince Yoramu alimwambia mama yao huku akimuuliza swali Princess Miriamu.

Malikia Rebeka aligundua kuna kitu kilichojificha kwenye moyo wa binti yake kwa kile alichoambiwa na Prince Yoramu. alienda kwa Mfalme Balaki na kumshauri wamtafutie mwanaume atakaye muoa Princess Miriamu. Mfalme Balaki hakutegemea kupokea tarifa zile kutoka kwa Malikia Rebeka aliamua kukubali.

Mipango iliandaliwa ya Princess Miriamu kutafutiwa mwanaume wa kumuoa bira Princess Miriamu mwenyewe kupatiwa tarifa na huo ulikuwa mpango wa Malikia Rebeka kwani hakutaka binti yake ajue kuwa wanamtafutia mwanaume.

Baada ya siku kadhaa kupita walifanikiwa kumpata kijana aliyekuwa mtoto wa moja ya viongozi wakubwa ndani ya ufalme huo wa AZENI.
Princess Miriamu aliletewa tarifa za yeye kutafutiwa mwanaume kitu kilichomshangaza na aliamua kumfata Malikia Rebeka kwa ajili ya kwenda kusema kile alichokikusudia kukisema,
"Mama najua mimi ni mtoto wa Mfalme lakini hamuwezi kunichangulia mwanaume nisiyempenda" Princess Miriamu aliongea na alioneshwa kuchukizwa na tarifa za yeye kuolewa na mwanaume asiyemtaka.
"Huu ni utaratibu wa kifalme kazi yako nikujiandaa kwa ajili ya ndoa na sio kingine"
"Sitoweza kufunga ndoa, hii ni ahadi yako kwangu" Princess Miriamu alimjibu mama yake nakuondoka.
"Mtoto mjinga sana huyu nilichokuwa nakiwaza kumbe kilikuwa sahihi, itakuwa tayari alikuwa na mahusiano na Yoashi.... subiri nitamuonesha" Malikia Rebeka aliongea baada ya kubaki peke yake.

*********************************

Ndani ya ufalme wa GALA katika jumba la kifalme, Malikia Ruth siku hiyo akiwa amesimama akitafakari maelewano yaliyopo kati yake na binti yake Princess Herodia kupungua na hii ni baada ya kumtamkia kuwa ataolewa mda sio mrefu kitu kilichopingwa na Princess Herodia, kuna mtu alikuja kumkumbatia na kumfanya Malikia Ruth ageuke kumtazama mtu aliyemkumbatia,
"Ni wewe Boazi..!!" Malikia Ruth aliongea baada ya kumuona Boazi.
"Ni mimi Malikia wangu nimekuja kupata jibu langu la sisi wawili kufunga ndoa" Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Boazi aliongea.
"Siwezi kuvunja ahadi yangu kwako jiandae kesho tutafunga ndoa na haitakuwa na maandalizi mengi" Malikia Ruth aliongea na kumfanya Boazi azidi kumkumbatia zaidi bira kuogopa kama ni Malikia wa GALA.

Wakati yote yanafanyika kuna mfanyakazi aliyepewa kazi na Princess Herodia ya kumfatilia Malikia Ruth, alitoka na kwenda kumpatia tarifa,
"Princess nimegundua ni nani anayetaka kumuoa Malikia Ruth".
"Nahitaji kumjua ni nani huyo" Princess Herodia hakutaka kusikia maneno mengi kutoka kwa mtumishi wake alichokuwa akihitaji kusikia ni jina la mwanaume anayetaka amuoe mama yake.
"Princess, Boazi ndiye anayetaka amuoe Malikia".
"Nini unachokiongea wewe..!?"
"Ndio Princess, nimesikia Malikia akitaja siku ya ndoa ambayo ni siku ya kesho" mfanyakazi alizidi kuongea na maneno yake yalizidi kumkera zaidi Princess Herodia.
"Hiyo ndoa haitowezekana labda sio mimi, Boazi alikuwa rafiki wa karibu sana na baba pia alipatiwa cheo kikubwa iweje leo aje kumuoa mama yangu tena gafra ivi...!!" Princess aliongea na alipanga kufanya kitu ili azuie ndoa ya mama yake.

Upande wa Yoashi ndani ya ufalme huo bado alikuwa akiendelea kupokea adhabu yake kama ilivyo amuliwa na Princess Herodia, walienda kumfungia katikati ya mji ili watu waje wampe adhabu.

Siku hiyo ilikuwa tofauti kwani Alikuja raia na alipomaliza kumpiga kofi kama wenzake walivyokuwa wakifanya alisogea pembeni na kuchukua jiwe, alimponda Yoashi na kumpiga kichwani hali iliyoanza kuwaogopesha walinzi kwani Yoashi alinyamaza kimya,
"Mumwangieni maji huenda ata amka" moja ya Walinzi aliongea na wenzake walifanya kama alivyoongea lakini hakuweza kuamka.
"huyu itakuwa ameshakufa tayari, kwanza hali yake ni mbaya na ana vidonda karibu mwili mzima" Mlinzi mwingine aliongea na haraka tarifa zilipelekwa kwa Princess Herodia.

Princess Herodia siku hiyo alikuwa na mawazo ya kuzuia harusi ya mama yake, baada ya kupokea tarifa za Yoashi kushindwa kuamka alitoa amri wakammalizie kumuua Yoashi kama bado hajafa na maiti yake ikatupwe, walinzi walirudisha tarifa kwa wenzao.

Yoashi alifungulia na kuanguka chini kama mzingo huku akiwa hajitambui moja ya Walinzi alichukua mkuki wake na kumchoma nao tumboni ili afe kabisa.
"Huyu tayari kaisha kufa, kama umemchoma mpaka na mkuki lakini bado haongei wala hatoi sauti ya maumivu ina maanisha kuwa ameshakufa, inatakiwa tumbebe tukamtupe kwenye maporomoko ya maji".

Baada ya mwenzao kuongea wote walikubaliana na kile alichokisema walimbeba na kumpeleka kwenye maporomoko ya maji, na walipomfikisha walimurusha na kushuhudia kwa macho yao akipelekwa na maji yaliyokuwa yakielekea chini kwa kasi katika bonde hilo refu, waliamua kugeuka na kurudi kwenda kumpa tarifa Princess Herodia kuwa kazi imeshakamilika.

Yoashi baada ya kutupwa aliangukia mpaka chini na kudumbukia kwenye maji, maji yalimchukua na kuanza kumpeleka kule yalipokuwa yakielekea na haikujulikana kama ameshapoteza maisha au bado mzima.

Tarifa aliletewa Princess Herodia za Yoashi kufa na kutupwa kwenye maporomoko ya maji alifurahi kusikia mtu aliyemuua baba yake amepoteza maisha, ila bado alikuwa kwenye mawazo mazito juu ya ndoa ya mama yake inayotalajiwa kufungwa siku ya kesho, aliamua kumfata Malikia Ruth ili aongee nae kwa mara mwisho kabra hajafanya maamuzi.

Ujio wake ulimfanya Malikia Ruth atambue kuwa haukuwa wa amani,
"Bira shaka unataka kuniuliza kuhusu ndoa yangu nitakayoenda kufunga siku ya kesho...!?" Malikia Ruth aliamua kumuwahi Princess Herodia kabra hajaanza kumuongelesha yeye.
"Hujakosea mama ndicho kilichonifanya niwe hapa, natamani kujua kwanini umechukua maamuzi ya wewe kuolewa na Boazi tena ni siku kadhaa toka baba afariki..!!?" Princess Herodia alimhoji mama yake.
"Inatakiwa ukumbuke kuwa mimi ni mama yako na najua mengi kuliko wewe unayoyajua hivyo ata nikikujibu bado hautonielewa ni vyema ukaendelee na mambo yako, haya ya ndoa niachie mimi mwenyewe" Malikia Ruth aliongea na kumfanya Princess Herodia aondoke kwa hasira mana aliona mama yake kathamilia kufanya kile alichopanga kufanya.

Nje ya jumba hilo la kifalme Boazi alikuwa akiongea na vijana aliowapa kazi ya kwenda kumuua Mfalme Efroni.
"Mmefanya kazi kubwa sana na nimebakiza hatua chache niweze kukamilisha mpango wetu wa mimi kuwa Mfalme"
"Hongera mkuu" kila mtu alimpa pongezi lakini Kuna Mlinzi mmoja alifika na kumpatia tarifa,
"Mkuu Princess Herodia anapanga kuja kuzuia ndoa yenu siku ya kesho" Mlinzi huyo aliyepewa kazi ya kupeleleza kile kilichokuwa kikiendelea kwenye jumba la kifalme aliongea.
"Huyo Princess naona hanijui vizuri ngoja nimuoe mama yake alafu baada ya hapo nimuonyeshe kuwa mimi ni mtu wa aina gani" Boazi aliongea.......ITAENDELEA.

Boazi atamfanya nini Princess Herodia baada ya yeye kuwa Mfalme tukutane sehemu ijayo.

Tangazo - Monday To Sunday
Monday To Sunday
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

Story.......................THE KING'S SON (MTOTO WA MFALME). Sehemu......ya.......04 Watu wa kila aina walikuja na kufanya kama wenzao walivyokuwa wakifanya



ILIPOISHIA.......
Haikupita mda watu walianza kuja kila mtu alifika na kumpiga kibao na kukusanya fundo la mate mdomoni na kumtemea Yoashi........

ENDELEA NAYO...
Watu wa kila aina walikuja na kufanya kama wenzao walivyokuwa wakifanya. Mashavu ya Yoashi yalivimba na alizimia kutokana na kupigwa makofi kwa mda mrefu huku mdomo wake ukitapakaa damu.

Walinzi walifanya kama walivyopewa maagizo na Princess Herodia, walienda kumchukua Yoashi kwa ajili ya kwenda kumfungia. walimfikisha na kumpatia chakula ili aendelee kuishi wapate kumtese vizuri. Yoashi alikataa kula kitu kilichowakasilisha Walinzi,
"Kula wewe mjinga" Mlinzi alimpa amri Yoashi na alikula bira kupenda huku chakula kikipita kwa tabu kutokana na mdomo wake kuchanika.

Upande...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/story-the-kings-son-mtoto-wa-mfalme-sehemu-ya-04-watu-wa-kila-aina-walikuja-na-kufanya-kama-wenzao-w

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi story-the-kings-son-mtoto-wa-mfalme-sehemu-ya
Story.......................THE KING'S SON (MTOTO WA MFALME)  Sehemu......ya.......03 "Kwanini umemuua baba yangu..!!?"
Story.......................THE KING'S SON (MTOTO WA MFALME) Sehemu......ya.......03 "Kwanini umemuua baba yangu..!!?"
Story.......................THE KING'S SON (MTOTO WA MFALME)  Sehemu......ya.......02  ILIPOISHIA........ Bahati mbaya ilikuwa kwake kwani alishangaa kumuona Prince Yoramu
Story.......................THE KING'S SON (MTOTO WA MFALME) Sehemu......ya.......02 ILIPOISHIA........ Bahati mbaya ilikuwa kwake kwani alishangaa kumuona Prince Yoramu
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 78

MY WANGU❤️ sehemu ya 78

601
MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80

563
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 51...52💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 51...52💘💘

545
MY WANGU❤️ sehemu ya 81

MY WANGU❤️ sehemu ya 81

525
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83

385
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32

330
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33

232
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘

121
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

37

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11.09K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.84K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.67K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.05K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.45K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.41K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.28K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.28K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.24K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 53...54💘💘
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasa😆😆 my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Kila alipokua akipita mtaani kwao utasikia watu wakimuita tipwa tipwa huku wakimtania, lakini yeye hajali hata kidogo. Karidhika na mwili wake, hana mda wa kuhifadhi maneno ya watu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 82 na 83
@majario LIVE

Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 33
@majario LIVE

Bas baada ya princess kukata simu nikamsogelea mke wangu nikamwambia si umeona kipenzi changu. We niamini tu na kuwa muelewa . Mimi nimekosea ilaa sasa hivi sitaki tena kuwa na...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

Fatuma akanmbia kumbe ndo unayonifanyia aya. Unazani nilikuwa sina habri zako . Unazani sijuh najua sana . Kuwa apa chuo una mwanamke mjinga ww. Daah nikamwambia plsss mke wangu...

MY WANGU❤️ sehemu ya 81 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 81
@majario LIVE

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MAAMOJA Basi maisha yakawa yanenda hivyo. Na zayd akawa nanaitafuta kila siku. Alivyokuwa kenya. Siku iyo usiku hivi .nipo ndani kwangu . Nilikuwa napanga nguo zangi mana nilikiwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 79 na 80
@majario LIVE

Zayd akasema ni mimi. Naona unaniangalia sana wala haujanifananisha ndo mm zayd tulisoma wote singida . Na mala ya mwisho tulipewa suspension na mwenzangu ukahama shule. Mh nikasema ahaa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 78 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 78
@majario LIVE

Basi bibi mie nikaanza kujiandaa kwa ajili ya club. Na nguo nnazo kama zote. Kuna mda mlige ananinuliaga mpkaa nguo za ajabu . Ila nivae tu nikiwa na...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 51...52💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 51...52💘💘
@majario LIVE

Uwe na usiku mwema mke wangu mimi nitakwenda kulala kwenye chumba changu kingine natumaini hili jambo litabakia kuwa la siri kati yetu sisi wawili..... natumaini hautamwambia mtu yeyote yule Acha...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 30
@majario LIVE

Akanmbia mi nitakuazima pesa milion 10 . Uanze nayo. Ununue mashine zote.na ukalipie fremu apa maeneo ya chuo utapata wateja wengi. Mh nikaona uyu demu ana roho nzuri ety anamfikilia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 MWANZO......... Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majuto😄😄😄. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele 😀😀😀. Asubuhi majira ya saa...

NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO.... Call me Paaye, oooh Paaye hata sijui hili jina lina maana gani na siijui wazazi wangu walilipatia kwa mkorea yupi maana kwa hili jina saluti kwao Aaah Paaye...

MIRANDA (Binti Yangu) 1 - - - - - 5 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA...... Kuna ule msemo kuwa mpende yule anaekupenda na mthamini yule anaekuthamini,yes naweza kusema kuwa mimi nilibahatika kupendwa na kuthaminiwa bwana 😊 Yaani binti yenu kwenye kupendwa sijui...

REAL LOVE*  Chapter 10 Post Mpya
REAL LOVE* Chapter 10
@majario LIVE

yani sekunde kadhaa tu mtu ashachezea john hakuwa anapenda ujinga hata kidogo yani, alikuja kuzuiliwa na seven lakini john bado alitaka ampige devi kutokana na ujinga alioufanya, niachieeee seven uyu shetani sana...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 50💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 50💘💘
@majario LIVE

0742133100 Babie Love ""🎶🎶from the day that I met you girl"" ""I knew that your love would be "" ""Everything that I ever wanted in my life🎶🎶"" ""🎶🎶from the moment you spoke my...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest