Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

 π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” ___________________________________  SEHEMU YA 19 - 20 "Shindwaaaaa sitaki pesa zako tokaaaaaaa usiniharibie maisha yangu
Gonga94 Β· Stories

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
, sikutaki, nampenda mume wangu nakwambia toka toka" nilipandwa na wazimu nilianza kumwagia mchanga huku nikimfukuza, nilimchafua kweli niliona anataka kuyaharibu maisha yangu, anataka kuharibu wakati mzuri niliokua nao na mume wangu, sikutaka kutanguliza tamaa mbele niliona upendo wangu kwa mume wangu ni mkubwa kuliko pesa alizokua ananipa huyo baba.

Nilipandwa na wazimu nilitaka kumwagia na mafuta ya kula, watu wema walimchukua yule baba akiwa kaaibika vya kutosha amelowana kwelikweli, mara si nikamwona mume wangu Meckson, nilimkimbilia na kumkumbatia kwa nguvu sana nilimshitakia juu ya yule baba alinituliza aliita boda boda na kunambia kwamba twende nyumbani, tujiepushe na watu wengi hapa, tulipanda bodaboda na kuondoka ajabu njia ambayo tulikua yunapita ni tofauti na ile ambayo niliizoea, nilimwuliza mume wangu vipi aliendelea kunituliza na kunambia subiri tufike kwanza.

Bodaboda ikatupeleka mpaka nje ya geti moja, mlinzi aliefungua geti alikua mlinzi mkuu kati ya wale waliokua wanailinda nyumba yetu kule ilipouzwa mambo hayo yalikua yananishangaza sana.

Jumba lilikua la ghorofa moja zuri kuliko tuliyokua tunaishi mwanzoni, nilimwuliza mume wangu hapo kwa nani na kwanini mlinzi anamwita boss, mume wangu hakunijibu bali alinibeba, tulipofika mlangoni, mlango ulifunguliwa tukaingia ndani, tuliwakuta watu wengi sana, shangazi, Diana, John yaani watu wengi sana walianza kutupigia makofi mengi ya furaha, nilishangazwa na jambo hilo mbona kama ndoto watu waliokua upande mwingine yaani wamekataa kutusaidia ndio walikua mbele yetu tena wakitushangilia.

"Karibu sana mke wangu kwenye nyumba yetu mpya, nikupe pole kwa kila kitu ulichokipitia kwani yote yalikua maigizo, ulikua mtihani ambao nilikua nakupima naona umepita vizuri kweli nimepata mke wa kunifaa katika maisha yangu hongera sana mke wangu" kidogo nianguke na presha ila mume wangu alinikumbatia yaani shida zote hizo tulizokua tunapitia yeye alikua ananipima nilijikuta nalia machozi ya huzuni na furaha kwa wakati mmoja.

Mume wangu alinikumbatia watu wote walituzunguka walitukumbatia na kutupongeza juu ya mtihani huo mgumu ambao mume wangu aliamua kunipitisha makusudi kumbe hata kuuzwa kwa nyumba ni maigizo kukosa msaada nj maigizo hata kutongozwa na yule baba yote maigizo ya kupima uvumilivu wangu.

Kitendo cha kushikiria upendo kilinipa ndoa imara, tulifunga ndoa kanisani, Mungu akatujalia watoto watatu na ndoa yenye furuha, majaribu yalikua makubwa ila niliyavumilia, mpendwa msomaji je ukipitishwa katika majaribu kama yangu ungeweza kuvumilia na kuvuka salama au ungeanguka, majibu baki nayo mwenyewe, tumefika mwisho wa simulizi hii nzuri najua umeburudika vya kutosha, ahsante kwa kusoma pamoja na mimi Mungu akubariki sana kipenzi tukutane kwenye kazi inayokuja

THE END.
Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

π—§π—”π—§π—œπ—­π—’ π—žπ—¨π—•π—ͺ𝗔 π—œπ—‘π—”π—‘π—œπ—’π—šπ—’π—£π—˜π—¦π—›π—” ___________________________________ SEHEMU YA 19 - 20 "Shindwaaaaa sitaki pesa zako tokaaaaaaa usiniharibie maisha yangu

, sikutaki, nampenda mume wangu nakwambia toka toka" nilipandwa na wazimu nilianza kumwagia mchanga huku nikimfukuza, nilimchafua kweli niliona anataka kuyaharibu maisha yangu, anataka kuharibu wakati mzuri niliokua nao na mume wangu, sikutaka kutanguliza tamaa mbele niliona upendo wangu kwa mume wangu ni mkubwa kuliko pesa alizokua ananipa huyo baba.

Nilipandwa na wazimu nilitaka kumwagia na mafuta ya kula, watu wema walimchukua yule baba akiwa kaaibika vya kutosha amelowana kwelikweli, mara si nikamwona mume wangu Meckson, nilimkimbilia na kumkumbatia kwa nguvu sana nilimshitakia juu ya yule baba alinituliza aliita boda boda na kunambia kwamba twende nyumbani, tujiepushe na watu wengi hapa,...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/tatizo-kubwa-inaniogopesha-___________________________________-sehemu-ya-19-20-shindwaaaaa-sitaki-pe

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi tatizo-kubwa-inaniogopesha-___________________________________-sehemu-ya
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.11K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.25K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.48K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

2.56K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.3K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.11K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.11K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.03K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.99K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

1.95K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest