Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
11 Nov 2025
265 views
VYOTE NDANI GONGA94
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 11 "Sikatai huyu alikua dada wa kazi nyumbani kwetu tena kwa miaka
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
mingi lakini hakua katika mahusiano na kaka yangu, ila wamewahi shiriki uzinifu baada ya huyu dada kumtega kaka angu alipokua anatoka kuoga na kupelekea kaka angu aweze kuanguka kwenye dhambi ya uzinzi, baada ya kile kitendo kujulikana na wazazi wetu wakaamua kumfuta kazi huyu dada kutoka nyumbani kwetu kwani yalionekana sio maadili kabisa ila mpaka anaondoka stahiki zake zote alikwisha lipwa hakua anadai hata senti mbovu.
Baada ya miezi kadhaa alirudi na kudai kwamba ana mimba ya kaka John, jambo ambalo lilikua gumu kukubalika na familia yetu, siku aliyojifungua kwenye ile hospitali ndipo mimi nilikua nafanyia kazi japo yeye hakujua hilo, nilishughulikia gharama zote za yeye kutibiwa pale bila yeye kubaini kwamba nilikua nyuma ya matibabu yake na mwanya huo ndio ulinifanya nipime DNA ya mtoto pamoja na kaka angu na majibu ya vinasaba yalikua tofauti kabisa kwamba mtoto hakua wakwetu na majibu ni haya nimeyabeba, nayawasilisha kwako baba mchungaji, baada ya kuruhusiwa hospitalini huyu dada alikua anadai kwa nguvu sana pesa ya matumizi, ndipo kaka yangu aliamua kumfungia vioo kabisa kwani mtoto hakua wakwetu.
Kwa upande wa Conso, siku aliyosikia kaka anapanga mipango ya kufunga ndoa na Diana alijipanga kuharibu hii ndoa alianzisha chokochoko nyingi hapa nikisema chokochoko namaanisha zile zinazoonekana na zisizo onekana ambazo ni za nguvu za giza.
Kwa uwezo wa Mungu tumevuka salama na hili ndilo bomu lake la mwisho na mimi sitokubali liyaharibu maisha ya kaka angu ninazo voice note pamoja na jumbe za meseji alizokua anazungumza na rafiki ake akimpa ukweli wa mambo kwamba mimba si ya kaka John ni mimba ya muuza genge, pia ni ushahidi tosha kwa kuonesha ni waganga wangapi aliwatembelea ili kuzuia hii ndoa" Peter alitoa vielelezo vyote hivyo projector ya kanisa iliwekwa tayari kudisplay kila kitu. Conso alikua katika hali ya kutetemeka, hira na uovu aliotaka kufanya ulibainika na kuzaa aibu kwake watu wote wa kanisani walipata kujua ukweli wa mambo, wapo waliopata kujilaumu kwa kumwamini Conso na machozi yake ya kinafki.
Peter alifunua kitabu cha ukweli na kila mtu alipata kujua. Conso alikimbia kutoka nje kwa fedheha kubwa sana.
Kwa upande wa Diana alishaamka alipewa ukweli wa mambo alikua yupo katika afya nzuri alirudishwa kanisani na kufunga ndoa yao, shamrashamra za za sherehe zilikua kubwa na tamu zaidi kwani jambo la Conso liligeuka kama pilipili iliwasha ila haikuacha kuwapa utamu.
John alimshukuru sana mdogo ake kwa kumwokoa dhidi ya aibu ya mwaka ambayo angekutana nayo, tulishiriki sherehe ukumbini, ilipokwisha tulirudi nyumbani kwetu, usiku huo sikuweza kulala kwani tumbo lilikua linaniuma sana, maumivu ya tumbo yalikua makali sana, kibaya zaidi nilikua natokwa na damu nyingu ikabidi, Meckson anichukue na kuniwahisha hospitalini baada ya vipimo, majibu yalikua makali sana kuyapokea.
Itaendelea......
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MY WANGUβ€οΈ sehemu ya 69 na 70
Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana...
7 MPAKA 9 π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani i...
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 11 "Sikatai huyu alikua dada wa kazi nyumbani kwetu tena kwa miaka
mingi lakini hakua katika mahusiano na kaka yangu, ila wamewahi shiriki uzinifu baada ya huyu dada kumtega kaka angu alipokua anatoka kuoga na kupelekea kaka angu aweze kuanguka kwenye dhambi ya uzinzi, baada ya kile kitendo kujulikana na wazazi wetu wakaamua kumfuta kazi huyu dada kutoka nyumbani kwetu kwani yalionekana sio maadili kabisa ila mpaka anaondoka stahiki zake zote alikwisha lipwa hakua anadai hata senti mbovu.
Baada ya miezi kadhaa alirudi na kudai kwamba ana mimba ya kaka John, jambo ambalo lilikua gumu kukubalika na familia yetu, siku aliyojifungua kwenye ile hospitali ndipo mimi nilikua nafanyia kazi japo yeye hakujua...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/tatizo-kubwa-inaniogopesha-sehemu-ya-11-sikatai-huyu-alikua-dada-wa-kazi-nyumbani-kwetu-tena-kwa-mia
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi tatizo-kubwa-inaniogopesha-sehemu-ya
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 6 Akanishika kiuno vizuri akanibeba mpaka kitandani akaniweka
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 7 "Niko zanzibar Cuzo, nakula maisha kidogo" "Mmmh weee Diana
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 13 Alinivuta na kunikalisha chini walinifunga kamba konani na kuniziba mdomo w
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 9 "Binti amegundulika ni mjamzito kwa mila na desturi za ukoo wetu itakua vigumu
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 8 "Vipi kuna nini mbona umepoteza furaha gafla, uso wako umelikimbiza tabasamu
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 17 - 18 Asubuhi na mapema tulipeana cha asubuhi cha kuagana
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 15 "Hapana hapana usifanye hivyo mlinzi nakuomba usimwage
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 16 Maisha ya kutoka kwenye kiyoyozi mpaka kwenye feni ya kawaida
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 14 "Mke wangu nimepoteza migodi yangu yote, mke wangu tumefirisika sisi aaaaaaah aaaaaah"
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 10 Mchungaji alimnyamazisha mwanamke huyo asiendelee kulia kwani kulia isingeweza
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 12 "Poleni sana ujauzito uliokua tumboni mwa Brigita umeharibika, naomba mjipe nguvu