Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
12 Nov 2025
207 views
VYOTE NDANI GONGA94
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 12 "Poleni sana ujauzito uliokua tumboni mwa Brigita umeharibika, naomba mjipe nguvu
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
katika kipindi hiki hasa Meckson uwe imara ili mkeo azidi kuimarika zaidi" Daktari alitupa ushauri pale wa kututuliza ila mioyo yetu ilikua inawaka moto yaani mimba ya kwanza inaharikia nililia sana, mume wangu alinichukua na kunipeleka ufukweni mwa bahari alichagua hilo eneo kama sehemu ya kunituliza, alinilaza kifuani mwake na kuanza kunituliza namna upepo ulivyokua unapuliza taratibu mimi nilianza kulia tena niliyaona mapenzi makubwa ya Meckson kwangu ila mapenzi hayo yangenoga zaidi kama ningempa zawadi ya mtoto, aliendelea kunibembeleza akinitolea mfano ya mchanga wa bahari na kudai huenda tutakua na watoto wengi kama hao mchanga wa bahari, alienda mbali na kunipa mifano kwamba hata mitume na manabii mbalimbali walipitishwa kwenye majaribu na wao walikua binadamu kama sisi hivyo tulipaswa kujikaza na kuwa na imani kubwa, nilimkubalia ila nilimwomba jambo moja alitega sikio kunisikiliza.
"Naomba tumleee mtoto mmoja pale kituoni kama mtoto wetu yaani hatutamchukua kuishi nae ila tumgharamie kwa kila kitu kuanzia mahitaji yake muhimu pamoja na mambo ya shuleni, hii itakua shukrani yetu kwa Mungu pia tutamwonesha kwamba bado tunauhitaji na mtoto kwenye maisha yetu" alikubali wazo hilo, akakubali akanirudisha nyumbani kwaajili ya kupumzika nilikua na amani tele moyoni mwangu sijui amani hiyo ilitokea wapi ila nilijikuta niko na amani na moyo wenye kushukuru sana.
Nilipokea matibabu hospitalini kwa wiki moja nilikua nasafishwa ili kama kuna sehemu ya uchafu imebaki iweze kuondolewa mpaka nilipokua salama kabisa mwenye afya tele ndipo mume wangu aliniaga kwamba anaelekea mbeya kutazama maendeleo ya mashimo yake ya migodi, nilitamani kumsindikiza kwani niliona hizo siku kuwa mbali na yeye nitamkumbuka sana ila alinituliza na kunambia kwa afya yangu sio vizuri kutembelea migodini, nikamwelewa hivyo nilimsindikiza mpaka kiwanja cha ndege alipanda na kuelekea mkoani mbeya, tulikua tunawasiliana kwa video call na jumbe za hapa na pale pia aliniahidi akirudi mjini atanichukua na kunipeleka matembezi Dubai, yaani nilitamani nizikamate siku na nizisogeze mbele, nimewahi sikia uzuri wa Dubai kwahiyo nilikua karibu kupaona, moyo ulizidi kujawa na matamanio ya kweli, kwakua mazungumzo yetu yalikua usiku kabla ya kulala hivyo tulitakiana usiku mwema, nikasali na kulala, nikiwa kwenye ndoto niliota kama kuna vishindo vya watu vinatua ndani ya nyumba yetu, niliendelea kulala kwa kujigeuza upande wa pili, mara nilisikia mlango wa chumba changu ukichokonolewa nilishtuka, kumbe haikua ndoto bhana ni uhalisia mlango wa chumba changu ulikua unachokonolewa, nilijaribu kumpigia Mume wangu ila sikumpata kwenye simu nilimpigia mlinzi bado ukimya ulitawala, mlango ulifunguka nilikua nimejikunyata pembezoni mwa kitanda nikiwa mwingi wa hofu.
Waliingia watu wawili walikua wameficha sura zao ila nilihisi ni wanaume kutokana na ongea yao pia miili mikubwa iliyojazia vizuri yenye nyama nyama za kutosha.
Mkononi mwao walikua na bunduki, waliniamrisha niseme zilipo fedha zote za mume wangu, nilikua mwoga na sikujua ni wapi pesa hizo aliziweka kwani mimi aliniachia pesa ya matumizi tu, nilijitetea ila hawakuonesha kunielewa kabisa, majambazi hao walionesha kuchukizwa na mimi kutokuwapa ushirikiano wa kuwaonesha fedha hivyo walikua tayari kunifanyia kitu chochote kibaya.
Mmojawao alianza kunisogelea kwa nguvu alipanda kitandani nilijua nimeisha Brigita mimi, alinishika mguu, nilipiga kelele za kuomba msaada ila hazikusaidia bado aliendelea kunishika na kuanza kunivuta sasa nisogee alipo yeye, nilikua kwenye wakati mbaya sana.
Itaendelea.......
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MY WANGUβ€οΈ sehemu ya 69 na 70
Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana...
7 MPAKA 9 π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani i...
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 12 "Poleni sana ujauzito uliokua tumboni mwa Brigita umeharibika, naomba mjipe nguvu
katika kipindi hiki hasa Meckson uwe imara ili mkeo azidi kuimarika zaidi" Daktari alitupa ushauri pale wa kututuliza ila mioyo yetu ilikua inawaka moto yaani mimba ya kwanza inaharikia nililia sana, mume wangu alinichukua na kunipeleka ufukweni mwa bahari alichagua hilo eneo kama sehemu ya kunituliza, alinilaza kifuani mwake na kuanza kunituliza namna upepo ulivyokua unapuliza taratibu mimi nilianza kulia tena niliyaona mapenzi makubwa ya Meckson kwangu ila mapenzi hayo yangenoga zaidi kama ningempa zawadi ya mtoto, aliendelea kunibembeleza akinitolea mfano ya mchanga wa bahari na kudai huenda tutakua na watoto wengi kama hao mchanga wa bahari, alienda mbali...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/tatizo-kubwa-inaniogopesha-sehemu-ya-12-poleni-sana-ujauzito-uliokua-tumboni-mwa-brigita-umeharibika
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi tatizo-kubwa-inaniogopesha-sehemu-ya
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 6 Akanishika kiuno vizuri akanibeba mpaka kitandani akaniweka
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 7 "Niko zanzibar Cuzo, nakula maisha kidogo" "Mmmh weee Diana
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 13 Alinivuta na kunikalisha chini walinifunga kamba konani na kuniziba mdomo w
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 9 "Binti amegundulika ni mjamzito kwa mila na desturi za ukoo wetu itakua vigumu
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 8 "Vipi kuna nini mbona umepoteza furaha gafla, uso wako umelikimbiza tabasamu
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 17 - 18 Asubuhi na mapema tulipeana cha asubuhi cha kuagana
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 15 "Hapana hapana usifanye hivyo mlinzi nakuomba usimwage
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 16 Maisha ya kutoka kwenye kiyoyozi mpaka kwenye feni ya kawaida
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 14 "Mke wangu nimepoteza migodi yangu yote, mke wangu tumefirisika sisi aaaaaaah aaaaaah"
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 10 Mchungaji alimnyamazisha mwanamke huyo asiendelee kulia kwani kulia isingeweza
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 11 "Sikatai huyu alikua dada wa kazi nyumbani kwetu tena kwa miaka