Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya β Gonga94 Semajambo
Gonga94 Β· Stories
15 Nov 2025
355 views
VYOTE NDANI GONGA94
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 17 - 18 Asubuhi na mapema tulipeana cha asubuhi cha kuagana
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
, hata kama maisha magumu ndo nanii nayo tunyimane jamani akhuu tulifanya kwa raha zote, tukiwa imara na roho zimesawazika kila mmoja alienda eneo lake la kufanyia kazi, kwangu nilijitahidi kupika vitumbua vizuri ambavyo wateja wangevipenda pia usafi eneo la kazi na hata vifungashio vyangu vilikua visafi sikutaka kuharibu kazi hata kidogo, sikumtafuta Diana wala nae hakunitafuta ule u cuzo cuzo wa kinafki wote ulikwisha kila mmoja alikua pande yake anayapambania maisha yake na mumewe, wao matajiri sisi maskini ila anga si moja, hata hewa tunayovuta si moja hilo halikunibabaisha kabisa.
Mwezi mzima ulikatika mimi nikiendelea na kazi yangu, mume wangu nae anachapa kazi, ilikua familia ya kazi kweli kweli pia hatukusahau kutoa sadaka na kuweka akiba tuliamini kwenye mbinu zote za kiuchumi.
Siku moja nikiwa kazini kwangu alikuja baba mmoja hivi wa makamo alikua amependeza sana pia alishuka kwenye gari zuri, alikuja mpaka nilipokua alianisalimia na kununua vitumbua alikaa pembeni yangu huku anakula alisifia sana mapishi yangu, nilimshukuru alilipa akaondoka zake ikawa kila siku ndo kawaida yake ya kuja ndani ya wiki mbili tulitokea kuzoeana sana, akataka kuniongezea mtaji wa biashara nikamwambia ngoja kwanza nifikirie juu ya jambo hilo akanijibu sawa niliporudi nyumbani sikutaka kuficha chochote niliamua kumwambia mume wangu juu ya huyo baba, mume wangu alinikataza na kunambia nihame mahali hapo napouzia vitumbua nichague eneo lingine, mimi nilikubali kumtii mume wangu, nikabadili eneo ila ajabu akanifata kule kule akaniambia kwamba popote nitakapokwenda upendo wake utanifuata, alienda mbali zaidi na kunambia kwamba ananipenda anataka kunisaidia kwenye maisha yangu, alinipatia na kibunda cha fedha, fedha nyingi ambazo kwa kuzitazama zilikua na msaada mkubwa kwenye maisha yetu na mume wangu, pesa zilinitamanisha sana nilibaki njia panda sielewi nizipokee au nizikatae, nilitazama ukali wa jua, yaani mwenzenu nilichoka, mikono ilikua inatetemeka akili na moyo vilikua kwenye mashindano makubwa sana ambayo niliona yananielemea Brigita mimi nilikua katika hali ngumu sana.
Itaendelea.......
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MY WANGUβ€οΈ sehemu ya 69 na 70
Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana...
7 MPAKA 9 π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘ Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani i...
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 17 - 18 Asubuhi na mapema tulipeana cha asubuhi cha kuagana
, hata kama maisha magumu ndo nanii nayo tunyimane jamani akhuu tulifanya kwa raha zote, tukiwa imara na roho zimesawazika kila mmoja alienda eneo lake la kufanyia kazi, kwangu nilijitahidi kupika vitumbua vizuri ambavyo wateja wangevipenda pia usafi eneo la kazi na hata vifungashio vyangu vilikua visafi sikutaka kuharibu kazi hata kidogo, sikumtafuta Diana wala nae hakunitafuta ule u cuzo cuzo wa kinafki wote ulikwisha kila mmoja alikua pande yake anayapambania maisha yake na mumewe, wao matajiri sisi maskini ila anga si moja, hata hewa tunayovuta si moja hilo halikunibabaisha kabisa.
Mwezi mzima ulikatika mimi nikiendelea na kazi yangu, mume wangu...
π Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/tatizo-kubwa-inaniogopesha-sehemu-ya-17-18-asubuhi-na-mapema-tulipeana-cha-asubuhi-cha-kuagana
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi tatizo-kubwa-inaniogopesha-sehemu-ya
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 6 Akanishika kiuno vizuri akanibeba mpaka kitandani akaniweka
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 7 "Niko zanzibar Cuzo, nakula maisha kidogo" "Mmmh weee Diana
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 13 Alinivuta na kunikalisha chini walinifunga kamba konani na kuniziba mdomo w
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 9 "Binti amegundulika ni mjamzito kwa mila na desturi za ukoo wetu itakua vigumu
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 8 "Vipi kuna nini mbona umepoteza furaha gafla, uso wako umelikimbiza tabasamu
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 15 "Hapana hapana usifanye hivyo mlinzi nakuomba usimwage
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 16 Maisha ya kutoka kwenye kiyoyozi mpaka kwenye feni ya kawaida
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 14 "Mke wangu nimepoteza migodi yangu yote, mke wangu tumefirisika sisi aaaaaaah aaaaaah"
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 10 Mchungaji alimnyamazisha mwanamke huyo asiendelee kulia kwani kulia isingeweza
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 11 "Sikatai huyu alikua dada wa kazi nyumbani kwetu tena kwa miaka
π§ππ§πππ’ ππ¨ππͺπ ππ‘ππ‘ππ’ππ’π£ππ¦ππ SEHEMU YA 12 "Poleni sana ujauzito uliokua tumboni mwa Brigita umeharibika, naomba mjipe nguvu