Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

*TUNU NA UTAMU WAKE* *1-3*   SEHEMU YA : 01  Mimi nimekua na kulelewa na kaka tu. Wazazi wetu walifariki zamani sana, enzi izo nilikua nina miaka 10 na kaka alikua na miaka 20
Gonga94 · Stories

*TUNU NA UTAMU WAKE* *1-3* SEHEMU YA : 01 Mimi nimekua na kulelewa na kaka tu. Wazazi wetu walifariki zamani sana, enzi izo nilikua nina miaka 10 na kaka alikua na miaka 20

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋
.

Kulea mtoto mdogo kama mimi haikua rahisi kwake, ukizingatia na yeyee pia alikua mbioni kuelekea chuo. Alipoona mambo yamebana sana akaamua kuacha masomo yake ili mimi nipate kusoma.

Sio icho tu, Akaingia mtaani kutafuta pesa, alifanya kazi nyingi sana karibia kazi kumi kwa mwezi. Apo alikua anafua nguo za watu, ana osha magari mpaka kuzibua choo!

Daah nikikumbuka naisi machozi yananilenga lenga. Basi mwishoni akaja kupata kazi kwenye gereji moja iviii nje kidogo na mtaa tulio kua tukikaa.

Hiyo gereji ilikua ina milikiwa na mchungaji flanii ivii alikua maarufu sana kwa kutoa neno la Mungu na uponyaji.

Sasa kwakua kaka alikua anafanya kazi kwenye gereji yake, ikabidi na yeye aanze kwenda kwenye kanisa lake.

Apo ndipo safari ya kiroho ilipoanza kwa kaka yangu. Taratibu neno na upako vikamuingia, akaanza kunipeleka na mimi. Tukatambulishwa na kuwa waumini wa pale.

Kila siku ya jumapili tuli hudhuria ibada, bado kuna maombi ya kila siku saa kumi na mbili mpaka saa moja usiku. Pia kuna kufunga kila mwezi kwa siku saba. Apo bado tena kuna kuamka usiku kwaajili ya kusali. Yani unasali mpaka kuna kucha🤣.

Haikua rahisi ila sasa ningefanyaje?? Nikajitaidi ivo ivo hadi pale nilipofanikiwa kwenda kidato cha tano! Angalau nikaondokana na lile swala.

Najua mtasema kua simpendi Mungu ila nampenda sana ni vile nilikua nashindwa kufunga na kuamka usiku wa manane, iyo ndo ilikua shida yangu kubwa.

Basi bhana likizo moja wakati nimerudi nyumbani kupumzika, nilikutana na habari zilizo nishangaza kidogo. Eti kaka alikua ameshaoa mwanamke wa pale kanisani kwao.

Kilicho nishangaza zaidi ni kwamba na yeye aliamua kuanzisha kanisa lake. Nikadhani labda ni utani kumbe mwenzangu alikua serious😩.

Alitafuta eneo kubwa akafunga mahema na kuanza kutoa neno. Kidogo kidogo watu wakaanza kuvutiwa nae na kuanza kuhudhuria.

Alianza na watu 20 ila mpaka narudi shule likizo
Ilipoisha, alikua na watu 150 na bado wengine wakawa wanaendelea kumiminika.

Hayaaa, mimi nikiwa shule nikapambana na kusoma ila niliona kabisa ule mtihani sitatoboa. Na kweli matokeo yalipotoka nilifeli vibaya mno🤦‍♀️.

Maksi zangu hazikutosha kabisa kunipeleka chuo! Kaka akakasirika vibaya mno maana lengo lake lilikua kuniona nafika mbali kielimu.

“Na hizi maksi utaenda wapi??” Aliongea kwa hasira mimi nikabaki natizama chini kwa aibu😓.

“Si nakuuliza wewe??” Akarudia tena

“Sijui kaka” nilikua naogopa vibaya mno😰

“Hujui?? Kwani huko shuleni ulikua unafanya kazi gani??”

“Kusoma”

“Ungekua unasoma wewe ningeona juhudi zako kwenye matokeo ila ni holaaa! Hakuna chochote! Sijui nitakupeleka wapi mimi”

“Mume wangu kuna kozi ndogo ndogo atasoma” wifi alichangia baada ya kukaa kimya mda mrefu

“Amefeli shule unadhani ivyo vikozi ataweza kuvisoma??? Atakuja kule kanisani anisaidie kuendesha ibada” 🤣

Niliposikia vile machozi yakaanza kunilenga lenga. Halikua lengo langu kabisa la kwenda kushinda nae kanisani.

“Kaka jamani”🥹

“Nyamazaa harakaaa! Usinikere mimi kwanza natakiwa nikatoe somo kule youtube” alinyanyuka na kuelekea chumbani nikabaki mimi na wifi tukitazamana.

“Nitajaribu kuongea nae, akikubali sawa akikataa napo ni sawa” alisema wifi

“Muombe jamani”

“Hakuna shida, we kua tu mvumilivu”

Wifi nae alinyanyuka na kumfuata mumewe chumbani. Sijui waliongea kipi huko ila kaka alikataa kabisa kunipeleka kozi fupi.

Basi kama alivyosema nikawa naenda kumsaidia kanisani kila siku. Apo Usiku kwenye maombi tuliamka pamoja tukawa tunapiga ibada mpaka asubui.

Nilikua nachoka kwakweli maana hata mda mzuri wa kupumzika nikawa nakosa. Alafu mbaya zaidi kaka alikua anani chunga hatari maana alijua nikifanya jambo baya basi nitakua nime muaibisha maana mda huo alikua kashajitengenezea jina kubwa.

Mpaka nikajuta hata kwanini nilifeli, ningekua nimefaulu ningeenda zangu chuo na ningekaa huko huko hata zile kero za nyumbani ningekua nime epukana nazo.

Mnajua mpaka nikakonda??? Niliisha kweli kweli. Acheni tu😩.

Sasa bhana pale kanisani kwa kaka kila siku huwa kuna waumini wapya wanakuja, sasa siku iyo baada ya ibada kuisha walitambulishwa waumini wapya.

Miongoni mwa hao waumini wapya, alikuwepo kijana flanii ivii alijitambulisha kwa jina la Meshack.

Sijui macho yangu mabovu ama ni utoto, sijui kwakweli ila nilikua namuona handsome vibaya mno. Alafu Sio mimi tu, hata kwa waumini wengine waliokua na umri kama wa kwangu walimuona anavutia🤣.

Na Kwa sababu yake nikajikuta naanza kuhudhuria mazoezi ya kwaya bila kupenda maana yeye Alikua akipiga kinanda na kuimba pia.

Nakumbuka siku ya kwaza nafika kwenye mazoezi nakutana na wadada wengine wengi ambao nao walikua wamejiunga kwaya kwaajili yake.

Tena hao wadada walikua wanavutia vibaya mno sio mimi niliekua navaa sketi za marinda kama mtoto wa chekechea, na kujifunga kilemba kichwani🤣.

Nakuja…….

SEHEMU YA : 02

Mpaka pale nikawa nimekosa confidence kabisa. Kuanzia mazoezi yanaanza mpaka yanapokwisha sikupata nafasi hata ya kumsalimia.

Alikua ana zongwa zongwa na wadada kila dakika nikaishia kumtazama kwa mbali.

“Vipi si ulisema wewe na mambo ya kwaya hampatani?” Rafiki yangu Anna aliniuliza

“Ushaanza mambo yako”

“Hahah! Nimejua ni kipi kilicho kuleta kwaya leo”

“Ni kipi?”

“Si huyu handsome wenu Meshack! Sijui kwanini mnampapatikia?? Mbona niwa kawaida sana” Anna alibinua mdomo☹️

“Labda huna macho Anna! Sio bure inabidi uende hospitali”

“Au ile suruali yake aliyo ipasi na kuiweka mapanga ndo inawa datisha? Tena suruali pana ile kama gunia” 😂

“Usimuongelee vibaya sipendi ujue” nilinuna

“Ngoja nikuambie ukweli sasa, ananuka kikwapa balaa, nimemsogelea tu hivii hadi pua zikaziba na kupata mafua ghafla! Kijasho flani ivii kama cha beberu” 🤣

“Annaaa” nilichukia

“Ndo nakuambia! Shauri yakoo”

“Embu tuondoke bhana kabla hujanikera zaidi”
Nilimshika mkono na kuondoka nae kulekea nyumbani.

Lakini maneno ya Anna hayakunifanya niache kujihisi vile nilivyo kua najihisi juu ya Meshack. Niliumia na kuona wivu hasa pale alipokua anaongea na wasichana wengine.

Kibaya zaidi sikupata hata bahati ya kumsalimia mpaka nikawa nimemaliza mwezi kwenye ile kwaya. Sasa siku moja ilikua ni zamu yangu ya kwenda kusafisha kanisa.

Bila kujua pia ilikua ni zamu ya Meshack. Nilipofika nikamkuta yupo bize anafuta viti na kupanga meza. Nikamsalimia, akaitikia kisha nikaanza shughuli zangu.

“Nakuonaga sana kwenye kwaya ila sijapata kujua jina lako! Unaitwa nani???”

Niliposikia vile nikatabasamu maana ile nafasi nilikua naisubiria sana kwa hamu.

“Naitwa Tunu” nilijitambulisha

“Oooh! Jina zuri sana, kaka yako ndo Pastor Lameck??”

“Ndio ni kaka yangu”

“Ana mafundisho mazuri sana! Kama jana nilikesha kusikiliza masomo yake pale youtube”

“Ndio..”

Kimya kilitawala huku kila mmoja akiendelea na shughuli yake. Tulipomaliza Meshack akaomba tuongozane pamoja.

Basi nikajiona kama malikia kupata ile nafasi ya kutembea na Meshack pamoja. Kila nilipo pata nafasi nilimuangalia kwa kuibia ibia huku nikitabasamu.

“Kuna neno moja alilifundisha Pastor Lameck, nadhani lilikua ni somo la tarehe mbili January! Linahusu msamaha! Unakumbuka?”

“Ndio” nili itikia ila ukweli ni kwamba sikua nakumbuka chochote kile

“Lile somo liliniingia sana moyoni! Unajua binadamu tunapaswa kusamehe, unaweza kumsamehe mtu alafu ghafla ukajikuta unahisi amani ndani ya moyo. Msamaha unatibu mno moyo uliojaa vidonda…”

Aliendelea kuongelea msamaha wee hadi nikachoka kumsikiliza. Kwa haraka haraka nilitambua Meshack ni mtu wa dini mno.

“Meshack…., tuachane na mambo ya msamaha, nataka kujua machache kuhusu wewe”

“Oooh mimi, jina langu ni Meshack, unajua kwanini wazazi wangu walinipa jina hili? Ni kwasababu katika biblia…”

Sio siri aliniboa sana, yani anatoka kabisa nje ya mada na kwenda moja kwa moja kwenye neno la Biblia🤣.

“Meshack..” nilimuita na kumkatisha sentensi yake

“Naaam…”

“Mimi nataka tujuane kidogo, Mimi jina langu naitwa Tunu! Kama ambavyo unajua kaka yangu ni Pastor Lameck! Sisi….” Kabla sijamalizia sentensi yangu nikamuona anaangalia saa yake ya mkononi.

“Tunu samahani, acha niwahi nyumbani maana mda wa maombi unakaribia! Tutaonana kesho kwaya, kwaheriii”

Hakungoja hata nimjibu, alitoka mbio mbio kama hana akili nzuri na kuondoka. Yani na uhandsome wake wote alikua anaboa hatari.

Lakini sikukata tamaa, kwakua ule ulikua ni mwanzo, nilikua nina matumaini ya kupata nafasi ya kumjua vizuri.

Niliendelea zangu kutembea kuelekea nyumbani. Nilipofika nilikuta ndani kuna wageni, sikuona ajabu sababu pale nyumbani palikua hapakauki wageni kila dakika.

Niliwaacha wanaongea ndani, nikaingia jikoni kuandaa chakula cha jioni. Nikiwa huko akafika Anna akiwa na Biblia yake mkononi.

“Vipi? Umekuja kwenye maombi?” Nilimuuliza huku nacheka🤣

“Acha tu! Nikija bila Biblia kaka yako ataanza kunihoji maswali mengi”

“Angejua unafuataga umbea hata sijui angekufanya nini”

“Ndo maana nakuambia utafute simu, habari nyingine sio mpaka nije kwenu kila siku ama mpaka tukutane kanisani”

“Unajua kabisa kaka hataki kusikia hayo mambo ya simu. Tena nikimuambia ataishia kunigombeza, hapa kwenyewe nambembeleza anipeleke kozi”

“iyo ndo sababu imenifanya nikaja mpaka kwenu”

“Kuna nini??”

“Baba amenambia nitaenda zangu kozi ya upishi jumatatu” Anna alikua na furaha mno mpaka nikahisi wivu

“Una raha shoga angu, wewe baba yako anakufanyia kila kitu. Kakununulia simu na bado kozi unaenda, mimi hakuna kitu nafanyiwa! Nguo zenyewe ni hizi hizi kila siku! Kabati limejaa sketi za solo kama wale wauza ndizi wa uru”🤣

Anna alicheka kweli kisha mwishoni akanambia
“Pole, ila vumilia! Huwezi jua ni lini atabadilisha mawazo yake lakini pia usichoke kumuomba. Ukiona ana mood nzuri we nenda ukaongee nae”

“Nitafanya ivo… ila kabla sijasahau! Nina habari moto moto”

“Habari gani?” Alinitazama kwa makini

“Za Meshack! Leo bhana si ilikua ni zamu yangu ya kufanya usafi kanisani?? Nimefika tu nikamkuta. Tuka salimiana pale, mwishoni akaomba tutembee pamoja! Unajua ni raha kiasi gani niliyokua nayo moyoni mwangu??? Weee nahisi leo nitaota”

“Nikajua una habari nzuri kumbe niza huyo kaka”

“We ulidhani nini? Kwani hizo sio habari nzuri?”

“Ni mbaya Tunu! Yule kaka haendani kabisa na wewe! Najua tu jinsi unavyo jipa moyo lazima atakuja kuku umiza kwa siku za mbeleni”

“Mbona unasema ivo?”

“Mimi nakuambia”

“Ushaanza mambo yako, wewe Anna sijui upoje”
Nilichukia na kugeuka pembeni

“Aya yaishe, nafuta kauli yangu”

“Ndio ishia hapo hapo na usije ukarudia tena kusema maneno kama hayo”

“Yaisheee mama! Na mdomo wangu nime ufunga”

“We hayaa” niliendelea kupika chakula nikiwa napiga stori na Anna, kilipoiva hakutaka kuendelea kubaki, aliaga na kwenda nyumbani kwao.

Nakuja………….

SEHEMU YA : 03

Upande wa Meshack alipo maliza maombi yake, alitoka chumbani Akakuta Mama yake anaandaa chakula cha usiku

“Meshack… nina habari hapa mwanangu! Habari nzuri sana” mama yake alimuambia

“Habari gani??”

“Nimeambiwa Jaxon ataachiwa siku sio nyingi!…..kakaa yako atarudi nyumbani tena”🥺

Meshack alimuangalia sana mama yake akionyesha hajafuraia zile taarifa “kwaiyo akiachiwa atarudi tena hapa??”

“Ndio! Sisi ni familia yake kwaiyo hana pengine pa kwenda zaidi ya hapa”

“Nimeshachoka sasa! Kila mahali tunapokwenda lazima Jaxon aje kutuharibia. Tumehama mara ngapi??? Hii ni mara ya sita sasa sababu ya tabia zake! Kwanini asiache ujambazi, uhuni na ubabe usio na maana??? Kila mara anakwenda jela na bado hakomi wala kubadilika! Tabia zote chafu ni yeye anazifanya! Mpaka naona aibu kumtambulisha kwa watu kuwa yeye ni kaka yangu”🥹

“Unajua Jaxon alivyo… nitaongea nae na nina imani atabadilika kabisa. Ni swala la mda tu Meshack”

“Ni mara ngapi anawekwa kikao?? Hadii nilikua naomba wachungaji waongee nae ila bado tu haelewi! Mimi sitaki kabisa aje hapa! Sitaki aje kutuharibia maana huu ni mtaa ambao una amani! Sitaki” Meshack alikua mkali🗣️

“Sawa basi hatakuja tena apa” Mama Meshack aligeuka upande wa pili akaendelea na mapishi.

Basi siku iliyofuata niliamka kichwa kinauma hatari utadhani kuna mtu anagongelea msumari kwenye ubongo.

Kwakua nilikua naumwa sikuamka kufanya maombi wala kupika chai. Wifi alielewa akanambia siku iyo nibaki nyumbani nipumzike.

Kwaiyo sikutoka kwenda popote hata kwaya sikwenda. Nikadhani labda kesho yake napo nitakua sawa ila bado hali ilizidi kuwa tete mpaka Kaka akanipa hela niende hospitali kupima😔.

Asubui mapema nikajiandaa na kwenda hospitali. Nikapimwa vipimo vyote kisha majibu yalipokua tayari nikaitwa chumba cha Daktari.

“Karibu ukae” Dokta alinikaribisha, nikavuta kiti na kukaa.

Baada ya kukaa, Dokta akaangalia faili langu kwa muda kisha akaniuliza “ulianza kuumwa kichwa toka lini??”🤔

“Aaaah..juzi tu niliamka nikiwa naumwa”

“Ni kichwa tu ndo kinakusumbua sio??”

“Ndio Dokta”

“Na una miaka mingapi saa izi??”

“20!”

“Daaah! Aiseee” Dokta akasikitika mno nikashindwa kuelewa kinacho msikitisha ni kipi jamani🥱.

“Dokta kwani kuna nini??”

Dokta alishusha pumzi “Tunu, pole sana! Ila nataka ujue kuwa, hii ni hali kama hali nyingine! Usikate tamaa wala usiumie!…….. Tunu, wewe bado ni mdogo sana kubeba ugonjwa kama huu ndo maana nakupa pole na kukusikitikia….” Alinyamaza kwa mda ndipo akaendelea tena kuongea

“Tunu! Vipimo vinaonyesha una kansa ya ubongo! Hali yako ni mbaya sana kiasi kwamba umekua ukipata maumivu makali ya kichwa!….. nasikitika kukuambia kuwa umebakisha siku chache za kuishi”

Khaa! Nikawa siamini alichosema yule Dokta! Ghafla machozi yakaanza kushuka maana hakuna anae penda kufa na ugonjwa mkubwa kama ule. Tena na kwajinsi Dokta alivyo kua anani sikitikia nikaona hapa sitoboi😭😭

“Nime….bakisha…. Siku nga…pi??” Nilimuuliza

“Mwezi mmoja” 🥺

Kusikia vile nikajiinamia na kuanza kulia kwa sauti kama mfiwa. Ikabidi Dokta asimame, aje kunibembeleza na kunipaa ushauri. Alinishauri sana yule Dokta na hata sikua namuelewa.

Alinambia kila wiki niwe naenda kufanya vipimo na kuchukua dawa ili nisiwe naishiwa nguvu. Kwakua kansa yangu ilifika stage mbaya, sikua na uwezo wa kutibiwa zaidi ya kupewa dawa za maumivu😭.

Hata sikumjibu yule Dokta, Nilichukua karatasi yangu ya dawa nikaenda kuchukua dawa nilizo andikiwa na kuondoka.

Apo njia nzima nalia kama mwehu, nikawa nafikiria hadi mazishi yangu yatakavyo kuwa, jinsi watu watakavyo lia na jinsi kaka angu atakavyo endesha mazishi yangu😂.

Nikafika mahali nikasimama nikajiuliza ivi kweli nakufa na utamu wangu?? Sijawai hata ambulia busu ivi kweli nakufa hata busu sijapigwa??? Hata sijui utamu wa mapenzi???💔

Nikasema sikubali, lazima nipate angalau busu nijue lina ladha gani. Nilitazama kulia na kushoto nikaona kuna kundi la wafungwa wanafanya usafi pembezoni mwa barabara.

Walikua wanafyeka kichaka na wengine wanafagia. Nikasogea haraka, nikamkamata mfungwa mmojawapo na kuanza kumbusu😘. Mkinambia confidence ya kufanya vile nilitoa wapi hata sijui.

Basi yule mfungwa nae hakua mzembe, alinikamatia vizuri maana na yeye alikua na ugwadu balaa. Saa ngapi wenzake wasianze kushangilia kama vichaa😂.

Shangwe zilikua za kutosha mpaka wakamuamsha askari aliekua amelala pembeni. Yule askari akaja mbio akanitoa mikononi mwa yule mfungwa.

“Una wazimu wewe dada???….. ondoka haraka kabla sijakuchukulia hatua”🗣️

Kweli nikatoka mbio mbio ila nilipo fika mbele nikageuka nyuma nikakuta yule mfungwa ananitazama adi kaishiwa pawa.

Alafu mbali ya kuwa mfungwa, ni bonge la kaka! Very handsome na tattoo zake mikononi zinafanya apendeze.

Sikuona umuhimu wa kumuangalia tena maana nilichotaka nilikipata ivyo huyooo nikaondoka zangu kuelekea nyumbani🏃‍♀️.

Je nini kitaendelea?
Nakuja……
Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*TUNU NA UTAMU WAKE* *1-3* SEHEMU YA : 01 Mimi nimekua na kulelewa na kaka tu. Wazazi wetu walifariki zamani sana, enzi izo nilikua nina miaka 10 na kaka alikua na miaka 20

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋
.

Kulea mtoto mdogo kama mimi haikua rahisi kwake, ukizingatia na yeyee pia alikua mbioni kuelekea chuo. Alipoona mambo yamebana sana akaamua kuacha masomo yake ili mimi nipate kusoma.

Sio icho tu, Akaingia mtaani kutafuta pesa, alifanya kazi nyingi sana karibia kazi kumi kwa mwezi. Apo alikua anafua nguo za watu, ana osha magari mpaka kuzibua choo!

Daah nikikumbuka naisi machozi yananilenga lenga. Basi mwishoni akaja kupata kazi kwenye gereji moja iviii nje kidogo na mtaa tulio kua tukikaa.

Hiyo gereji ilikua ina milikiwa na mchungaji flanii ivii alikua maarufu sana kwa kutoa neno la Mungu na uponyaji.

Sasa kwakua kaka alikua anafanya kazi...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/tunu-na-utamu-wake-1-3-sehemu-ya-01-mimi-nimekua-na-kulelewa-na-kaka-tu-wazazi-wetu-walifariki-zaman

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi tunu-na-utamu-wake
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67

MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67

625
MY WANGU❤️ sehemu ya 64 na 65

MY WANGU❤️ sehemu ya 64 na 65

568
MY WANGU❤️ sehemu ya 68

MY WANGU❤️ sehemu ya 68

474
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 45💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 45💘💘

414
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20

347
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70

MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70

134
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 46💘💘

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 46💘💘

86
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13

83
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11

69
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 7 na 8

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 7 na 8

54

ZIMESOMWA ZAIDI

‎TUNDA LA  DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

‎TUNDA LA DADA ‎ ‎SEHEMU YA KWANZA

11K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.79K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tisa.  👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tisa. 👉 Akaanza kunipamp sasa...👇

3.65K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya sita.  👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇  Shemeji inauma utanichana.

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya sita. 👉 Aaaaaaaaa chomoa...👇 Shemeji inauma utanichana.

3.01K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 20.  👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 20. 👉 Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...👇

2.43K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya tatu.  👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya tatu. 👉 Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...👇

2.4K
I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘10

2.27K
🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥  Sehemu ya 16.  👉 nakupenda pia...👇

🔥 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa🔥 Sehemu ya 16. 👉 nakupenda pia...👇

2.25K
❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❤❤ MTOTO WA MKE WANGU😛😛 Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.24K
🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥  sehemu ya nane.  👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

🙄 NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA🔥 sehemu ya nane. 👉 Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...👇

2.14K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIMI SIKUACHI🥰 19 MPAKA 20 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 19 MPAKA 20
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Sehemu ya 19 Daah nikasema.mwanangu iyo chupi.nimemnunulia fatuma.natka nikampelekee si unjaua bado week 3 tunaenda likizo. Lemi akaniangalia akasema mh . Aya bwana hkuna noma.mi nikaivuta ile chupi. Nikaweka chini...

MIMI SIKUACHI🥰 16 MPAKA 18 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 16 MPAKA 18
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Sehemu ya 16 Basi nikapata kaumarufu kweli kweli pale chooni. Yani ata wadada wakawa wananishobokea sana. Naomba unifundishe nifundishe kama zote. Wadada full shobo na mimi. Ata washikaji wakawa...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘  N0 46💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 46💘💘
@majario LIVE

Moyo wangu ulianza kudata juu yaHemed🥹🥹 nilijaribu kuongea nao lakini wala haukunisikia niliuambia moyo tulia hukuhuku kwa boo tayari tushasolve tatizo lililokuwepo Acha kuhamahama😟😟 lakini moyo bado ulizidi kung'ang'ania kwa...

MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 69 na 70
@majario LIVE

Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana. Yani sana tu. Na prepo ilivyoisha tukarudi darasani. Mie nikampa tu yule mwanafunzi...

MIMI SIKUACHI🥰 14 MPAKA 15 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 14 MPAKA 15
@majario LIVE

🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Sehemu ya 14 Aseee mi nilimuangalia sana uyu demu. Nikamuona jau . Yani yupo very serious ananitongoza .mnajua kuna jinsi nilimdharau . Nikaona uyu demu daaah. Alivyoona namshangaa na sijamjibu...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 12 na 13
@majario LIVE

12 MPAKA 13 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Nikasema vp mbona huniachii mkono. Akanmbia ahaa sory haji. Kisha akaachia mkono wangu. Na mda uo uo ndo lemi akawa analudi pale. Akasema ahaaa mrembo upo...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 10 na 11
@majario LIVE

10 MPAKA 11 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Aseeeee uyu demu ni mzuri bwana. Mi. Mwenyewe nilikubali. Ila sio kwamba nilimtamani no. Mi ni mwanaime ninayejielewa sana. Wanaume tuna tamani mno. Ila unakuwa na msimamo wako...

MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 7 na 8 Post Mpya
MIMI SIKUACHI🥰 Sehemu ya 7 na 8
@majario LIVE

7 MPAKA 9 🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡🟡 Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani ila lemi akanmbia kuna mtu anakutana nae kidogo nikasema powa so nikamuacha mimi nikaludi hostel.aseeee chuo kimechangamka iki sana. Yani...

MY WANGU❤️ sehemu ya 68 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 68
@majario LIVE

Basi akashuka. Akamsalimia mama pale. Mama akamuitikia. Akaniuliza. Ushakuwa tayari. Mie nikasema ndio . Akanmbia kachukue nilivyokwambia tupakie. Nikasema sawa. Kweli nikaenda kuchukua. Vilikuwa vidogo. Kweli. Vyengine niliviona kashanunua yeye...

AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 45💘💘 Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS 💘💘 N0 45💘💘
@majario LIVE

0742133100 Babie Love Niliipokea ile simu huku nikiwa natetemeka kwa uoga..... hello daddy.... pendo what's going on 🤷‍♂️ taarifa gani hizi nazoambiwa kwani hamkumaliza tofauti zenu inatakiwa muache drama mtakuja kunitesea...

MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

Aseeee nilikuwa na maumivu kwa kila sehemu ya mwili wangu. Nilikuwa na maumivu makali mnoo. Asa mkono . Yani sikuwa sawa kabisa. Namsikia mlige akiwa ndani .anasema yani nikitoka njeee...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

Nilikuwa najilazimisha hata kucheka mama aliniona ila akajua labda ni uoga tuu akaniambia mwanangu usijali bhana Kila kitu kutakuwa sawa na ndoa yako itapita vizuri tu nikawa namjibu kwakichwa saw,...

MY WANGU❤️ sehemu ya 64 na 65 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 64 na 65
@majario LIVE

Basi mie nikaingia chumbani nikajilaza kitandani.nikalia mnoo .niklia aswaaa.mana mi.mwenyewe mlige nampenda.nampenda sana.na kweli nimemkosea ila hataki ata kuongea na mie ni ananifanyia hasira tu. Basi shoga yenu nikawa nalia...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

Sasa wakati uo nimeenda nikaja kufunguliwa mlango na Kendrick, na ilikuwa inaonekana nyumbani walibaki wao wawili tu na wafanya kazi, Alivonifungulia mlango mie nikapita moja Kwa moja mpaka ndani sikutaka...

MY WANGU❤️ sehemu ya 63 Post Mpya
MY WANGU❤️ sehemu ya 63
@majario LIVE

Basi bwna tumefika nyumbani . Mama akaja akasema eeh baba jamani pole kwa usumbufu wote. Mlige akasema usijali mma kuwa na amani kabisa mma akauliza shida nn wamesema.....

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest