Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

*1 - - - - - 5* ๐—–๐—˜๐—ข ๐—ก๐—” ๐— ๐—ฅ๐—˜๐— ๐—•๐—ข ๐—ช๐—” ๐—ง๐—œ๐—ž๐—ง๐—ข๐—ž ___________________________________ SEHEMU YA 1 MWANZO....... "Ni aibu Mwanaume mwenye meno 32 kulalamika mkewe hajamuandalia chai
Gonga94 ยท Stories

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
najaribu kufikiria kuna mahali kumeandikwa mwanamke atakuwa house girl wa ndoa Wanaume wengi wanasahau hata kufua boksa zao baada ya kuoa....sijui nitumie neno gani kuongea lakini Mimi Tasha siwezi kuwa house girl wa ndoa ๐Ÿ˜.

Mwanaume anayetamani kutengeneza familia na Mimi ajiandae kuogesha Watoto wake, kama anapenda wali wenye nazi ajue atanisaidia kukuna..... vyombo pia ataosha hata Mimi pia nitafanya majukumu yake....nisiwe muongo Mimi pia napenda kutafuta pesa. Kuna wakati tutalala njaa kwa sababu tumeshinda kazini wote kutafuta pesa "

Bryant Kobe alijikuta akiachia tabasamu kwa upuuzi aliokuwa ana zungumza Tasha Mrembo wa Tiktok. Hakuishia hapo alimfollow kwa lengo la kuwa ana sikiliza pumba zake ๐Ÿ˜„.

"Nimejikuta nikihisi hasira kwa maneno anayo zungumza huyo mjinga mafundisho ya uongo yanayo tolewa mtandaoni yamefanya mabinti wengi wawe na viburi....na ndio najikuta napoteza hisia na mapenzi " Bryant Kobe alizungumza huku akizidi kumkagua kagua Tasha aliyechafua hali ya hewa kwenye mtandao wa Tiktok.

"Kwa upande mwingine yupo sahihi kuna Wanaume hata kuflash haja zao wakiwa chooni hawawezi kisa na maana ameoa ๐Ÿ˜ Mwanaume kama huyu nikimpata namnyoosha " Secretary Annie alizungumza.

"Na ndio maana hauna mahusiano mpaka sasa "

"Vipi? wewe hayo mahusiano unayo ๐Ÿ˜„" Annie alijikuta akiachia kicheko.

"Nafikiria kufanya mabadiliko ya Wafanyakazi wote kwenye hili Kampuni huenda ukawa mmoja wao hivyo kuanzia sasa kabla hujajibu au kukosoa chochote hakikisha unatuliza akili yako kwanza " Bryant Kobe alionesha hasira zake wazi wazi.

"Sa...sa...samahani " Annie alijishusha huku akibetua midomo kimya kimya,

Kauli aliyoizungumza Tasha ilikuwa gumzo mtandaoni ....watu wengi walitamani kujua historia yake.
Ni mtoto wa Kishua, msomi, Mrembo na kubwa zaidi hana kashifa mbaya sehemu yoyote ile.

Ni Mwanamke anayeamini katika usawa, hivyo tegemezi katika nyanja yoyote ile

Mida ya usiku Bryant Kobe akiwa kajipumzisha chumbani kwake aliingia Tiktok kwa mara nyingine tena.
Lengo lake lilikuwa ni kusikia pumba gani Tasha kazungumza tofauti na ile ya asubuhi.

"Mahusiano siyo ajira ๐Ÿ‘Œ kuna watu wanaingia huko kwa matarajio ya kujenga, kung'aa, kupata shepu na kumiliki simu za bei mbaya. Ni upuuzi kufikiria hivi ...nachotaka kusema hapa ni kwamba watu tufanye kazi....kitu kingine Mimi ukiniita ghetoni kwako nije kukufanyia usafi nitafanya kwa moyo mkunjufu ni kijua mwisho wa siku utanipa mshahara wangu. Msimamo wangu ni ule ule, siwezi kumfanyia usafi mpenzi wangu bure. Nitafanya hivi kwa Mume wangu kwa sababu ni nyumba yetu sote lakini siku nikiwa sina mood sitarajii kuulizwa leo hufanyi usafi ....."

"Mpuuzi huyu alianza vizuri lakini kamaliza vibaya...." Bryant Kobe aliongea pekee yake kisha akaachana na Tiktok.

Kitendo tu cha kufumba macho usingizi ulimpitia, alikuwa kachoka sana.

Kulivyo pambazuka alikunywa chai kisha akaelekea Shopping center ya Raba, ni mtu anayejipenda sana na mara nyingi anapenda kwenda na fasheni.

Raba zilizokuwa zinapatikana hapa zilikuwa ni za jinsia yote na rika lote .

Wadada wengi waliokuwa mahali hapa hawa kusita kumuangalia....wenye kutamani wampe K zao bure walinyoosha vidole vyao ndani ya mioyo yao.

"Ni CEO wa Kampuni ya Danone wanayo sambaza maji bora ya kunywa ๐Ÿ˜‹" Binti mmoja aliongea kwa sauti ya chini.

Basi baadhi ya mabinti walianza kutafuta fursa kwa kumuonesha tabasamu.

Vile ana moyo mgumu kuhusu mademu wala hakutikisika.

Akiwa katika kuchagua chagua huku na kule aliparamiana na Tasha mrembo wa Tiktok ๐Ÿคญ.

Alimanusura simu ya Tasha idondoke chini lakini Bryant Kobe aliidaka. Na ndipo macho yao yaligongana ๐Ÿ˜‰.

ITAENDELEA.......
SEHEMU YA 2
Endelea......
"Simu yako hii hapa " Bryant Kobe alizungumza baada ya kuchoka kugonganisha macho

Tasha alipokea kisha akaitia kwenye pochi yake, ni wazi kabisa hakutaka idondoke chini alijiandaa kuondoka lakini alisubirishwa.

"Hujui hata kusema ahsante nimeiokoa simu yako" Bryant Kobe aliongea.

"Mwanaume ni jukumu lako kuikoa kama ingetengeneza mpasuko hata kidogo tungefika Polisi "

"Kwanini " Bryant Kobe aliuliza kwa mshangao

"Miguu yako haikuwa makini hasara kidogo tu ingekula kwako.... camera za hapa zingetusaidia kuongea nani mhalifu na nani mwema, uwe na siku njema" Tasha aliongea kisha akaondoka.

Tayari alishajitengenezea umaarufu hivyo watu wote walikuwa wananong'ona kuhusu yeye na masomo yake anayoya fundishaga.

Bryant Kobe si mtu wa kusumbuliwa na vitu kama hivi, aliendelea na kazi yake ya kutafuta Raba kali baada ya kumaliza alielekea nyumbani kwao.

"Tafadhali sana siku ya leo naomba usiende sehemu yoyote ile kutakuwa na ugeni " Zara (Mama wa Kambo wa Bryant Kobe) alizungumza.

"Ulitakiwa kunipa taarifa mapema sina uhakika kama nitavunja ratiba yangu " Bryant Kobe aliongea akataka kuondoka lakini Zara alimtegea mguu, ili aweze kuendelea na safari yake itamlazimu akanyage mguu wa Mama yake wa Kambo. Hakuwa tayari kufanya hivi hivyo alikaa kusikiliza.

"Ulivyokuwa na miaka 5 ulipenda kuzunguka huku na kule watu wakuone kisa tu umevaa viatu vipya usiniambie hii tabia haijafa bado, usinifanyie hivyo umeshakuwa mvulana mkubwa sasa tunza hivyo viatu ndani utavaa wiki ijayo kama utaendelea kunisumbua itanilazimu ni kalie kwenye kaburi la Baba yako ๐Ÿ˜ญ" Zara aliongea.

"Huna haja ya kufika mbali, nitavunja ratiba zangu zote kwa ajili ya wageni wako " Bryant Kobe aliongea kisha akakaa kwenye kochi.

Zara ndio kutabasamu baada ya kuona anasikilizwa.

Basi kwa kushirikiana na Wafanyakazi wa ndani waliandaa chakula kwa ajili ya wageni.

Kilikuwa ni chakula kingi sana na hata Bryant Kobe alishindwa kuelewa ni kina nani hao wanakuja.

Aliingia Tiktok aone kuna habari gani mpya zinaendelea.

Alikutana na Tasha akiwa anajicheza cheza na wimbo wa Amanda ulioimbwa na Zuchu ๐Ÿ˜„.

Alisikia kuboreka zaidi ๐Ÿ˜„ aliachana na Tiktok kisha akaanza kufanya kazi zake za ofisini.

Hatimaye muda wa Wageni kuja uliwadia.
Ilimlazimu Bryant Kobe kwenda nje kukarimu Wageni akiwa na Mama yake wa Kambo.

Moyo wake ulidunda kidogo baada ya kumuona Tasha akiwa na wazazi wake.

"Karibuni...." Zara aliongea akiachia tabasamu.

"Tumekaribia....." Mama yake Tasha aliongea huku akimkodolea macho Bryant Kobe ๐Ÿ˜‰ kuna namna alimuelewa haraka sana.

"Bryant Kobe salimia ๐Ÿ˜" Zara ndio kumkumbusha.

Basi Bryant Kobe alisalimia kishikaji tu ni mtu asiyependa shobo sana.

"Huyu ndio Phillips Kobe " Baba yake Tasha aliuliza

"Hapana, yeye bado yupo masomoni....huyu ndio Kijana wa kwanza wa Kobe bila shaka umewafananisha eeeh ๐Ÿคญ" Zara aliongea.

"Nafikiri...." Baba Tasha aliongea kisha akaelekea ndani.

Basi kwa pamoja walikaa mezani kula. Ulaji wa Tasha ulikuwa mbaya sana kiasi cha kumkwaza Bryant Kobe.

Mama Tasha aliligundua hili, vile kamuelewa Bryant Kobe hakutaka akwazike hata kidogo. Alipenyeza mguu taratibu amkanyage Tasha ajirekebishe, bahati mbaya alimkanyaga Bryant Kobe.

ITAENDELEA.......
SEHEMU YA 3
ENDELEA.....
"Sa...samahani ๐Ÿ˜ฃ" Mama Tasha alijitetea

Watu wote walimgeukia kujua nini kinamfanya ajitetee.

Bryant Kobe alivunga haelewi chochote, aliendelea kula. Hakuwa mlaji sana ukilinganisha na watu wengine.

Tasha hakusita kuchukua nyama zake zote.

"Nadhani wewe si mpenzi wa nyama "

"Ndiyo, huyu si mpenzi wa nyama ukilinganisha na Philips Kobe " Zara aliwahi kujiongelesha.

Baada ya chakula kumalizika vyombo vilitolewa mezani.

"Bryant Kobe unaweza kumtembeza Tasha mazingira ya huko nje " Zara aliongea, bila shaka watu wazima wakongwe walihitaji kufanya mazungumzo.

Bryant Kobe hakuwa na noma alianza kumuonesha Tasha mazingira ya nyumbani kwao.

"Vipi unataka kuhamia hapa kwanini nimeambiwa ni kuoneshe mazingira ya hapa"

"Kichwa kikubwa akili hamna siku zote wazazi wetu hutuondoa kwa namna hiyo wakitaka kuzungumza mambo yao ya siri au ulitaka kuambiwa wee mvulana toka tuna mazungumzo " Tasha aliuliza.

Bryant Kobe hakujua ajibu nini, alimpuuza Tasha akaendelea kumtembeza.

"Nyumba yenu nzuri sana, kwa kuwa nyie ni family friend ipo siku nitakuja hapa kurekodi kipindi changu "

"Kipindi kipi? hicho unacho zungumzaga Tiktok, ukweli ni kwamba unatia ajbu sana. Kwa muonekano wako huo ulipaswa utengeneze kizazi kinachojiamini katika suala zima la utafutaji pesa na si kuongea pumba kama zile....kuna namna unafanya Wanaume waone siyo kitu. Ukweli ni kwamba kupitia mafundisho yako hayo kutakuwa na wimbi kubwa la mpasuko katika ndoa za watu " Bryant Kobe alionesha hasira zake waziwazi.

"Nilitarajia kuiona hii hoja yako kwenye sehemu ya comment na si kama hivi unavyo fanya..... mafundisho yangu yapo sahihi na nitaendelea kusambaza ulimwenguni kote. Mwanamke si Mtumwa wa Mwanaume vipi inauma kuambiwa huu ukweli...." Tasha aliuliza.

"Upo kwenye mahusiano ๐Ÿ™„" Bryant Kobe aliuliza kabla hajatoa hoja yake.

"Sipo kwenye mahusiano, vipi kwani"

"Naomba uyashike maneno yangu na uikumbuke siku hii...." Bryant Kobe aliongea Kisha akamsogelea kwa ukaribu zaidi.

Tasha alifungua masikio yake kwa umakini pia, alihitaji kusikia anacho ambiwa

"Hakuna Mwanaume atakuja kukupenda wala kukutamani utazeeka pekee yako ukijitahidi sana kuficha aibu itakulazima kuoa Mwanamke mwenzio atakaye weza kufanya kazi sawa na wewe"

Tasha aliachia tabasamu bila kujalisha ukali wa maneno ya Bryant Kobe.

"Mwanaume yoyote yule ni kimtaka nampata hata wewe ni kisema unioe sasa hivi na ufanye kazi zangu zote nazotaka utafanya " Tasha aliongea kisha akaondoka huku akicheka.....kiwango chake cha kujiamini kiko juu sana kupita maelezo.

"Bila shaka anatawaliwa na pepo la upweke, Mwanamke mwenye malengo ya kuitwa mke wa mtu hawezi kuzungumza hivi " Bryant Kobe aliongea akionekana kumpuuza kupita maelezo.

Hakutaka kuharibu siku yake, alishika simu yake akampigia Philips Kobe (Mdogo wake waliochangia Baba tofauti Mama)

"Unarudi lini? kuna namna naboreka sana siku kuisha bila kukuona wewe "

"Upweke mbaya, unanimiss sana kwa sababu upo single , mbona Secretary Annie ni mrembo fanya mpango chapu bhana" Philips Kobe aliongea.

"Nani kakueleza furaha yangu inategemea Mwanamke?....kama unamini hivi basi utateseka sana . Masharti ya Mama yako yananishinda, kuna muda ananipangia muda wa kurudi nyumbani...nimeshakuwa mvulana mkubwa eeh, nikimvimbia anatishia kwenda kulia kwenye kaburi la Baba yetu"

"Nilimuambia akuchunge kwa ajili yangu punguza hasira, nadhani wiki ijayo nitakuwa hapo ๐Ÿ˜„" Philips Kobe aliongea.

Basi waliongea mawili matatu kisha wakaagana.

Bryant Kobe anaamua kurudi ndani, anafarijika kuona Wageni wanataka kuondoka.

"Karibu nyumbani kwetu, hakikisha unakuja hata siku moja. Tasha ni Kijana mwenzako italeta picha nzuri kama mtakuwa mnatembeleana mara kwa mara " Mama Tasha aliongea akiwa kamshika mikono Bryant Kobe.

Tasha ni kubetua tu midomo kimya kimya, yupo radhi kupoteza muda wake kwa kutazama movie na si kukaa na kuzungumza na huyu kidume.

"Nikipata muda nitakuwa nafanya hivyo " Bryant Kobe aliongea kwa ufupi.

"Hebu msaidie Tasha kubeba pochi yake, anaonekana kuchoka " Zara ( Mama wa Kambo wa Bryant Kobe) alitoa maelekezo.

Macho yalimtoka Bryant Kobe kwa kazi aliyopatiwa eti abebe pochi ya Tasha๐Ÿ™„๐Ÿ™„๐Ÿ™„............Maana nicheke kwanza

ITAENDELEA.......
SEHEMU YA 4
ENDELEA.........
Bryant Kobe alitaka kugoma lakini kwa jinsi Mama yake wa Kambo alivyo mtazama hakuwa na namna.

Aliichukua pochi mikononi mwa Tasha kibabe.

Hakusubiri kuambiwa alisogea mpaka kwenye gari.

Basi Tasha aliingia kwenye gari baada ya kuhakikisha amekaa vizuri alinyoosha mkono wake.
Bryant Kobe alimkabidhi pochi.

"Natarajia kuona comment yako kwenye mafundisho yangu nayotoa kila siku. tengeneza hoja nzito nami nitakujibu kwa hoja " Tasha alimalizia kuongea kwa kukonyeza.

Bryant Kobe hakupendezwa na ukonyezaji wake aliondoka.

"Hivi Bryant Kobe ni Kijana wa aina gani " Tasha alimuuliza Baba yake kwa sababu hakuonesha kumshobokea Mwanaume huyo.

"Ni Kijana makini sana....naweza kusema anafaa kuwa kiongozi wa familia au Serikali "

"Pia anaonekana kujali sana watu, ni Kijana mzuri sana jamani...ikitokea mmepata Mtoto nitaringa sana ๐Ÿคญ" Mama Tasha alijisemesha.

"Na ndio maana sikukuomba mtazamo wako....kitu unacho kiwaza ni cha ajabu sana " Tasha aliongea.

Mama mtu aliishia kubetua midomo, siku zote yeye na Binti yake huwa wana tofautiana mitazamo.

Upande mwingine Bryant Kobe akiwa ana pambana kutafuta usingizi alijikuta akikumbuka maneno ya Tasha.

"Mwanaume yoyote yule ni kimtaka nampata hata wewe ni kisema unioe sasa hivi na ufanye kazi zangu zote nazotaka utafanya "

"Anajiamini nini huyu....ngoja nione mwisho wake. Aina hii ya watu wanaojiamini kama yeye huwa wanaishia vibaya " Bryant Kobe aliongea.

Kulivyo pambazuka asubuhi aliwahi kuamka. Si mtu wa kupenda kulala sana.

Kicheko cha Mama yake wa Kambo ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… kilimfanya asite kidogo kuendelea na kitu alichokuwa anataka kukifanya

"Bryant Kobe hebu sogea hapa, huu ujumbe ni wa kwenu ๐Ÿ˜….....Tasha aliyekuwa hapa jana kajua kunifurahisha ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ" Zara aliongea akionekana kufurahi.

"Hivi mnajua ni kwanini Wanaume wengi hukasirika kupita kiasi pale wanapoombwa pesa?. Leo nitawaibia siri.... Wanaume wengi huogopa kusema ukweli kuwa hawana pesa....unapomuomba pesa na yeye hana, unamfanya ajisikie vibaya zaidi hivyo kuliko ukazane kumuomba pesa itapendeza kama mara moja moja ukiwa unamtumia anaweka akiba ili siku ukimuomba asikose pa kushika" Bryant Kobe alirudisha simu baada ya kumaliza kusikiliza, alijitia amefurahi lakini ndani ya moyo wake alisikitishwa na mitazamo ya Tasha.

"Kuna sehemu naenda ndio maana nimeamka mapema, baadae " Bryant Kobe aliongea kisha akaondoka.

Zara wala hakumzingatia, alikuwa na kibarua cha kuwatumia marafiki zake hii video iliyomvunja mbavu.

Bryant Kobe akiwa kwenye gari lake alifanikiwa kumuona Tasha akiwa kavaa kigauni cheupe.

"Nitamkomesha...." Bryant Kobe alijisemea kisha akaongeza kasi ya gari, kwa makusudi alipita kwenye maji yaliotuama.

Waaaaaaa ๐Ÿ˜ฉ๐Ÿ˜ฉ gauni ya Tasha iligeuka kuwa rangi ya udongo....pamoja na yote alijitahidi kadri ya uwezo wake kuikariri plate number ya gari lililomfanyia makusudi.

ITAENDELEA...........
SEHEMU YA 5
ENDELEA....
Moja kwa moja Tasha alimtumia namba rafiki yake anayependa kucheza na mambo ya magari.

"Nipo barabarani bado, sitaondoka mpaka utakapo niambia mmiliki wa hilo gari ni nani โœ‹" Tasha alimsisitiza rafiki yake.

Baada ya dakika kumi kupita alitumiwa majina ya mmiliki wa gari lililomwagia maji machafu na mahali anakoweza kumpata.

"Bryant Kobe anaonekana kuvutiwa na Mimi hizi chokochoko siyo bure, anyway anachokitafuta atakipata " Tasha alijisemea kisha akasimamisha bajaji.

Ilimlazimu kurudi nyumbani, kwa wakati huu alipendeza kuliko mara ya kwanza.

Anaamua kuvunja ratiba zake zote sababu ya vurugu aliyofanyiwa na Bryant Kobe.

Moja kwa moja alielekea nyumbani kwao. Zara anaachia tabasamu baada ya kumuona. Anatamani sana binti huyu amilikiwe na Philips Kobe (Mtoto wake wa damu).

"Ukiwa unasubiria chai kuta unatazama hizi picha, huyu ni Kijana wangu Philips Kobe hapo alikuwa na miaka 18" Zara aliongea kisha akaondoka.

Tasha hakuwa na namna zaidi ya kutazama, bahati mbaya au nzuri kati kati ya picha hizi kulikuwa na picha ya Bryant Kobe enzi hizo ana miaka 21.

Tasha alijikuta akiitazama picha hii bila kukoma, alipoona kama atafumwa hivi aliiweka kwenye pochi yake.

Basi Zara aliweka chai mezani, walianza kuburudika huku wakipiga stori za hapa na pale.

"So, mpaka sasa haupo kwenye mahusiano " Zara alitupia mtego.

"Sipo na wala sijataka kuwa....na mambo mengi sana nikisema nianzishe mahusiano kwa sasa nahofia kusema nitayatelekeza "

"Hapana, ni vile tu hujakutana na mtu wa kuziteka hisia zako, endelea kujipa muda " Zara alishauri.

Basi kati kati ya mazungumzo yao, Bryant Kobe alifika.

Moyo wa Tasha ulishtuka hasa akikumbuka kaiba picha ya huyu kichaa.

"Natumaini umekunywa chai huko ulikotoka " Zara alikumbusha kwa sababu alikuwa ameandaa kidogo sana.

"Usiwe na hofu, Mgeni karibu" Bryant Kobe aliongea kwa ufupi kisha akapiga hatua aondoke.

"Nimekuja hapa kwa ajili yako" Tasha aliongea.

Basi Bryant Kobe ilimlazimu kuelekea bustanini kwa ajili ya mazungumzo.

"Mb.....wa wewe mwenye kichaa ๐Ÿ˜  kwanini ulinimwagia maji machafu??? naomba uniombe msamaha haraka iwezekanavyo au nikupeleke Polisi" Tasha alifoka.

Bryant Kobe alimtazama kwa nukta kubwa kisa na maana kamuita Mbwa.

"Acha kunitazama namna hiyo, fanya haraka kuniomba msamaha"

Bryant Kobe alinyoosha mkono akamkwida Tasha ni hivi alimkunja kisawa sawa kisha akamsogelea wakawa pua na mdomo.

"Mwanaume hapandishiwi sauti wala kutukanwa hadharani....hilo tusi ulililo ni tupia ulipaswa utukane kimoyo moyo na si hadharani " Bryant Kobe alifoka.

Kitendo cha Tasha kurefusha tu mdomo ajibu mashambulizi alijkuta kazigusa lips za Bryant Kobe.

"Mb.....wa huyu ni kisema ni mheshimu bila kuzifanya chochote lips zake atakuja kunifokea Tiktok" Bryant Kobe alijisemea ndani ya moyo wake kisha akafungua mdomo wake.

Alianza kumpiga denda Tasha aliyeonekana kuridhia.

Zara akiwa kabana nyuma ya mti alitoa macho kwa anakiona.
Alijisahau kabisa kama mahali hapa kuna siafu.

"Nini hiki ๐Ÿ˜ฉ" Alijiuliza kwa mshangao baada ya kuhisi anang'atwa.

"Msaadaaaaaaaaa " Alipiga kelele.

Ndipo Bryant Kobe alishtuka, aliachana na Tasha akakimbia kutoa msaada.

Tasha aliishia kuzishika lips hakuamini kama kapigwa denda kizembe.

Akiwa katika kutafakari jongoo kubwa kupita maelezo lilimpandilia, ukiangalia vibaya utasema ni nyoka.

"Msaadaaaaaaaaa" Alipiga kelele

"Siafu siyo kitu....nenda ukamsikilize Mgeni " Zara aliongea.

Basi Bryant Kobe alimrudia Tasha, wacha ampuuze baada ya kuona jongoo lipo kwenye mapaja yake

"Toa hili dudeeee "

"Kutokana na mafundisho yako ulisema Wanaume wa siku hizi hawawezi hata kuua mende ....... fanya kujiokoa mwenyewe" Bryant Kobe aliongea kisha akakaa pembeni kusikilizia.

Tasha alikusanya ujasiri alichukua pochi yake akalisukuma jongoo kuleeeeee kwa nguvu zote....

Siku ya leo ilikuwa mbaya kwake ๐Ÿ˜ฃ ndiyo jongoo lilikwenda kule lakini vitu vyote vya kwenye pochi yake vilimwagika, wacha picha ya Bryant Kobe ionekane hadharani alitamani dunia yote igeuke kuwa bahari..........

ITAENDELEA.........
Tangazo - Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Tume toka mbali na nyumbani kuja kwenye miji ya watu kutafuta maisha
Mwanangu Mungu ndio anae jua
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*1 - - - - - 5* ๐—–๐—˜๐—ข ๐—ก๐—” ๐— ๐—ฅ๐—˜๐— ๐—•๐—ข ๐—ช๐—” ๐—ง๐—œ๐—ž๐—ง๐—ข๐—ž ___________________________________ SEHEMU YA 1 MWANZO....... "Ni aibu Mwanaume mwenye meno 32 kulalamika mkewe hajamuandalia chai

najaribu kufikiria kuna mahali kumeandikwa mwanamke atakuwa house girl wa ndoa Wanaume wengi wanasahau hata kufua boksa zao baada ya kuoa....sijui nitumie neno gani kuongea lakini Mimi Tasha siwezi kuwa house girl wa ndoa ๐Ÿ˜.

Mwanaume anayetamani kutengeneza familia na Mimi ajiandae kuogesha Watoto wake, kama anapenda wali wenye nazi ajue atanisaidia kukuna..... vyombo pia ataosha hata Mimi pia nitafanya majukumu yake....nisiwe muongo Mimi pia napenda kutafuta pesa. Kuna wakati tutalala njaa kwa sababu tumeshinda kazini wote kutafuta pesa "

Bryant Kobe alijikuta akiachia tabasamu kwa upuuzi aliokuwa ana zungumza Tasha Mrembo wa Tiktok. Hakuishia hapo alimfollow kwa lengo la kuwa...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/1-5-ceo-na-mrembo-wa-tiktok-___________________________________-sehemu-ya-1-mwanzo-ni-aibu-mwanaume-

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi
โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA
โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA
RUNGU LA KIPOFU 22.
RUNGU LA KIPOFU 22.
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡
UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 13.  ๐Ÿ‘‰ Uwiiiiiiiiiiiiiii Uwiiiiiiiiiiiiiii Aaaaaaaaa Assssssssssss Tamuuuuuuuu...๐Ÿ‘‡
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 13. ๐Ÿ‘‰ Uwiiiiiiiiiiiiiii Uwiiiiiiiiiiiiiii Aaaaaaaaa Assssssssssss Tamuuuuuuuu...๐Ÿ‘‡
๐Ÿ”ฅ MAMA MKUBWA NIIZAMISHE YOTE๐Ÿ”ฅ6..10  Sehemu ya sita
๐Ÿ”ฅ MAMA MKUBWA NIIZAMISHE YOTE๐Ÿ”ฅ6..10 Sehemu ya sita
RUNGU LA KIPOFU 21.
RUNGU LA KIPOFU 21.
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya..Saba   ๐Ÿ‘‰ Asante hapo hapo nilambe Shem...๐Ÿ‘‡
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya..Saba ๐Ÿ‘‰ Asante hapo hapo nilambe Shem...๐Ÿ‘‡
๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ JAMANI KAKA MUUZA MAJI USINIMWAGIE MAJI NDANI๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹  Sehemu ya 14
๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ JAMANI KAKA MUUZA MAJI USINIMWAGIE MAJI NDANI๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹ Sehemu ya 14
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya 14.  ๐Ÿ‘‰  Aaaaaaaaa Aaaaaaaaa Uwiiiiiiiiiiiiiii Asante...๐Ÿ‘‡  Tamu tamu.
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya 14. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa Aaaaaaaaa Uwiiiiiiiiiiiiiii Asante...๐Ÿ‘‡ Tamu tamu.
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU.6..10  ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Kweli nilifumba macho...kwa mala ya kwanza naguswa nalidhia mwenyewe...๐Ÿ‘‡
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU.6..10 ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Kweli nilifumba macho...kwa mala ya kwanza naguswa nalidhia mwenyewe...๐Ÿ‘‡
BABA KAMA PUNDA.6-10  ( 6----------10 )  Story:>>> "BABA KAMA PUNDA"
BABA KAMA PUNDA.6-10 ( 6----------10 ) Story:>>> "BABA KAMA PUNDA"
๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ KISA KUMPA PENZI BABA MKWE๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Mume wangu hili anisamehe nimpe nyuma๐Ÿ˜ญ  Sehemu ya kumi
๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ KISA KUMPA PENZI BABA MKWE๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Mume wangu hili anisamehe nimpe nyuma๐Ÿ˜ญ Sehemu ya kumi
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 18.  ๐Ÿ‘‰ Mume usiweke uko..๐Ÿ‘‡
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 18. ๐Ÿ‘‰ Mume usiweke uko..๐Ÿ‘‡
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU.11..15 ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya 11.  ๐Ÿ‘‰ Nakojoaa Nakojoaaaaaaaa..๐Ÿ‘‡
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU.11..15 ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya 11. ๐Ÿ‘‰ Nakojoaa Nakojoaaaaaaaa..๐Ÿ‘‡
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya kumi.  ๐Ÿ‘‰ Uwiiiiiiiiiiiiiii tamu Aaaaaaaaa Uwiiiiiiiiiiiiiii Asante...๐Ÿ‘‡  Aaaaaaaaa Aaaaaaaaa.  ( Rama sasa alimkunja miguu akaiweka
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya kumi. ๐Ÿ‘‰ Uwiiiiiiiiiiiiiii tamu Aaaaaaaaa Uwiiiiiiiiiiiiiii Asante...๐Ÿ‘‡ Aaaaaaaaa Aaaaaaaaa. ( Rama sasa alimkunja miguu akaiweka
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa Aaaaaaaaa Uwiiiiiiiiiiiiiii usije ukaoa Shemeji Shemeji nakupenda Aaaaaaaaa...๐Ÿ‘‡
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa Aaaaaaaaa Uwiiiiiiiiiiiiiii usije ukaoa Shemeji Shemeji nakupenda Aaaaaaaaa...๐Ÿ‘‡
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya saba.   ๐Ÿ‘‰ Mimi kimya sijui chochote ananitoa taulo sasa...๐Ÿ‘‡
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya saba. ๐Ÿ‘‰ Mimi kimya sijui chochote ananitoa taulo sasa...๐Ÿ‘‡
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya 11.  ๐Ÿ‘‰ Uwiiiiiiiiiiiiiii Uwiiiiiiiiiiiiiii....๐Ÿ‘‡  Aaaaaaaaa Aaaaaaaaa.   ( Rama akutaka kumtesa na kidole akamzamisha
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya 11. ๐Ÿ‘‰ Uwiiiiiiiiiiiiiii Uwiiiiiiiiiiiiiii....๐Ÿ‘‡ Aaaaaaaaa Aaaaaaaaa. ( Rama akutaka kumtesa na kidole akamzamisha
๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ KISA KUMPA PENZI BABA MKWE๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›6..10 Mume wangu hili anisamehe nimpe nyuma๐Ÿ˜ญ  Sehemu ya sita.
๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ KISA KUMPA PENZI BABA MKWE๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›6..10 Mume wangu hili anisamehe nimpe nyuma๐Ÿ˜ญ Sehemu ya sita.
Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe..7   Dar es salaam  SEHEMU YA SABA  ENDELEA    Ashura alipiga kelele za maumivu kutokana na ukubwa wa mboo ya mjomba...
Chombezo....Oooh anko Mudy usichomoe..7 Dar es salaam SEHEMU YA SABA ENDELEA Ashura alipiga kelele za maumivu kutokana na ukubwa wa mboo ya mjomba...
 ๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya kumi.  ๐Ÿ‘‰ Oooooo vumy Oooooo Oooooo...๐Ÿ‘‡
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya kumi. ๐Ÿ‘‰ Oooooo vumy Oooooo Oooooo...๐Ÿ‘‡
KAZI YA GEST ILINIFANYA NIWE MALAYA     Sehemu ya 12  mpaka 13
KAZI YA GEST ILINIFANYA NIWE MALAYA Sehemu ya 12 mpaka 13
JAMANI KAKA ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ (Ashiiiiii ohoooo๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹) 1--------------------2
JAMANI KAKA ๐Ÿ˜œ๐Ÿ˜œ (Ashiiiiii ohoooo๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹) 1--------------------2
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 82 na 83

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 82 na 83

585
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 84 na 85

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 84 na 85

476
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 53...54๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 53...54๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

469
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 33

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 33

318
*MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ* *SEHMU YA 34*

*MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ* *SEHMU YA 34*

215
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

86
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

69

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.1K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.84K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.67K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.05K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.45K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.41K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.29K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.29K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.25K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Post Mpya
REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
@majario LIVE

walipomuona seven ikabidi mzee fahad azungumze nae kuhusu swala la wao kuondoka **"lakini mzee wangu mbona bado hali ya fahima sio nzuri?" alisema seven usijari kwakuwa ametaka mwenyewe basi haina shida kikubwa...

*MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ* *SEHMU YA 34* Post Mpya
*MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ* *SEHMU YA 34*
@majario LIVE

*SEASON TWO* LISSA WA HURU MEDIA * Basi uyu demu mimi na yeye ndo tukaachna hapa. Nilimwambia ukweli sikutaka kuwa na michepuko tena. Mke wngu kwanza ananitosha sana. Yani anafit kwa kila kitu....

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 84 na 85 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 84 na 85
@majario LIVE

Basi bwana nikaingia ndani ya gari ya mlige . Daaaah uko njiani ni anaona kama hatufiki . Mala kanishika ziwa . Mala kanishika kiuno kabinya mhh yani acha ...

AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 53...54๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 53...54๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasa๐Ÿ˜†๐Ÿ˜† my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ ilinibidi nimuweke mgongoni...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Kila alipokua akipita mtaani kwao utasikia watu wakimuita tipwa tipwa huku wakimtania, lakini yeye hajali hata kidogo. Karidhika na mwili wake, hana mda wa kuhifadhi maneno ya watu...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 82 na 83 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 82 na 83
@majario LIVE

Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga...

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 33 Post Mpya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 33
@majario LIVE

Bas baada ya princess kukata simu nikamsogelea mke wangu nikamwambia si umeona kipenzi changu. We niamini tu na kuwa muelewa . Mimi nimekosea ilaa sasa hivi sitaki tena kuwa na...

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

Fatuma akanmbia kumbe ndo unayonifanyia aya. Unazani nilikuwa sina habri zako . Unazani sijuh najua sana . Kuwa apa chuo una mwanamke mjinga ww. Daah nikamwambia plsss mke wangu...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 81 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 81
@majario LIVE

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MAAMOJA Basi maisha yakawa yanenda hivyo. Na zayd akawa nanaitafuta kila siku. Alivyokuwa kenya. Siku iyo usiku hivi .nipo ndani kwangu . Nilikuwa napanga nguo zangi mana nilikiwa...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 79 na 80 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 79 na 80
@majario LIVE

Zayd akasema ni mimi. Naona unaniangalia sana wala haujanifananisha ndo mm zayd tulisoma wote singida . Na mala ya mwisho tulipewa suspension na mwenzangu ukahama shule. Mh nikasema ahaa...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 78 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 78
@majario LIVE

Basi bibi mie nikaanza kujiandaa kwa ajili ya club. Na nguo nnazo kama zote. Kuna mda mlige ananinuliaga mpkaa nguo za ajabu . Ila nivae tu nikiwa na...

AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜  N0 51...52๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 51...52๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
@majario LIVE

Uwe na usiku mwema mke wangu mimi nitakwenda kulala kwenye chumba changu kingine natumaini hili jambo litabakia kuwa la siri kati yetu sisi wawili..... natumaini hautamwambia mtu yeyote yule Acha...

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 30 Post Mpya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 30
@majario LIVE

Akanmbia mi nitakuazima pesa milion 10 . Uanze nayo. Ununue mashine zote.na ukalipie fremu apa maeneo ya chuo utapata wateja wengi. Mh nikaona uyu demu ana roho nzuri ety anamfikilia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 MWANZO......... Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majuto๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€. Asubuhi majira ya saa...

NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO.... Call me Paaye, oooh Paaye hata sijui hili jina lina maana gani na siijui wazazi wangu walilipatia kwa mkorea yupi maana kwa hili jina saluti kwao Aaah Paaye...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest