*BOSS CHOMOA MIMI SIO JAMANI* * Chapter 7 "Hamna mama yangu sifanyi tena Catherine ila naomba nikuogeshe"
"Yaani umeniumiza afu hata hujali yaani, ujue mimi sijawahi kufanya hivi?" Niliongea kwa ujasiri kwasababu huwa naongea kwa ujasiri kama nikiwa na hasira alinitizama tu hakunijibu akanibeba akanipeleka bafuni wakati yupo bafuni kule kunakuwaga na zile simu za emergency alimuita muudumu aje abadilishe shuka alihofia kwamba nikiona zile damu nitaogopa zaidi na ninahisi alifahamu kam nina hasira nae, alinitizama kwa huruma akawa ananiogesha maan nilikuwa sijiwezi kwakweli, ila niliona anapata taabu kweli yaani maan hadi pumzi alikuw anatoa kwa shida kweli nilimuuliza "Boss kuna usalama?" Nilikuwa ninahasira nae Ila ilibidi niulize mtu asije kunifia mimi nikapata kesi ya mauaji bure binti wa watus-
"Unajua kam mimi nina hisia na wewe kali na siwezi kujizuiaa yaani hapa ni nina jikaza kwasababu una maumivu bila hivyoo, mhh yaani ingebaki humo humo ndani mpaka asubuhi" sikumjibu nilitamani kusonya ila nikaaacha nikasema pengine sio mzima huyuu ni mgonjwa yaani limeniumiza afu linasema saa hizi haya mambo yake ya kipuuzi saa hizi
Alitoka hapo akanipeleka chumbani kitandani muda huo sijui ni saa ngapi na pia sijui kam hiyo party yao huko nje imeshaisha
"Nataka kwenda. nyumbani, dada yangu ananisubiri" alinitizama tu "lala utaenda ukikaa sawa na wewe kwasaa ni jukumu langu kwahyo lazima nikuangalie Catherine" nilitamani nimwambie mimi sio Catherine ni Careen na huyo dada yangu anae nisubiri ndio huyoo Catherine mwenyew anaezungumziwa hapa na sio mwingine "kam ni dada yako unaweza ongea naee sasa hivi ni usiku saa nane, kama hivyoo anaweza kuja hata kesho huku akakuona na kam nimekosea niombe msamaha" nilishtuka kweli yaani Catherine ajee mhhh si ntakuwa nimejichoma mwemyew kwasababu akija tu atajulikana kama ni yeye kwasababu ya tabia zake,afu kingine kilichonishtua nilishangaa ety ni saa 8 jamani mimi mbona najitafutia balaa mhha
"Hapana hawezi kuja dada yangu hawezi" nilimwambia "basi nitaongea nae mimi hapa usijali mama yangu kuwa na amani nilizidi kushtuka yaani kama dada atakuja hapa mhh kitakuwa kimenilamba mimi ntakufaa kabisa ikiwezekana, nikijaribu kumshawishi hakuelewa hata kidogo alisema lazima dada ajue na aje iki asiwe na hofu na kama kuna shida wazungumze yeye mwemyew binafsi anahitaji kuongea na mtu wa kwenye familia yangu kuhusu mimi na yeye, nilisema sasa leo nimeingia choo cha kiumee mhh,
Nahauku pita muda mrefu akapiga dada nilishindwa kupokeaa na nilikuwa sitaki maan. pale nilikuwa nimesave Catherine, nilificha simu wewe hebu pokea wewe mbona ni mjinga kiasi hiki pokea mama yangu sawa?, hebu leta hapa kama unaogopa" alinipokonya simu na kupokea akaanza kuongeaa na dada yangu uzuri alipokea tu na kuweka sikioni nilishusha pumzi hapo maan hakuliona jina waliongea na Catherine cha mdomo akakubali kwamba kesho atakuja, akomba kuongea na mimi nikaongea nae nikamwambia nipo salama asijali, akaanza kunichokozaa etyy "mhh shga umeshapita na boss nini?, mbona sielewei maan hiyo sauti ni ya boss na inaonekana mpo wenyewe tu tena sehemu iliyotuliaa" nilicheka tu bhana hamna kitu hhh usijali bhana nilimwambia Catherine mhhh nyie wapole napoleon mhh sio watu wazuri hya ntakuja kesho nilikubali tu ila alivyokata simu nikamuandikia sms atafute sababu yoyote kesho asitokee, alikataa kataa mwanzoni ila baadae akaja kukaa kwenye mfumo, nikamwambia ntamjulisha kila kitu asijali, alikubali huyu bi chaumbea ...
Itaendelea.....
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi