π₯π₯ BOSS NAOGOPA MUMEO HATANIUAππππ Sehemu ya 16.
π Za saizi wote...π
Nazani wazima acha nianze na somo la Leo hili mwenye swali aniulize niweze kujibu maswali yenu tega sikio sikia hili.
MCHUMBA SIYO MUME
Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wasichana wa siku hizi, wakielezea jinsi wapenzi wao walivyowasaliti. Unakuta binti anamsindikiza mchumba wake asubuhi akidai ana safari, lakini baadaye anasikia au kuona picha za harusi yake na mwanamke mwingine. Anakuwa ameagwa kwa upole, lakini kumbe alikoenda ni kufunga ndoa.
Binti, kosa ni lako.
Umekosea kuchanganya majukumu ya mke na mchumba. Mwanaume huyo si mume wako hadi ndoa ifungwe. Lakini umejitoa mnoβunalala naye, unampikia, unampakulia, hata wengine huwapa pesa wakidhani kwa kufanya hivyo watapendwa zaidi. Kumbe badala ya kupendwa, wanazidi kujishusha thamani.
Kumbuka, mwanaume anapotaka kuoa huwa makini sana. Anaweza kukutumia kwa muda mrefu, lakini siku ya kuamua nani awe mke wake, atamchagua mwanamke mwenye heshima, busara, na anayejithamini. Wewe uliyechangamka kupita kiasi na kuonesha kila kitu kabla ya ndoa, thamani yako huanza kupungua mbele zake, hata kama awali alikusudia kukuoa.
Binti tulia.
Mwanaume hawezi kudanganywa na mwili wako unaompa kila siku, wala chakula unachompikia. Linapokuja suala la kuoa, mwanaume hutumia akili si tamaa. Anaweza kuendelea kuja kwako kwa sababu anahitaji anachopata, lakini moyoni tayari amekupima na kuona hufai kuwa mke wake.
Binti mzuri, jithamini.
Ukijiachia kabla ya ndoa, utajikuta unaumia kila mara. Tulia, heshimu nafsi yako, na elewa kuwa mapenzi ya kweli hayajengwi kwa kujitoa kupita mipaka. Mchumba ni mchumba, siyo mume.
HITIMISHO:
Kama wewe ni binti, chukua muda kujitafakari. Je, unajua thamani yako? Usikubali kubeba majukumu ya ndoa kabla ya ndoa. Mapenzi hayaendi kwa kutoa mwili, fedha au chakulaβyanaenda kwa heshima, mipaka na busara.
Mchumba siyo mume.
Usiache akili ikae likizo kwa sababu ya mapenzi. Jithamini, jieshimu, na weka mipaka.
Kwa sababu mwanaume anapochagua mke, huchagua kwa akili, si kwa tamaa.
( Mabinti wote waliandika somo lile vizuri na kukaa kichwani kuna mwanamke mmoja akasimama akauliza)
" Jogoo poll Samahani naomba kuuliza mahusiano ni nini?
" Swali zuri ila uwe unaudhulia darasa langu nishawai kuweka somo hapa la mahusiano labla niludie ujue maana zaidi
MAHUSIANO YAPO HIVI
Mahusiano mazuri hayajengwi kwa maneno matupu bali kwa vitendo.
Sio tu kusema βNakupenda,β bali kuonyesha kuwa uko tayari kusimama na mwenzi wako katika kila hali.
Upendo wa kweli huishi katika maelewano, si mashindano.
Hamko pamoja kushindana nani bora au nani mwenye makosa mengi. Mko pamoja kujenga ndoto moja.
Katika mapenzi, ni ninyi wawili dhidi ya tatizo, si mmoja dhidi ya mwenzake.
Mahusiano bora yanahitaji ujasiri wa kusema ukweli kwa hekima.
Sio kwa maneno makali au matusi, bali kwa njia ambayo mwenzi wako ataelewa na kujirekebisha.
Usinyamaze jambo muhimu kisha ulilipue baadaye.
Na kamwe usitumie makosa ya jana kama fimbo ya kumuumiza leo.
Uaminifu ni msingi wa kila uhusiano imara.
Ukivunjika, huacha jeraha linalochukua muda kupona.
Uaminifu ni kama kioo β ukivunjika unaweza kukibandika, lakini alama za mpasuko zitabaki.
Linda uaminifu kama unavyolinda moyo wako.
Mahusiano yanahitaji muda.
Ni muhimu kuzungumza, kucheka, kubishana kwa heshima, na kusamehe bila kinyongo.
Kila mmoja ajifunze tabia na mazoea ya mwenzake, na akubali mapungufu β hasa yale yasiyobadilika.
Muda ndio mbolea ya mapenzi. Ukikosa muda, mapenzi hukauka.
Usijenge mahusiano kwa hisia za leo pekee.
Leo mnaweza kuwa kwenye raha, lakini kesho inaweza kuja na changamoto.
Kuna wakati utachoka, utakasirika, au utakata tamaa.
Hapo ndipo unatakiwa kukumbuka kwa nini ulianza, ili kupata nguvu ya kuendelea kusonga mbele.
Penda kwa akili na heshima.
Usitukane ukiwa na hasira.
Usitishie kuondoka kila mkigombana.
Usifichue siri za mwenzi wako mnapotofautiana.
Usikumbushie makosa yake kila wakati β hiyo haitasaidia.
Heshima ni kinga ya penzi. Ukipoteza heshima, umepoteza kila kitu.
Epuka kusikiliza kila ushauri kuhusu uhusiano wako.
Sio kila mtu anayetaka kujua mahusiano yenu ni rafiki wa penzi lenu.
Wengine ni wachochezi wanaofurahia kuona mnapitia magumu.
Kuwa makini, hata maneno mazuri yanaweza kuwa na sumu ndani.
Kila mtu ana mapungufu.
Utakapokubali mapungufu ya mwenzi wako, hayatakuwa kikwazo.
Ukilazimisha awe kama unavyotaka, utaishi na presha isiyoisha.
Heshimu mwenzi wako, mrekebishe anapokosea, lakini usilazimishe ukamilifu.
Kama unataka mfike mbali, jengeni msingi wa kiroho.
Maombi ni nguzo ya mahusiano imara. Bila Mungu, ni rahisi kukata tamaa.
Mnapomuweka Mungu mbele, mtaweza kuvumiliana, kusameheana, na kuona mbali zaidi ya hisia za sasa.
Mahusiano hayahitaji watu wakamilifu, bali watu wawili walioko tayari kujifunza, kubadilika, na kushikamana.
Linda upendo wenu kama unavyolinda pumzi.
Mlikutana kwa sababu maalumu β usiruhusu sababu ndogo kuvunja msingi wa ndoto zenu.
Pendeni, sameheni, jengeni msingi imara.
Shika mkono wake, mkumbushe kuwa unampenda, na simama naye hadi mwisho.
( Lile somo lilikuwa kama tiba kwa boss alikuwa anawaza kufila mswahiri akaona atulie kwenye mahusiano ya ndoa yake uku mke wa boss somo kalisikia akaona ni ujinga kukaa chini kunawasha kisa kumweshimu mwenzio....somo lilitosha kwa wote jogoo akataja namba zake)
" 0657774735 izo ndio namba zangu kwa wale wasiokuwa na namba zangu.
( Akaondoka...mimi nikaondoka zangu nikatulia sehemu nasubili simu sasa kumbe mdogo wa boss aliposikia mimi nimesimamishwa kazi akamwambia dada yake)
" Naomba namba ya juma aje kufanya kazi kwangu yule msichana nakupa wewe aje kufanya kwako unamsimamishaje kijana mstaharabu ana wizi ivi unazani kuchukua mfanyakazi mwengine uswahirini mtakuja kulia nyinyi naomba namba yake.
( Anajifanya ana namba yangu...hapo hapo boss akasema)
" Juma namrudisha kazini Shemeji umeongea jambo Zito sana wizi juma wizi ana ata kidogo.
( Boss akamwambia mkewe)
" Nipe namba ya juma.
" Nishafuta niwe nayo ya kazi gani Jana Alivyoondoka nikafuta hapo hapo namba na kwake atupajui ndio tumempoteza.
( Boss likamshuka akasema)
" Acha nikamtafute mimi uswahirini alisemaga anatokea tandika.
" Sawa nenda mimi naenda mjini kununua abaya.
" Sawa.
( Mke wa boss akanitumia sms akaniambia)
" Tukutane lodge ile chap alafu zima simu"
( Nilifata maagizo tu nikazima simu nikasogea lodge uku nawaza anataka kunipangia lodge au?...kumbe kuzima simu kwangu kulimchanganya mpaka mdogo wa mke wa boss alienda pembeni kunipigia sipatikani...alikosa raha akawa anaondoka na mumewe uku amani ana....upande wangu saa limoja mbele mke wa boss kaja moja kwa moja kachukua chumba tukaenda chumbani mimi wazo langu nimfile kwanza maongezi baadae nilimgeuza nikamkumbatia kwa nyuma uku namtomasa maziwa na ile mitako yake mikubwa imegusa mboo yangu imenisimamisha namwambia)
" Nina nyege naomba kwanza nipige moja.
" Sawa Nivue unifanye.
ITAENDELEA
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi
