Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

 π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž ___________________________________   SEHEMU YA 15 ENDELEA......... "Nilikuja kufuatilia malipo yangu " Tasha alijikoroga hakuwa akilidai Kampuni.
Gonga94 Β· Stories

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

"Malipo?.... nadhani hutudai ..." Secretary Annie aliongea huku akipitia kumbukumbu zote za malipo chapu chapu.

"Oh nadhani nimesahau kwanini nilikuwa hapa " Tasha alibeba pochi yake kisha akaondoka ilihali machozi yana mlenga lenga.
Secretary Annie aliachia kicheko cha chini chini.

"Inaonekana Tasha alikuwa anamtaka sana Bryant Kobe sasa kaondoka bila kumuaga ni aibu tupu katika moyo wake. Natarajia kuona somo Tiktok very soon kuhusu hiki kitukio " Alizidi kujichekesha, ile anainua kichwa chake alikutana na macho ya Philips Kobe yakiwa yamekaza.

"Unajua ukimfuatilia Tasha mtandaoni utagundua ni binti ambaye hababaishwi na Wanaume, yaani kuna wakati utahisi yeye ndio anaoa....kanifurahisha sana kwa namna alivyo huzunika kisa Bryant Kobe"

"Niletee taarifa ya miezi sita za nyuma kuhusiana na vitengo vyote " Philips Kobe alimjibu tofauti kabisa.

"Sa...sa... sawa "

"Hilo vazi ulilovaa si sare ya Secretary kabla hujaniletea taarifa niliyo kuagiza naomba ubadilishe "

"Bryant Kobe alikuwa ananisifia sana ni kivaa hii nguo, suti anasemaga hazinipendezei kabisa " Secretary Annie aljichekesha, lakni jicho moja la Philips Kobe lilitosha kumkimbiza kwenda kubadilisha nguo.

Alijikuta akimkumbuka Bryant Kobe kupita kiasi hakusita kumwaga machozi.

Upande wa Tasha baada ya kufika kwenye ofisi yake nyingine inayo jihusisha na mapambo ya majumbani alijifungia kisha akajitupa kwenye kiti.

Akili yake ilizunguka huku na kule asijue ni kitu gani anapaswa kuongea kuhusu Wanaume siku ya leo.

"Hao Mb...wa hao βœ‹....hapana huyo mbwa aliyejitia kuondoka bila kuniaga hata hajanikomoa.... kwenye ufahamu wake bila shaka anahisi alikuwa ananitumia eh anajidanganya kwa sababu tulitumiana tena Mimi hapa ndio nilikuwa nampelekea moto kuliko kawaida...." Basi Tasha alianza vizuri lakini dakika ya mwisho aliishia kulia...
wacha Yolanda Mdogo wake wa kufikia aangue kicheko.

"Weee kipanya sitaki kuamini ulilala chini ya uvungu" Tasha aliongea huku akimvuta.

"Bryant Kobe kajua kukuweza....kubali kataa ila huwezi kuchomoka kwake, kila iitwayo leo utakuwa una fikiria kuhusu yeye"

"Kwahiyo unanilaani "

"Nakueleza ukweli tu kwa sababu macho yako yanaonesha kuchanganywa na penzi la Bryant Kobe "

"Penzi? wakati tunapelekeana moto ulikuepo? una uhakika gani kama Mimi na huyu mtu tulitumiana "

"Nimekusikia ukiongea "

"Nilikuchagua kuwa mdogo wangu wa hiari nikijua una uwezo wa kuvunga mambo yasiyo kuhusu sioni tabu kuuvunja undugu wetu" Tasha alitishia baada ya kuguswa kunako.

Kabla Yolanda hajajibu chochote simu yake iliita, ilikuwa ni namba mpya
Aliingiwa na uvivu wa kuipokea hivyo aliiacha ikaita mpaka ikakata.

Mpigaji hakuchoka, aliendelea kupiga simu tena.

Tasha aliipokea akiwa mwingi wa hasira lakini sauti ya Bryant Kobe ilimpoza

"Kwanini umeondoka bila kuniaga ulipaswa unisubirie kwanza nizione siku zangu, vipi kama nitakuwa mjamzito na wewe uko mbali? Hakika umenikosea sana " Aliongea bila kupumzika.

"Nimekumiss ...." Neno moja kutoka kwa Bryant Kobe lilitosha kumpoza moyo wake.

"Umenimiss ilihali umesafiri?"

"Endapo utanihitaji nitarudi... nitarudi hata kwa kukimbia "

"Kukimbia? kwanini ukimbie"

"Kwa sababu najali kuhusu wewe..... nakupenda, nipo tayari kuosha vyombo na kudeki endapo utaniagiza "

"Kama kweli una maanisha maneno yako naomba urudi na kamwe usije kuondoka bila ruhusa yangu " Tasha aliongea kisha akakata simu mapigo ya moyo wake yalikuwa yakidunda kupita kiasi, hakuamini kama ametangaziwa upendo.

Upande mwingine Zara akiwa chumbani kwake, mlango wake uligongwa
Alisimama akaenda kufungua, anaachia tabasamu baada ya kumuona Philips Kobe.

"Mvulana mkubwa (Bryant Kobe) aliachia Kampuni kwa hiari yake au ulimuomba wewe afanye hivyo"

Zara alimkumbatia Kijana wake kwanza, baada ya kuridhika alimkalisha kitandani.

Philips Kobe alifungua masikio yake kwa umakini kusikia ni kitu gani anataka kuambiwa.

ITAENDELEA.......
Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž ___________________________________ SEHEMU YA 15 ENDELEA......... "Nilikuja kufuatilia malipo yangu " Tasha alijikoroga hakuwa akilidai Kampuni.

"Malipo?.... nadhani hutudai ..." Secretary Annie aliongea huku akipitia kumbukumbu zote za malipo chapu chapu.

"Oh nadhani nimesahau kwanini nilikuwa hapa " Tasha alibeba pochi yake kisha akaondoka ilihali machozi yana mlenga lenga.
Secretary Annie aliachia kicheko cha chini chini.

"Inaonekana Tasha alikuwa anamtaka sana Bryant Kobe sasa kaondoka bila kumuaga ni aibu tupu katika moyo wake. Natarajia kuona somo Tiktok very soon kuhusu hiki kitukio " Alizidi kujichekesha, ile anainua kichwa chake alikutana na macho ya Philips Kobe yakiwa yamekaza.

"Unajua ukimfuatilia Tasha mtandaoni utagundua ni binti ambaye hababaishwi na Wanaume, yaani kuna wakati utahisi yeye ndio anaoa....kanifurahisha sana kwa namna alivyo huzunika...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ceo-na-mrembo-wa-tiktok-___________________________________-sehemu-ya-15-endelea-nilikuja-kufuatilia

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi ceo-na-mrembo-wa-tiktok-___________________________________-sehemu-ya
 π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž ___________________________________   SEHEMU YA 20 ENDELEA....... "Twende tukale hotelini....
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž ___________________________________ SEHEMU YA 20 ENDELEA....... "Twende tukale hotelini....
*1 - - - - - 5* π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž ___________________________________ SEHEMU YA 1 MWANZO....... "Ni aibu Mwanaume mwenye meno 32 kulalamika mkewe hajamuandalia chai

Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❀️ sehemu ya 79 na 80

MY WANGU❀️ sehemu ya 79 na 80

565
MY WANGU❀️ sehemu ya 81

MY WANGU❀️ sehemu ya 81

533
MY WANGU❀️ sehemu ya 82 na 83

MY WANGU❀️ sehemu ya 82 na 83

412
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 31 na 32

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 31 na 32

335
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 33

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 33

239
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜

188
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

48

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.09K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.84K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.67K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.05K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.45K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.41K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.29K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.28K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.25K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasaπŸ˜†πŸ˜† my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Kila alipokua akipita mtaani kwao utasikia watu wakimuita tipwa tipwa huku wakimtania, lakini yeye hajali hata kidogo. Karidhika na mwili wake, hana mda wa kuhifadhi maneno ya watu...

MY WANGU❀️ sehemu ya 82 na 83 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 82 na 83
@majario LIVE

Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 33 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 33
@majario LIVE

Bas baada ya princess kukata simu nikamsogelea mke wangu nikamwambia si umeona kipenzi changu. We niamini tu na kuwa muelewa . Mimi nimekosea ilaa sasa hivi sitaki tena kuwa na...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

Fatuma akanmbia kumbe ndo unayonifanyia aya. Unazani nilikuwa sina habri zako . Unazani sijuh najua sana . Kuwa apa chuo una mwanamke mjinga ww. Daah nikamwambia plsss mke wangu...

MY WANGU❀️ sehemu ya 81 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 81
@majario LIVE

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MAAMOJA Basi maisha yakawa yanenda hivyo. Na zayd akawa nanaitafuta kila siku. Alivyokuwa kenya. Siku iyo usiku hivi .nipo ndani kwangu . Nilikuwa napanga nguo zangi mana nilikiwa...

MY WANGU❀️ sehemu ya 79 na 80 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 79 na 80
@majario LIVE

Zayd akasema ni mimi. Naona unaniangalia sana wala haujanifananisha ndo mm zayd tulisoma wote singida . Na mala ya mwisho tulipewa suspension na mwenzangu ukahama shule. Mh nikasema ahaa...

MY WANGU❀️ sehemu ya 78 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 78
@majario LIVE

Basi bibi mie nikaanza kujiandaa kwa ajili ya club. Na nguo nnazo kama zote. Kuna mda mlige ananinuliaga mpkaa nguo za ajabu . Ila nivae tu nikiwa na...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 51...52πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 51...52πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Uwe na usiku mwema mke wangu mimi nitakwenda kulala kwenye chumba changu kingine natumaini hili jambo litabakia kuwa la siri kati yetu sisi wawili..... natumaini hautamwambia mtu yeyote yule Acha...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 30 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 30
@majario LIVE

Akanmbia mi nitakuazima pesa milion 10 . Uanze nayo. Ununue mashine zote.na ukalipie fremu apa maeneo ya chuo utapata wateja wengi. Mh nikaona uyu demu ana roho nzuri ety anamfikilia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 MWANZO......... Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majutoπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Asubuhi majira ya saa...

NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO.... Call me Paaye, oooh Paaye hata sijui hili jina lina maana gani na siijui wazazi wangu walilipatia kwa mkorea yupi maana kwa hili jina saluti kwao Aaah Paaye...

MIRANDA (Binti Yangu) 1 - - - - - 5 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA...... Kuna ule msemo kuwa mpende yule anaekupenda na mthamini yule anaekuthamini,yes naweza kusema kuwa mimi nilibahatika kupendwa na kuthaminiwa bwana 😊 Yaani binti yenu kwenye kupendwa sijui...

REAL LOVE*  Chapter 10 Post Mpya
REAL LOVE* Chapter 10
@majario LIVE

yani sekunde kadhaa tu mtu ashachezea john hakuwa anapenda ujinga hata kidogo yani, alikuja kuzuiliwa na seven lakini john bado alitaka ampige devi kutokana na ujinga alioufanya, niachieeee seven uyu shetani sana...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 50πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 50πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

0742133100 Babie Love ""🎢🎢from the day that I met you girl"" ""I knew that your love would be "" ""Everything that I ever wanted in my life🎢🎢"" ""🎢🎢from the moment you spoke my...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest