Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

 π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž ___________________________________   SEHEMU YA 20 ENDELEA....... "Twende tukale hotelini....
Gonga94 Β· Stories

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž ___________________________________ SEHEMU YA 20 ENDELEA....... "Twende tukale hotelini....

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
siwezi kukata vitunguu. Siyo kiburi ila sijui kupika... Mtoto wa kishua Mimi, wakati wengine wanafundishwa kushika njiti za kiberiti Mimi nilipatiwa mouse nicheze na kompyuta "

"Mume wangu mtarajiwa jiandae kuhudhuria hotelini nadhani unajua Mimi ni mtu wa mishemishe sijui hata imeku...." Kabla hata Tasha hajamaliza maneno yake alidakwa kwa romance lililobeba hisia.

Kila alipo furukuta ajitoe haikuwezekana, mwisho wa siku alitulia tuli.

Basi Yolanda akiwa anakuja zake jikoni aangalie chakula kilicho salia alishtuka baada ya kuwafuma watu wakibadilishana mate.

Bila kupoteza muda aliwapiga picha kisha akatupia mtandaoni.

"Hatimaye Mrembo wa Tiktok kapata Mume atakaye saidiana naye kuosha vyombo "

Picha ilisambaa kwa haraka sana mtandaoni, yaani ilikuwa ni mwendo wa kufowadiana tu.

Secretary Annie alimtumia Zara, alipoona hajibiwi na huku yuko online alipiga simu kabisa.

"Boss mwenyewe umejionea au nirudie kukutumia tena"

"Kuanzia sasa na kuendelea fanya kazi yako kama Secretary, iwe mwanzo na mwisho kunipigia simu na kunieleza umbeya wa aina yoyote ile. Kwa kipindi chote hicho nilikuwa tu na kuchunguza sijawahi kuwa mshirika wako na wala sitakuja kuwa mshirika wako " Zara alimjibu makavu kisha akakata simu.

Secretary Annie hakuamini kabisa majibu aliyopatiwa, kuna kitu aliamini hakipo sawa aligeuka huku na kule aone kama kuna watu. Baada ya kujipata yuko pekee yake alihisi amani ndani ya moyo wake.

Tasha na Bryant Kobe walijikuta wakiongea vitu serious kuhusu mahusiano yao.

Walikubaliana kuoana haraka iwezekanavyo, kuhusu mapungufu madogo dogo waliafikiana kuya sahihisha tararibu.

"Pindi harusi yako itakapoisha nitaenda zake Newyork nimekaa kule kwa muda mrefu sasa hivyo nazielewa kona zote" Philips Kobe aliongea akiwa ana mpunguza nywele Kaka yake.

"Kwanini unaondoka ghafla namna hiyo "

"Natamani kuitwa Mume wa mtu pia...nadhani unaelewa napendelea watu wenye tabia za kizungu, itapendeza zaidi kama nitaenda kuwafuata huko huko " Philips Kobe aliongea.

"Nimewahi kuiona namba yako kwenye simu ya Tasha, vipi umewahi kumpenda pia "

"Nilitaka kumuweka karibu kwa ajili yako, sikuwa na nia nyingine...nyie wawili mnaendana sana tofauti yenu ni kidogo tu kama mtakaa pamoja naamini mtaenda zaidi " Philips Kobe aliruka mita mia.

Kwa kipindi chote hiki Zara alikuwa mpole sana...... watoto wake hawakuta kumuuliza chochote kwa sababu waliamini kama watafanya hivi basi wangemchanganya zaidi.

Harusi ya Bryant Kobe na Tasha ilikuwa ya kawaida sana tofauti na watu walivyokuwa wanafikiria.

Watu wengi walihisi Bryant Kobe atakuwa Mtumwa wa ndoa yake lakini haikuwa hivyo Tasha hakuwa akipenda uchafu hivyo mara kwa mara alifua, alideki na aliiosha vyombo. Bryant Kobe si mlaji sana ukilinganisha na mkewe hivyo muda wote Tasha alikaa jikoni yaani njaa ndio zilimfanya ashike usukani.

Hatimaye wakati wa kujifungua ulifika, alifanikiwa kupata Mtoto wa kike.
Sia alikuwa kilizi asikuambie mtu....

"Ni jukumu lako kuhakikisha mtoto halii pia....kama hautanisaidia leo nitamuacha alie kashiba huyu, yaani kama ni kunyonyesha nimempa nyonyo mpaka nasikia chuchu zinauma"

"Basi kama kashiba muache alie atakuwa sawa nimechoka eh "

Basi Tasha alikausha pia Mtoto aliendelea kulia wee, siku zote huwa ni mtihani kwake kulala kama kuna kelele. Tofauti na Bryant Kobe yeye alikoroma kelele huwa hazimnyimi usingizi hata kidogo.

"Nimepatikana Mwanaume huyu ni ji....bwa lenye kiburi " Tasha alimchukua mtoto kisha akaanza kubembeleza

Basi kwenye akaunti yake Tiktok watu wengi walimpa hongera ya kuolewa. Lakini mara kwa mara waliuliza kama Mumewe anamsaidia kufanya usafi na kupika.

Mume wangu Mimi ni Mzungu, anafanya kazi zote kwa sababu anajua Mwanamke si mtumwa wa ndoa.

Tasha alijibu hivi mtandaoni lakini kiuhalisia Bryant Kobe hakuwa akifanya chochote.

Asubuhi moja aliamka akiwa kachoka kupita kiasi, aliachia tabasamu baada ya kukuta kazi zote zimefanyika.

Tabasamu lilitoweka usoni mwake baada ya kugundua Zara ndio kafanya kazi zote.

"Vipi Wanaume wanafanya kazi au kazi zina kufanya wewe " Zara aliuliza.

"Hiyo comment yako nitumie kwenye mafundisho yangu "

"Philips Kobe anawasalimia nadhani tutasherekea naye mwaka mpya, huna haja ya kumueleza Bryant Kobe kama nilikuwa hapa " Zara aliongea kisha akaondoka.

Basi mwaka mpya ulipowadia, familia ya Tasha pamoja na Bryant Kobe walikusanyika kipamoja. Vinywaji viliwekwa mezani pamoja na chakula.

Philips Kobe alikuwa kapendeza sana pamoja na mchumba wake.

Secretary Annie akiwa pia na mchumba wake walipendeza. Yolanda pekee ndio hakuwa na mahusiano hivyo alikuwa na kazi ya kulea mtoto.

Kwa pamoja waligonga cheers huku wakitakiana mema.

Huu ndio mwisho wa CEO na Mrembo wa Tiktok πŸ₯‚.......

.............MWISHO 🍭............
Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž ___________________________________ SEHEMU YA 20 ENDELEA....... "Twende tukale hotelini....

siwezi kukata vitunguu. Siyo kiburi ila sijui kupika... Mtoto wa kishua Mimi, wakati wengine wanafundishwa kushika njiti za kiberiti Mimi nilipatiwa mouse nicheze na kompyuta "

"Mume wangu mtarajiwa jiandae kuhudhuria hotelini nadhani unajua Mimi ni mtu wa mishemishe sijui hata imeku...." Kabla hata Tasha hajamaliza maneno yake alidakwa kwa romance lililobeba hisia.

Kila alipo furukuta ajitoe haikuwezekana, mwisho wa siku alitulia tuli.

Basi Yolanda akiwa anakuja zake jikoni aangalie chakula kilicho salia alishtuka baada ya kuwafuma watu wakibadilishana mate.

Bila kupoteza muda aliwapiga picha kisha akatupia mtandaoni.

"Hatimaye Mrembo wa Tiktok kapata Mume atakaye saidiana naye kuosha vyombo "

Picha ilisambaa kwa haraka sana mtandaoni,...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ceo-na-mrembo-wa-tiktok-___________________________________-sehemu-ya-20-endelea-twende-tukale-hotel

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi ceo-na-mrembo-wa-tiktok-___________________________________-sehemu-ya
 π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž ___________________________________   SEHEMU YA 15 ENDELEA......... "Nilikuja kufuatilia malipo yangu " Tasha alijikoroga hakuwa akilidai Kampuni.

*1 - - - - - 5* π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž ___________________________________ SEHEMU YA 1 MWANZO....... "Ni aibu Mwanaume mwenye meno 32 kulalamika mkewe hajamuandalia chai

Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.11K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.25K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.48K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

2.56K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.3K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.11K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.11K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.04K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

1.99K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

1.95K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest