Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 8 ENDELEA...... "Mimi huyu ni pa....nue uniwekee kidogo .... nadhani umenizoea
Gonga94 Β· Stories

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 8 ENDELEA...... "Mimi huyu ni pa....nue uniwekee kidogo .... nadhani umenizoea

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
sana. Mimi si mtu wa kuzoeleka, kuanzia sasa na kuendelea utaniogopa kama mtoto aogopavyo dawa " Tasha aliongea.

Bryant Kobe alicheka kimtindo kisha akaweka kijiko kwenye hot pot. Hakuongea chochote aliondoka....

Zara alitaka kumrudisha lakini muonekano wa sura yake ulimtisha. Mara nyingi akiona muonekano huu huwa anajizuia kumshobokea.

Basi Tasha alikaa hospitalini siku mbili kisha akaruhusiwa kuondoka.

Upande wa Bryant Kobe aliendelea na ratiba zake kama CEO wa Kampuni ya Danone.

Utendaji wake wa kazi ulikuwa ni mzuri sana kwa kiwango cha juu kabisa.
Kila mtu alizungumza mazuri yake.

"Kikao cha jana siku hudhuria lakini natumaini uliniwakilisha vyema, naomba kujua ni kitu gani mliafikiana " Bryant Kobe alimuuliza Secretary wake.

"Tasha kapendekezwa kutusaidia kufanya tangazo kuhusu maji ya Volvic....asilimia kubwa ya watu wanaonekana kuvutiwa na maji ya Evian kuliko toleo jipya. Mimi pamoja na Wajumbe wote tumeafikiana kuingia mkataba na Tasha....ukiachilia mbali na urembo wake ana ushawishi mkubwa sana mtandaoni " Secretary Annie aliongea.

"Ni udhaifu wa hali ya juu kusifia urembo wa mwanamke mwenzio nilikuwa na uwezo wa kumuita Philips Kobe akaimu nafasi yangu lakini niliamini una akili kuliko watu wote mahali hapa..... kwanini usingependekeza kuhusu Wanafunzi au kundi la wahuni likifurahia maji ukaona Tasha ndio anafaa....ulitakiwa unipigie simu, I wish unaelewa kabisa kuwa sijawahi kufurahishwa na mambo yake "

"Naomba uweke migogoro yako binafsi, ndiyo wewe ni boss wangu lakini linapokuja swala la ustawi wa Kampuni hili huwa nipo tayari kukosana na wewe. Tasha ni Mrembo kuliko Wanawake wote hapa Mjini. Najiamini kupita maelezo hivyo sioni sababu ya kuwa jealous kwake na kuhusu mafundisho yake kuna watu kama Mimi tunamuelewa sana....huna haja ya kukubaliana naye kwa kila kitu " Secretary Annie alivimba, hakutaka kabisa kujishusha siku ya leo.

"Sawa, kila kitu kitaenda kama mlivyo kubaliana na Wajumbe. Lakini kwa miezi yote mitano hakutakuwa na marupurupu. Kabla mtu hajaja kuniuliza kuhusu hilo badiliko itapendeza kama atakuja na barua mkononi ya kuacha kazi "

"Mfumo dume huo baby weeeee πŸ‘Œ" Secretary Annie alijisahau kabisa

"Annie umekunjia vidole Mimi kama waimba taraabu??" Bryant Kobe alifoka, hakuishia hapo alivua buti yake akairusha ipasue miwani ya Annie,

"Am sorry " Annie alipaza sauti yake huku akiinama chini.

Paaaaaaa Kioo cha dirisha kilipasuka

"Umepasua kioo cha dirisha hivyo nitakukata asilimia tano " Bryant Kobe alimuuzia kesi Secretary Annie kisha akaendelea na kazi yake.

Upande mwingine Tasha akiwa ofisini kwake alipokea ujumbe kuhusu kuwa model kweny Kampuni ya Danone.

"Mie huyu nifanye kazi ya ku promote maji yao yule she....tani aliyenigonga na gari si ndio CEO pale isije kuwa anataka kunitilia sumu kabisa kwenye chupa la maji nife"

"Maneno unayo zungumza hayaendani kabisa na wewe unapokuwa Tiktok .....hebu wajibu haraka kuwa upo tayari. Ugomvi wako binafsi na Bryant Kobe usiulete hapa. Na kwanini unatembea na picha yake kwenye pochi " Yolanda (Mdogo wake wa hiari aliongea)

Tasha alishtuka kujua haka kapanya kamekagua hadi kwenye pochi yake.

"Nipe kioo ni jitazame.....nione ni kipi natakiwa kurekebisha usoni mwangu. Sitawajibu kwa njia ya e_mail badala yake nitawakabili mwenyewe ofisini kwao " Tasha aliongea.

Yolanda aliachia tabasamu kuona mtu huyu kapata akili.

Kulivyo pambazuka asubuhi, Tasha alivaa nguo iliyomfanya aonekane wa kipekee, japo ana gari lakini mara nyingi hupenda kupanda bajaji.

Kwa mara ya kwanza kabisa alikanyaga kwenye Kampuni ya Danone.

Mwendo wake wa maringo uliwaacha watu midomo wazi.

Bryant Kobe akiwa na Philips Kobe wakizungumza walijikuta wakikaa kimya baada ya kumuona Tasha.

Mwendo wake uliwaacha hoi, vile upepo una sifa sasa ulipeperusha nywele zake na kumfanya aonekane wa kipekee.

Kwa mara ya kwanza Bryant Kobe alimeza mate kisa muonekano wa Mwanamke.

Hivyo hivyo kwa Philips Kobe, yeye pia alimeza mate.

Bahati mbaya sasa Tasha alijikwaa, kabla hajadondoka chini Wanaume wawili walijitokeza wakamdaka....

ITAENDELEA.......
Tangazo - SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
SHUKRANI – Emidee ft. Mbacho Wizzy (Official Lyrics Video) ? Produced by: Gift Record ? Released: 20
Wimbo wenye ubunifu imechanga kiarabu kiswahili na amapiano wimbo wa kushukuru kwa maisha na upendo Sasa sikiliza na ku download hapa gonga94.com
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 8 ENDELEA...... "Mimi huyu ni pa....nue uniwekee kidogo .... nadhani umenizoea

sana. Mimi si mtu wa kuzoeleka, kuanzia sasa na kuendelea utaniogopa kama mtoto aogopavyo dawa " Tasha aliongea.

Bryant Kobe alicheka kimtindo kisha akaweka kijiko kwenye hot pot. Hakuongea chochote aliondoka....

Zara alitaka kumrudisha lakini muonekano wa sura yake ulimtisha. Mara nyingi akiona muonekano huu huwa anajizuia kumshobokea.

Basi Tasha alikaa hospitalini siku mbili kisha akaruhusiwa kuondoka.

Upande wa Bryant Kobe aliendelea na ratiba zake kama CEO wa Kampuni ya Danone.

Utendaji wake wa kazi ulikuwa ni mzuri sana kwa kiwango cha juu kabisa.
Kila mtu alizungumza mazuri yake.

"Kikao cha jana siku hudhuria lakini natumaini uliniwakilisha vyema, naomba kujua ni kitu gani mliafikiana " Bryant...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ceo-na-mrembo-wa-tiktok-sehemu-ya-8-endelea-mimi-huyu-ni-pa-nue-uniwekee-kidogo-nadhani-umenizoea

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi ceo-na-mrembo-wa-tiktok-sehemu-ya
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž   SEHEMU YA 17 ENDELEA...... "Mama yako alimuua Mama yake Bryant Kobe
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 17 ENDELEA...... "Mama yako alimuua Mama yake Bryant Kobe
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 16 ENDELEA..... "Ni wakati wa wewe kufurahia uboss pia, sielewi ni kwanini unapoteza kujiamini βœ‹" Zara aliongea.
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 16 ENDELEA..... "Ni wakati wa wewe kufurahia uboss pia, sielewi ni kwanini unapoteza kujiamini βœ‹" Zara aliongea.
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 19 ENDELEA...... "Kwanini unaingia bila hodi πŸ™„" Dada wa kazi mstaafu aliuliza
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 19 ENDELEA...... "Kwanini unaingia bila hodi πŸ™„" Dada wa kazi mstaafu aliuliza
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 18 ENDELEA..... "Inakuaje unaanguka na huku umekunywa chai
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 18 ENDELEA..... "Inakuaje unaanguka na huku umekunywa chai
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 13 ENDELEA.... "Na....na....nawahi kuandika ripoti tutaonana baadae" Tasha akiwa mwenye hofu kubwa aliaga.
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 13 ENDELEA.... "Na....na....nawahi kuandika ripoti tutaonana baadae" Tasha akiwa mwenye hofu kubwa aliaga.
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž   SEHEMU YA 14 ENDELEA. "Ni swali gani hili? mbona nashindwa kuelewa " Bryant Kobe
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 14 ENDELEA. "Ni swali gani hili? mbona nashindwa kuelewa " Bryant Kobe
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 12 ENDELEA...... "Ni huzuni mtupu nyie kujifungia hapa ilihali kule chakula kipo kwenye hati hati ya kumwaga
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 12 ENDELEA...... "Ni huzuni mtupu nyie kujifungia hapa ilihali kule chakula kipo kwenye hati hati ya kumwaga
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 11 ENDELEA...... "Okay, wakati wewe unaoga Mimi nitajilaza kidogo tu kitandani
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 11 ENDELEA...... "Okay, wakati wewe unaoga Mimi nitajilaza kidogo tu kitandani
 π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž   SEHEMU YA 10 ENDELEA Basi Zara alihakikisha Philips Kobe anapendeza kuliko Kaka
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 10 ENDELEA Basi Zara alihakikisha Philips Kobe anapendeza kuliko Kaka
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 9 ENDELEA...... "Poleee " Philips na Bryant Kobe waliongea kipamoja
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 9 ENDELEA...... "Poleee " Philips na Bryant Kobe waliongea kipamoja
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 6 ENDELEA..... "Nini kinaendelea " Bryant Kobe alizungumza huku akiinyanyua picha yake
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 6 ENDELEA..... "Nini kinaendelea " Bryant Kobe alizungumza huku akiinyanyua picha yake
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 7 ENDELEA...... "Una mfahamu mbona umeshtuka namna hiyo, kama humjui mchukue
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 7 ENDELEA...... "Una mfahamu mbona umeshtuka namna hiyo, kama humjui mchukue
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❀️ sehemu ya 82 na 83

MY WANGU❀️ sehemu ya 82 na 83

577
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜

458
MY WANGU❀️ sehemu ya 84 na 85

MY WANGU❀️ sehemu ya 84 na 85

457
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 31 na 32

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 31 na 32

381
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 33

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 33

315
*MIMI SIKUACHIπŸ₯°* *SEHMU YA 34*

*MIMI SIKUACHIπŸ₯°* *SEHMU YA 34*

195
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

82
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

55

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.1K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.84K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.67K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.05K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.45K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.41K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.29K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.29K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.25K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Post Mpya
REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
@majario LIVE

walipomuona seven ikabidi mzee fahad azungumze nae kuhusu swala la wao kuondoka **"lakini mzee wangu mbona bado hali ya fahima sio nzuri?" alisema seven usijari kwakuwa ametaka mwenyewe basi haina shida kikubwa...

*MIMI SIKUACHIπŸ₯°* *SEHMU YA 34* Post Mpya
*MIMI SIKUACHIπŸ₯°* *SEHMU YA 34*
@majario LIVE

*SEASON TWO* LISSA WA HURU MEDIA * Basi uyu demu mimi na yeye ndo tukaachna hapa. Nilimwambia ukweli sikutaka kuwa na michepuko tena. Mke wngu kwanza ananitosha sana. Yani anafit kwa kila kitu....

MY WANGU❀️ sehemu ya 84 na 85 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 84 na 85
@majario LIVE

Basi bwana nikaingia ndani ya gari ya mlige . Daaaah uko njiani ni anaona kama hatufiki . Mala kanishika ziwa . Mala kanishika kiuno kabinya mhh yani acha ...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasaπŸ˜†πŸ˜† my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Kila alipokua akipita mtaani kwao utasikia watu wakimuita tipwa tipwa huku wakimtania, lakini yeye hajali hata kidogo. Karidhika na mwili wake, hana mda wa kuhifadhi maneno ya watu...

MY WANGU❀️ sehemu ya 82 na 83 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 82 na 83
@majario LIVE

Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 33 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 33
@majario LIVE

Bas baada ya princess kukata simu nikamsogelea mke wangu nikamwambia si umeona kipenzi changu. We niamini tu na kuwa muelewa . Mimi nimekosea ilaa sasa hivi sitaki tena kuwa na...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

Fatuma akanmbia kumbe ndo unayonifanyia aya. Unazani nilikuwa sina habri zako . Unazani sijuh najua sana . Kuwa apa chuo una mwanamke mjinga ww. Daah nikamwambia plsss mke wangu...

MY WANGU❀️ sehemu ya 81 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 81
@majario LIVE

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MAAMOJA Basi maisha yakawa yanenda hivyo. Na zayd akawa nanaitafuta kila siku. Alivyokuwa kenya. Siku iyo usiku hivi .nipo ndani kwangu . Nilikuwa napanga nguo zangi mana nilikiwa...

MY WANGU❀️ sehemu ya 79 na 80 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 79 na 80
@majario LIVE

Zayd akasema ni mimi. Naona unaniangalia sana wala haujanifananisha ndo mm zayd tulisoma wote singida . Na mala ya mwisho tulipewa suspension na mwenzangu ukahama shule. Mh nikasema ahaa...

MY WANGU❀️ sehemu ya 78 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 78
@majario LIVE

Basi bibi mie nikaanza kujiandaa kwa ajili ya club. Na nguo nnazo kama zote. Kuna mda mlige ananinuliaga mpkaa nguo za ajabu . Ila nivae tu nikiwa na...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 51...52πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 51...52πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Uwe na usiku mwema mke wangu mimi nitakwenda kulala kwenye chumba changu kingine natumaini hili jambo litabakia kuwa la siri kati yetu sisi wawili..... natumaini hautamwambia mtu yeyote yule Acha...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 30 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 30
@majario LIVE

Akanmbia mi nitakuazima pesa milion 10 . Uanze nayo. Ununue mashine zote.na ukalipie fremu apa maeneo ya chuo utapata wateja wengi. Mh nikaona uyu demu ana roho nzuri ety anamfikilia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 MWANZO......... Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majutoπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Asubuhi majira ya saa...

NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO.... Call me Paaye, oooh Paaye hata sijui hili jina lina maana gani na siijui wazazi wangu walilipatia kwa mkorea yupi maana kwa hili jina saluti kwao Aaah Paaye...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest