Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 22*  Nilimwambia sawa nitafanya hivyo... alinitakia usiku mwema kisha akaondoka zake..
Gonga94 ยท Stories

*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 22* Nilimwambia sawa nitafanya hivyo... alinitakia usiku mwema kisha akaondoka zake..

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Nilibakia peke yangu kule chumbani kusema kweli sikupata usingizi๐Ÿ˜“๐Ÿ˜“ nilikuwa nawaza tu nikikutwa na mimba itakuwaje??..

Niligala gala kitandani mpaka mida ya saa 11 alfajili nikaamka... nilinawa nikamaliza nikatoka kwenda kufanya usafi..

Wakati niko jikoni nakosha vyombo mama naye aliamka kumbuka aliniahidi kufanya kazi zote siku hiyo..

Hee zarina umeamka??.

Ndiyo mama๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Šwe nenda tu ukaendelee kulala mimi nitafanya kazi zangu mwenyewe..

Huh lakini unaumwa wewe๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ hapana mama niko sawa tumbo haliumi tena yani najisikia vizuri kabisa..

Kwa hiyo hospital huendi tena???. Hahahaa mama sa hospital nifuate nini na wakati sijisikii vibaya...

Lbda ikitokea nimezidiwa ndo nitaenda hospital but for now I'm okay๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š... hahahaa utakuwa muoga wa sindano wewe mi nishakugundua๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Hahahaa tuliishia kucheka pale nikamuuliza mama yani kama vile ulikuwepo yani mimi na sindano ni maji na mafuta๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Basi masikini mama wa watu aliniambia kwa vile nimeshaamka siwezi kurudi kulala hebu ngoja japo nikusaidiepo hivo vyombo we nenda ukasafishe huko hapa jikoni niachie mimi nishughulike napo..

Basi mamaa mi nilienda kufanya usafi ndani nikamuachia mama amalizie vile vyombo..

Kusema kweli siyo kwamba nilikuwa sawa hapana nilijikaza tu nisimkwaze Kingston...

Nyote mliozaa mnazijua tabia za mimba haswa mida kama hiyo zinakuwa kama zimepandwa na kuchaa๐Ÿ˜‚

Nilianzia kudeki chini kupanda juu... wakati wote nahangaika na dekio kwenye flo ya chini kumbe Kingston alikuwa kajibanza sehemu ananichabo tu maskini๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ

Nimedeki zangu chini nilipomaliza nikapanda juu wakati huo kushaanza kupambazuka...

Nilikuwa natembea nayumba kizungu zungu kama chote..

Vyote hivyo Kingston alikuwa anajionea tu...basi bwana nilipopanda juu nikashangaa nakutana na Kingston kwenye ngazi akanipokea ile ndoo ya kudekia nikashangaa๐Ÿ˜ณ

Nimatie mimi hii ndoo...nilimuachia ile ndoo lakini natetemeka kupita maelezo๐Ÿ™Œ..jamaa aliniangalia kwa macho ya huruma sana๐Ÿฅน๐Ÿฅน

Aliniuliza kwa sauti ya chini vipi unaendeleaje??. Polee unaonekana hauko sawa๐Ÿ™‚ nilikaa tu kimya sikuweza kumjibu chochote๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”

Kingston aliniambia nimuachie kazi iliyobakia ye ataimalizia wazazi wakiondoka nikamwambia sawa..

Alipitisha dekio zile sehemu zinazoonekana ili wazazi wakipita wajue tayari usafi ushafanyika kote..

Kwa ile hali ya kujali kidogo nikawa na matumaini juu ya Kingston ๐Ÿ™‚๐Ÿ™‚๐Ÿ™‚..

Nilirudi chumbani kwangu nikapata na nguvu ya kutandika kitanda baada ya hapo nikaenda kuoga kidogo nikapata nguvu..

Ilipofika saa moja kuelekea saa mbili wazazi wa Kingston walitoka kuelekea kazini wakanisisitiza hali yangu ikibadilika nisisite kuwapigia simu..

Basi baada ya wazazi kusepa Kingston alikuja akanimiminia chai maskini akanipatia na vitafunwa akaniomba nile maana usiku wa jana sikula ndo maana kuzungu zungu kinanisumbua..

Lol mshikaji alionekana kujali vibaya mno๐Ÿฅน๐Ÿฅนalinisisitiza sana naomba ule zarina usijali kila kitu niachie mimi I'm a Man nitajua namna ya kufanya kikubwa tu uniamini..

Baada ya Kingston kuniambia hivyo aliondoka kwenda kumalizia usafi zile sehemu zilizobakia mimi nikabaki nakunywa chai..

Alifanya usafi akamaliza akaja kuniangalia... aliniuliza nilichoongea na mama nikamwelezea kila kitu akanishukuru kwa kuendelea kumfichia siri zake na akaniahidi kila kitu kitakaa sawa๐Ÿ˜ฐ๐Ÿ˜ฐ..

Aliniomba nikapumzike kidogo baada ya hapo tutaenda hospital kufanya vipimo๐Ÿ˜“๐Ÿ˜“yani kila niliposikia neno vipimo kimoyo kilikuwa kinafanya paaah๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Mshikaji alinishikilia mkono mpaka chumbani kwangu akaniomba nijilaze pale nipumzike๐Ÿค—๐Ÿค—๐Ÿค—..

Usingizi nilikuwa nao wa kufa mtu kumbuka usiku wa jana wote sikulala๐Ÿ’”kwa ile hali ya kujali aliyonionyesha Kingston kidogo nikajikuta napata na amani ya kulala..

Nililala usingizi fofofo๐Ÿ˜ด๐Ÿ˜ด nilikuja shituka saa nane mchana nimeloa jasho mwili mzima๐Ÿ˜บ

Ilibidi nikoge tena baada ya hapo nikatoka kuelekea jikoni kwa ajili ya kupika..

Wakati nataka kuanza kupika Kingston alinifuata akaniambia nijiandae tutoke tutakula huko tunakoenda..

Nilimwambia sawaa... nilijiandaa chapu nikavaa nguo nzuri aloninunulia siku ile๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆnayeye akajiandaa alipomaliza akaja kunigongea tuondoke..

Nilitoka kingston aliponiona nilivyotupia kwa mara ya kwanza akanisifiaaa๐Ÿค—๐Ÿค—๐Ÿค—aliniambia wow you look good๐Ÿ˜ฝ๐Ÿ˜ฝ..

Nikamwambia thank youu๐Ÿ™ˆ ukisifiwa na wewe sifia๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚nami nilimsifia The Boy maana lol Mungu alijua kumuumba kwa kweli๐Ÿฅฐ

Tulitoka mpaka parking familia ina kila aina ya magari jamani๐Ÿ˜ด๐Ÿ™Œ wakitaka kutoka wanajichagulia tu leo tutoke na ipi๐Ÿค—๐Ÿค—

Kingston alichagua gari moja wapo pale akaniambia nipande tukaondoka kuelekea hospital...

Nini kitafuata baada ya vipimo?.?fuatilia sehemu inayofuata...

Full 1000
WhatsApp 0742133100
Tangazo - Monday To Sunday
Monday To Sunday
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 22* Nilimwambia sawa nitafanya hivyo... alinitakia usiku mwema kisha akaondoka zake..

Nilibakia peke yangu kule chumbani kusema kweli sikupata usingizi๐Ÿ˜“๐Ÿ˜“ nilikuwa nawaza tu nikikutwa na mimba itakuwaje??..

Niligala gala kitandani mpaka mida ya saa 11 alfajili nikaamka... nilinawa nikamaliza nikatoka kwenda kufanya usafi..

Wakati niko jikoni nakosha vyombo mama naye aliamka kumbuka aliniahidi kufanya kazi zote siku hiyo..

Hee zarina umeamka??.

Ndiyo mama๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Šwe nenda tu ukaendelee kulala mimi nitafanya kazi zangu mwenyewe..

Huh lakini unaumwa wewe๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ hapana mama niko sawa tumbo haliumi tena yani najisikia vizuri kabisa..

Kwa hiyo hospital huendi tena???. Hahahaa mama sa hospital nifuate nini na wakati sijisikii vibaya...

Lbda ikitokea nimezidiwa ndo nitaenda hospital but for now I'm okay๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š... hahahaa utakuwa muoga wa sindano...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mmmm-daddy-nikikupa-utaniowa-kweli-season-two-sehemu-ya-22-nilimwambia-sawa-nitafanya-hivyo-alinitak

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mmmm-daddy-nikikupa-utaniowa-kweli-season-two-sehemu-ya
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 35*  Baada ya mama kufika mjini nilimpigia baba Kingston
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 35* Baada ya mama kufika mjini nilimpigia baba Kingston
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 38*  Basi bwana siku hiyo ya ufunguzi wa restaurant yangu wateja walifurika mpaka wengine walikosa nafasi wakaondoka๐Ÿฅณ..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 38* Basi bwana siku hiyo ya ufunguzi wa restaurant yangu wateja walifurika mpaka wengine walikosa nafasi wakaondoka๐Ÿฅณ..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 39*  Baada ya kuiandika hiyo barua pale mwishoni nikaweka kanamba kangu ka simu๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 39* Baada ya kuiandika hiyo barua pale mwishoni nikaweka kanamba kangu ka simu๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ๐Ÿ™ˆ
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO*   *SEHEMU YA 33*  Baada ya kutuma tu msg Baba alinipigia๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐakanijulia hali kisha akaniuliza niliko nikamwambia...
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 33* Baada ya kutuma tu msg Baba alinipigia๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐakanijulia hali kisha akaniuliza niliko nikamwambia...
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO*      *SEHEMU YA 40*  Mipango niliyokuwa nayo ni kumuondoa Kingston mikononi mwa lulu aje tulee watoto..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 40* Mipango niliyokuwa nayo ni kumuondoa Kingston mikononi mwa lulu aje tulee watoto..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO*     *SEHEMU YA 28*  Siku hiyo Kingston alioga akajiandaa akaondoka pale nyumbani aliniachia pesa kiasi fulani kwa ajili ya...
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 28* Siku hiyo Kingston alioga akajiandaa akaondoka pale nyumbani aliniachia pesa kiasi fulani kwa ajili ya...
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 37*  Mama Kingston bwana alikuja shituka nikiwa nimeshakabidhiwa lile jumba la ghorofa
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 37* Mama Kingston bwana alikuja shituka nikiwa nimeshakabidhiwa lile jumba la ghorofa
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO*  *SEHEMU YA 31*  Nilifika getini kwao Kingston palikuwa kimya sana ilikuwa ni jioni saa 11 kuelekea saa 12๐Ÿค—๐Ÿค—..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 31* Nilifika getini kwao Kingston palikuwa kimya sana ilikuwa ni jioni saa 11 kuelekea saa 12๐Ÿค—๐Ÿค—..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 34*  Nilipiga simu ya mama  ikaita na kupokelewa๐Ÿฅน๐Ÿฅน๐Ÿฅน
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 34* Nilipiga simu ya mama ikaita na kupokelewa๐Ÿฅน๐Ÿฅน๐Ÿฅน
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 32*  How??... inawezekanaje?.. wazazi walinihoji hawakuamini ilibidi nianze kuwasimulia kila kitu..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 32* How??... inawezekanaje?.. wazazi walinihoji hawakuamini ilibidi nianze kuwasimulia kila kitu..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 30*  Zilipita kama week moja hivi Tristan akanifuata akaniambia kazi imepataikana na kwa kipindi chote hicho yeye ndo alikuwa anatuhudumia...

*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 27*  Baada ya kumuomba Kingston abaki na mimi usiku ule alinikatalia akaniambia
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 27* Baada ya kumuomba Kingston abaki na mimi usiku ule alinikatalia akaniambia
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 26*  Nilishikwa na hofu nyingi moyoni lakini nikaweka imani nilifika nyumbani kwetu salama salmin..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 26* Nilishikwa na hofu nyingi moyoni lakini nikaweka imani nilifika nyumbani kwetu salama salmin..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 29*  Nilishangaa kumuona Dada na lile rundo la pesa nikamuuliza mbona umeomba pesa nyingi hivo???..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 29* Nilishangaa kumuona Dada na lile rundo la pesa nikamuuliza mbona umeomba pesa nyingi hivo???..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 24*  Weee niliogopaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚sijui anataka kusema nini Mungu wangu๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 24* Weee niliogopaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚sijui anataka kusema nini Mungu wangu๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO*     *SEHEMU YA 23*  Tulienda kwenye hospital moja hivi iliyoko nje kidogo  ya jiji la Arusha..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 23* Tulienda kwenye hospital moja hivi iliyoko nje kidogo ya jiji la Arusha..
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 66 na 67

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 66 na 67

621
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 64 na 65

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 64 na 65

562
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 68

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 68

473
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 45๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 45๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

413
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20

346
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 69 na 70

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 69 na 70

92
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 12 na 13

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 12 na 13

83
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 10 na 11

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 10 na 11

69
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 7 na 8

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 7 na 8

54
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜  N0 46๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 46๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

52

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.79K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.65K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.01K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.43K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tatu.  ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tatu. ๐Ÿ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...๐Ÿ‘‡

2.4K
I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

I LOVE YOU DADY ๐Ÿ’˜โค๏ธ๐Ÿ’˜10

2.27K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.25K
โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

โคโค MTOTO WA MKE WANGU๐Ÿ˜›๐Ÿ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.24K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya nane.  ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya nane. ๐Ÿ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...๐Ÿ‘‡

2.14K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ 16 MPAKA 18 Post Mpya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ 16 MPAKA 18
@majario LIVE

๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก Sehemu ya 16 Basi nikapata kaumarufu kweli kweli pale chooni. Yani ata wadada wakawa wananishobokea sana. Naomba unifundishe nifundishe kama zote. Wadada full shobo na mimi. Ata washikaji wakawa...

AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜  N0 46๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 46๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
@majario LIVE

Moyo wangu ulianza kudata juu yaHemed๐Ÿฅน๐Ÿฅน nilijaribu kuongea nao lakini wala haukunisikia niliuambia moyo tulia hukuhuku kwa boo tayari tushasolve tatizo lililokuwepo Acha kuhamahama๐Ÿ˜Ÿ๐Ÿ˜Ÿ lakini moyo bado ulizidi kung'ang'ania kwa...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 69 na 70 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 69 na 70
@majario LIVE

Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana. Yani sana tu. Na prepo ilivyoisha tukarudi darasani. Mie nikampa tu yule mwanafunzi...

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ 14 MPAKA 15 Post Mpya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ 14 MPAKA 15
@majario LIVE

๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก Sehemu ya 14 Aseee mi nilimuangalia sana uyu demu. Nikamuona jau . Yani yupo very serious ananitongoza .mnajua kuna jinsi nilimdharau . Nikaona uyu demu daaah. Alivyoona namshangaa na sijamjibu...

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 12 na 13 Post Mpya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 12 na 13
@majario LIVE

12 MPAKA 13 ๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก Nikasema vp mbona huniachii mkono. Akanmbia ahaa sory haji. Kisha akaachia mkono wangu. Na mda uo uo ndo lemi akawa analudi pale. Akasema ahaaa mrembo upo...

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 10 na 11 Post Mpya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 10 na 11
@majario LIVE

10 MPAKA 11 ๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก Aseeeee uyu demu ni mzuri bwana. Mi. Mwenyewe nilikubali. Ila sio kwamba nilimtamani no. Mi ni mwanaime ninayejielewa sana. Wanaume tuna tamani mno. Ila unakuwa na msimamo wako...

MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 7 na 8 Post Mpya
MIMI SIKUACHI๐Ÿฅฐ Sehemu ya 7 na 8
@majario LIVE

7 MPAKA 9 ๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก๐ŸŸก Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani ila lemi akanmbia kuna mtu anakutana nae kidogo nikasema powa so nikamuacha mimi nikaludi hostel.aseeee chuo kimechangamka iki sana. Yani...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 68 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 68
@majario LIVE

Basi akashuka. Akamsalimia mama pale. Mama akamuitikia. Akaniuliza. Ushakuwa tayari. Mie nikasema ndio . Akanmbia kachukue nilivyokwambia tupakie. Nikasema sawa. Kweli nikaenda kuchukua. Vilikuwa vidogo. Kweli. Vyengine niliviona kashanunua yeye...

AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 45๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ N0 45๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
@majario LIVE

0742133100 Babie Love Niliipokea ile simu huku nikiwa natetemeka kwa uoga..... hello daddy.... pendo what's going on ๐Ÿคทโ€โ™‚๏ธ taarifa gani hizi nazoambiwa kwani hamkumaliza tofauti zenu inatakiwa muache drama mtakuja kunitesea...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 66 na 67 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 66 na 67
@majario LIVE

Aseeee nilikuwa na maumivu kwa kila sehemu ya mwili wangu. Nilikuwa na maumivu makali mnoo. Asa mkono . Yani sikuwa sawa kabisa. Namsikia mlige akiwa ndani .anasema yani nikitoka njeee...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA  SEHEMU YA 19 - 20 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 19 - 20
@majario LIVE

Nilikuwa najilazimisha hata kucheka mama aliniona ila akajua labda ni uoga tuu akaniambia mwanangu usijali bhana Kila kitu kutakuwa sawa na ndoa yako itapita vizuri tu nikawa namjibu kwakichwa saw,...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 64 na 65 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 64 na 65
@majario LIVE

Basi mie nikaingia chumbani nikajilaza kitandani.nikalia mnoo .niklia aswaaa.mana mi.mwenyewe mlige nampenda.nampenda sana.na kweli nimemkosea ila hataki ata kuongea na mie ni ananifanyia hasira tu. Basi shoga yenu nikawa nalia...

PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18 Post Mpya
PILOT SITAKI INANIOGOPESHA SEHEMU YA 17 - 18
@majario LIVE

Sasa wakati uo nimeenda nikaja kufunguliwa mlango na Kendrick, na ilikuwa inaonekana nyumbani walibaki wao wawili tu na wafanya kazi, Alivonifungulia mlango mie nikapita moja Kwa moja mpaka ndani sikutaka...

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 63 Post Mpya
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 63
@majario LIVE

Basi bwna tumefika nyumbani . Mama akaja akasema eeh baba jamani pole kwa usumbufu wote. Mlige akasema usijali mma kuwa na amani kabisa mma akauliza shida nn wamesema.....

*REALLY LOVE  ๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ’•* *1-5* Post Mpya
*REALLY LOVE ๐Ÿ’•๐Ÿ’•๐Ÿ’•* *1-5*
@majario LIVE

*SEHEMU YA KWANZA* """""babee amka basi unachelewa kazini"""" sauti hiyo ya msichana catherine akimuamsha mpenzi wake ambaye alikuwa amelala """""ah babe nimechoka"""" mpenzi wake huyo aitwae seven alijibu kiuchovu sana...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest