Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ Gonga94 Semajambo
Gonga94 ยท Stories
26 Oct 2025
697 views
VYOTE NDANI GONGA94
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 32* How??... inawezekanaje?.. wazazi walinihoji hawakuamini ilibidi nianze kuwasimulia kila kitu..
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Niliwaelezea mwanzo mpaka mwisho wakabaki vinywa wazi๐ณ๐ณina maana Kingston hakuwa mgonjwa?....
Nikawaambia hajawahi kuumwa na muda wote mlipokuwa mkienda kazini mimi nayeye tulikuwa tukipiga story kama kawaida na muda mwingine alikuwa ananisaidia kazi kupika na kufanya usafi..
Kwanini hukutwambia?... kibao kikanigeukia๐ฉ๐ฉniliwaambia tu kuwa Kingston alinitishia๐
Wazazi kusema kweli walisikitika sana walinitupia lawama nyingi mi nilikubali kutupiwa lawama zote sa nitafanyaje na ndo tayari ilishatokea๐๐๐
Niliwaambia wazazi mimi ndo kama mnavoniona nakaribia kujifungua na mwanenu kanitelekeza nimekuja hapa ili mnisaidie..
Tutajuaje kama kweli hii ni mimba ya Kingston?....kama uliweza kutuficha kuhusu ugonjwa wa Kingston sembuse kumsingizia mtu mimba??
Mama Kingston alikuwa na hasira sana juu yangu๐ฅน๐ฅน nilimpigia magoti nikamwambia mama please nisamehe๐
Mama alinikataa na alinitaka niondoke pale ndani muda uleule๐๐ nilijidharau sana lakini its okay..
mama baada ya kunitaka niondoke alielekea chumbani kwake kwa hasira na akaniambia akitoka huko asinikute pale ndani๐๐๐...
Nilibakia pale sebleni na mzee nalia tu๐๐๐ mzeee alinihurumia sana.. alichomoa kiasi kadhaa cha pesa akanipatia pamoja na namba yake ya simu baada ya hapo akaniambia niondoke yeye atanisaidia..
Niliondoka haraka pale nyumbani kwao na Kingston nikatafuta sehemu nikalala kesho yake nikamtumia mzee msg ya kumshukuru lengo ilikuwa tu aipate namba yangu aweze kunisadia๐
Usikose kuifuatilia simulizi hii katika sehemu inayofuata...
Full 1000
WhatsApp 0742133100
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa
+ Endelea kugundua zaidi
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 69 na 70
Basi nilipata kafuraha mno. Nikachukua pesa yangu .nikarudi darasani kuendelea na ratiba zangu. Uwiiiiii nilifurahi sana...
7 MPAKA 9 ๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก๐ก Basi bwana tukivyotoka kula sasa. Mi nikaludi ndani i...
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 32* How??... inawezekanaje?.. wazazi walinihoji hawakuamini ilibidi nianze kuwasimulia kila kitu..
Niliwaelezea mwanzo mpaka mwisho wakabaki vinywa wazi๐ณ๐ณina maana Kingston hakuwa mgonjwa?....
Nikawaambia hajawahi kuumwa na muda wote mlipokuwa mkienda kazini mimi nayeye tulikuwa tukipiga story kama kawaida na muda mwingine alikuwa ananisaidia kazi kupika na kufanya usafi..
Kwanini hukutwambia?... kibao kikanigeukia๐ฉ๐ฉniliwaambia tu kuwa Kingston alinitishia๐
Wazazi kusema kweli walisikitika sana walinitupia lawama nyingi mi nilikubali kutupiwa lawama zote sa nitafanyaje na ndo tayari ilishatokea๐๐๐
Niliwaambia wazazi mimi ndo kama mnavoniona nakaribia kujifungua na mwanenu kanitelekeza nimekuja hapa ili mnisaidie..
Tutajuaje kama kweli hii ni mimba ya Kingston?....kama uliweza kutuficha kuhusu ugonjwa wa Kingston sembuse kumsingizia mtu mimba??
Mama Kingston alikuwa na hasira sana juu yangu๐ฅน๐ฅน nilimpigia...
๐ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mmmm-daddy-nikikupa-utaniowa-kweli-season-two-sehemu-ya-32-how-inawezekanaje-wazazi-walinihoji-hawak
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mmmm-daddy-nikikupa-utaniowa-kweli-season-two-sehemu-ya
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 35* Baada ya mama kufika mjini nilimpigia baba Kingston
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 38* Basi bwana siku hiyo ya ufunguzi wa restaurant yangu wateja walifurika mpaka wengine walikosa nafasi wakaondoka๐ฅณ..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 39* Baada ya kuiandika hiyo barua pale mwishoni nikaweka kanamba kangu ka simu๐๐๐
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 33* Baada ya kutuma tu msg Baba alinipigia๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐakanijulia hali kisha akaniuliza niliko nikamwambia...
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 40* Mipango niliyokuwa nayo ni kumuondoa Kingston mikononi mwa lulu aje tulee watoto..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 28* Siku hiyo Kingston alioga akajiandaa akaondoka pale nyumbani aliniachia pesa kiasi fulani kwa ajili ya...
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 37* Mama Kingston bwana alikuja shituka nikiwa nimeshakabidhiwa lile jumba la ghorofa
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 31* Nilifika getini kwao Kingston palikuwa kimya sana ilikuwa ni jioni saa 11 kuelekea saa 12๐ค๐ค..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 34* Nilipiga simu ya mama ikaita na kupokelewa๐ฅน๐ฅน๐ฅน
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 30* Zilipita kama week moja hivi Tristan akanifuata akaniambia kazi imepataikana na kwa kipindi chote hicho yeye ndo alikuwa anatuhudumia...
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 27* Baada ya kumuomba Kingston abaki na mimi usiku ule alinikatalia akaniambia
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 26* Nilishikwa na hofu nyingi moyoni lakini nikaweka imani nilifika nyumbani kwetu salama salmin..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 29* Nilishangaa kumuona Dada na lile rundo la pesa nikamuuliza mbona umeomba pesa nyingi hivo???..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 24* Weee niliogopaa๐๐๐sijui anataka kusema nini Mungu wangu๐๐..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 23* Tulienda kwenye hospital moja hivi iliyoko nje kidogo ya jiji la Arusha..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 22* Nilimwambia sawa nitafanya hivyo... alinitakia usiku mwema kisha akaondoka zake..