Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo
Gonga94 · Stories
04 Nov 2025
893 views
VYOTE NDANI GONGA94
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 38* Basi bwana siku hiyo ya ufunguzi wa restaurant yangu wateja walifurika mpaka wengine walikosa nafasi wakaondoka🥳..
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Mgahawa wangu ulivuma kuvuma🥰🥰🥰nami nilianza kuwa naenda ofisini asubuhi😂😂😂natoka jioni🥳🥳
Nikawa Boss wa watu wengine nyie Mungu acheni aitwe Mungu🥰🥰
Biashara ilitiki bwana nikanunua kigari cha kutembelea🙈🙈nikawa Boss lady haswaaaa 😂😂
Namiliki mjengo gari na biashara utaniambia nini😂😂😂siyo kama natamba bwana ila ndo hivyo namimi nikaanza kuheshimika🙈🙈
Siku moja asubuhi wakati naingia ofisini kwangu nikaona kuna wateja wawili mkaka na mdada🥺🥺hawakuwa wageni machoni kwangu😳😳
Nilivyokaza macho kwa umakini mbona kama Kingston yule😳😳😳nikawaza nisogee pale karibu yao?..
Mmhhh nikaogopa yani hapo natetemeka mpaka nataka kukikojolea😂😂🙌
Nilichofanya kwa haraka niliingilia mlango wa nyuma kisha nikamuomba mfanyakazi mmoja pale akawapige picha wawili wale kwa ukaribu bila wao kujua aniletee🥺🥺..
Yule kijana alifanya kile nilichomwagiza🥹🥹aliniletea picha kucheki kwa umakini ni kweli ni Kingston na lulu🥹
Siku hiyo sikuweza hata kufanya kazi🥹🥹niliondoka nikarudi nyumbani...niliendesha gari nikiwa nalia🙈🙈huzuni ikanitawala..
Nilivofika nyumbani nilijifungia siku nzima namlilia tu Kingston wangu🙈🙈🙈nilijilaumu kwanini sijamfuata tu pale liwalo na liwe😩😩..
Nampenda hivi mnajua kupenda nyieee🥹🥹🥹 siku hiyo wakati naondoka pale ofisini nilimuomba yule kijana aliyenichukulia picha awafuatilie wawili wale ajue wanapatikana wapi..
Kweli alifanya hivo aliniambia ofisi wanayofanya kazi wote wawili....nilipanga kwenda hukohuko ofisini kukutana na Kingston..
Siku hiyo usiku niliwaza kabla sijaenda mwenyewe kuonana na Kingston bora nimwandikie kwanza barua najua akiiona hii barua atajua namimi niko hum hum jijini na atajua tyr nishajua sehemu anakopatikana..
Nilimwaga wino kwenye karatasi🙈🙈🙈...nilianza na Salam
Hello Kingston..
Ni mimi kijakazi zarina uliyenitelekeza huko kiligolf jijini Arusha...
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 38* Basi bwana siku hiyo ya ufunguzi wa restaurant yangu wateja walifurika mpaka wengine walikosa nafasi wakaondoka🥳..
Mgahawa wangu ulivuma kuvuma🥰🥰🥰nami nilianza kuwa naenda ofisini asubuhi😂😂😂natoka jioni🥳🥳
Nikawa Boss wa watu wengine nyie Mungu acheni aitwe Mungu🥰🥰
Biashara ilitiki bwana nikanunua kigari cha kutembelea🙈🙈nikawa Boss lady haswaaaa 😂😂
Namiliki mjengo gari na biashara utaniambia nini😂😂😂siyo kama natamba bwana ila ndo hivyo namimi nikaanza kuheshimika🙈🙈
Siku moja asubuhi wakati naingia ofisini kwangu nikaona kuna wateja wawili mkaka na mdada🥺🥺hawakuwa wageni machoni kwangu😳😳
Nilivyokaza macho kwa umakini mbona kama Kingston yule😳😳😳nikawaza nisogee pale karibu yao?..
Mmhhh nikaogopa yani hapo natetemeka mpaka nataka kukikojolea😂😂🙌
Nilichofanya kwa haraka niliingilia mlango wa nyuma kisha nikamuomba mfanyakazi mmoja pale akawapige picha wawili wale kwa ukaribu bila wao kujua aniletee🥺🥺..
Yule kijana...
👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/mmmm-daddy-nikikupa-utaniowa-kweli-season-two-sehemu-ya-38-basi-bwana-siku-hiyo-ya-ufunguzi-wa-resta
Umesoma kwa utulivu · dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi mmmm-daddy-nikikupa-utaniowa-kweli-season-two-sehemu-ya
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 35* Baada ya mama kufika mjini nilimpigia baba Kingston
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 39* Baada ya kuiandika hiyo barua pale mwishoni nikaweka kanamba kangu ka simu🙈🙈🙈
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 33* Baada ya kutuma tu msg Baba alinipigia🥰🥰🥰akanijulia hali kisha akaniuliza niliko nikamwambia...
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 40* Mipango niliyokuwa nayo ni kumuondoa Kingston mikononi mwa lulu aje tulee watoto..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 28* Siku hiyo Kingston alioga akajiandaa akaondoka pale nyumbani aliniachia pesa kiasi fulani kwa ajili ya...
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 37* Mama Kingston bwana alikuja shituka nikiwa nimeshakabidhiwa lile jumba la ghorofa
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 31* Nilifika getini kwao Kingston palikuwa kimya sana ilikuwa ni jioni saa 11 kuelekea saa 12🤗🤗..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 34* Nilipiga simu ya mama ikaita na kupokelewa🥹🥹🥹
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 32* How??... inawezekanaje?.. wazazi walinihoji hawakuamini ilibidi nianze kuwasimulia kila kitu..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 30* Zilipita kama week moja hivi Tristan akanifuata akaniambia kazi imepataikana na kwa kipindi chote hicho yeye ndo alikuwa anatuhudumia...
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 27* Baada ya kumuomba Kingston abaki na mimi usiku ule alinikatalia akaniambia
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 26* Nilishikwa na hofu nyingi moyoni lakini nikaweka imani nilifika nyumbani kwetu salama salmin..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 29* Nilishangaa kumuona Dada na lile rundo la pesa nikamuuliza mbona umeomba pesa nyingi hivo???..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 24* Weee niliogopaa😂😂😂sijui anataka kusema nini Mungu wangu😔😔..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 23* Tulienda kwenye hospital moja hivi iliyoko nje kidogo ya jiji la Arusha..
*MMMM DADDY NIKIKUPA UTANIOWA KWELI?!* *SEASON TWO* *SEHEMU YA 22* Nilimwambia sawa nitafanya hivyo... alinitakia usiku mwema kisha akaondoka zake..