VYOTE NDANI GONGA94
π‘ππππ©π¬π’π π£π π ππππ ππ’π¦π¦ ππππ₯π π¬ππ‘ππ¨ SEHEMU YA 16 Asubuhi na mapema Alberto akaamka
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
akaingia bafuni chap kuoga Kisha akatoka akiwa kashavaa Kila kitu ,akajipulizia marasha na hata hakunisumbua labd kuniamsha ,ila aliacha ujumbe wa wafanya kazi .
Mie chauvivu nimekuja kuamka saa Tano Sina hili wa
lile ,apo najisemea ngoja nikaoge nikimaliza nimfate Alberto wangu ofisini kumsalimia .
Mlango wa chumbani kwangu ukagongwa ,kabla cjajibu ufungulie ,yule mama mtu mzima akaufungua yeye mwenyw .akaingia bila salamu yoyote akanipa simu yenye ujumbe wangu .
kuufungua ule ujumbe nakuta imeandikwa
Mke nimepata dharura ivo sitokuwepo Kwa wiki tatu
naomba ujilinde na nimekuwek bastora apo chini ya kitanda ,bafuni Kuna nyingine ,kwel dress table
na kwenye kabatu la nguo ,nashangaa bastola zote izo za Nini jamani.
Kisha akasema pia nimeongeza ulinzi apo nje .
Alivyosema ivo nikachungulia nje ,kheee ya. Kuna mabodyguard zaidi ya 80 ,akamalizia na kusema mke wa Mafia haogopi milio ya lisali ,Bali lisali ndo zinamuogopa yeye kwaiyo jilinde mke wangu .
Kabla cjaanza kujihoji ,yule mama akanipokonya cm yake Kisha akaondoka ,uyu naeππ cjui Kwa simu gani haswa kutuletea hashuo tu .
Mmmh ntayaweza kwel haya maisha
bila mume ,nikakaa wiki ya kwanz ikapita vizur ila
nikawa siskii vizur Sanaa .kizunguzungu Kili nitawala sana .
Nikajua labda ni mawazo maaan Alberto alikuw hanitafutii kabisa Yani.
Wiki ya pili ikapita ,siku iyo nilikuw jikoni mara ghafla nikazimia ,nakuja kuzinduka nipo chumbani kwangu
pembeni yangu Kuna wafanya kaz Kam saaba na daktar.
Itaendelea .......

Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nilivyompa-mafia-boss-bikra-yangu-sehemu-ya
π‘ππππ©π¬π’π π£π π ππππ ππ’π¦π¦ ππππ₯π π¬ππ‘ππ¨ SEHEMU YA 17 - 18 Nikamuuliza jamn kulikoni mbona mmenizingira iv ,shida
π‘ππππ©π¬π’π π£π π ππππ ππ’π¦π¦ ππππ₯π π¬ππ‘ππ¨ SEHEMU YA 19 - 20 Bila kusita nikaanza kumuuliza baba kwanini ananifanyia iv
π‘ππππ©π¬π’π π£π π ππππ ππ’π¦π¦ ππππ₯π π¬ππ‘ππ¨ SEHEMU YA 14 Siku ikaisha basi mie nikajua ndo nikishafanya vile ndo
π‘ππππ©π¬π’π π£π π ππππ ππ’π¦π¦ ππππ₯π π¬ππ‘ππ¨ SEHEMU YA 10 Nikabaki natabasamu tu kama kachizi
π‘ππππ©π¬π’π π£π π ππππ ππ’π¦π¦ ππππ₯π π¬ππ‘ππ¨ SEHEMU YA 12 Wakat nalia nikasikia sauti
π‘ππππ©π¬π’π π£π π ππππ ππ’π¦π¦ ππππ₯π π¬ππ‘ππ¨ SEHEMU YA 11 Tukakaa pale Mimi na dada angu tukapiga kilaa aina ya story
π‘ππππ©π¬π’π π£π π ππππ ππ’π¦π¦ ππππ₯π π¬ππ‘ππ¨ SEHEMU YA 13 Kiss lile liliamsha mengi sana mwilini mwangu
π‘ππππ©π¬π’π π£π π ππππ ππ’π¦π¦ ππππ₯π π¬ππ‘ππ¨ SEHEMU YA 9 Alberto akaniachia nikaangua mpaka chini Kisha akaondoka zake
π‘ππππ©π¬π’π π£π π ππππ ππ’π¦π¦ ππππ₯π π¬ππ‘ππ¨ SEHEMU YA 7 Nikaondoka bila kujua nimemuchaje mkaka wawatu .