VYOTE NDANI GONGA94
π‘ππππ©π¬π’π π£π π ππππ ππ’π¦π¦ ππππ₯π π¬ππ‘ππ¨ SEHEMU YA 19 - 20 Bila kusita nikaanza kumuuliza baba kwanini ananifanyia iv
Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
Mimi si ni mwanae wakumzaa mbona ananifanyia iv ,
Yan mie naongea uku nalia yeye ananicheka adi anapiga makofi
Hasira zikanipanda nikaanza kumtukan ,nakumuukiz anataka Nini kwangu .
Baba akaniambia mwanangu mpendwa kwanz Mimi sio baba Ako ila Mimi ni mtu nilie muua baba Ako ukiwa na mienz miwili tangu uzalie ,oooh nimesahau na mama Ako pia nikamuua .
Sasa wewe nilikulea ili uniletee manufaa kwenye
biashara yangu pale tu utakapo timiza miaka 18 ,ata siku Ile niliozimia baada ya kukuomba uolewe Ile ilikuwa nitrick za kisomi tuu maaan nilijua unanipend na huwez potezea .
Twende kwenye main point ,nimekuteka ili
nikupeleke Kwa wazazi wako minguni .
ukawalaki maan naona unaniletea hasara tu .
Yan nimekuoza kw Ile familia ila wao hawatak
kuwekeza ela ninayotaka Mimi ,kwaiyo inamaanisha wewe huna faida yoyote kwangu .
Nikazidisha kilio baada ya kugundua ukwel nikamuomba ukunimeipiga magoti nikamwambia baba muonee huruma uyu malaika tumboni kwangu basi .
Nikiwa Bado pale chini sauti ikasikika mke wa Mafia hampigii mtu magoti .
Sikuamini macho yangu nilivogeuka upande wapili nikamuona mume wangu akiwa kalowana damu ,anakuja uku anacheka ,baba alivoona ivo akamnyooshea bastola ,
kabla hajapiga bastola akawaiwa yeye na walinzi wake mwenyw walimsalimiti mmoja akampiga bastola ya kichwa .
Nilivooshuhudia ayo mauaji nikazimia pale pale ,nimekuja kushtuka nipo kwenye ndege private jet na mume wangu ,
kwanz nikamkiss Kwa nguvu Kisha ndo nikamuuliza tunaenda wap akasema tunaenda nchi nyingine kuanza safari mpya ya maisha yetu mengine .
Na kwel tukaama nchi tukaamia Ufaransa tukakaa uko Kwa amani adi nilipo jifungua mtoto wangu wakiume ambae aliitwa Lorenzo .baada ya miez saba nikashika mimba nyingine basi mume wangu akafurahi sana .
tunaishi na furaha iyo mpaka Leo hii.
MWISHO

Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi nilivyompa-mafia-boss-bikra-yangu-sehemu-ya
π‘ππππ©π¬π’π π£π π ππππ ππ’π¦π¦ ππππ₯π π¬ππ‘ππ¨ SEHEMU YA 17 - 18 Nikamuuliza jamn kulikoni mbona mmenizingira iv ,shida
π‘ππππ©π¬π’π π£π π ππππ ππ’π¦π¦ ππππ₯π π¬ππ‘ππ¨ SEHEMU YA 16 Asubuhi na mapema Alberto akaamka
π‘ππππ©π¬π’π π£π π ππππ ππ’π¦π¦ ππππ₯π π¬ππ‘ππ¨ SEHEMU YA 14 Siku ikaisha basi mie nikajua ndo nikishafanya vile ndo
π‘ππππ©π¬π’π π£π π ππππ ππ’π¦π¦ ππππ₯π π¬ππ‘ππ¨ SEHEMU YA 10 Nikabaki natabasamu tu kama kachizi
π‘ππππ©π¬π’π π£π π ππππ ππ’π¦π¦ ππππ₯π π¬ππ‘ππ¨ SEHEMU YA 12 Wakat nalia nikasikia sauti
π‘ππππ©π¬π’π π£π π ππππ ππ’π¦π¦ ππππ₯π π¬ππ‘ππ¨ SEHEMU YA 11 Tukakaa pale Mimi na dada angu tukapiga kilaa aina ya story
π‘ππππ©π¬π’π π£π π ππππ ππ’π¦π¦ ππππ₯π π¬ππ‘ππ¨ SEHEMU YA 13 Kiss lile liliamsha mengi sana mwilini mwangu
π‘ππππ©π¬π’π π£π π ππππ ππ’π¦π¦ ππππ₯π π¬ππ‘ππ¨ SEHEMU YA 9 Alberto akaniachia nikaangua mpaka chini Kisha akaondoka zake
π‘ππππ©π¬π’π π£π π ππππ ππ’π¦π¦ ππππ₯π π¬ππ‘ππ¨ SEHEMU YA 7 Nikaondoka bila kujua nimemuchaje mkaka wawatu .