Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜  NO 26๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
Gonga94 ยท Stories

AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 26๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Baada ya kuwasalimia wale wageni pale sebleni nilitoka Mimi na Shangazi tukaelekea chumbani kwangu nilikuwa na mawazo Hadi kichwa kilishaanza kuniuma๐Ÿ™†๐Ÿ™† Aunt...... Shhhhhh๐Ÿคซ๐Ÿคซ hapa hakuna Cha kushtukizwa Wala mdogo wake na kushtukizwa najua unachotaka kusema ni hikohiko๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’ jiandae tu Kwa ajiri ya ndoa we si unaiona hiyo familia jinsi ilivyo ni watu wenye pesa hebu angalia sura ya huyo mwanaume anayeenda kukuoa Binti yangu ni bonge la bwana heheiyaaaa haloooo toto la kiiraq unaenda kutulia zako South Africa kama nakuona Binti yangu๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ Aunt alizidi kuongea pale huku akiwa anapiga vigeregere Kwa shangwe na furaha kubwa sana lakini Kwa upande wangu sikufurahia hata kidogo! Kichwani kwangu nilikuwa namuwaza Boo Paschal mwanaume ambaye moyo wangu ulimpenda tangu siku ya kwanza tu nilivyomuona!

Nakumbuka baada ya mazishi ya Madame Nancy ambaye ni mama yake na Paschal zilipita siku 14 na baada ya Hapo Paschal na baba yake waliondoka kuelekea nchini marekani ambako ndiko liliko chimbuko la ukoo wa baba yake na Paschal! Na hata wazazi wa Paschal makazi Yao ilikuwa ni USA huku Tanzania walikuja kuwatembelea ndugu wa upande wa Madame Nancy pamoja na kijana wao Paschal ambaye biashara zake aliziwekeza zaidi nchini Tanzania! Paschal aliondoka kwenda marekani Kwa ajiri ya kwenda kupumzika alienda pia kuangalia kama ataweza kupata eneo zuri Ili aweze kuihamishia campuni yake huko USA baba yake alimuomba ahamie nchini marekani Kwa kuwa hataki Tena kuendelea kumuacha huku Tanzania anahofia kumpoteza kama ilivyokuwa Kwa mama yake! nakumbuka Boss Paschal aliniahidi ya kwamba pale atakaporudi Tanzania basi atakuja kunichumbia rasmi na kunivisha Pete ya uchumba Ili tuweze kuweka wazi uhusiano wetu Kwa ndugu Jamaa na marafiki na Baada ya hapo tuweze kufunga ndoa! Na kwenda kuyaanza maisha mapya huko nchini marekani!

Hapana Aunt mtanisamehe lakini siwezi kuolewa na Hakim ๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข Pendo Kwa hiyo unataka kubishana na sisi wazazi wako!? Unataka laana yetu au kipi unachokitafuta!? Hutaki kuolewa unataka kuowa!? Tushapokea zawadi na mahali kutoka Kwa bwana harusi hapa kinachosubiliwa ni ndoa tu full stop! Aunt aliniambia hivyo Kisha akawa ametoka kule chumbani Kwangu huku akiwa anapiga vigeregere! Niliufunga ule mlango wa chumbani kwangu nikachukua simu Yangu nikamtafuta Boss Paschal! Kwa njia ya video call!
""Hell Boo ๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข""
""Hello mine""
"" I miss you Boo ""
""Miss you more baby but nitacome kama siku tatu zijazo mbele''"
""It's ok darling tafadhari usichelewe! Ukichelewa hautonikuta Boo please nakuomba uje hata kesho""
""What is going on Pendo please baby stop crying and tell me the truth Kuna nini et!? Nini kimetokea!? ๐Ÿฅบ๐Ÿฅบ""
""Boo I need you to be my husband I don't want anyone Nakuomba uje Mimi nakupenda wewe natamani wewe ndo uwe Mme wangu๐Ÿ˜ข""
""Oh it's okay baby I know right and I love you I'll be your husband ok!? Please don't worry baby wangu usilie basi nitakuja Kwa ajiri Yako nakupenda zaidi mamaa nakuahidi nitakuoa na nikirudi Tanzania nitakuja kukuchumbia umesikia mamangu haya Naomba ufute machozi Yako kipenzi changu please baby stop crying you know how much I love you I love you baby I love you""
""Love you more baby I love you more boy I love you more and more ๐Ÿ˜”๐Ÿ˜”""

Sikumwambia kama tayari Kuna watu wameshafika nyumbani kwetu kunichumbia Mimi alinibembeleza akanisihi ya kwamba baada ya siku mbili tatu atarudi Tanzania! Kabla cjamaliza kuongea na Paschal mama yangu alinigongea mlango! Pendo fungua mlango Binti Yangu! Hey darling see you later bye I love you bye ๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข nilikata simu Baada ya hapo nilijifuta machozi haraka then nilikwenda kumfungulia Mom aliniambia niende nikawapatie wageni chakula๐Ÿ™†๐Ÿ™† nilitoka nikaambataa naye Hadi jikoni tayari walikuwa wameshapakua ilibakia kwenda kupanga mezani nilikibeba kile chakula Kwa heshima nikapeleka mezani nilikipanga vizuri sana kikakaa katika muonekano mzuri sana Hakim alishika simu yake akawa ananirecord vile nilivyokuwa nakiweka kile chakula katika staili nzuri inayovutia! Baada ya kumaliza kupanga chakula niliwakaribisha Kwa heshima sana walinawa baada ya Hapo Kila Mmoja alijisevia kipenda roho nikiwa naondoka pale sebleni Hakim aliniomba samahani Naomba unisevie chakula kwenye sahani yangu! Nilismile then taratibu Kwa umakini nikaanza kupakua chakula vizuri kutoka kwenye hotpot kukiweka kwenye sahani ya Hakim nilikiweka chakula vizuri baada ya Hapo nilimkaribisha nilifanya Kwa staha sana make nilijua pale kinachoendelea kutafutwa ni point kama kweli ni wife material au laaa! Baada ya kumkaribisha Hakim chakula wale wazee wote walisimile then walimpongeza baba yangu pale mbele yangu walimwambia hongera ๐Ÿค unajua kulea baba yangu alifurahi sana na hata wale wazee walifurahi sana baada ya Hapo watu wote pale walianza kula! Baada ya Chakula nilikwenda kuondoa vyombo Kisha nikasafisha meza nilipomaliza wale wakwe waliniita walinipatia marundo ya pesa kama zawadi ya kuwa na adabu pamoja na tabia njema! Nilipokea Kisha nikawashukuru sana! Nilianza kuondoka kuelekea chumbani kwangu lakini Hakim aliniita nilirudi Hadi pale alipokuwa amekaa Hakim alitoa kibox Fulani hivi kizuri sana akawa amenikabidhi huku akiwa anasmile aliniomba niende nikaifungue zawadi yangu Alf baada ya Hapo nitarudi kuja kuwatoa Ili waweze kuondoka!

Thank you Thank you Hakim ๐Ÿคnilimshukuru Kisha nikaondoka kuelekea chumbani kwangu nilifika nikaviweka vile vitu kitandani baada ya Hapo niliichukua simu yangu nakuanza kuzitizama picha za boss wangu Paschal nampenda I love him much ๐Ÿ˜”๐Ÿ˜” Yuko katika moyo siko tayari kuolewa na mwanaume mwingine zaidi yake yeye nitafanyaje Mungu wangu mbona huu mtihani unakuwa mgumu kwangu boo I love you I Love you so much hisia zangu ziko kwako itakuwaje Sasa๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜” niliongea Kwa sauti huku nikiwa naendelea kuzitizama picha zake! Mara mlango wa chumbani kwangu ulisukumwa aliingia shangazi alisogea pale nilipokuwa nimekaa aliniambia umeona Sasa nilichokwambia nimekwambia mwanangu hiyo familia ni Rich family unaona mipesa hiyo๐Ÿ˜๐Ÿ˜ cheki hiyo zawadi aliyokupatia mmeo mtarajiwa hebu ifungue tuone

Shangazi alinikabidhi kile kibox Cha zawadi aliyonipatia Hakim nikawa nimeifungua huko ndani nilikutana na saa nzuri sana shangazi aliichukua Ile saa akanivisha mkononi kwangu unatakiwa uivae mkononi kwako Ili akuone ukiwa umeivaa aliniambia aunt yangu Ile saa ilinipendeza sana haya twende ukawaage wageni tayari tarehe ya ndoa yenu imeshapangwa kilichobakia ni card tu kuandikwa na kuchapishwa! Imebidi tuipeleke Kwa haraka Kwa sababu mmeo mtarajiwa pamoja na familia yake watakuwa hapo Serena hotel wakisubilia Wewe na Hakim muweze kufunga ndoa Ili muondoke pamoja kuelekea South Africa Kesho nazani ni siku ambayo wewe na Hakim mtaenda hospital Kwa ajiri ya check up na baada ya vipimo card za harusi zitaandikwa na kuchapishwa then zitasambazwa Kwa watu wachache tu haitokuwa sherehe kubwa mwanangu sherehe kubwa mtaenda kuifanyia huko South Africa!

Shangazi yangu aliendelea kunipatia mipango yote iliyopangwa kwenye hicho kikao kati ya familia yangu na familia ya Hakim......

Tukutane hapo badae Katika sehemu inayofuata........

Itaendeleaaaa...........

Maoni

You're not logged in


Tangazo - CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
CEO usinivue mi nimchumba wa mtu mwanzo wa simulizi Hadi Mwisho wa simulizi
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 26๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜


Baada ya kuwasalimia wale wageni pale sebleni nilitoka Mimi na Shangazi tukaelekea chumbani kwangu nilikuwa na mawazo Hadi kichwa kilishaanza kuniuma๐Ÿ™†๐Ÿ™† Aunt...... Shhhhhh๐Ÿคซ๐Ÿคซ hapa hakuna Cha kushtukizwa Wala mdogo wake na kushtukizwa najua unachotaka kusema ni hikohiko๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’ jiandae tu Kwa ajiri ya ndoa we si unaiona hiyo familia jinsi ilivyo ni watu wenye pesa hebu angalia sura ya huyo mwanaume anayeenda kukuoa Binti yangu ni bonge la bwana heheiyaaaa haloooo toto la kiiraq unaenda kutulia zako South Africa kama nakuona Binti yangu๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ Aunt alizidi kuongea pale huku akiwa anapiga vigeregere Kwa shangwe na furaha kubwa sana lakini Kwa upande...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaaaaah-imetosha-boss-no-26

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaaaaah-imetosha-boss-no
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜  NO 30๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 30๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 32๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 32๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜  NO 31๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 31๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 29๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 29๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 27....28๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 27....28๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35

924
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

208
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.

194
MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9

190
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

187
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

170
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

131
ACHA NIKUPENDE โค๏ธ1

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ1

118
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

107
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6

80

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.6K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.34K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.77K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.83K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.65K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.59K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.59K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.54K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Womenโ€™s Day from: Senator Kobokoโ€™s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Womenโ€™s Day from: Senator Kobokoโ€™s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE โค๏ธ1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini Tena zilionekana kabisa kuna...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kesho yake jioni sana ndo baraka alianza kujiandaa mana alikuwa anaondoka na basi la usiku. Nilijisikia unyongea sana. Ila alinambia nivumilie mana ni miezi...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35
@majario LIVE

Basi demu akaondoka zake na hasira zake, na mimi nikaludi zangu ndani, kisha sasa nikampigia mama ahmed, na kweli akapokea skmu , nikasema hivi we mwanmke unanizoea sanaaa, ...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
@majario LIVE

๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Asa mimi ni nani nimnyimeee weeeee sio kweli. Nikamsogelea kisha nikamuangalia kwa jicho la kulegea sana. Akatabasamu kisha akanivuta zaidi. Akanipa mdomo. Tukaanza kukisss taratibu....

MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Kisha kwa ujasiri mkubwa nikazungumza. "Madam kwanza nasema asante kwa kuniamini lakini pia kwa kunijali nikuambie kitu siwezi kuolewa na kijana wako ile hali mimi ni mfanyakazi wako, sina thamani...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
@majario LIVE

ENDELEA....... "Jitahidi uwe na utu kuna maisha baada ya haya, kuna kupanda na kushuka. Kuishi na watu vizuri ni hadhina pia binti yangu. Nakupenda sana na najivunia wewe ila ubinafsi wako...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 33 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 33
@majario LIVE

Basi zena akawa nataka kuingia ndani ,mama ahamd akasema we zena sijuh ndo nani tulia nikupashe shoga angu, apa bwana hakuna, kama umebeba mimba ukazani una bwana hapa hakuna....

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Khaaaaa mi nikamtumia sms, nikamwambia mm sipo nyumbani, naomba uondoke apoo, mambo yasiwe mengi, akaniuliza upo wapi saa 6 hii, nikamwambia nipo kazini akanmbia kazini ndo hupokei simu? Upo...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15
@majario LIVE

. ๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Iris alipoingia ofisini, Mr. Marvel alikunja uso. Alijua Iris si mtu mzuri baada ya kile alichomfanyia Noela, lakini hakutaka kuonyesha kwamba anamjua vizuri. Akaamua kuwa mtulivu na kusubiri kusikia shida...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest