Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya โ€“ Gonga94 Semajambo

AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 29๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
Gonga94 ยท Stories

AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 29๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

Daddy alizidi kuwaka usiku ule Yani aliongea ilibakia kidogo tu anipatie laana lakini Mom alisimama akamwambia tafadhari acha ameshasikia hawezi kukaidi Tena amri Yako usije ukampa Mtoto laana nakuomba ๐Ÿ™๐Ÿ™ daddy nakuomba unisamehe Niko tayari kuolewa na Hakim hapakuwepo na namna ilinibidi nikubali kuolewa na Hakim Ili kuzishusha hasira za baba Yangu! Niliondoka pale sitting nikaelekea chumbani kwangu nilichukua simu yangu nikawasha data nilikuta Boss Paschal kanitumia msg nyingi mno alikuwa ananiomba niingie online! Baada tu ya kuwasha data Paschal alinipigia.....
""Mine are you okay!?""
""Boo I'm not okay""
""What happened!?""
""I can't even explain""
""Pendo Tell me something You scare me๐Ÿฅน๐Ÿฅน""
""Any way nakuomba ruhusa kesho sitoweza kwenda kazini pia usije ukashangaa Kwa sababu huenda ndo nimeshaacha kazi hivyo!"
""What is there!?""
""Nilianza kulia nikashindwa kuongea na Paschal nilizima data nikaweka simu pembeni nilijifunika gubi gubi nikaendelea kulilia kwenye mashuka na mito hisia zangu zimedhurumiwa kutoka Kwa mwanaume ninayempenda hivyo ndivyo nilivyokuwa najiambia kichwani kwangu! Pendo mwanangu hebu amka tuongee alikuwa ni mama yangu aliyekuja chumbani kwangu usiku wa manane baada ya kuwa Daddy ameshasinzia! Mwanangu nimeshindwa kabisa kusinzia nimehofia maisha Yako baba Yako amekukaripia sana hajawahi kuwa mkali kwako kiasi hicho tafadhari nakuomba uniahidi ya kwamba hautojidhuru kutokana na Yale maneno makali aliyokutamkia baba Yako! Usijali mama we nenda ukalale Mimi Niko sawa!

Pendo lakini ulikosea sana kumwambia baba Yako et tayari wewe una mwanaume wako ambaye unampenda na ilihali hapa nyumbani hatujawahi kumuona mwanaume yoyote kaja kukuchumbia tofauti na Hakim! Hebu nikuulize huyo mwanaume mwenyewe ni nani!? Mama Mimi nampenda sana boss Paschal nieleweni tafadhari nampenda et๐Ÿฅน๐Ÿฅน

Boss Paschal ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ yule wa kufoka foka !? Yule aliyekufokea tangu siku ya kwanza tu mlivyoonana!? Kumbe ndo maana alikuja kutuokoa kutoka mikononi Kwa Mika!? Ndiyo maana alileta Hadi ulinzi wa CCTV camera nyumbani hapa Kumbe yote alifanya Kwa sababu Yako!? Ndiyo Mom nampenda ๐Ÿ˜”๐Ÿ˜” haya ulianza kumpenda lini!? Hebu kwanza nikuulize hivi huko ndani tayari wameshaanza kukuchunguliamo Kwa hiyo hata huyo boss wako tayari umeshalala naye!? Mama hapana tunapendana lakini hatujawahi kufanya chochote! Una uhakika ya kwamba na yeye yuakupenda wewe!? Ndiyo Mom ananipenda! Sikiza nikushauri kitu Binti yangu bahati kama hii unayotaka kuikataa utakuja kuijutia Alf siyo lazima uolewe na mwanaume unayempenda kikubwa ni kuwa yeye anakupenda wewe Naomba uachane na huyo boss wako wa kufokafoka huyo hakupendi ila wewe ndo unayempenda yeye! Mapenzi Yako hivyo mwanangu unayempenda hakupendi na anayekupenda humpendi! Acha kutafuta uhasama na baba Yako olewa na Hakim mpate baraka zetu!

Mama alinishauri hivyo baada ya Hapo aliniaga akarudi chumbani kwake nililala kesho yake mapema Hakim alinipigia Simu Kwa video call sikupokea ๐Ÿ˜”๐Ÿ˜” nilizima data nikaweka simu hapo๐Ÿ˜๐Ÿ˜hata baada ya Mimi kuzima data Bado hakuacha baada ya Mimi kuzima data alipiga kawaida sikupokea! Alinitumia Msg....
""how did you wake up my love!? And why don't you answer my texts that I sent you since last night !? Au Bado una hasira Kwa kile kilichotokea Jana!? ""
""I'm sorry I'm not even angry but ni vile tu Jana niliwahi kusinzia""
"" Ohk sweetheart nikuletee Nini as you know nitacam kukuchukua Kwa ajiri ya kuelekea hospital!""
""just anything""
""Okay, my queen, I will follow you""
""Okay ""

Nilijiandaa nikajiweka sawa baba yangu aliniita nilikwenda kumsikiliza aliniuliza Kwa mara ya mwisho unaolewa na Hakim au laa! Kama hauolewi naye vilete vitu vyao walivyokuzawadia Jana Ili akija hapa kukuchukua arudishiwe vitu vyake pamoja na mahari yake! aambiwe kuwa uchumba umeshindikana Alf ukishafanya hivyo utaondoka umfuate huyo mwanaume wako mkaishi huko hapa kwangu sikutaki Kabisa! Acha tu Daddy nitaolewa na Hakim ๐Ÿฅน๐Ÿฅน nilirudi chumbani kwangu nikaendelea kumsubilia Hakim kuja kunichukua! Haikupita muda Hakim na Jase walifika pale nyumbani kwetu walikaribishwa ndani nilitoka nikaenda wasalimia Hakim alisimama akaniwow๐Ÿซ‚๐Ÿซ‚ Kisha akanipatia maua๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น niliyapokea nikaenda kuweka chooni kwangu๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น tuliondoka kuelekea hospital tulifanyiwa vipimo nilitamani hata Hakim apatikane na ngoma ilimradi tu nipate sababu ya kutengana naye๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜Œ lakini Ndo basi Tena kaka wa watu hakukutwa hata na maralia๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ ni msafi Kila Kona๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Mimi nilipatikana na maralia nazani ni wale mbu walionitafuna kipindi tukiwa msibani Kwa mama yake na Paschal ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น nilianzishiwa Tiba ya maralia uwwww Hakim sangapi asianze kujipa majukumu๐Ÿ˜Œ๐Ÿ˜Œoh I'm so sorry my love how are you feeling tafadhari sogea ulale Hapa kifuani kwangu...... Kheeee๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น anayebembelezwa Sasa๐Ÿคธ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ๐Ÿคธ๐Ÿปโ€โ™€๏ธ tuliondoka pale hospital et nashangaa badala wanirudishe home si wakanipeleka hotel kule Serena hotel ๐Ÿ™„๐Ÿ™„

Vile tumefika parking et Hakim akanibeba๐Ÿ™„๐Ÿ™„ et akapanda kwenye lift kuelekea chumbani kwake huku akiwa amenibeba๐Ÿ™„๐Ÿ™„ et akawa ananibembeleza kuwa Mimi ni kagonjwa anatakiwa kunihandle vizuri ๐Ÿ™„๐Ÿ™„ alinipeleka Hadi chumbani kwake akanilaza kitandani kwake aliagiza chakula Kwa ajiri ya launch Tukaletewa Juu
honey, please let me feed you and then you will drink medicine๐Ÿซฐ๐Ÿซฐ After that you will restโœŒ๏ธโœŒ๏ธ in the evening I will take you home right!? It's okay Hakim But I can eat alone .......oh habit Naomba uniruhusu nikuhudumie unaumwa et๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ okay๐Ÿ™„๐Ÿ™„...... Alianza kunilisha lakini the way alivyokuwa ananilisha Mimi nilikuwa naimajini ni kama Boss Paschal ndiye anayenilisha๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น nilijikuta nimeikumbuka Ile siku aliyonilisha chakula boo Paschal kipindi tulipokuwa mbeya basi baada ya kumkumbuka paschal nilianza kusmile huku nikiwa nakula taratibu nilianza kuyapapasa mapaja ya Hakim Kwa kuzania kuwa yule ni Boss paschal..... Boo I like the way you feed me slowly the way you are romantic I love you my Boo ๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹ wow I Love you too habit ๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹ Baada ya Hakim kuongea si ndo akili zikarudi pale sasa๐Ÿ˜ณ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜ณ niliutoa mkono wangu haraka mapajani Kwa Hakim๐Ÿ˜†๐Ÿ˜ฌ nilitamani kumwambia kuwa hayo maneno hayamuhusu yeye lakini nikaona Wacha nivunge๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Alimaliza kunilisha nikakaa kama nusu saa akanipatia dawa Baada ya Muda kidogo nililetewa juice ya matunda then Hakim alinilaza kifuani kwake akaniomba tupumzike nikiwa pale kifuani kwake si nikawasha data mie nilimumis paschal wangu vile nimewasha tu data simu ya boo ikaingia lile wenge na uoga nikakimbilia kubonyeza kile kidude Cha kukata kumbe ndo nimeipokea Ile video call ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ๐Ÿ˜ณ

Itaendeleaaaa.......

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
MY Wangu season one, season two, season 3, season 4 and season 5 final
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 29๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜


Daddy alizidi kuwaka usiku ule Yani aliongea ilibakia kidogo tu anipatie laana lakini Mom alisimama akamwambia tafadhari acha ameshasikia hawezi kukaidi Tena amri Yako usije ukampa Mtoto laana nakuomba ๐Ÿ™๐Ÿ™ daddy nakuomba unisamehe Niko tayari kuolewa na Hakim hapakuwepo na namna ilinibidi nikubali kuolewa na Hakim Ili kuzishusha hasira za baba Yangu! Niliondoka pale sitting nikaelekea chumbani kwangu nilichukua simu yangu nikawasha data nilikuta Boss Paschal kanitumia msg nyingi mno alikuwa ananiomba niingie online! Baada tu ya kuwasha data Paschal alinipigia.....
""Mine are you okay!?""
""Boo I'm not okay""
""What happened!?""
""I can't even explain""
""Pendo Tell me something You scare me๐Ÿฅน๐Ÿฅน""
""Any way nakuomba ruhusa...

๐Ÿ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/aaaaaaah-imetosha-boss-no-29

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral #fictionwriter
#ShortDrama #fblifestyle

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu ยท dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi aaaaaaah-imetosha-boss-no
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜  NO 30๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 30๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 32๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 32๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜  NO 31๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 31๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 27....28๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 27....28๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜  NO 26๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
AAAAAAAH IMETOSHA BOSS ๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜ NO 26๐Ÿ’˜๐Ÿ’˜
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35

954
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11

216
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27.

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.

199
MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9

197
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28

192
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10

188
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13

149
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29

141
ACHA NIKUPENDE โค๏ธ1

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ1

122
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30

90

ZIMESOMWA ZAIDI

โ€ŽTUNDA LA  DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

โ€ŽTUNDA LA DADA โ€Ž โ€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.6K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.34K
๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ  sehemu ya tisa.  ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWA๐Ÿ”ฅ sehemu ya tisa. ๐Ÿ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...๐Ÿ‘‡

3.78K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya sita.  ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya sita. ๐Ÿ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...๐Ÿ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.27K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 119 na 120.

2.83K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 108

2.72K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 20.  ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 20. ๐Ÿ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...๐Ÿ‘‡

2.66K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 106 na 107

2.59K
MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

MY WANGUโค๏ธ sehemu ya 116 na 117

2.59K
๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ  Sehemu ya 16.  ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

๐Ÿ”ฅ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoa๐Ÿ”ฅ Sehemu ya 16. ๐Ÿ‘‰ nakupenda pia...๐Ÿ‘‡

2.54K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 30
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Asubuh sasa . Mama aliniamsha niajiandae anataka kunitoa out. Basi nikajiandaaa nikatoka zangu sebleni. Nakutana na mzeee alinikata jicho hilo. Nikaona aibu jana si kasikia...

MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) 12 to 13
@majario LIVE

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 12 SONGA NAYO....... Basi safari ilikuwa ndefu kidogo, kwa mara ya kwanza toka nifike Oman hii siku ndio niliigia supermarket bwana, hiviii kumbe waarabu wana pesa hivi na...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 29
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi nimefika home nimenuna kweli kweli.nikaona yule adrian kama alikuwa anataka kunitia nuksi tu. Mtu kashanikaa mbele ya wazazi . Na yeye ndo kasababisha ata...

Happy International Womenโ€™s Day from: Senator Kobokoโ€™s Wife, OSATO and Lady Jasmine Post Mpya
Happy International Womenโ€™s Day from: Senator Kobokoโ€™s Wife, OSATO and Lady Jasmine
@majario LIVE

If you are Proud to be a woman: Share this post Meanwhile who is waiting for PART 5 of OSATO the Pure Water Seller? If you missed any part, Iink...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 11
@majario LIVE

SONGA NAYO... Pale nje tulibaki wawili tu mimi na madam hao wengine waliingia ndani. Madam aliponiita nilimuangalia tu bila kumuitikia, huyu mama nikimuona nahisi kichefuchefu kabisa "Mira achana na hizi nguo, kesho...

ACHA NIKUPENDE โค๏ธ1 Post Mpya
ACHA NIKUPENDE โค๏ธ1
@majario LIVE

MTUNZI uhuru media " Pink ujue hapa Ni mjini na maisha ni magumu Sana pesa zinapatikana kwa shida hivyo unatakiwa kujiongeza sio Ila siku Mimi ni nikeshe...

MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 10
@majario LIVE

SONGA NAYO..... Muda ulienda majira ya saa nane nilitoka nje kwa lengo la kuanua nguo za mtoto, lakini nilipofika nilikuta nguo zote ambazo nilifua na kuanika zikiwa chini Tena zilionekana kabisa kuna...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28 Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 28
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Basi kesho yake jioni sana ndo baraka alianza kujiandaa mana alikuwa anaondoka na basi la usiku. Nilijisikia unyongea sana. Ila alinambia nivumilie mana ni miezi...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 34 na 35
@majario LIVE

Basi demu akaondoka zake na hasira zake, na mimi nikaludi zangu ndani, kisha sasa nikampigia mama ahmed, na kweli akapokea skmu , nikasema hivi we mwanmke unanizoea sanaaa, ...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26  na 27. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 26 na 27.
@majario LIVE

๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ๐ŸŒผ Mwandishi; lissa wa huru media Asa mimi ni nani nimnyimeee weeeee sio kweli. Nikamsogelea kisha nikamuangalia kwa jicho la kulegea sana. Akatabasamu kisha akanivuta zaidi. Akanipa mdomo. Tukaanza kukisss taratibu....

MIRANDA (Binti Yangu)     SEHEMU YA 9 Post Mpya
MIRANDA (Binti Yangu) SEHEMU YA 9
@majario LIVE

SONGA NAYO.... Kisha kwa ujasiri mkubwa nikazungumza. "Madam kwanza nasema asante kwa kuniamini lakini pia kwa kunijali nikuambie kitu siwezi kuolewa na kijana wako ile hali mimi ni mfanyakazi wako, sina thamani...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE SEHEMU YA 6
@majario LIVE

ENDELEA....... "Jitahidi uwe na utu kuna maisha baada ya haya, kuna kupanda na kushuka. Kuishi na watu vizuri ni hadhina pia binti yangu. Nakupenda sana na najivunia wewe ila ubinafsi wako...

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 33 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 33
@majario LIVE

Basi zena akawa nataka kuingia ndani ,mama ahamd akasema we zena sijuh ndo nani tulia nikupashe shoga angu, apa bwana hakuna, kama umebeba mimba ukazani una bwana hapa hakuna....

AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
AFANDE MILLAN๐Ÿ˜Ž Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ๐Ÿฆˆ Khaaaaa mi nikamtumia sms, nikamwambia mm sipo nyumbani, naomba uondoke apoo, mambo yasiwe mengi, akaniuliza upo wapi saa 6 hii, nikamwambia nipo kazini akanmbia kazini ndo hupokei simu? Upo...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL.   SEHEMU YA 15 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL. SEHEMU YA 15
@majario LIVE

. ๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹๐Ÿฆ‹ Iris alipoingia ofisini, Mr. Marvel alikunja uso. Alijua Iris si mtu mzuri baada ya kile alichomfanyia Noela, lakini hakutaka kuonyesha kwamba anamjua vizuri. Akaamua kuwa mtulivu na kusubiri kusikia shida...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest