AAAAAH USINIFANYIE HIVO DADYπ₯Ήπ SEHEMU YA 01 "Mpnz ninakuwaza wewe muda woteβ€οΈβ€οΈ"
Huo ni ujumbe mfupi ulioingia kwenye simu yangu na kwa bahati mbaya muda huo simu alikuwa nayo Rohan mume wangu kipnz
Tumefunga ndoa miezi miwili iliyopita bado ndoa yetu ni changa sana..
namba iliyonitumia ujumbe ni ngeni sijawahi kabisa kuionaπ³π³π³ Rohan aliusoma ujumbe kwa kuurudia rudia na baada ya hapo alinikata jicho kwa hasira kisha akanivuta mkono hadi chmbn kwetu..
Alinitupa ktndn na kisha akabamiza mlango kwa hasira za juu sana π₯Ί
""π£οΈπ£οΈAmaya ni upzi gani huuπ‘π‘ alizungumza Rohan na kunitupia simu mikononiπ₯Ήπ₯Ή""
""Mume wangu tafadhari nakuomba ushushe jaziba tuongeeππniliongea kwa uoga ulionifanya nishindwe hata kuipekua ile simuπ°.....
Amaya unanisaliti mimiπ₯Ήπ₯Ή?!.....yani wewe ni wa kunisaliti mimi??ok fine nitakwenda kukufundisha namna ya kusaliti naona wewe ndo kwaaanza unajifunzaππ
aliongea Rohan kwa hasira zilizo changanyikana na kicheko cha maumivu makali sana.. hata hivo hakutaka kupoteza muda alivaa vizuri kisha akaondoka zake..
Baada ya Rohan kuondoka ndipo nilipoipekua simu yangu nikakutana na huo ujumbe wa ajabu uliotumwa kwenye sim yangu..
Mungu wanguπ³π³ nini hikiπ₯Ίπ₯Ίπ₯Ί nilishtuka baada ya kusoma nikabaki kujiuliza ujumbe umetumwa na nani?!......
nilipojaribu kupiga ile namba iliishia kuita bila kupokelewa hakika sikuweza hata kulala niliketi kitndni nikawa namsubiria mume wangu arudi ili niweze kumwelewesha juu ya ile msg kuwa siitambui na hata hiyo namba iliyotuma msg siijui ni ngeni.....
mida ilizidi kusonga usiku ukazidi kuwa mkubwa nilimngoja sana mume wangu bila matumaini mida ilipozidi kusonga zaidi uvumilivu wa kusubiria ulinishinda nikaona acha nimpigie
nilipiga mno simu Rohan lakini hakupokea simu ilikuwa inaita tuu mpaka inakata... mnamo majira ya saa 11 alfajili ndipo nilipomsikia akigonga mlango kwa hasira akiwa ananiita niende nikamfungulieπ₯Ίπ₯Ί......
Niliamka nikatoka wakati nashuka kutoka flow ya juu kwenda kumfungulia mume wangu mlango nilishangaa kumuona Hope akiwa anafungua mlangoπ³
Kilichonishtua zaidi ni vile alivyompokea mume wangu kwa bashasha utafikiri yeye ndo mkeπ³ilibidi nijikohoreshe kidogo ili yule binti aache mara moja upuz alokuwa anamfanyia mume wangu..
Hope (Hopu) aliponiona alinikata jicho kwa dharau kisha akaupigiza mlango na kurudi chmbni kwake harakaπ₯Ίπ₯Ίπ₯ΊMungu wangu ana matatizo gani huyu bint?!...
Wakati najiuliza bila majibu ghafla nilishangaa Rohan nae ananipita bila hata kunisemesha......alikuwa kalewa sana mume wanguπ£alikuwa ananuka harufu mbaya sana...
Niliufunga mlango kisha nikaelekea chmbni kwetu haraka huko chmbni nilimkuta Rohan kajilaza chini sakafuni ikabidi nianze harakati za kumhamishia ktndni
usinishike Amaya nitakuumizaπ‘π‘ aliongea hivyo Rohan kisha akanisukumia huko mbali mwanamke mchafsana wewe usinisogelee wala kuthubutu kuniuliza chochote aliongea hivyo kisha akajilaza pale pale chiniπππ
Kiukweli siku ile sikuweza hata kulalaπ₯Ίnilikesha macho mpaka kukakucha..nilidamka mapema Rohan akiwa bado amelala nikawahi kwenda kumwandalia kiamsha kinywa...
Niliamua kumpikia supu mume wangu kwa sababu usiku wa jana alirudi akiwa amelewa sanaππ supu ilipokwishaiva niliipunguzia moto nikaiacha jikoni isipoe kisha nikaelekea chumbni kumwamsha mume wanguπΆπΌββοΈπΆπΌββοΈ.....
Nilimkuta Rohan tyr ameshaamka na yuko bath room anaogaπΏπΏ..... nilimwandalia nguo za kuvaa haraka kisha nikatoka kuelekea jikoni kwa ajili ya kukitoa kile chakula niweze kumwandalia Rohan wangu mezaniππ
Wakati nashuka ngazi kuelekea jikoni nilianza kusikia harufu kali sana ya kama chakula kilichounguaπ³π³nilipiga hatua za haraka mpaka jikoni aisee hamuwezi kuamini nilikutana na bonge la moshiπ©
Ile supu niliyomwandalia Rohan nilikuta imeshaungua sufuria limekuwa jeusi tiiπ€¨na moto niliouacha sio nilioukuta..ges ilikuwa imeongezwa moto wa spid ya juu sanaπ₯Ί
Kwenye hii nyumba tunaishi sisi na wakwe zangu na baadhi ya ndugu wachache wa mume wangu akiwemo Hope huyu ni binti aliyelelewa na wazazi wa mume wangu..
Ule moshi kule ndani uliwashitua watu ikabidi waamke kuja kuangalia what's going on?.hopu alifika wa kwanza akaonyesha mshangao wa juu sana..
Nini kinaendelea wifi?? Aliuliza huku anapekua sufuria lililokuwa jikoni..yani wewe uko careless sana utakuja kuichoma hii nyumba..
Ghafla yule binti akaanza kutoa maneno ya ajabu nikajichekesha kisha nikasogea sikioni kwake nikamwambia binti hapa sio kwako hapa ni kwangu mimi na mume wangu..
"Subiri uolewe nawewe upate kwako na ninakuonya ujnga uliouonyesha jana usiku usijirudie tenaπ π "
Unapandisha sauti yako mbele yangu wewe kama nani?? Who are you?? Hakujibu kitu ila aliniangalia kwa jicho lililoashiria kitu..
"Sikumzingatia nilimuita binti wa kazi nikamwambia afanye usafi haraka pale jikoni.."
Nilibaki nimesimama pale pale jikoni nikiwa nawaza mbona kama kuna kitu sikuelewi kwenye hii nyumba??Rohan alimaliza kuvaa akashuka chini Dinning akaketi kusubiria kiamsha kinywaπ’
Ile harufu ya kuungua bwana akaisikiaπ© ikabidi asogee pale jikoni akakuta lile sufuria la supu na nyama zilizoungua ziko paleπ na simu yangu ikawa iko pembeni alitikisa kichwa akaniangalia..
Kisha akasema unakuwa bize na simu kiasi cha kusahau kuwa kuna chakula jikoni??
Kabla hata Rohan hajamalizia vizuri sentence yake simu yangu ilianza kuitaπ₯Ί wakati nataka kuichukua Rohan akawahi akaichukua aliitizama sana kisha akaipokea na kuweka loudspeaker..
Ilisikika sauti ya kiume ikiwa inahoji baby vipi uko bize?? Hujibu tena msg mamaa..nimeona nikupigie kuhakikisha kama uko okay vipi are you okay??π³π³π³
kumbuka hapo hakuna msg yoyote niliyotumiwa na simu nilikuwa nayo mimi muda wote na sijapigiwa nimekuja kupigiwa baada ya mume wangu kuwepo paleπ³π³
Kibaya zaidi namba ni ile ile iliyotuma msg ambayo ilileta sintofahamu ikapelekea mimi na Rohan kugombanaπ₯Ή
Je nini kitafuata???
Itaendeleaaaaaaa
Makala nyingine zinazocheza na ladha yako
Mapendekezo haya yanatokana na kile unachosoma sasa + Endelea kugundua zaidi