Menu






Sema Jambo 2025

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track
Tangazo - TAKE NOW
TAKE NOW

BOSS ANAMPENDA MKE WANGU 02 ❤ Umri………………...18+ ENDELEA...... Makosa yalikuwa yangu mwenyewe maana kama nisingeenda na Mary kwenye sherehe

20th Dec, 2025 Views 34

basi asingekutana na Robert, nilikubali kumsamehe mke wangu na maisha yaliendelea.

Siku mbili zilipita na siku hiyo ikiwa ni siku ya jumatatu niliamkia kazini na kukutana na Robert.
"Habari za asubuhi Derrick!?"
"Salama kabisa!"
"Mke wako anaendeleaje!?"
Kwanza nilimtazama pasipo kumjibu, nilitamani nimzabe kofi ila kwakuwa ni boss nilimjibu kuwa anaendelea vizuri na mwisho aliamua kubadilisha mada mwenyewe, tulianza kuzungumza kuhusu kazi na sio Mary tena.

Siku hiyo ilipita na siku iliyofata ilikuwa ni Jumanne jioni, mimi na Mary tulikuwa kitandani tukifanya mambo ya kiutu uzima, bahati mbaya kwangu toka nimuoe sikuwahi kumfikisha mke wangu kile...leni, mara nyingi nilikuwa nawahi kufika mimi kabra yake, na nikijitahidi sana basi ni round mbili tu tena ya pili itapatikana kwa shida.
Huo ndiyo ulikuwa udhaifu wangu ndani ya ndoa yangu na mara zote Mary alikuwa akinipa moyo kuwa nitakuwa sawa na nitampa ujauzito.
Siku hiyo kwa mara nyingine tena niliwahi kufika na kujikuta nikiishiwa raha kabisa mbele ya mke wangu.
"Usijali mme wangu utakuwa sawa tu, nimevumilia miaka kadhaa toka unioe hivyo siwezi kukuacha kwa sababu hii"
Baada ya Mary kunitia moyo, mawazo yangu yalinipeleka mbali, nilitamani kujua kama Robert naye anawahi kufika kama mimi, pasipo kumwangalia usoni nilimuuliza Mary.
"Siku uliyofanya na boss wangu ulijisikiaje!?"
"Derrick swali gani hilo!?, sitamani kuongelea hilo maana nitazidi kukuumiza, ile siku ilitokea bahati mbaya tu ila ukweli ni kuwa nakupenda na siwezi kukuacha kamwe!"
"Nataka kujua tu ilikuwaje!"
"Mmmh, nitakwambia ila naomba usinifikirie vibaya!"
"Wewe sema tu!"
"Kiukweli boss wako yupo vizuri kitandn, yake ni kubwa kuliko ya kwako na ilikuwa inanibana vizuri na kingine kwa mara ya kwanza alini.....fikisha siku ile ndiyo maana nilikuwa na furaha sana kila nilipokuwa nikimwangalia!"
Kehelehele changu cha kutamani kujua kiliniponza, joto lilipanda kwenye mwili wangu na raha ndiyo nilizidi kuishiwa kabisa lakini Mary alinishika na kuongea.
"Usiwaze Derrick, mimi ni wako tu na siwezi kukusaliti tena hata iweje!"
Alizidi kunitia moyo huku akinikumbatia.

Siku zilisogea na siku ya jumapili ilipofika, nilikuwa nyumbani ila nilishangaa kumuona Mary akiwa hana raha yaani alikuwa akifanyakazi ilimradi, ilibidi nimuulize ni kitu gani anachowaza na ndipo Mary alipoongea.
"Humu duniani kuna watu wanapesa ila hawana furaha na maisha yao!"
"Kwanini!?"
"Kama boss wako Robert, anapesa ila hana mke na aliniambia mwenyewe kabisa nyumba yake huwa anaiona chungu!"
Mapigo ya moyo yalienda kasi baada ya Mary kumuongelea Robert, sura yangu niliikunja kwa hasira baada ya wivu wa ma....penzi kuniingia na kumtazama.
"Kumbe mda wote ulikuwa unamuwaza Robert sio!?"
"Sio kwa ubaya Derrick, kwanza twende chumbani nikakuoneshe kitu!"
Mary alinishika mkono na kunipeleka chumbani.

Baada ya kufika alifungua mkanda wa suruali yangu na kuni...vuli...sha, sikuwa na hisi...a zozote zile mbele ya mke wangu ila mwenzangu alihitaji haki yake hivyo ulikuwa ni wajibu wangu kumtimizia.

Bahati mbaya kwangu sikumfi....kisha tena na baada tu ya kumaliza Mary aliongea.
"Sijafika bado!"
"Samahani, nitajitahidi kwa wakati mwingine nikufikishe!"
Alikubali kishingo upande na tulitoka chumbani wote wawili na kuendelea na ratiba zingine.

Mida ya jioni nilishangaa kumuona Robert nyumbani kwangu tena alikuja bira kunipa taarifa zozote zile, kwenye mkono wake alikuwa kashika box la zawadi na Mary ndiye aliyempokea.
"Ndani ya hilo box kuna zawadi zenu, hapa ni kama kwangu Mr Derrick hivyo usishangae kuniona!"
Nilimkata jicho yaani katembea na mke wangu na bado tena nyumbani kwangu anasema ni kama kwake si dharau hizo!?.

Mary alijua moja kwa moja nimeshachukia kwa ujio wa Robert nyumbani kwangu ila aliweka tabasamu na kumkaribisha.
"Karibu ukae Robert!"
"Fungua box la zawadi utazame!"
Mary alifungua na kukutana na cheni pamoja na pete za almasi zinavyofanana, pamoja na koti jeusi.
"Cheni na pete ni vya kwako na hilo koti ni la mmeo!"
"Waooo ashante sana Robert!"
Palepale Mary alimkumbatia mbele yangu, niliwatazama na baadaye Mary alijishitukia mwenyewe na kuitoa mikono yake kwenye mwili wa Robert.
"Nina habari njema Derrick za kukwambia!"
"Habari zipi hizo boss!?"
"Kuanzia sasa ivi utakuwa afisa masoko kwenye kampuni yetu, napenda utendaji wako wa kazi na barua utaipata kesho ofisini!"
Moja kwa moja nilijua ni ru...shwa ya ngono aliyoitoa Mary siku ile ya Krismas ndiyo imenifanya mpaka anipatie cheo ambacho karibu kila mtu kwenye kampuni yetu alikuwa akikitamani, nilimshukuru Robert kishingo upande lakini Mary ndiyo alizidi kumchangamkia zaidi baada tu ya Robert kuongea vile.

Baadae nilitoka nje kwa ajili ya kwenda kuongea na simu baada ya kupigiwa na mdogo wangu, nilitumia mda mrefu kidogo nikiwa huko na baada ya mda kumaliza kuongea na simu nilitembea kurudi ndani.

Nilisukuma mlango na kukuta hawapo sebleni, moyo ulianza kwenda mbio na haraka nilikimbilia chumbani kuwatazama lakini napo hawakuwepo.
"Hawa wameenda wapi!?"
Kwa mbali nilisikia maongezi yao upande wa nje na moja kwa moja nilijua lazima walipitia mlango wa nyuma kwenda kufanya maongezi na sio mlango wa mbele niliopitia mimi.

Nilitembea taratibu kuwafata na baada tu ya kufunguwa Robert alikuwa kamshika mkono Mary aliyeshituka baada ya kuniona lakini Robert hakuogopa kabisa kuniona, zaidi aliendelea kumshika mkono mke wangu mbele yangu..........ITAENDELEA..
Tangazo - TAKE NOW

TAKE NOW
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

BOSS ANAMPENDA MKE WANGU 02 ❤ Umri………………...18+ ENDELEA...... Makosa yalikuwa yangu mwenyewe maana kama nisingeenda na Mary kwenye sherehe

basi asingekutana na Robert, nilikubali kumsamehe mke wangu na maisha yaliendelea.

Siku mbili zilipita na siku hiyo ikiwa ni siku ya jumatatu niliamkia kazini na kukutana na Robert.
"Habari za asubuhi Derrick!?"
"Salama kabisa!"
"Mke wako anaendeleaje!?"
Kwanza nilimtazama pasipo kumjibu, nilitamani nimzabe kofi ila kwakuwa ni boss nilimjibu kuwa anaendelea vizuri na mwisho aliamua kubadilisha mada mwenyewe, tulianza kuzungumza kuhusu kazi na sio Mary tena.

Siku hiyo ilipita na siku iliyofata ilikuwa ni Jumanne jioni, mimi na Mary tulikuwa kitandani tukifanya mambo ya kiutu uzima, bahati mbaya kwangu toka nimuoe sikuwahi kumfikisha mke wangu kile...leni, mara nyingi nilikuwa nawahi kufika mimi kabra yake, na...

👉 Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/boss-anampenda-mke-wangu-02-umri-18-endelea-makosa-yalikuwa-yangu-mwenyewe-maana-kama-nisingeenda-na

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
MWENDELEZO SOMA HAPA

Maoni

You're not logged in


gonga94 official track
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi boss-anampenda-mke-wangu
BOSS ANAMPENDA MKE WANGU 01 ❤  Umri………………...18+  ANZAAA NAYOO.......... Ilikuwa ni siku niliyohudhuria karamu ya krismasi kwenye kampuni ninayofanyia kazi
BOSS ANAMPENDA MKE WANGU 01 ❤ Umri………………...18+ ANZAAA NAYOO.......... Ilikuwa ni siku niliyohudhuria karamu ya krismasi kwenye kampuni ninayofanyia kazi
SIMULIZI NA SAUTI ZETU
You're not logged in


Tangazo - Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Elton John - Sacrifice
Sikiliza Wimbo Kamili

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest