Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

 π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž   SEHEMU YA 10 ENDELEA Basi Zara alihakikisha Philips Kobe anapendeza kuliko Kaka
Gonga94 Β· Stories

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 10 ENDELEA Basi Zara alihakikisha Philips Kobe anapendeza kuliko Kaka

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
yake, lengo lake si mnalijua bhana alitaka Tasha azame mazima pindi atakapo muona Kijana wake.

"Umependeza sana kulikoni .... naonekana kama Mfanyakazi wako wa ndani " Bryant Kobe alinong'ona kwa sauti ya chini lakini Zara alisikia.

😭😭😭 wacha aangue kilio.

"Kama wewe umezungumza hivi vipi watu wengine huko nje si watasema na mpendelea Philips Kobe kisa na maana wewe si Mtoto wangu ...wewe ni mzuri wa sura ujue. Upendeze usipendeze unaonekana mzuri tu, lakini huyu mwenzio asipo pendeza anaonekana kama mchunga ng'ombe hivi "

"Mama, maana yangu haikuwa hiyo "

"Jichagulie adhabu unabakia hapa au tunaenda kule ila ukifika huko utaosha vyombo tutakavyo maliza kutumia " Zara alisikilizia.

"Nitabakia hapa "

"Kwaheri na usiku mwema, natumai tukirudi utakuwa umelala tayari " Zara aliongea.

"Nafikiri, endesha gari vizuri usije kumwaga Mama chini " Bryant Kobe alimkumbusha Philips Kobe kisha akaenda zake chumbani.

"Kama wewe ungekuwa Bryant Kobe nina uhakika ungechagua kwenda kuosha vyombo na si kubakia hapa nyumbani .... Kaka yako si mtu wa kunipa sana presha, lengo langu lilikuwa abakie hatimaye amebaki " Zara aliongea wakiwa ndani ya gari.

"Kwanini unataka abakie kwani kuna lipi hilo tunaenda kujionea huko?"

"Macho ya Tasha hayatakiwi kuona Wanaume wawili sitaki kuongea zaidi naomba uondoe gari"

Basi Philips Kobe hakuwa na kitu cha kuongea.

Upande wa Tasha akiwa chumbani kwake alijikuta akikosa nguo ya kuvaa. Yaani kila aliyokuwa anaishika aliona haifai

"Tahira Mimi nilipaswa kuikagua kabati yangu mapema ...nikivaa nguo ya kawaida yule mpuuzi (Bryant Kobe) si atanicheka sipo tayari katika hili" Tasha alijisemea kisha akachungulia dirishani baada ya kusikia ngurumo ya gari.

Aliishiwa pozi baada ya kumuona Philips Kobe na Zara.

"Ana kiburi hadi kwenye mualiko wa dinner kipi kimemzuia asije sasa kama si kujiona bora kuliko watu wengine " Tasha aliongea pekee yake kisha akakaa kitandani.

Lengo la kwenda kudhurula mtaani lilimuijia, alivaa zake Kihuni kisha akaondoka kwa kupitia mlango wa nyuma.

"Tasha! Tasha...." Mama yake aliita, alipoona hafunguliwa mlango aliusukuma kisha akazama ndani.

"Mjinga huyu kapitia mlango wa nyuma, ila ni heri tu ameondoka sikuwa ni kitaka atazamane na Philips Kobe πŸ˜„" Mama Tasha alijisemea kisha akarudisha taarifa.

"Kapata dharula ? kwa jinsi anavyopenda pesa yupo tayari kwenda hata uchi .... anyway yeye si muhimu sana karibuni mezani " Baba Tasha aliwakarimu Wageni

"Ah... ahsante" Zara aliongea huku akilazimisha tabasamu.

Basi kwa pamoja walikaa mezani wakaanza kula.

Upande wa Tasha akiwa mtaani alijikuta akimpigia simu Bryant Kobe.

"Upo wapi nasikia njaa "

"Nipo nyumbani kwetu"

"Njoo uninunulie chakula..." Basi Tasha aliongea kama anatoa amri hivi.

Bryant Kobe hakutaka kumkatili aliingia kwenye gari lake.

Vile Tasha anapenda vitu vya bei ghali alitafuta hoteli ya hadhi ya juu ndipo akamuelekeza Bryant Kobe.

Pesa haikuwa shida kwa Mwanaume huyu, alimruhusu Tasha aagize chakula anachotaka.

"Nadhani kesho asubuhi sana nitaingia studio kupiga na kurekodi video ya tangazo la maji ya Volvic kama hautakuwa na majukumu mengi karibu ujionee namna ambavyo sitishwi na camera"

"Sawa nikiwa na nafasi hiyo nitakupigia simu...."

"Kwanini hujaja nyumbani kwetu na huku nimetoa mualiko kuhusu chakula cha usiku "

"Ni kuulize wewe pia kwanini uko hapa na si kukarimu Wageni "

"Swali juu ya swali? unaboa .... endelea kula" Tasha alinuna.

Bryant Kobe aliachia tabasamu kimtindo kisha akapitisha mguu wake taratibu akamkanyaga Tasha mguu.

"Haupendezei kununa "

"Sasa ndio unikanyage mguu kula haraka haraka kuna sehemu nataka unipeleke" Tasha alitoa amri si kuomba.

"Hiki chakula kinanifanya nihisi joto, nitaoga kwanza baada ya kumaliza nitakupeleka huko ulikotaka "

"Kuoga? uwe unaoga kwenu na si kuja kuoga kwenye mahoteli ya watu "

Bryant Kobe alimeza mate akili yake inamuambia kama Tasha atajiroga kuingia kwenye chumba atakacho chukua kwa ajili ya kuoga hatamuacha salama. Akili ya uzinzi ilitawala kichwa chake kiasi cha mtarimbo wake kuanza kunesa nesa.

ITAENDELEA.....
Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 10 ENDELEA Basi Zara alihakikisha Philips Kobe anapendeza kuliko Kaka

yake, lengo lake si mnalijua bhana alitaka Tasha azame mazima pindi atakapo muona Kijana wake.

"Umependeza sana kulikoni .... naonekana kama Mfanyakazi wako wa ndani " Bryant Kobe alinong'ona kwa sauti ya chini lakini Zara alisikia.

😭😭😭 wacha aangue kilio.

"Kama wewe umezungumza hivi vipi watu wengine huko nje si watasema na mpendelea Philips Kobe kisa na maana wewe si Mtoto wangu ...wewe ni mzuri wa sura ujue. Upendeze usipendeze unaonekana mzuri tu, lakini huyu mwenzio asipo pendeza anaonekana kama mchunga ng'ombe hivi "

"Mama, maana yangu haikuwa hiyo "

"Jichagulie adhabu unabakia hapa au tunaenda kule ila ukifika huko utaosha vyombo tutakavyo maliza...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ceo-na-mrembo-wa-tiktok-sehemu-ya-10-endelea-basi-zara-alihakikisha-philips-kobe-anapendeza-kuliko-k

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi ceo-na-mrembo-wa-tiktok-sehemu-ya
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž   SEHEMU YA 17 ENDELEA...... "Mama yako alimuua Mama yake Bryant Kobe
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 17 ENDELEA...... "Mama yako alimuua Mama yake Bryant Kobe
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 16 ENDELEA..... "Ni wakati wa wewe kufurahia uboss pia, sielewi ni kwanini unapoteza kujiamini βœ‹" Zara aliongea.
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 16 ENDELEA..... "Ni wakati wa wewe kufurahia uboss pia, sielewi ni kwanini unapoteza kujiamini βœ‹" Zara aliongea.
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 19 ENDELEA...... "Kwanini unaingia bila hodi πŸ™„" Dada wa kazi mstaafu aliuliza
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 19 ENDELEA...... "Kwanini unaingia bila hodi πŸ™„" Dada wa kazi mstaafu aliuliza
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 18 ENDELEA..... "Inakuaje unaanguka na huku umekunywa chai
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 18 ENDELEA..... "Inakuaje unaanguka na huku umekunywa chai
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 13 ENDELEA.... "Na....na....nawahi kuandika ripoti tutaonana baadae" Tasha akiwa mwenye hofu kubwa aliaga.
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 13 ENDELEA.... "Na....na....nawahi kuandika ripoti tutaonana baadae" Tasha akiwa mwenye hofu kubwa aliaga.
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž   SEHEMU YA 14 ENDELEA. "Ni swali gani hili? mbona nashindwa kuelewa " Bryant Kobe
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 14 ENDELEA. "Ni swali gani hili? mbona nashindwa kuelewa " Bryant Kobe
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 12 ENDELEA...... "Ni huzuni mtupu nyie kujifungia hapa ilihali kule chakula kipo kwenye hati hati ya kumwaga
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 12 ENDELEA...... "Ni huzuni mtupu nyie kujifungia hapa ilihali kule chakula kipo kwenye hati hati ya kumwaga
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 11 ENDELEA...... "Okay, wakati wewe unaoga Mimi nitajilaza kidogo tu kitandani
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 11 ENDELEA...... "Okay, wakati wewe unaoga Mimi nitajilaza kidogo tu kitandani
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 9 ENDELEA...... "Poleee " Philips na Bryant Kobe waliongea kipamoja
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 9 ENDELEA...... "Poleee " Philips na Bryant Kobe waliongea kipamoja
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 6 ENDELEA..... "Nini kinaendelea " Bryant Kobe alizungumza huku akiinyanyua picha yake
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 6 ENDELEA..... "Nini kinaendelea " Bryant Kobe alizungumza huku akiinyanyua picha yake
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 7 ENDELEA...... "Una mfahamu mbona umeshtuka namna hiyo, kama humjui mchukue
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 7 ENDELEA...... "Una mfahamu mbona umeshtuka namna hiyo, kama humjui mchukue
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 8 ENDELEA...... "Mimi huyu ni pa....nue uniwekee kidogo .... nadhani umenizoea
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 8 ENDELEA...... "Mimi huyu ni pa....nue uniwekee kidogo .... nadhani umenizoea
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

MY WANGU❀️ sehemu ya 82 na 83

MY WANGU❀️ sehemu ya 82 na 83

575
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜

458
MY WANGU❀️ sehemu ya 84 na 85

MY WANGU❀️ sehemu ya 84 na 85

455
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 31 na 32

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 31 na 32

380
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 33

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 33

314
*MIMI SIKUACHIπŸ₯°* *SEHMU YA 34*

*MIMI SIKUACHIπŸ₯°* *SEHMU YA 34*

189
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5

82
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*

53

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.1K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.84K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.67K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.05K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.45K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.41K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.29K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.29K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.25K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.16K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
REAL LOVE  *SEHEMU YA KUMI NA MOJA* Post Mpya
REAL LOVE *SEHEMU YA KUMI NA MOJA*
@majario LIVE

walipomuona seven ikabidi mzee fahad azungumze nae kuhusu swala la wao kuondoka **"lakini mzee wangu mbona bado hali ya fahima sio nzuri?" alisema seven usijari kwakuwa ametaka mwenyewe basi haina shida kikubwa...

*MIMI SIKUACHIπŸ₯°* *SEHMU YA 34* Post Mpya
*MIMI SIKUACHIπŸ₯°* *SEHMU YA 34*
@majario LIVE

*SEASON TWO* LISSA WA HURU MEDIA * Basi uyu demu mimi na yeye ndo tukaachna hapa. Nilimwambia ukweli sikutaka kuwa na michepuko tena. Mke wngu kwanza ananitosha sana. Yani anafit kwa kila kitu....

MY WANGU❀️ sehemu ya 84 na 85 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 84 na 85
@majario LIVE

Basi bwana nikaingia ndani ya gari ya mlige . Daaaah uko njiani ni anaona kama hatufiki . Mala kanishika ziwa . Mala kanishika kiuno kabinya mhh yani acha ...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 53...54πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Tulivyotoka pale sitting kuelekea chumbani nilianza kumbembeleza nice asinzie kwani anataka sasaπŸ˜†πŸ˜† my wangu si akaanza kulia na kuita daddy daddy I want my daddy ikawa kero😳😳 ilinibidi nimuweke mgongoni...

TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5 Post Mpya
TIPWA TIPWA NA MR MARVEL 1 - - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹πŸ¦‹ Kila alipokua akipita mtaani kwao utasikia watu wakimuita tipwa tipwa huku wakimtania, lakini yeye hajali hata kidogo. Karidhika na mwili wake, hana mda wa kuhifadhi maneno ya watu...

MY WANGU❀️ sehemu ya 82 na 83 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 82 na 83
@majario LIVE

Zayd akanmbia mbona unalia mama. Aseeee mda huu ilikuwa ni kama saa 5 ya usiku. Na mlige anapiga simu . Yani simu yangu sikuwa nimeweka sauti . Yani nimeweka mwanga...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 33 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 33
@majario LIVE

Bas baada ya princess kukata simu nikamsogelea mke wangu nikamwambia si umeona kipenzi changu. We niamini tu na kuwa muelewa . Mimi nimekosea ilaa sasa hivi sitaki tena kuwa na...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 31 na 32 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 31 na 32
@majario LIVE

Fatuma akanmbia kumbe ndo unayonifanyia aya. Unazani nilikuwa sina habri zako . Unazani sijuh najua sana . Kuwa apa chuo una mwanamke mjinga ww. Daah nikamwambia plsss mke wangu...

MY WANGU❀️ sehemu ya 81 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 81
@majario LIVE

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MAAMOJA Basi maisha yakawa yanenda hivyo. Na zayd akawa nanaitafuta kila siku. Alivyokuwa kenya. Siku iyo usiku hivi .nipo ndani kwangu . Nilikuwa napanga nguo zangi mana nilikiwa...

MY WANGU❀️ sehemu ya 79 na 80 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 79 na 80
@majario LIVE

Zayd akasema ni mimi. Naona unaniangalia sana wala haujanifananisha ndo mm zayd tulisoma wote singida . Na mala ya mwisho tulipewa suspension na mwenzangu ukahama shule. Mh nikasema ahaa...

MY WANGU❀️ sehemu ya 78 Post Mpya
MY WANGU❀️ sehemu ya 78
@majario LIVE

Basi bibi mie nikaanza kujiandaa kwa ajili ya club. Na nguo nnazo kama zote. Kuna mda mlige ananinuliaga mpkaa nguo za ajabu . Ila nivae tu nikiwa na...

AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜  N0 51...52πŸ’˜πŸ’˜ Post Mpya
AAAAH IMETOSHA BOSS πŸ’˜πŸ’˜ N0 51...52πŸ’˜πŸ’˜
@majario LIVE

Uwe na usiku mwema mke wangu mimi nitakwenda kulala kwenye chumba changu kingine natumaini hili jambo litabakia kuwa la siri kati yetu sisi wawili..... natumaini hautamwambia mtu yeyote yule Acha...

MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 30 Post Mpya
MIMI SIKUACHIπŸ₯° Sehemu ya 30
@majario LIVE

Akanmbia mi nitakuazima pesa milion 10 . Uanze nayo. Ununue mashine zote.na ukalipie fremu apa maeneo ya chuo utapata wateja wengi. Mh nikaona uyu demu ana roho nzuri ety anamfikilia...

UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5 Post Mpya
UTAMU WA KULA KUKU NA MAYAI YAKE 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 MWANZO......... Wale wa kuzima Hisia washa akili mje hapa. Mwenzenu huku kawasha vyote kama mjukuu majutoπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„. Hivi wahenga nao wanatuchukuliaje kusema kwamba akili ni nywele πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Asubuhi majira ya saa...

NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5 Post Mpya
NILIVYOOLEWA NA SHEMEJI YANGU 1 - - - - - 5
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO.... Call me Paaye, oooh Paaye hata sijui hili jina lina maana gani na siijui wazazi wangu walilipatia kwa mkorea yupi maana kwa hili jina saluti kwao Aaah Paaye...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest