Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 12 ENDELEA...... "Ni huzuni mtupu nyie kujifungia hapa ilihali kule chakula kipo kwenye hati hati ya kumwaga
Gonga94 Β· Stories

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
nisaidie tu kuweka simu yangu sawa niondoke zangu" Zara alijiongelesha akijitia hajali.

"Kwanini uko hapa pia nenda kakiokoe chakula kisimwage " Tasha alimjibu Zara ndani ya moyo kisha akajifunika gubigubi

"Kwaherini na samahani kwa kuwa sumbua "

"Kama shida ilikuwa ni setting tu ya simu si ungempa hata Mlinzi hapo getini " Bryant Kobe alijisemea ndani ya moyo wake huku alikimfungulia Mama yake mlango

"Nilitamani Tasha awe na Philips Kobe cha ajabu umeshamlala ngoja tuone mwisho wake. Endapo mambo hayataenda kama navyo tamani basi Mimi hapa sitampokea Mwanamke anayeamini Mwanaume ana jukumu la kupika na kudeki kwenye ndoa" Zara alijisemea kisha akaondoka.

"Ahsante kwa muda wako ..." Bryant Kobe alimshukuru Tasha aliyekuwa kajifunika gubigubi.

Ulikuwa kama utani hivi lakini ndio ulikuwa mwanzo wa wawili hawa kukutana kimwili bila kuzungumza kuhusu upendo.

Tangazo la Tasha kuhusu maji ya kunywa ya Volvic lilifanya vizuri sana.
Kwa kifupi alizidi kiwango cha matarajio kilichokuwa kimewekwa na Kampuni.

Tiktok nako aliendelea kukiwasha, mafundisho yake yalikuwa ni yale yale kuwa Mwanamke siyo kibarua kwenye ndoa hivyo ni jukumu la mwanaume pia kuhakikisha vyombo vimetakata.

"Siku hizi sikusikii ukiyapinga mafundisho ya Tasha, vipi yameanza kukuingia akilini siyo " Secretary Annie aliamua kumchokoza Bryant Kobe.

"Kumfuatilia yeye kila siku ni ukosefu wa kazi. Siwezi kuzungumza chochote kuhusu yeye kuanzia sasa na wala usinikumbushe kuhusu uwepo wake.

Kabla Secretary Annie hajajibu chochote, mlango ulifunguliwa

"Helloooo " Aliingia Tasha akiwa mwenye uso wa tabasamu.

"Hii ni ofisi, bila kujali uhusiano wako na CEO upoje lakini unatakiwa kupiga hodi pia " Secretary Annie alikumbusha kisha akaondoka akiwa kanuna.....bahati mbaya aliparamiana na Philips Kobe.

"Vipi upo sawa "

Alipoulizwa tu aliporomosha machozi . Ujue siku zote alikuwa ana mchukulia poa Bryant Kobe. Kitendo cha kujua kuna mtu anamtembezea fimbo kilimuuma.

"Sikuwahi kujua kama moyo wangu Mimi una wivu kiasi hiki "

"Hebu endelea na safari yako...acha niingie ofisini kwa bro kwanza nitatafuta muda kwa ajili yako uniambie ni kitu gani kilikuwa kinakuliza muda huu" Philips Kobe aliongea kisha akaendelea na safari yake.

Hakuona sababu ya kugonga mlango, ile anaingia puuuuh alishtuka sana baada ya kumfuma Tasha akila koni, kwa lugha inayoeleweka alikuwa analamba mtarimbo Bryant Kobe.

Wote kwa pamoja walishtuka.....

ITAENDELEA.......
Tangazo - General kumbe ulinipenda kweli eee
General kumbe ulinipenda kweli eee
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 12 ENDELEA...... "Ni huzuni mtupu nyie kujifungia hapa ilihali kule chakula kipo kwenye hati hati ya kumwaga

nisaidie tu kuweka simu yangu sawa niondoke zangu" Zara alijiongelesha akijitia hajali.

"Kwanini uko hapa pia nenda kakiokoe chakula kisimwage " Tasha alimjibu Zara ndani ya moyo kisha akajifunika gubigubi

"Kwaherini na samahani kwa kuwa sumbua "

"Kama shida ilikuwa ni setting tu ya simu si ungempa hata Mlinzi hapo getini " Bryant Kobe alijisemea ndani ya moyo wake huku alikimfungulia Mama yake mlango

"Nilitamani Tasha awe na Philips Kobe cha ajabu umeshamlala ngoja tuone mwisho wake. Endapo mambo hayataenda kama navyo tamani basi Mimi hapa sitampokea Mwanamke anayeamini Mwanaume ana jukumu la kupika na kudeki kwenye ndoa" Zara alijisemea kisha akaondoka.

"Ahsante kwa...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ceo-na-mrembo-wa-tiktok-sehemu-ya-12-endelea-ni-huzuni-mtupu-nyie-kujifungia-hapa-ilihali-kule-chaku

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi ceo-na-mrembo-wa-tiktok-sehemu-ya
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž   SEHEMU YA 17 ENDELEA...... "Mama yako alimuua Mama yake Bryant Kobe

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 16 ENDELEA..... "Ni wakati wa wewe kufurahia uboss pia, sielewi ni kwanini unapoteza kujiamini βœ‹" Zara aliongea.

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 19 ENDELEA...... "Kwanini unaingia bila hodi πŸ™„" Dada wa kazi mstaafu aliuliza

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 18 ENDELEA..... "Inakuaje unaanguka na huku umekunywa chai

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 13 ENDELEA.... "Na....na....nawahi kuandika ripoti tutaonana baadae" Tasha akiwa mwenye hofu kubwa aliaga.

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž   SEHEMU YA 14 ENDELEA. "Ni swali gani hili? mbona nashindwa kuelewa " Bryant Kobe

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 11 ENDELEA...... "Okay, wakati wewe unaoga Mimi nitajilaza kidogo tu kitandani

 π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž   SEHEMU YA 10 ENDELEA Basi Zara alihakikisha Philips Kobe anapendeza kuliko Kaka

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 9 ENDELEA...... "Poleee " Philips na Bryant Kobe waliongea kipamoja

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 6 ENDELEA..... "Nini kinaendelea " Bryant Kobe alizungumza huku akiinyanyua picha yake

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 7 ENDELEA...... "Una mfahamu mbona umeshtuka namna hiyo, kama humjui mchukue

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 8 ENDELEA...... "Mimi huyu ni pa....nue uniwekee kidogo .... nadhani umenizoea

Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.11K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.25K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.48K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

2.56K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.3K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.11K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.11K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.04K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

1.99K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

1.95K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest