Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 16 ENDELEA..... "Ni wakati wa wewe kufurahia uboss pia, sielewi ni kwanini unapoteza kujiamini βœ‹" Zara aliongea.
Gonga94 Β· Stories

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.

"Hujanijibu swali langu, Bryant Kobe ameniachia kiti kwa hiari yake au umemuomba?"

"Bila kumuomba unadhani angeachia nafasi kwa hiari yake, unajua siku zote huwa unaamini Bryant Kobe anakupenda lakini upendo wake ni wa kinafiki.... tabasamu analo kuonyeshaga huwa ni danganya toto tu ili usije kwenda kinyume naye ....ni wakati wa wewe kuitwa boss pia. Kila Mama ana tamaa ya kumuona mtoto wake matawi ya juu. Naomba sana usije kukuza maneno utaniumiza moyo wangu " Zara alijihami kwa kuporomosha machozi.

"Hapana, kuna kitu utakuwa umemuambia Bryant Kobe ana tabia ya kukusikiliza kwa kila kitu, acha kudondosha machozi yako kwa sababu sitakubembeleza " Philips Kobe alitaka kuondoka lakini Zara alimdaka mkono.

"Ukiwa na miaka 10, nilimfuma Baba yako akimuambia maneno ya ajabu Bryant Kobe,.... nilijua ipo siku nitahitaji kukukumbusha sehemu yako " Zara aliongea kisha akaichia rekodi aliyoitunza kwa muda mrefu ikasikika.

🎡 Naamini katika akili yako, tafadhali sana naomba usije kuliacha Kampuni likaongozwa na mtu mwingine tofauti na yeye.🎡

🎡Baba kumbe humpendi Philips Kobe 🎡

🎡Nampenda na ndio maana nimekuchagua wewe kuwa msimamizi wa Kampuni la Danone 🎡

🎡Kwanini hutaki Philips Kobe awe msimamizi wa Kampuni ya Danone 🎡

🎡Ingawa ni mdogo bado lakini kila napo mtazama naona anafaa kuizungukia dunia na si kutulia ofisini. Endapo itatokea ametulia ofisini nahofia kusema huenda Kampuni ya Danone ikasambaratika 🎡

"Baba yako kabisa wa damu alizungumza haya maneno akiwa katika akili timamu, siku zote alikuona unafaa kuizungukia dunia na si kukaa kwenye Kampuni lake, ni kama alitaka upoteze maisha ukiwa safarini βœ‹....na ndio maana sikusita kumuangamiza, na kuambia ukweli kwa sababu wewe ni damu yangu halali.... Baba yako hakufa bahati bahati mbaya. Nilikitengeneza kifo chake, presha inatengenezwa. Presha inanunuliwa pia 😠" Zara alizungumza kwa kujiamini kupita kiasi.

Philips Kobe alimtazama kwa kumhurumia tu kisha akaondoka.

"Nini kwani ndio nishamwambia ukweli, pumbavu zake " Zara alijitia ujasiri wa kinafiki ila ukweli ni kwamba alikuwa anatetemeka hata yeye mwenyewe alishindwa kuelewa ni kwanini anatetemeka.

Philips Kobe baada ya kuingia chumbani kwake alidondosha chozi, siyo kwamba ile rekodi haikumuumiza, hapana ilimuumiza sana siyo kidogo.

Alibadilisha nguo zake chapu chapu kisha akapitia mlango wa nyuma. Kuna mahali alihitaji kwenda.

Kama angechukua gari basi Mama yake angejua kaondoka. Alihitaji kufanya vitu kimya kimya.

Alichukua usafiri kisha akatoka nje kidogo ya mji.
Alihitaji kuonana na Dada wa kazi ambaye kafanya kazi kwa muda mrefu sana. Kwa kifupi uzee ndio ulimuondoa.

"Nilijua ipo siku utakuja kunisalimia, nafurahi kuona umekuwa Kijana mzuri.... Watoto wako watakuwa warembo sana " Dada wa kazi mstaafu aliongea.

"Naomba kujua Kwanini Baba yangu hakutaka Mimi ni kae kwenye Kampuni la Danone kama CEO naomba uniambie kila kitu hata kama kitakuwa ni cha kuumiza"

"Philips Kobe macho yako yanaonesha umekuwa mtu mzima sasa lakini akili yako haipo tayari kusikia ukweli. Endapo nitakuambia ukweli huenda ukachanganyikiwa maisha yako yote...nenda sitakuambia chochote zaidi ya kusema Kampuni la Danone litakuwa salama zaidi kama litasalia mikononi mwa Bryant Kobe "

Philips Kobe alichoka kumbembeleza, alivuta bastola akaiweka usawa wa kichwa cha Dada wa kazi mstaafu.

"Nitakuambia....hakika nitakuambia ukweli "

Philips Kobe alifungua masikio yake kwa umakini kusikiliza kitu anachotaka kuambiwa.

ITAENDELEA......
Tangazo - ila baba mkwe full Epsode
ila baba mkwe full Epsode
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 16 ENDELEA..... "Ni wakati wa wewe kufurahia uboss pia, sielewi ni kwanini unapoteza kujiamini βœ‹" Zara aliongea.

"Hujanijibu swali langu, Bryant Kobe ameniachia kiti kwa hiari yake au umemuomba?"

"Bila kumuomba unadhani angeachia nafasi kwa hiari yake, unajua siku zote huwa unaamini Bryant Kobe anakupenda lakini upendo wake ni wa kinafiki.... tabasamu analo kuonyeshaga huwa ni danganya toto tu ili usije kwenda kinyume naye ....ni wakati wa wewe kuitwa boss pia. Kila Mama ana tamaa ya kumuona mtoto wake matawi ya juu. Naomba sana usije kukuza maneno utaniumiza moyo wangu " Zara alijihami kwa kuporomosha machozi.

"Hapana, kuna kitu utakuwa umemuambia Bryant Kobe ana tabia ya kukusikiliza kwa kila kitu, acha kudondosha machozi yako kwa sababu sitakubembeleza " Philips...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ceo-na-mrembo-wa-tiktok-sehemu-ya-16-endelea-ni-wakati-wa-wewe-kufurahia-uboss-pia-sielewi-ni-kwanin

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi ceo-na-mrembo-wa-tiktok-sehemu-ya
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž   SEHEMU YA 17 ENDELEA...... "Mama yako alimuua Mama yake Bryant Kobe

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 19 ENDELEA...... "Kwanini unaingia bila hodi πŸ™„" Dada wa kazi mstaafu aliuliza

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 18 ENDELEA..... "Inakuaje unaanguka na huku umekunywa chai

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 13 ENDELEA.... "Na....na....nawahi kuandika ripoti tutaonana baadae" Tasha akiwa mwenye hofu kubwa aliaga.

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž   SEHEMU YA 14 ENDELEA. "Ni swali gani hili? mbona nashindwa kuelewa " Bryant Kobe

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 12 ENDELEA...... "Ni huzuni mtupu nyie kujifungia hapa ilihali kule chakula kipo kwenye hati hati ya kumwaga

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 11 ENDELEA...... "Okay, wakati wewe unaoga Mimi nitajilaza kidogo tu kitandani

 π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž   SEHEMU YA 10 ENDELEA Basi Zara alihakikisha Philips Kobe anapendeza kuliko Kaka

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 9 ENDELEA...... "Poleee " Philips na Bryant Kobe waliongea kipamoja

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 6 ENDELEA..... "Nini kinaendelea " Bryant Kobe alizungumza huku akiinyanyua picha yake

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 7 ENDELEA...... "Una mfahamu mbona umeshtuka namna hiyo, kama humjui mchukue

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 8 ENDELEA...... "Mimi huyu ni pa....nue uniwekee kidogo .... nadhani umenizoea

Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.11K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.25K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.48K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

2.56K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.3K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.11K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.11K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.04K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

1.99K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

1.95K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest