Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž   SEHEMU YA 17 ENDELEA...... "Mama yako alimuua Mama yake Bryant Kobe
Gonga94 Β· Stories

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 17 ENDELEA...... "Mama yako alimuua Mama yake Bryant Kobe

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
mpaka Baba yako anaingia kaburini hakuwa kumuumbua kuhusu hili suala....kwa kifupi aliamua kukaa kimya. Hakutaka uwe CEO wa Kampuni ya Danone kama adhabu kwa kosa alilofanya Mama yako"

"Una uhakika na maneno unayo zungumza?"

"Siwezi kuongea uongo, yaani kwa umri wangu huu siwezi kuzungumza vitu vya uongo....." Dada wa kazi mstaafu aliongea.

"Ahsante kwa kuniambia ukweli, shika hii itakusaidia kukuwekea Ulinzi " Philips Kobe alimuachia bastola Dada wa kazi mstaafu kisha akaondoka.

Mara nyingi akiwa mpweke huwa anapenda kunywa pombe.

Aliingia katika Casino moja matata akaagiza pombe, muonekano wake wa kitajiri uliwavuta wadada warembo, walimzunguka kama Kuku na vifaranga wake.

Ulikuwa ni mwendo wa kulewa tu, anakuja kushtuka asubuhi akiwa kalala kitandani na mabinti watatu ......kichwa chake kilikuwa kinamuuma sababu ya pombe.

"Hello CEO, unaweza kufika ofisini haraka kuna changamoto" Secretary Annie alimpigia simu.

"Mpigie Bryant Kobe, kichwa changu hakipo sawa" Philips Kobe aliongea kisha akazima simu kabisa siyo kukata.

"Mji...nga huyu " Secretary Annie aliongea pekee yake baada ya kupiga simu mara ya pili akaambiwa haipatikani.

Akiwa katika kuchanganyikiwa mlango ulifunguliwa, aliachia tabasamu pana baada ya kumuona Bryant Kobe.

"Kuna nini mbona Wafanyakazi wengi wamesimama nje badala ya kuendelea na kazi"

"Taarifa ya miezi sita niliyompatia Philips Kobe kuhusu Wafanyakazi wote aliikosoa sana na hata akaona wanastahili kukatwa asilimia 7 kwenye mishahara yao... kitu hiki kimewakwaza sana ndio maana wapo hapo nje "

"Wapatie taarifa hakutakuwa na maamuzi mengine tofauti na hayo yaliyotolewa, mtu yoyote asiye ridhia haya maamuzi aandike barua ya kuacha kazi na hata hivyo kutakuwa na mabadiliko mengi kuanzia sasa" Bryant Kobe aliongea kisha akakaa kwenye kiti.

Alifanya majukumu yake kama kawaida baada ya kuhakikisha amefikia malengo aliingia kwenye gari lake akaenda kumfuata Philips Kobe. Japo hakuwa amempatia taarifa wapi yupo lakini alikuwa na uhakika wa kumpata.

Warembo wakiwa bize kuchezea kifua cha Philips Kobe walishtuka baada ya kumuona Bryant Kobe.

"Naomba muondoke hapa haraka iwezekanavyo " Aliwafokea.

"Hatuwezi kuondoka bila kulipwa pesa, kwa usiku mzima tumempa company hapa " Mmoja wa warembo alizungumza.

Bryant Kobe hakutaka kusumbuana nao, alijishika mfukoni kisha akapatia dola.

"Ni kama unatukomoa hivi, hizi dola tunaenda kubadilisha wapi " Mrembo mwingine alifoka.

Bryant Kobe hakutaka kusumbuka nao, alifungua mlango kisha akawatoa nje.... wengine hawakuwa hata wamevaa vizuri, aliwarushia chupi zao pamoja na vinguo vyao.

"Nadhani mara ya mwisho tulikumbushana hamna kuelewa hovyo..... vipi kama hawa wahuni wamekurekodi namna mlivyo kuwa mnakula bata si utatia aibu huko mtandaoni " Bryant Kobe aliongea.

Acha Philips Kobe aangue kilio, moyo wake ulikuwa na uchungu sana imgawa hakuweza kusema chochote lakini alihuzunika.

"Sitakuuliza shida ni nini, naomba twende nyumbani" Bryant Kobe aliongea kisha akambeba mdogo wake....

Alimuingiza kwenye gari kisha safari ya kwenda nyumbani ilianza.

Zara akiwa ana mwagilia bustani alishangaa baada ya kuwaona Vijana wake wawili.

"Kitu gani kinaendelea " Alijisemea kisha akamsogelea Philips Kobe, alimnusa pua zake akagundua amelewa.

"Nipo na kazi zangu hapa, mnaweza kuingia ndani tutazungumza baadae ..." Zara aliongea akijitia hajaona chochote cha maajabu.

Kitendo cha watoto wake kuingia ndani, alifunga bomba.

"Bila shaka Dada wa kazi mstaafu atakuwa amezungumza na Philips Kobe....nina uhakika kuna kitu atakuwa kamuambia " Zara alijisemea kisha akaelekea chumbani kwake alihitaji kuonana naye.

Baada ya kuhakikisha amemaliza kuvaa, alichukua bastola akaweka ndani ya mkoba wake.

Upande mwingine Tasha akiwa ana safisha chumba chake alidondoka sababu ya kizungu zungu kisichojulikana kimesababishwa na nini.

ITAENDELEA......
Tangazo - Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha
Ajnabi Mujhko Itna Bata - Pyaar To Hona Hi Tha

Enzi zetu
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 17 ENDELEA...... "Mama yako alimuua Mama yake Bryant Kobe

mpaka Baba yako anaingia kaburini hakuwa kumuumbua kuhusu hili suala....kwa kifupi aliamua kukaa kimya. Hakutaka uwe CEO wa Kampuni ya Danone kama adhabu kwa kosa alilofanya Mama yako"

"Una uhakika na maneno unayo zungumza?"

"Siwezi kuongea uongo, yaani kwa umri wangu huu siwezi kuzungumza vitu vya uongo....." Dada wa kazi mstaafu aliongea.

"Ahsante kwa kuniambia ukweli, shika hii itakusaidia kukuwekea Ulinzi " Philips Kobe alimuachia bastola Dada wa kazi mstaafu kisha akaondoka.

Mara nyingi akiwa mpweke huwa anapenda kunywa pombe.

Aliingia katika Casino moja matata akaagiza pombe, muonekano wake wa kitajiri uliwavuta wadada warembo, walimzunguka kama Kuku na vifaranga wake.

Ulikuwa ni mwendo wa kulewa...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ceo-na-mrembo-wa-tiktok-sehemu-ya-17-endelea-mama-yako-alimuua-mama-yake-bryant-kobe

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi ceo-na-mrembo-wa-tiktok-sehemu-ya
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 16 ENDELEA..... "Ni wakati wa wewe kufurahia uboss pia, sielewi ni kwanini unapoteza kujiamini βœ‹" Zara aliongea.

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 19 ENDELEA...... "Kwanini unaingia bila hodi πŸ™„" Dada wa kazi mstaafu aliuliza

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 18 ENDELEA..... "Inakuaje unaanguka na huku umekunywa chai

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 13 ENDELEA.... "Na....na....nawahi kuandika ripoti tutaonana baadae" Tasha akiwa mwenye hofu kubwa aliaga.

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž   SEHEMU YA 14 ENDELEA. "Ni swali gani hili? mbona nashindwa kuelewa " Bryant Kobe

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 12 ENDELEA...... "Ni huzuni mtupu nyie kujifungia hapa ilihali kule chakula kipo kwenye hati hati ya kumwaga

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 11 ENDELEA...... "Okay, wakati wewe unaoga Mimi nitajilaza kidogo tu kitandani

 π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž   SEHEMU YA 10 ENDELEA Basi Zara alihakikisha Philips Kobe anapendeza kuliko Kaka

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 9 ENDELEA...... "Poleee " Philips na Bryant Kobe waliongea kipamoja

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 6 ENDELEA..... "Nini kinaendelea " Bryant Kobe alizungumza huku akiinyanyua picha yake

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 7 ENDELEA...... "Una mfahamu mbona umeshtuka namna hiyo, kama humjui mchukue

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 8 ENDELEA...... "Mimi huyu ni pa....nue uniwekee kidogo .... nadhani umenizoea

Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.11K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.25K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.48K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

2.56K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.3K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.11K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.11K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.04K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

1.99K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

1.95K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest