Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 18 ENDELEA..... "Inakuaje unaanguka na huku umekunywa chai
Gonga94 Β· Stories

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 18 ENDELEA..... "Inakuaje unaanguka na huku umekunywa chai

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
au yule mtu aliyekulaani kwenye comment sababu ya mafundisho yako imeanza kufanya kazi?" Yolanda alizungumza huku akimnyanyua.

"Ni ujinga kuwaza hivyo, hebu niletee pochi yangu. Nilipaswa nizione siku zangu siku iliyopita sielewi ni kitu gani kinaendelea " Tasha aliongea huku akitetemeka ni muoga kwenye swala zima la mimba.

"Sasa una tetemeka nini " Yolanda aliuliza huku akitafuta kipimo cha mimba kwenye pochi ya Tasha.

"Kwanini unatembea na vipimo namna hii kama vile una jukumu la kupima watu huko mtaani...."

"Huu si muda wa kufuatilia kuhusu hivyo vipimo, hebu niletee hiyo glass nayotumia kunywea maji...nitalimwaga humo kojo "

Yolanda alitaka kuongea lakini jicho moja la Tasha lilimfunga mdomo.

Basi mrembo wa Tiktok akiwa ni mwenye kujiamini alikojoa kwenye glass kisha akashika kipimo cha mimba. Alikiweka kwa umakini mkubwa kisha akakaa pembeni kusikilizia majibu.

Mapigo ya moyo wake yalivurugika mbaya mbovu baada ya kuona mistari miwili πŸ’”πŸ’”πŸ’”.

"Nini mbona umepoteza amani ya moyo "

"Nina mimba 😭"

"Pumzika ukiwa sawa utaniita tuzungumze.... Yolanda aliongea kisha akaondoka hakuwa tayari kumaliziwa hasira.

Basi wacha Tasha alie 😭, alilia style zote anazo zifahamu. Baada ya kuchoka alipanda kitandani kulala. Kama utani hivi lakini usingizi ulimpitia.

Upande wa Bryant Kobe aliingia jikoni kuandaa supu kwa ajili ya mdogo wake.

Alitia viungo vya kila aina kiasi kwamba alikunja sura yake kwa ladha aliyokutana nayo baada ya kuionja.

"Unataka kuniua siyo hii ladha haifahamiki ni chungu au tamu" Philips Kobe alilalamika huku akiendelea kula.

"Ni ahidi hautarudia tena kunywa pombe kupita kiasi ..."

"Na kuahidi .."

"Nguvu za kuoga unazo au na nikuogesha!"

"Mwili wangu hauna nguvu, nitafurahi kama utaniogesha " Philips Kobe aliongea bila aibu, wawili hawa wanapendana sana hivyo Bryant Kobe hakupata tabu kumuogesha mdogo wake....baada ya kumaliza aliondoka. Moyo wake ulikuwa na tamaa ya kumuona Tasha na si kingine.

Ilikuwa ni mara yake ya kwanza kufika nyumbani kwao Tasha.

Aligonga geti kisha akajielezea, kabla Mlinzi hajatoa maelekezo yoyote Mama yake Tasha alifika.

"Ka...karibu " Aliongea akiwa haamini.

"Ahsante, heshima yako...."

"Marahaba..... karibu ndani" Mama Tasha aliongea huku akionesha tabasamu.

Basi Bryant Kobe hakuwa na namna zaidi kukaribia ndani...

"Wala hata usikae sebuleni nifuate huku....sijui unajua tena nataka kutoka pia sitafurahi kukuacha hapo pekee yako njoo huku kwa Kijana mwenzio mzungumze " Mama Tasha aliongea kisha akagonga mlango wa binti yake baada ya kuona hajibiwi aliusukuma mlango.

"Pita ukae kwenye kochi umsubirie, anapenda sana kulala" Mama Tasha aliongea kisha akaondoka.

Bryant Kobe alikaa kwenye kochi, akiwa anamsubiria Tasha aamke alishtuka baada ya kuona mkojo kwenye glass kwa chini kulikuwa na kipimo cha mimba.

"Positive .... kwahiyo hapo ana ujauzito, pengine ndio sababu iliyompelekea achoke. Kuwa Mama si kitu cha mchezo hasa mtu ukiwa hujajipanga" Bryant Kobe alijisemea kisha akarudisha vitu kama vilivyokuwa.

Tasha akiwa kanogewa na usingizi alianza kujigeuza huku na kule kama samaki, kama si Bryant Kobe kuwahi kumdaka basi angedondoka chini.

Tasha alipiga kelele baada ya kukutana uso kwa uso na Bryant Kobe.
Alishindwa kuelewa huyu Mwanaume kapitia wapi..

"Mama yako kanikaribisha, kwa kuwa ulikuwa umelala hatukutaka kukuamsha.

"Unanioa lini Mimi " Tasha aliachia swali.

"Kukuoa wewe?...kuna nini hadi ni kuoe "

"Nina ujauzito wako "

Bryant Kobe alishtuka ndani ya moyo wake na hata akajikuta anakosa neno la kuzungumza.

"Vipi unataka kunitelekeza na huu ujauzito ".

"Sijamaanisha hivyo....nipo hapa kukusalimia. Kuhusu ujauzito naomba tuzungumze baadae baada ya kusalimiana ": Bryant Kobe aliongea huku akiachia tabasamu, hii ilimpa Tasha amani ya moyo.

Upande mwingine Zara anafika kwenye nyumba ya Dada wa kazi mstaafu. Kwa jinsi alivyokuwa na hasira hakuona hata sababu ya kugonga hodi.

ITAENDELEA.....
Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA

Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 18 ENDELEA..... "Inakuaje unaanguka na huku umekunywa chai

au yule mtu aliyekulaani kwenye comment sababu ya mafundisho yako imeanza kufanya kazi?" Yolanda alizungumza huku akimnyanyua.

"Ni ujinga kuwaza hivyo, hebu niletee pochi yangu. Nilipaswa nizione siku zangu siku iliyopita sielewi ni kitu gani kinaendelea " Tasha aliongea huku akitetemeka ni muoga kwenye swala zima la mimba.

"Sasa una tetemeka nini " Yolanda aliuliza huku akitafuta kipimo cha mimba kwenye pochi ya Tasha.

"Kwanini unatembea na vipimo namna hii kama vile una jukumu la kupima watu huko mtaani...."

"Huu si muda wa kufuatilia kuhusu hivyo vipimo, hebu niletee hiyo glass nayotumia kunywea maji...nitalimwaga humo kojo "

Yolanda alitaka kuongea lakini jicho moja la...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ceo-na-mrembo-wa-tiktok-sehemu-ya-18-endelea-inakuaje-unaanguka-na-huku-umekunywa-chai

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi ceo-na-mrembo-wa-tiktok-sehemu-ya
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž   SEHEMU YA 17 ENDELEA...... "Mama yako alimuua Mama yake Bryant Kobe

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 16 ENDELEA..... "Ni wakati wa wewe kufurahia uboss pia, sielewi ni kwanini unapoteza kujiamini βœ‹" Zara aliongea.

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 19 ENDELEA...... "Kwanini unaingia bila hodi πŸ™„" Dada wa kazi mstaafu aliuliza

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 13 ENDELEA.... "Na....na....nawahi kuandika ripoti tutaonana baadae" Tasha akiwa mwenye hofu kubwa aliaga.

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž   SEHEMU YA 14 ENDELEA. "Ni swali gani hili? mbona nashindwa kuelewa " Bryant Kobe

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 12 ENDELEA...... "Ni huzuni mtupu nyie kujifungia hapa ilihali kule chakula kipo kwenye hati hati ya kumwaga

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 11 ENDELEA...... "Okay, wakati wewe unaoga Mimi nitajilaza kidogo tu kitandani

 π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž   SEHEMU YA 10 ENDELEA Basi Zara alihakikisha Philips Kobe anapendeza kuliko Kaka

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 9 ENDELEA...... "Poleee " Philips na Bryant Kobe waliongea kipamoja

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 6 ENDELEA..... "Nini kinaendelea " Bryant Kobe alizungumza huku akiinyanyua picha yake

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 7 ENDELEA...... "Una mfahamu mbona umeshtuka namna hiyo, kama humjui mchukue

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 8 ENDELEA...... "Mimi huyu ni pa....nue uniwekee kidogo .... nadhani umenizoea

Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.14K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.27K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.48K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

2.57K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.31K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.12K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.11K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.04K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

2K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

1.96K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest