Menu

Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 19 ENDELEA...... "Kwanini unaingia bila hodi πŸ™„" Dada wa kazi mstaafu aliuliza
Gonga94 Β· Stories

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 19 ENDELEA...... "Kwanini unaingia bila hodi πŸ™„" Dada wa kazi mstaafu aliuliza

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.
.

"Hii nyumba nilikupatia Mimi kama zawadi ni ajabu kuona unanisurutisha nitoe taarifa kabla ya kuingia 😏" Zara aliongea kisha akajitupa kwenye kochi.

"Karibu, ni kitu gani unataka ni kusaidie "

"Ni maneno yapi umezungumza na Philips Kobe? nina uhakika wewe ni sababu ya kuvurugika kwake.....yaani chanzo cha mtoto wangu kunywa sumu ni wewe hapo, nakifahamu kiburi chako vizuri....naomba usinipotezee muda katika hili "

"Kuvurugika kwake kumesababishwa na yeye mwenyewe, kaja hapa kuniuliza vitu ambavyo vilikuwa nje ya uwezo wangu. Sikutaka kumueleza lakini baada ya kunishikia bastola nimejikuta ni kizungumza kila kitu.

"Kila kitu?....umesema kila kitu eeeh ni udhaifu wa hali ya juu. Kwahiyo kila mtu atakaye kuja kwako na kukushikia silaha basi una mwaga siri zote?...hakika sijapata kuona mwanamke kichaa kama wewe"

"Kwanini uteseke ilihali maneno niliyo zungumza ni ya kweli au ulitaka nimuambie namna ulivyo fanya majaribio ya kumuua Bryant Kobe kwa miaka mitatu bila mafanikio kwa namna anavyo mpenda Kaka yake, nina uhakika litakukuta jambo endapo tu nitamsimulia kila kitu ''

"Kama ni kikunyamazisha huo mdomo wako kuanzia sasa sidhani kama utakuwa na nafasi ya kuzungumza kwako hilo neno linalokaba kifua chako" Zara aliongea alitaka kuchomoa bastola lakini hakuwa na bahati baada ya Dada wa kazi mstaafu kimuwahi

"Hiyo ni bastola ya Philips Kobe imekuaje imeishia mkononi mwako"

"Kijana wako ana akili sana, bila shaka alifahamu utakuja hapa kuniuliza maswali ya ajabu....sasa naelewa kwanini aliniachia hii kitu " Dada wa kazi mstaafu aliongea.

"Rudisha silaha yako, sijaja hapa kwa ubaya nilikuja kuuliza tu ni sababu ipi ilimfanya Philips Kobe achanganyikiwe namna ile " Zara alijiongelesha baada ya kuona kifo kipo karibu.

"Pengine ulikuwa hujui chochote lakini Bryant Kobe anafahamu madhambi yako yote. Ni vile tu alichagua kukaa kimya na kamwe hawezi kukuambia chochote kwa sababu kama atafanya hivyo nina uhakika wewe huyo utakufa ukiwa umesimama "

Zara baada ya kuambiwa hivi alikuwa mpole kupita maelezo.

Aliondoka bila kuaga, heshima anayoipata kutoka kwa Bryant Kobe ni kubwa kuliko hata anayoipata kutoka kwa Philips Kobe.

Aliingia kwenye bajaji akiwa na huzuni mkubwa kupita kiasi. Huzuni yake ilienda juu zaidi kiasi kwamba machozi yalimtiririka.

"Bryant Kobe nastahili kunywa sumu mbele yako " Aliomboleza.

Upande mwingine Tasha baada ya kuoga alimuonesha jiko Bryant Kobe.

"Nimechoka πŸ˜“ kitu kibaya zaidi nyumba yetu haina Dada wa kazi kaa hapo upike, kama utachafua vyombo vingi itakula kwako" Tasha aliongea.

Bryant Kobe alikodoa macho kwa maneno anayoambiwa.

"Acha ujinga utakufa njaa bure fanya kupika na vyombo utaosha Mwanaume " Tasha aliongea kisha akarusha teke dogo likagonga nyeti za Bryant Kobe.

" Aghahhhhh" Bryant Kobe alilalamika.

ITAENDELEA......
Tangazo - ila baba mkwe full Epsode
ila baba mkwe full Epsode
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 19 ENDELEA...... "Kwanini unaingia bila hodi πŸ™„" Dada wa kazi mstaafu aliuliza

.

"Hii nyumba nilikupatia Mimi kama zawadi ni ajabu kuona unanisurutisha nitoe taarifa kabla ya kuingia 😏" Zara aliongea kisha akajitupa kwenye kochi.

"Karibu, ni kitu gani unataka ni kusaidie "

"Ni maneno yapi umezungumza na Philips Kobe? nina uhakika wewe ni sababu ya kuvurugika kwake.....yaani chanzo cha mtoto wangu kunywa sumu ni wewe hapo, nakifahamu kiburi chako vizuri....naomba usinipotezee muda katika hili "

"Kuvurugika kwake kumesababishwa na yeye mwenyewe, kaja hapa kuniuliza vitu ambavyo vilikuwa nje ya uwezo wangu. Sikutaka kumueleza lakini baada ya kunishikia bastola nimejikuta ni kizungumza kila kitu.

"Kila kitu?....umesema kila kitu eeeh ni udhaifu wa hali ya juu. Kwahiyo kila...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/ceo-na-mrembo-wa-tiktok-sehemu-ya-19-endelea-kwanini-unaingia-bila-hodi-dada-wa-kazi-mstaafu-aliuliz

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi ceo-na-mrembo-wa-tiktok-sehemu-ya
π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž   SEHEMU YA 17 ENDELEA...... "Mama yako alimuua Mama yake Bryant Kobe

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 16 ENDELEA..... "Ni wakati wa wewe kufurahia uboss pia, sielewi ni kwanini unapoteza kujiamini βœ‹" Zara aliongea.

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 18 ENDELEA..... "Inakuaje unaanguka na huku umekunywa chai

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 13 ENDELEA.... "Na....na....nawahi kuandika ripoti tutaonana baadae" Tasha akiwa mwenye hofu kubwa aliaga.

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž   SEHEMU YA 14 ENDELEA. "Ni swali gani hili? mbona nashindwa kuelewa " Bryant Kobe

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 12 ENDELEA...... "Ni huzuni mtupu nyie kujifungia hapa ilihali kule chakula kipo kwenye hati hati ya kumwaga

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 11 ENDELEA...... "Okay, wakati wewe unaoga Mimi nitajilaza kidogo tu kitandani

 π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž   SEHEMU YA 10 ENDELEA Basi Zara alihakikisha Philips Kobe anapendeza kuliko Kaka

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 9 ENDELEA...... "Poleee " Philips na Bryant Kobe waliongea kipamoja

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 6 ENDELEA..... "Nini kinaendelea " Bryant Kobe alizungumza huku akiinyanyua picha yake

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 7 ENDELEA...... "Una mfahamu mbona umeshtuka namna hiyo, kama humjui mchukue

π—–π—˜π—’ 𝗑𝗔 𝗠π—₯π—˜π— π—•π—’ π—ͺ𝗔 π—§π—œπ—žπ—§π—’π—ž SEHEMU YA 8 ENDELEA...... "Mimi huyu ni pa....nue uniwekee kidogo .... nadhani umenizoea

Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

10.1K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

6.25K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.48K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

2.56K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.3K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.11K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.1K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.03K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

1.99K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

1.95K
Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest